Mchimbaji mdogo wa madini Joseph Temela amesema tayari fedha (Bilioni 3)aliyoipata baada ya kuuza Almasi yenye ukubwa wa karati 520 ameiingiza kwenye biashara!!
- 4 жыл бұрын
Star Wetu:Hivi ndivyo Bilionea Temela alivyozitumia zile Bilioni 3 alizopata baada ya kuuza Almasi
- Рет қаралды 6,369
Пікірлер: 2