Wanaosikiliza hii nyimbo 2024 gonga like tukisonga
@rahmahasan32
Ай бұрын
👍👍👍👍
@kuraii._.moon1
Ай бұрын
Mm
@willfredychazz2845
3 жыл бұрын
Hizi ndonyimbo sasa za kuelimisha sio zile moyoyo anae kubar nyimbo za mzee wetu issa tuonane hapa dore juu hpo tujuane
@masoudsigali4523
2 жыл бұрын
Tangu 1997 mpaka sasa 2022 naisikiliza huu wimbo hakika old iz gold......R.i.p waliotutangulia kwa Allah
@JumaAlly-fb5pc
4 ай бұрын
Anayaeangalia kimasomaso 2024 like hapa👌
@HusnaMuhammed-yx8nl
5 ай бұрын
Nyimbo nzuri 2024
@anonymoussaid5986
4 ай бұрын
Anayeskiliza 2024 🎉
@faridaramadhan2509
3 жыл бұрын
2021 tujuae tunaosikiliza huu wimbo mwenyezi mungu akupunguzie adhabu ya kaburi ulijua kutunga nyimbo zenye mafundisho issa matona rip
@faridaramadhani8588
2 жыл бұрын
Mwajina
@christinamoland9743
Жыл бұрын
Mwanga wamilele humuangaziye ee bwana mungu wamajeshi
@ndolasaid6323
4 жыл бұрын
Anayesikiliza mwaka 2020 anyooshe mkono juuu
@saumsuleiman9794
4 жыл бұрын
☝️
@mgayarashidi34
4 жыл бұрын
Mani anasikiliza nyimbo za ISA matona minipo tanga nawewe taja ulipo kamaunasikiliza nauumpenzi wataarabu zazamani
@hadijahamisi3709
4 жыл бұрын
Npooo
@Hesbonful
4 жыл бұрын
Tafadhali, naomba, yeyote yule awezaye kutuandikia maneno ya wimbo huu, ayachapishe mtandaoni hapa KZitem. Kwani hekima iliyo ndani yake ni ya thamani sana na adimu. Asante sana, tena sena. RIP Mzee Isa Matono.
@mrismail5437
4 жыл бұрын
🙋♂️
@asyaateteatete6179
4 жыл бұрын
2020 nani askia wimbo uyu? Congo nipo
@johnkahekwa8962
3 жыл бұрын
Nami Niko Bukavu/ Congo. Naendeleya kumpenda Mzee Issa kabisa.
@ummusalmaan9063
2 жыл бұрын
Allahuma aghfirlahu warhamhu waskinhu FIL jannah
@chegewainaina8038
Жыл бұрын
Wimbo mtamu huu, nani ausikiza mwaka 2023. Radha kama ya jana..
@yumbamatipa2702
Жыл бұрын
Nipo hapa April 21, 2023
@hawarajab
Жыл бұрын
Nipo hapa omani Raha km zote 25 ,4,2023😅
@umubabarirwafarida8281
4 ай бұрын
Oo@@hawarajab
@shariffaabdalla2170
4 жыл бұрын
Maaso maso mwanangu asimuone jicho la hasid mwanangu lisimuonee🥰🥰🥰naipenda had bass ii nyimbo tokea mdogo naisikia maharusin had namie nimeolewa nimeimbiwa 🥰♥️
@jafaripaje5366
6 жыл бұрын
The song reminds me those days in Primary School coming back home from school for lunch and then you find Mom is starting prepare lunch while singing this song, you want to rush back to school before luch was over for fear of being punished......But she insist you....subiri kwanza ule mwanangu. Nakuombea kila la heri mama.
@zahorsuleiman5679
5 жыл бұрын
c
@halimatossa7065
5 жыл бұрын
Ha ha ha ha duh ni mm kabisa
@jafaripaje5366
4 жыл бұрын
@@halimatossa7065 Hahahahaha mama huyo
@rajabuibrahim8811
4 жыл бұрын
Praise to all mothers in the words
@neemammbaga343
4 жыл бұрын
Jmon thats mothers love 💕
@Ambagaye
Жыл бұрын
On top of its strong wedding message, I like its poetry! Superb poetry indeed. Issa Matona sang over 16 poetic verses very smoothly.
@halimamshami3279
5 жыл бұрын
This will forever be "THE BEST"wedding song. ..rabbii amrehemuuu
@ziadayasiniziadayasini9978
8 жыл бұрын
Isa matona mungu akuondo shekhe adhabu ya kabru hii nyimbo haishi fasheni big up kwako
@fatimanzota1440
8 жыл бұрын
Masha allah ujumbe mzuri si ishi hamu kuisikiliza hii nyimbo inanikumbusha harusi ya dada yangu mpendwa mungu awalaze mahari pema peponi.
@ahmadothuman190
2 жыл бұрын
Siku ukija tena kusikiliza kimasomaso achia like yako
@SophiaBalagomwa-hx9gb
Жыл бұрын
😂
@ibrahimmohd4337
Жыл бұрын
2023
@user-mo7lq5zd4d
10 ай бұрын
Tuko pamoja
@shuweikhasalim4211
8 ай бұрын
2023
@FatmaNgumbewe
8 ай бұрын
❤❤❤❤❤😂
@mariamissa8761
8 жыл бұрын
R.I.P maashaallah ulikuwa na ujumbe mzuri sanaaa hii nyimbo naiona mpya kila ninapoickiza
@khaniphaayubu6174
5 жыл бұрын
Mariam Issa dah kwakweli Yani nikisikiliza mpaka nalia yani
@maryamabdallah7174
4 жыл бұрын
Good morning everyone
@Hesbonful
4 жыл бұрын
Tafadhali, naomba, yeyote yule awezaye kutuandikia maneno ya wimbo huu, ayachapishe mtandaoni hapa KZitem. Kwani hekima iliyo ndani yake ni ya thamani sana na adimu. Asante sana, tena sena. RIP Mzee Isa Matono.
@Jumasaidi-iv8cj
Ай бұрын
😢😢😢 hii nyimbo imenitoa machoz nafunga ndoa hali ya kuwa nishamzika mama eeeh allah nakuomba mpunguzie mama yangu azabu na kaburi na umeweke mahali pema pepon
@nasraabrahaman653
27 күн бұрын
Amin
@TheFamilesso
7 жыл бұрын
This is and will always be the classic East African wedding song
@yasinmakandalau4414
7 жыл бұрын
That's true
@myreennao9434
7 жыл бұрын
TheFamilesso thats true
@jumamgangaibrahimunguguru6066
6 жыл бұрын
mzee alikua moto si mchezo
@halimamasare6838
5 жыл бұрын
Absolutely 👌
@Hesbonful
4 жыл бұрын
Tafadhali, naomba, yeyote yule awezaye kutuandikia maneno ya wimbo huu, ayachapishe mtandaoni hapa KZitem. Kwani hekima iliyo ndani yake ni ya thamani sana na adimu. Asante sana, tena sena. RIP Mzee Isa Matono.
@nambuacassandramlaki3516
3 жыл бұрын
Its year 2021 bado nasikiliza huu wimbo.😭😭 Rest in Peace Issa Motana
@hamisimuna125
3 жыл бұрын
September 2021 bado ni mtamu
@miragejuma1560
2 жыл бұрын
Obrigado pela músicas Bwana issa
@johnmapunda99
6 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu amuweke mahali pema Mzee Issa Matona, alikuwa ana uwezo wa ajabu wa kuimba. Mashairi yake ni kama mwalimu vile anafundisha!
@Rahma-it4jj
4 жыл бұрын
Yani daaah
@AminaAmina-cl9fe
2 жыл бұрын
Can't wait for my mum to request it to be played during my wedding while dancing with her InshaAllah
@farhiyawarsame9697
Жыл бұрын
insha Allah
@AminaAmina-cl9fe
Жыл бұрын
@@farhiyawarsame9697 thanks darling
@aboubakarmsangi692
Жыл бұрын
Insha Allah..
@zeynabgeorges
Жыл бұрын
Inshallah 🙏
@artisthusnatalal3099
Жыл бұрын
Usikose kunialika 😅
@aishaomar8305
Жыл бұрын
2023 and this song still lit🔥 i remember listening to it at weddings when young till played on my wedding. Mashaallah haichoshi
@ramahuwezjua9743
5 жыл бұрын
mashallah babayet issa matona Allah akufanyie wepesi
@sirderanym7986
4 жыл бұрын
Can't wait for this to be played on my wedding.....
@saeedsalim1090
4 жыл бұрын
when is ur wedding
@mohamedobura8615
2 жыл бұрын
Insha Allah
@stn4873
2 жыл бұрын
All the Best Ukhty...
@mohdmussa7749
8 жыл бұрын
He was one of his kind. R.I.P Issa Matona, Bi Kidude, Sitti Bint Saad, Omar Kopa and all the great Zanzibar voices
@raymondtuli1518
6 жыл бұрын
Mohd Mussa nice comment!
@jamilajabu2902
6 жыл бұрын
mungu awapumzishe salama
@zianaally9412
5 жыл бұрын
kiboko uyo mtu mungu ampe wepesi kaburini
@bahatia6626
5 жыл бұрын
Mohd Ni?ssan
@Hesbonful
4 жыл бұрын
Tafadhali, naomba, yeyote yule awezaye kutuandikia maneno ya wimbo huu, ayachapishe mtandaoni hapa KZitem. Kwani hekima iliyo ndani yake ni ya thamani sana na adimu. Asante sana, tena sena. RIP Mzee Isa Matono.
@issaali1321
2 жыл бұрын
Allah amsamehe makosa yake. Alikuwa legend. Alikuwa akija kwa jirani nyumba ya pili Magomeni Zanzibar. Mzee alikuwa hodari sana. Hakuna marejeo yetu sote ni kwa Allah. Mashairi yake yalikuwa ya kipekee.
@MussaKingu255
6 ай бұрын
2024 twende sambamba na mzee wetu issa matona
@aminamahmoud8784
5 жыл бұрын
Smash the like below if u r still listening to this 2019 jun# mwacha mila ni mtumwa.....Mombasa city
@pillykenedy2140
5 жыл бұрын
Nyimbo za uyu baba mashaAlaah!,huchoki kusikiliza mungu akupunguzie adhab ya kabri
@Hesbonful
4 жыл бұрын
Tafadhali, naomba, yeyote yule awezaye kutuandikia maneno ya wimbo huu, ayachapishe mtandaoni hapa KZitem. Kwani hekima iliyo ndani yake ni ya thamani sana na adimu. Asante sana, tena sena. RIP Mzee Isa Matono.
@saidimhina4632
5 жыл бұрын
Gooood long time sana nipo kijj kimoja kinaitwa mandera korogwe tanga 1987
@amanichelangwa7091
4 жыл бұрын
Kweli we muhenga Hongera sana
@kibwanajuma6370
6 жыл бұрын
ALLAH amrehemu mzee ISSA MATONA
@niyahdelajungle3717
6 жыл бұрын
😮😮😮😮 I'm from the Comoros Island and this song is always played on wedding celebrations 🤔 #Swahili #Bantu
@fauziahashim1099
5 жыл бұрын
Niyah DELAJUNGLE HV
@fauziahashim1099
5 жыл бұрын
Niyah DELAJUNGLE
@wendomagalla6361
5 жыл бұрын
That nice to hear
@othmanabdallah3503
4 жыл бұрын
Nice song
@johnhima9454
3 жыл бұрын
You're so beautiful Niyah
@ahmedhassanadam7248
3 жыл бұрын
Mm ni kijana wa zama za kileo lkn marafki zangu hunicheka nikiskiza na kuenjoy hizi zilizopendwa...Old is Gold...Zina message hizi nyimbo
@sakinaabd5898
9 жыл бұрын
Verry nice hongera ya kiiasili thank's kwa wale wotutilia na Mungu amrehemu babu aloitunga Ishallah amlaze pema peponi Amin
@abdulhamidkificho5768
4 жыл бұрын
Old is gold taarab Zanzibar Vya kale ni dhahabu,,Viva Zanzibar Our be loved Marhoum Issa Matona Our be loved Zanzibar taarab
@mcback4384
3 ай бұрын
Ni mtanganyika kutoka Tanga sio zanzibar
@majaller6951
2 жыл бұрын
2022 we still here,Issa was a legend, may he keep on Resting In Peace.
@ramadhanmseba4689
9 жыл бұрын
Daima tuta kukumbuka, daima tutakuenzi, mungu akulaze mahali pema peponi Amiiiiin"""
@stephenwambugu3977
5 жыл бұрын
2019 June. Haishi fasheni. From dubai
@halimamohammedy9247
5 жыл бұрын
Aswaaa
@fatmax8710
5 жыл бұрын
@@halimamohammedy9247 nikweli yaani kila unataka niisikilize
@sophiaoman9957
5 жыл бұрын
Yani inanikosha vilivyo haswaa
@kondeisiaka7736
3 жыл бұрын
Isihaka Konde From Tanzania izondio zetu kipindi hichoo
@jasminishafii5478
2 жыл бұрын
🥰👌💯
@zainabualhinai3934
7 жыл бұрын
jamani isa matonya mungu amleem alikuwa na nyimbo msuli sana
@nambuacassandramlaki3516
4 жыл бұрын
Huu wimbo jamani. Ni mzuri.Huyu jamaa alikuwa na kipaji
@adinaniibrahim447
3 ай бұрын
sana
@namisara6859
8 жыл бұрын
wavuvi warudi mbio, na vyombo vimegongana..kuna papa usingizi jitahadharini vijana..papa limetoa penzi mawimbi linatawanya,..vidagaa na mikizi leo mtaliwa mnaona...ati aje apaaah! 😃
@nzaumusyoka
7 жыл бұрын
hicho kiswahili huwa kinanipagawisha aisee
@halimamohammedy9247
5 жыл бұрын
Mashaallah
@hassanabdalla2741
4 жыл бұрын
@@nzaumusyoka hiyo ndio ladha na hazina ya lugha ya Kisw kimejaa vionjo na nahau za kuvutia
@hamisiramadhan2453
7 жыл бұрын
Allah aiweke roho yake mahali pema peponi.
@mariamk1488
7 жыл бұрын
AMEEN
@hassanimfaume7275
7 жыл бұрын
Mariam K
@bimoza2974
6 жыл бұрын
Bi moza
@subirajohn728
2 жыл бұрын
Amina!
@ibrahimaboker9086
4 жыл бұрын
Wana Pangani bado mpoo kumbukeni enzi zetu tinga tinga na juhudi 1970 malindi na mitaa juu raha tupu.
@yusuphamiri5758
4 жыл бұрын
Inalillah wainalillah rajaun
@Jumasaidi-iv8cj
Ай бұрын
Pangani home maeneo ya boza
@sabrinathequeen4628
3 жыл бұрын
Nikiolewa nataka niweke huu Wimbo… kwasbabu ndio aloekewa mama angu alivyoolewa😔❤️
@itsdemidy5439
Жыл бұрын
njoo tuoane mwakani
@MfaumeBaruti-jw6yy
8 ай бұрын
Kwahiyo Unataka Kushindana Na Mama Yako
@babuushilla3435
11 жыл бұрын
Beautiful Tanzania,we will always remember our Hero and Legend Issa Matona.R.I.P Mzee
@aishaelias986
6 жыл бұрын
Babuu Shilla mimi mkenya nimeolewa na mzungu na hii nyimbo ndio ilichezwa. Sikujua kama kafa jamani 😣😣😭😭
@syksyk7295
5 жыл бұрын
Inna lilah wa ina lilah rajuin mble yk nyuma yetu
@syksyk7295
5 жыл бұрын
Ardh inatubeba weng jaaman ivy pnd tutapotembea juu ya ardh tutembee kw heshma n unynyekev kbw
@janathyjuma8706
4 жыл бұрын
Allah akupe mwanga kabrin ......naakupunguziee adhb xa kbrii...........old ix gold ..ixaa nkupenda mnoo
@hadijasaidy2598
5 жыл бұрын
allah amuweka mahali pema popeni awapunguzi adhabu ya karibu waliotutangulia mbele ya haki.....🙏🙏🙏🙏
@omaryahmed7914
4 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akulaze mahari pema pepon aaaaamina
@natepam4486
2 жыл бұрын
1989 harusi ya mjombangu,,asante Issa hajatokea mwny ana nyimbo tamu km zako,Allah akuweke pema
@allyjaphary8108
2 жыл бұрын
I'm listening to this in 2022 n maybe inshaallah i wish to play this in my wedding someday in the future
@stn4873
2 жыл бұрын
In Shaa Allah.
@KarimMarango
8 жыл бұрын
Asante sana for this - Tanzania - I miss you so much!!!!
@nurumwamboga8115
Жыл бұрын
R.I.p kwa hakika nyimbo za huyu mzee zilikua nzury....na kuelimisha🥰nazipenda sana nyimbo zake
@kingwigo2961
4 жыл бұрын
🎹👏👏kimasomaso hii ngoma ilifana saana kwa kiba wedding in 254 mc
@halimamajaliwa5404
4 жыл бұрын
Penda sana kimasomaso jamanii issa matona mungu akuepushie azabu za kaburii🙏🙏🙏
@nzaumusyoka
9 жыл бұрын
Ngoma yenye ladha sio vitu ivi ivi. Hongera
@capramlacky8152
3 жыл бұрын
Tutauona mpambanoooo leo 2020...continue to rest in peace
@ronarona2200
6 жыл бұрын
Hii nyimbo inanikumbusha mbali sana,marehemu baba yangu. ..
@maryamsalim8703
3 жыл бұрын
Mashoga wakija sema nao dirishani🤣
@edwardngosha1560
Жыл бұрын
😂😂ndio Wata muiba mume
@bashiramissi4250
11 жыл бұрын
Marehemu issa matona allah akurehemu akupunguzie azabu za kaburini na akuweke mahala pema.
@muddyaforeal1145
5 жыл бұрын
Wako Wapi Manyakanga Wanaocheza Mkinda Wakataze Wari Wao Wasiniombe Kwainda Mara Nipe Mara Nipe Vingine Vitawashinda Eti Aje Hapa.
@mauajohn949
5 жыл бұрын
2019 naangalia pumzika kwa amani baba🙏
@rashidijulius6511
7 жыл бұрын
ALLAH Ampe jannah amiin
@mwanahalimamwachili9679
6 жыл бұрын
rashidi julius Aamiin.
@Nims643
6 жыл бұрын
rashidi julius Ameen
@iddrashid4262
6 жыл бұрын
rashidi julius mzeemajuto
@Rahmamatengo6114
5 жыл бұрын
Amiin
@khadijaissaeddd6334
8 жыл бұрын
Allah akulaze pema aliko laza walotangulia in shaallah
@beautylight987
5 жыл бұрын
2019 bado IPO kilelen janaa firdaus iwe pepo yako amiin
@shaythabdul2717
4 жыл бұрын
Firdaus kwa kuimba jmn
@Hesbonful
4 жыл бұрын
Tafadhali, naomba, yeyote yule awezaye kutuandikia maneno ya wimbo huu, ayachapishe mtandaoni hapa KZitem. Kwani hekima iliyo ndani yake ni ya thamani sana na adimu. Asante sana, tena sena. RIP Mzee Isa Matono.
@habibaswalha9912
5 жыл бұрын
Masomaso eeeh 2019 may he RiP mzee
@babat5272
3 жыл бұрын
safar yetu. nimoja mungu akupunguzie. Adhabu ya kabur babu yetu issa matona mshaul wetu
@tatujumamaro3607
3 жыл бұрын
I remember my late mother when I was young...
@oman11oman59
5 жыл бұрын
Waoh mzee wangu mungu akulaze mahali pema peponi amen amen
@mwanawetumwagora6283
6 жыл бұрын
Mungu akulaze mahalapema peponi shekhe issa matona.
@greatone5492
5 жыл бұрын
We are egyptians loves your voice
@othmanabdallah3503
4 жыл бұрын
Good good
@mamuuwaomary1244
4 жыл бұрын
Manshallah. Mzee wetu kwa mafundisho🙏🙏
@milova7552
10 жыл бұрын
dah yani wimbo wamaana maneno mazima matupu good znz beg up.never day
@JosephDesideri
10 жыл бұрын
Daima Utakumbukwa Mzee wetu Issa Matona. RIP
@Rahma-it4jj
4 жыл бұрын
Mungu akupunguzie adhabu za kaburii😭😭
@bazilycharles888
3 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana haichoshi kusikiliza
@joanrwegoshora785
6 жыл бұрын
i love it, mume ukampe raha usiende kumpa tabu....
@mwanalikhamis9875
3 жыл бұрын
saizi tena hakuna mwanamme wakumpa ra hawapo tena loo
Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi yaarab awarehem wote waliotangulia mbele ya haki
@user-yv8zw5lm9g
Жыл бұрын
Nazipenda sana nyimbo zahuyu mzee ❤❤❤
@saab20122013
9 жыл бұрын
Samira salim:mashallah wasia wa babu...mungu akuweke mahali pema insha'allah..
@mymy_myriammgomri6303
11 ай бұрын
Cette chanson, ma grand-mère (paix à son âme) l’aimait beaucoup et ça me fait plaisir de la réécouter en 2023🥰❤❤
@hawaabdallahsaid9220
5 жыл бұрын
Mola akulaze pema maneno kuntu mafunzo kwa maharusi mashaallah
@user-mp1lz3nk7c
8 ай бұрын
InshaAllah 1 Day on my wedding day
@ashamwandu3781
4 жыл бұрын
Naipenda nyimbi zote za issa matonya pumzika kwa amani baba.
@hafidhame8565
5 жыл бұрын
Mw/akusamehe makosa yko, hii ni kali sana 2019/06/27
@khadijauledy8206
4 жыл бұрын
Mwenyez mungu ailaze roho ya mpenz wetu issa matona amina
@mohamediamani108
4 жыл бұрын
11/06/2020. I feel much blessing listening this beautifully song.
@haullahtwahir7026
10 жыл бұрын
wasanii wa zamani walikuwa wakijtahd kuandaaa nymbo zao kwa makini sana..
@kingwigo2961
4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@aminachaulaya278
3 жыл бұрын
Tarehe 10/01/2021 tupo wapiiiiiiiii kimasomaso
@patrickmbogo7805
7 жыл бұрын
kitambo sana s/m mpaka sasa wimbo huu naupenda
@mwajumasalehe1856
8 жыл бұрын
old is gold! R.i.p issa matona
@herdjarabu7733
6 жыл бұрын
Jannatul firdaus Issa Matona
@florenceimali3965
27 күн бұрын
So sweet song , old is gold naipenda sana
@user-db2bv7ok7y
Ай бұрын
Kusema kweli huyu mwamba alikuwa gwiji Allah amrehemu
@nyabisemaro8885
3 жыл бұрын
Nimeshindwa hata kucoment Maana Wenzangu Mliocoment Mmeshamaliza kila Kitu Kusema kweli Huuu Wimbo wanaitafuta Ndoa hebu Sikilizeni Mafunzo haya Ndoa Itakuwa tamu Nawaambia
Пікірлер: 584