Yan ndugai kamwacha mbunge wa ccm aliekuwa anamzalilisha mwenzie kamtoa anaezalilishwa bila kosa Kwakuwa ni mbunge wa chadema!? kwel hii sio sawa chadema wanaonewa sana ndan ya bunge
@kingmroboto4984
4 жыл бұрын
Kama nawe hujapendezwa na alicho kifanya Spika usiogipe pita na like yako hapa coz sio haki kilicho fanyika
@chayogasperi9783
4 жыл бұрын
Tumependezwaaaaaaaaaaaa !!!!!!!!!!!
@yirgayemyirgah7820
4 жыл бұрын
Daaaah nlkua sijaangalia mpka mwisho kiukweli ndugai kazngua asee yn upendeleo wa wazi kabisa
@csato9415
4 жыл бұрын
@@yirgayemyirgah7820 Hicho ndicho kinachafanyika mara kwa mara kwa kuwapa nafasi ya kusikika zaidi wabunge wa CCM, kuliko wa upinziani hasa CDM ambao ndio hofu ya kuu. Huu ni upendeleo wa wazi.
@khatibabdi
4 жыл бұрын
kwa hili spika amekosea
@gwakisaphilipo7000
4 жыл бұрын
King Mroboto tunako end a kila mtu atamiliki wakizingua pa kichwani
@godifreypaul9409
4 жыл бұрын
Pole sana,Dada uliyetolewa nje,mwite Yesu,aingie ndani yako,akupe nguvu,malipizi ni hapa hapa duniani.Usiweke kinyongo kwa mtu ye yote maana Mungu atashindwa kufanya kazi yake.Mpende huyo Dada,wala usimchukie.wala kumuwazia mawazo mabaya.Amini tu,Yupo mkuu kuliko yeye.
@anthonymosha1992
4 жыл бұрын
Hkuna spika haliye endesha bunge la Tanzania hvo kwanzia nchi hhi ipate uhuru kama spika ndugai hakika broo ipo sku utalipwa na kila goti litapigwa Mungu akusaidie sana uko juu y sheria umevunja katiba dhaaa yajayo ynafurahisha pipzzzzzzz power
@edibilisalum3292
4 жыл бұрын
Ndugai ndugai Tambua yapomaisha nje ya bunge Muogope mungu
@gilbertvicent4229
4 жыл бұрын
Aache kuogopa kupoteza kiti chake na hela amuogope Mungu? Hawa watu Mungu ndiye atakaewaweza kwa kuchezea kodi zetu na kutumia madaraka yao vibaya... Spika ubabe wako Mungu muogope sana
@anuaryally6177
4 жыл бұрын
@@gilbertvicent4229 kiongozi wenu anaalalisha mashoga lisu je aogopi mungu
@whatisthetruth.8793
4 жыл бұрын
Buckle up and enjoy your ride.
@ntindatv815
4 жыл бұрын
hakika
@allyabdallah446
4 жыл бұрын
Iman ya chama nikubwa kulikon Iman ya dini yake? Je huyu Ana Iman ya dini kweli, jee a Akiongozi wa dini, jee Imani yake na dini yake anaamin kwamba ataulizwe cheo chake aliwatendea haki wote?
@onesmopaulmwacha566
4 жыл бұрын
Hakuna anayewaweza mmeshika makali ..lakini Mungu anawaweza .Ee Mwenyezi Mungu tuepushe na udhalimu .tutee mwenyewe
@twaibumikidadi7377
4 жыл бұрын
mtafaulu tu gawa wa ccm ni kama rimoti tu wanapelekwa pelekwa hawa hakuna sıasa ccm amin uciamin ila hutumıa mguvu zao za kıdoşaaaaaaa
@nehemiahparadox8488
4 жыл бұрын
Kwakweli
@fredrickmartin995
3 жыл бұрын
Aliyewapa kiburi kasepa bado zamu yenu
@khamisnassor5833
4 жыл бұрын
Duhh kweli professor mussa asaad aliliona hili bunge kuna jina alilisema kumbe kweli ndio maana wakapitisha sheria ya kuwakinga spika ndio tanzania tunayoitaka tutaelewana tu
@kumulwa
4 жыл бұрын
Kweli nithaifu kabisaa
@hapatv2991
3 жыл бұрын
Nidha inahitajika unamungilia je m2 hajamaliza punda nyie msio nauelewa
@khaalidcheo5383
4 жыл бұрын
Dh! ...R.I.P....CHADEMA...masikini ndio basi tena..tunaenda kukizika jumla hooooh.......😭😭😭😭😭😭😭
@danielekisinza537
4 жыл бұрын
Hahahahaaha
@perfecttz2690
4 жыл бұрын
We mkundu kwl
@ramathedon4001
4 жыл бұрын
sasa kwa hoja gani apo ndugu yangu spika anaonekana kabisa nimpendeleo ndugai mungu anamuona
@msemwaasha6244
3 жыл бұрын
Na ndo walichokua wanataka wabaki wenyeny wapige mabenj kwakukubaliana na ujinga
@charzwilson9494
4 жыл бұрын
Mr to ndugai no sio sawa unacho kufanya uchunguzi wa udhalilishaji unafanyika na vyombo vihusika bunge nimahara pa kwelekeza nakushauri unapo ruhusu majina ya watu yanatajwakua ulifanyiwa ukatiri wakijinsia bira kuwashauri waende policy na mahakamani unjishusha kwa kushabikia siasa unayobitaka my broooo unafel Sana bunge unalo liongoza nila kupashana pole umefel kaka
@zrazanzibarrespectiveacade9056
4 жыл бұрын
Dah hyi cio hki na kma unakubali cio hki bc gonga like
@ditrammwanaharakatimike1492
4 жыл бұрын
Huyu ndo ndugai masta HAPA KAZI TU
@muhidinihassani520
4 жыл бұрын
Kazi ya kipumbavu kupitiliza
@abdulykiliga4791
4 жыл бұрын
Anazingua kinyamaa
@kahugentobi9734
4 жыл бұрын
Kwaiy unaona yuko sawa fara mwenzio
@SaikoMsongo
4 жыл бұрын
Mm sina chama Ila nashangaa kwann wanamzalilisha huyu dada
@bongotvonline4883
4 жыл бұрын
Nawakumbusha tu waheshimiwa wabunge na kiti chao kuwa sisi raia sio wajinga, tuna akili za kutosha sana.... tunajua ipi haki ipi si haki. Kumbukumbu hizi zimehifadhiwa hapa ili watoto na vijana wa kesho wajionee wenyewe, siku moja haki itashika hatam. InshaAllah....!
@fortunatuskapinga5250
3 жыл бұрын
Hakuna haliyekzalilosha bali yeye mwenyewe Mbunge mwenzie kaelezea kilochotokea sasa sioni huzalilishaji
@ibrahimmasanja9097
4 жыл бұрын
Ndo maana kesi za mitandaoni haziishi hapa huwezi shindwa kumwaga tusi Kali kwa spika ingawa mwenyewe ni namfagiliaga magufuri daaaah spk
@subirapaul8127
4 жыл бұрын
Hizi kumbukumbuku za unfair ipo siku zitakumbukwa jamani msichee utu namna hyo mambo yanabadilika one day yesi imenikera kwa hili ase
@rehemapeter253
3 жыл бұрын
Bunge ovyo kabisa
@dullymsafi9030
4 жыл бұрын
Aiseeee bunge la sasaiv. Ukija kulisikiliza unachoambulia n mauzi mbona chadema mnakifanyia hvyo jaman da! Mungu anawaona
@momocadabra8611
4 жыл бұрын
Job Ndugai uwo ni uzalilishaji na sio haki
@rosekweka2044
4 жыл бұрын
Spika hajatenda haki yy angewasikiliza mpk mwisho angejua ukweli wa Mambo?
@lutufyojason2598
4 жыл бұрын
The history is being written for the first time our country .And this is the speaker of the National Assembly( the national think tank)
@emanuelsarakikya9398
4 жыл бұрын
Bunge la Mzee wetu Sita lilikuwa Bunge. Mama Makinda naye Alifanya Kazi iliyotukuka. Ila ili sasa Mungu ndiye anajua.
@ronaldsariah8760
4 жыл бұрын
Hakika
@thelivingwordchannel9027
4 жыл бұрын
Mbona mlikuwa mnamlaumu spika sita? Na ndugai ipo siku mtaanza kumkumbuka.
@miagielangoi3272
4 жыл бұрын
Asante sana Ndugai kwa kazi nzuri
@chayogasperi9783
4 жыл бұрын
🤜🤛
@wirfredrukoo7830
3 жыл бұрын
Ukweri ni gharama acheni mama afunguke ili watu wajue yaliyo sirini ndani ya vyama vya siasa na amezungumza pia kama mzazi kikubwa sio kuzalilisha je? Ni kweli anayo sema sio kuchangia kwa mihemuko ya kisiasa au upendeleo spika uko vizuri sana songa mbele
@mohammedshaaban9509
4 жыл бұрын
Daaah,huu ni udhalilishaji kabisa huyo ni mama wa mtu au dada wa mtu au pia ni binti wa mtu kwa kitendo hiki hajatendewa haki
@whatisthetruth.8793
4 жыл бұрын
Wacha ukweli usemwe tuu
@benjaminmtambo4868
4 жыл бұрын
Haya mi cina La kusema ila tutakutana mbingun duniani tunapita
@abrahamkibona7038
4 жыл бұрын
Hapo sipika hajatenda haki kabisa 😭
@erickrichard4292
4 жыл бұрын
Spika hajatenda haki tena amempendelea huyo mama anaeongea visivyonamaana
@mohamedkashindi7689
4 жыл бұрын
Yaani wapinzani wanaonewa kiwaziwazi bila huruma hinauma sana
@evansm8802
4 жыл бұрын
This speaker is partisan.
@mathiaszakaria7052
4 жыл бұрын
Uonevu mkubwa sana
@zuberikamote2078
4 жыл бұрын
@@erickrichard4292 katenda haki we hela yko unaipata kwajasho lko halafu uwwkeze kwenye chama wkt chama kinatakiwa kikulipe ww
@profgeofreysevelinenyalale9454
4 жыл бұрын
Ndugai hufai kuwa kiongozi hata wa nyumba kumi maana uongozi ni busara wewe umekosa hata hekima ya kuiga kwa walio kutangulia.kuna siku utasimama kujibu kwa Mungu
@jacobmigera2626
4 жыл бұрын
Kesho yetu si nzuri;Watu wana tamani vyama vya siasa vifutike kuwepo na chama kimoja: ili ,CCm waongoze kimabavu; Ndugai haongozi bunge Kwa hekima; Wanayo yapanda leo wataya vuna kesho;
@mossesraphael1073
4 жыл бұрын
Nimeumia sana lkn MUNGU yupo na ndugai hataishi milele hapa duniani dah kama vile hajazaliwa na mwanamke afu kuna wanawake wengine wasiojielewa nao wanacheka dah MUNGU tazama watu wako ukatende haki
@abubakarzamir6276
4 жыл бұрын
Duh kweli nchi ya democracy mtu anadhalilishwa anataka kujitetea anatolewa
@johnmitti3201
4 жыл бұрын
Huo ni upuuzi haki iko wap hapo si mseme 2 kuwa hamtaki vyama vingi kaeni mkjua mtavuna mnachokipanda
@erickrichard4292
4 жыл бұрын
There is no democracy there
@erickrichard4292
4 жыл бұрын
@@johnmitti3201 yeah, kweli kabisa bora waseme hamna vyama vingi kuliko haya yanayoendelea
@rajabhamis4384
4 жыл бұрын
@@erickrichard4292 there there mbona zimeongozana hivyo. 🙄
@anuaryally6177
4 жыл бұрын
@@johnmitti3201 mbona mama yako ataki baba yako aongeze mke
@ahmedysaidy7937
4 жыл бұрын
Spika tambua kunamaisha mengine nje ya bunge pia tambua bunge lilikuwepo kabla ww ujazaliwa haya maisha tu bro
@hamadiayossy
7 ай бұрын
Matumizi mabaya ya u spika,,sijapenda kwakweli,
@josephsasa7497
3 жыл бұрын
Mara zote huwa nawaambia kuwa Itumie vizuri sana nafasi uliyopewa na Mungu, bila kuonea au upendeleo kwani kuna Maisha mengine baada ya haya duniani. huwezi ukawa Spika wa bunge kwa kupendelea watu.
@abakuryatv2119
4 жыл бұрын
Chama cha kisenge Sana hichi Wanaminya Sana demokrasia nasikitika Sana kuona kuwa Mungu mtu ndiye anaye wapa hicho kiburi 😢 😢 😢 Haya mambo yana mwisho...na msisahau kuwa hayo Yote mnafanya Hapo bungeni ni kwa ajili ya nchi moja.. Tanzania 😔 😔 😢 imeniuma Sana hayakuwa maamuzi sahh kwakeli
@jerikorojas4317
4 жыл бұрын
Bunge la Bajeti Wabunge wanajadili Majungu! Aibu kubwa kwa Taifa la Tz
@erickrichard4292
4 жыл бұрын
Mwenyew najiuliza mbona kuna mambo mengi ya msingi ya kujadili wala sio hayo
@jojolee382
4 жыл бұрын
Nawewe c ugombee ukajadili hiyo bajeti..! Mfeeeeeew..!!!
@dedanmwasongwe1675
4 жыл бұрын
Spika unaalibu bunge kwa kushabikia mambo yakipumbavu kabisa, wakisema bunge ni dhaifu unachukia
Tanzania kweli hakuna bunge tena! Kwa sasa bunge limegeuka kikundi cha taarab na mipasho tu
@yohanaobeth1558
4 жыл бұрын
MUNGU lirehemu Bunge la Tanzania, kwa kutoka nje ya jukumu lake la msingi, wasamehe viongozi wetu na uwape hekima katika kuchagua cha kuongea, namna ya kuongea na kufanya maamuzi. MUNGU unayerehemu na kuwapa Viongozi hekima tunakusihi usiwache viongozi wetu bila kunena nao.
@whatisthetruth.8793
4 жыл бұрын
Aaah ! wewe ccm songa mbele . You get love it
@justinagabriel3176
3 жыл бұрын
🤣🤣
@chazzymediatv5075
4 жыл бұрын
Ndio chamsingi sasa tupanze sauti zetu maana hapa hatuna bunge tena bali kuna kikundi cha ccm ndo kinachojadili kila kitu bungeni now ila ndugai tambua kuna maisha baada ya usupika wako na one day mungu atajibu kilio cha watanzania in god we trust
@tam8951
4 жыл бұрын
Sio sawa,Ndugai jirekebishe
@emmanuelbuyamba853
4 жыл бұрын
So painfully aise! Pole sana kamanda Yosepher Komba.
Cjawai kuona mzigo Kama spika na Mungu mwenye mamla na utawala wote wa duniani na mbinguni pokea maombi ya wanyonge wote tusaidie kuondoka watu Kama awa wenye kutumia mamlaka Yao vibaya ewe mwenyezi Mungu tusaidie
@gredatv554
4 жыл бұрын
Nimekuwa wa kwanza kukoment naombeni like jamani
@frankkataraiha607
4 жыл бұрын
hv like zna msaada gan au kwann huwa mnaomba likes leo nimeona bora niulize sina maana mbaya kama hutojal nifahamishe
@tumabhay8576
4 жыл бұрын
Very good mh spika. Tunaanagalia mwengine anoitaka kuelekea huko huko.. Hahahahaaa hahaaaaaa nimeipenda iyo.
@issakapemba6115
4 жыл бұрын
Duh wapinzani hawana haki kwenye nchi yao kabisa yaan lakini yatafikia mwisho tuu yaan
@kahugentobi9734
4 жыл бұрын
We spika mbovu, ndo uliko lifikisha bunge dah! inauma Sana ila ipo cku yatakwisha
@zachaaaamosy8320
4 жыл бұрын
Naipenda sana ccm la kwa hili mheshimiwa as jafulaishwa kabsa nyie ndio wale mnaomchafua RAIS wetu nyie Ndugai wewe umeweka uchama mbele kuliko majukumu yako mzee wangu
@charlesbaba8820
4 жыл бұрын
Speak er ukosahihi sana unaendasawa na tunavyotaka
@aetiusaugustine395
3 жыл бұрын
siyo vizuri inamaana ili bunge ni la chama si la wananchi
@saidibakarimakota9400
4 жыл бұрын
Hivyo ndio itakuwa bunge lijayo wakichakaa wenyewe hawana hoja za msingi za kulijenga taifa ni vichekesho tu
@adamumuki1242
3 жыл бұрын
Anajidai sana uyu jamaa km nchi yake Inshaaallah Allah ndio mwenye maalipo na maamuzi ya haki anajiona km mtume
@omarybebe8414
4 жыл бұрын
Leo ndio comment yangu ya kwanza kuiweka KZitem, HUYO DADA MMEMDHALILISHA SANA,SIO HAKI KABISA,HUYO NI MAMA AU DADA WA MTU PIA,MUNGU ATALIPA KWA MLILOLIFANYA.
@nuru.simkoko
4 жыл бұрын
Malipo ni hapa hapa
@msemwaasha6244
3 жыл бұрын
Kwanza mwanaume mzm tena spik wa bunge kushabikia mambo ya wamama hata haya huna
@williamsmadulu393
4 жыл бұрын
daaa R.I.P Samweli sitta....mimi ni mwanachama wa CCM lakini sijapendezwa na huu udhalilishaji..Matukio kama haya yanakichafua chama chetu naomba yapigwe vita
@ayubumagumu4386
4 жыл бұрын
Ondoka huko hicho co chama
@aidanhamza4656
4 жыл бұрын
Kwenda zako udhalilishaji unaujua wewe?
@williamsmadulu393
4 жыл бұрын
@@aidanhamza4656 unaujua wewe
@gilbertvicent4229
4 жыл бұрын
Tuliimba sana wakati tunamwondoa mkoloni tukasema haki za watu zanunuliwa na tukasema tujenge heshima ya mtanzania ili asidhalilishwe kama mnyama sasa leo mama wa watu hadi analia anatolewa kibabe na aliyepewa dhamana na anaekula kupitia kodi zetu. ..eee Mungu wewe ndiye mwenye nguvu dhidi ya wajikwezao na kuwadhalilisha wenzao kisa afya ulizowajalia na nafasi walizonazo
Mbunge anasukumwa kama kibaka heshima iko wapi ama kweli nchi ya wanyonge mtanyongwa sana
@neyousingo7616
3 жыл бұрын
Ndugai Baba fanya kazi huyo dada ni mtovu wa nidhamu
@gilbertvicent4229
4 жыл бұрын
Mungu ndiye mwenye pumzi zetu tunazovuta kama aliweza kutuonyesha miujiza kwa Farao/ Firauni tunaomba atuonyeshe pia kwa wenye tabia kama yake. ..eee Mungu tusaidie ili kuepuka udhalilishwaji huu ambao umeigawa nchi yetu kwa makundi yenye chuki kubwa sana
@emmanuelsimon545
4 жыл бұрын
Mnalaumu sipika bure ila huyu dada angetulia ingempa heshima zaidi
@likimaro6
4 жыл бұрын
Yaani kuna watu wamejimilikisha bunge. Huyu dada kadhalilishwa kwa kweli. Yaani napata hasira kali
@magakalutema3790
3 жыл бұрын
Siyo sana bunge hli
@kimchi-91
4 жыл бұрын
spika yuko sahihi,maana huyo bunge wa chadema kaenda kinyume na taratibu za bunge,hajaruhusiwa kuongea yy kashaanza kuongea kisa kadhalilishwa ,hata kama unahisi umedhalilishwa ndani ya bunge jitahidi kuji-control na hasira ikiwemo kuheshimu taratibu za bunge
@gracejohn886
4 жыл бұрын
Namkumbuka mama mpole sn ana hekima ya kutosha jaman mama Anna makinda
@anthonymosha1992
4 жыл бұрын
Huo ni uonevu dhidi ya vyama pizani ila kwenye nchi hh ni yetu sote na Kuna watu wanaishi kama vile wataishi milele hawafahamu kuwa haya maisha wamekopeshwa na mwenyezi Mungu ila tutafka tu hakuna chenye mwanzo kisicho kuwa na mwisho.
@JohnWilson-uk7om
4 жыл бұрын
Spika nimchonganishi alafu ana roho ya kikatili sana duh,,, haijapedeza aisee
@Loftyattorneys
4 жыл бұрын
Am speechless but all in all malipo ni hapa hapa duniani naipenda CCM but not for this
@barakabahati4315
4 жыл бұрын
Daaah!
@Denispeter1738
4 жыл бұрын
Imeniuma sana baada angewashauri. Ila malipo ni hapa hapa duniani. Huyo dada asikate moyo one day yes.
@willekapuna7102
4 жыл бұрын
Kwa kweli hi co nchi huyo dada hana kosa kabisaaaaa anadhalilishwa daah ucjali tupo pamoja asikup shida spika wanaichi tunajua umuimu wako
@jojolee382
4 жыл бұрын
Chadema ni chama cha hovyo sana..!!!!
@kahugentobi9734
4 жыл бұрын
Kuma ww amna unacho kiongea kaa kimy
@jojolee382
4 жыл бұрын
@@kahugentobi9734 we mkundu funga kuma hiyo ntaitomba gademit.
@christianmwashala276
4 жыл бұрын
Yan Spika ni Amna apo kwel Tena duh Yan Dada was watu kaongea kwamba anazalilishwa af unamtoa nje au niww kwel kakushinda ad mama Makinda duh
@sharifabdul6085
4 жыл бұрын
Naomba tu watu wakumbuke upinzani ktk nchi ni sawa na nguvu ya maji,unaweza kuyafungia njia moja,ila katu hutaweza kukata mkondo unapoamua kukatiza unapopenda bado tutaendelea kupinga kutawaliwa hakuna umwamba kwenye keki ya taifa
@mako331
4 жыл бұрын
Ndugai hapa sio vizuri heshima Kidogo jamani
@waelimesha8207
3 жыл бұрын
Kweli mmmmmmmmmmm! Woooooooooowi!!!!!. Wapishe mamangu!!!!!!!!!!. Ila wote tujaribu kuwa watoto wa mama mmoja.
@fredrickmanswet3613
4 жыл бұрын
Ndugai kuna maisha baada ya uspika,kipimo kile uwapimiacho wenzako ndicho utakachopimiwa siku ya hukumu.
@petermushy9883
4 жыл бұрын
Kweli ni spika ya sabufa
@gracejohn886
4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣😂
@johnmiligo429
4 жыл бұрын
Mhh jamani Mimi nimwanaccm Ila mhh mbasi yakomee pale maoni yangu
@nicksonjohnson6760
4 жыл бұрын
Mimi Ni ccm Ila kiukweli ndugai hakuwahi kutoa uamuzi mzuri kwa wapinzani na hisi sio mzima kwenye afya ya akili
@alphamassawe6029
4 жыл бұрын
Ndio ukiona wenzetu wanaendelea usishangae wwe badala ya kuongelea maendeleo unaenda kudhalilisha wanawake its shame na spika yupo tena Anatilia mkazo Huyo mama alievaa miwani hana busara hata kidogo nimpongeze sana Mhe, Yosefa kwa uvumilivu wa kudhalilishwa lakini spika hakutumia busara wala hekima. Hafai kuwa kiongozi
@pinielloilole4340
4 жыл бұрын
Ndiko tulipofikia?
@rahmaharuna6710
3 жыл бұрын
Haya ndo mambo ninayotakaga kuangalia
@fidericashirima5579
3 жыл бұрын
Mmmmm makubwa haya
@sr.january7141
4 жыл бұрын
Daaah ila sio fair kabisa huyu jamaa anajiona sana
@sirilaalfred9151
3 жыл бұрын
Ndugai yupo vizur!!!!!!!!!
@twalibolomy6102
4 жыл бұрын
Hapa kazi tu100%.
@mahyorokalokola4012
4 жыл бұрын
Inaonekana Spika hajui tofauti ya kodi na michango
@mohamedimbinga225
4 жыл бұрын
Case study ;Nkurunziza
@whatisthetruth.8793
4 жыл бұрын
Hakuna lolote
@gibsoncharles9555
4 жыл бұрын
Ongelea chama chako na katiba yako kila chama na katiba yake maana vyama vya upinzani ni vichanga unafikiri vingejiendeshaje??? Mnatumika vibaya sana
@nemecymsanya3191
4 жыл бұрын
Umeongea point ndugu yangu ingawa hatufamiani aisee
@youngloyclassic3173
4 жыл бұрын
Wanaongea pumba hawajui kuongoza chama
@gilbertvicent4229
4 жыл бұрын
Umetoa mawazo ya kisomi japo sikufaham lkn nyie ndio wananchi mnaoweza kuishaur serkali na kuivusha katika suala zima la maendeleo
@anuaryally6177
4 жыл бұрын
Mbona chauma akidai kodi na kichanga pia au tlp wacha ukada katika maendeleo fala wewe
@kazembally6032
4 жыл бұрын
watanzania wenzangu kwa mawazo yangu kwa spika uyu akuna maana ya kuwa na Bunge kama mtu anadhalilishwa Bungen na spika anasapot.wakat vyombo vya usalama vpo kama kweli walifanyi wangeenda kwenye vyombo husika
@lifeisgood4242
4 жыл бұрын
Dunia inaona haya na wanasikitika kama nilivyosikitika. Ni nchi moja yenye watu weusi nao ni weusi hadi mioyoni mwao. Tutubu na kumrudia Mungu. Siku zetu zinahesabika sana. Sii nyingi kama punje za mchanga bali ni kidogo kama meno ya mtu kinywani.
@ronnie1425
3 жыл бұрын
Mbona sipika boya sana. Mtu anamdharirisha mwenzie
@danielmakala90
4 жыл бұрын
Kwaio spika hapo wewe unajiona mungu mtuu unafanya unalo jisikiaa nokorooo
@aliebrahim9423
4 жыл бұрын
"Hebu msinipigie kelele ninapotaka kufanya maamuzi yangu".Mwisho wa kunukuu.
@emanweljohn1240
4 жыл бұрын
ukweli kun upendeleo min ccm lakin Ktk hili Luna upendeleo san kwanin kuhoj mipango yamtumwingine huko ccm mbon hawahojiwi huu siosawa
@loner_wolf
3 жыл бұрын
Mzee wa lengo mahususi ndio anawatafuna hao akinadada, ndiomaana sasa hivi akinadada wamekaa mkao wa kuteuliwa viti maalum lkn wanazungurushwa ili wanyonywe kirushwa rushwa tu.
@daudilutego6790
4 жыл бұрын
Hiv jaman hakuna mambo mengine ya tujadili kila siku chadema chadema alafu mbona nidhamu hakuna!!!Eee Mungu Baba Ingilia Kati nchi yetu,wape hekima
@youngsachafurniture5482
4 жыл бұрын
Hii aibu sana bunge limekuwa kama wako location wanashoot mov ya isidingo
@thabitngangila8562
4 жыл бұрын
Hali ya bunge linavyo endeshwa mpaka aibu.
@whatisthetruth.8793
4 жыл бұрын
Kwa sababu chadema wanavuliwa nguo sio
@catherinejumanne9378
3 жыл бұрын
Tumwachie mungu maan
@danielerastomanjale254
4 жыл бұрын
Sema spika angeacha tu maana ,, ata hivy ukiangalia kazalilishwa , Sana kumwambia kuwa na yeye yumo ktk wazalilishwaji wa gono ,,asingetaja hivo ,,,, spika apunguze kidogo siasa ,,,, japo CHADEMA huwa Wana fell some time ,,, lakini kwa hili Ni siasa ,, uonevu ,,, spika asikubaliane na mawazo yote ya wabunge wa CCM nao wanakosea
@alexthobias3755
4 жыл бұрын
Kaka upo sawa kimawazo ila cha kwanza tuijenge nchi yetu tuache mambo ya nje
@fahdihasnuu9034
3 жыл бұрын
Huyu ndugai msenge sana huyu jamaa
@rachelelias1923
4 жыл бұрын
Yaan jaman.. mama makinda alikuwa anaongoza bunge vizur... huyu ndugai kafanya mbunge chekechea ..
@jeremiadaudi5780
4 жыл бұрын
Kama ni ngono zimejaa ccm msidanganye watu hapa kisa mmeshika shoka
@ELIAMbise-sy5ue
2 ай бұрын
Ivi uyo jamaa apo jirani na uyo Jacklin kavaa kibarakashee Huwa ninani make ananyodo balaa,, nakumbuka sikumoja anamchamba Mbunge wa nkaskaskazini. Iyo bench wanakaza wenyesifa za like inaonekana 😊
@djunction4127
4 жыл бұрын
Mmmh demokrasia maandazi
@samsonjames5457
4 жыл бұрын
Akika ili sio bunge niuchafu tu
@sarahtaste2876
4 жыл бұрын
Kwakweli bora nibaki na kitambulisho cha taifa hicho cha mpiga kura hakinifai so kwa bunge hili inaskitisha sijui tunaenda wap ni Mungu tu anajua
Пікірлер: 820