Alf zai na suzy mbona vitu viwili tofaut..zai anahadithia ya uswaz kwao kwa kutufurahisha na maneno yake ndio yanayotuburudisha..suzy anaongea anachamba kinachofanya muwapambanishe ni kwamba wote wa uswazi..lakin ni watu tofauti
@FatumaMuya
Ай бұрын
👍👍❤
@prezgal8869
Ай бұрын
Wako tofauti kabisa,suzy ni wa michambo ila zai ni wa story za vichekesho mtaani kwao
Пікірлер: 26