Pia namshauri huyu Sule. Akasome Yohana 3: 16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe wa pekee ili mtu kila amwaminiye amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele. Hapo Mungu hakutaja muisrael wala mtu wa taifa fulani bali ni ulimwengu wote.Bwana Yesu atusaidie sana.
@kobylwaho3191
Ай бұрын
kipindi kizuri sana @dr sule 😂😂😂😂hicho kichwa alooo !hatari❤
@IbrahimuKapelula
Ай бұрын
Sule unatisha sana, mungu akupe maisha marefu xaba waislam tunaamani xana
@mr_voiceeyounghustler149
25 күн бұрын
Dr SULLE UNATUKINGA NYOYO SISI WAISILAMU MUNGU AKUPE UHAYI MLEFU PAMOJA NAMASHEKHE WOTE WALIOKUEPO HAPO
@Chrisblaze-beats
Ай бұрын
Wachungaji wako vzr sana Sule anahitaji elim sana inaonekana ameponza sana waislam kwa kuwapotosha ujinga wake. Tafuteni elimu Mchague.
@woah.africa99
Ай бұрын
Ww mwenyewe huna elimu kila siku wachungaji wanawadanganya wanekutana na mungu kila mmoja atatoa uongo wake na ww hujamfata pesaro umemfata Paulo Paulo aisha kuambia kua atawapotosha na bee isa yesu alikua muislam wala hakuwahi kuingia kanisani la Paulo na pia yesu alisali ktk misikitinalbagsa leo lipo ktk ardhi ya palestina na pia mmungu ndio mitume wake wote uliwahi kusikia muislam anachana bible kwa kuna kuna meneno mengine ni ya injili ya kale sio ya wazungu na mzungu hana na bee na uislam ulianza kwa mitume woote na ukakamilika kwa myume wa mwisho Muhammad saw ) leo nyiyi yesu mnamsingizia uongo mwingi wachungaji na mawigi.mnachapwa mnaganyagwa na uongoooo mwingi
@GodfreyMolel
Ай бұрын
Waislam najua mna🎉shindwa tu iusarenda na kujiunga na ukristo msiaibike karibuni tunawapenda
@user-ve3wu5jn1l
Ай бұрын
Wewe utakuwa umepagawa kwanza molel wengi hawana dini. Allah awapandishe darja mashehe wetu mzidi kuwatoa hao Gizan
@user-ey9vf2xo6l
Ай бұрын
Asante sana doctor sule
@NadiaJuma-en8sr
7 ай бұрын
Docta sulle unanipaga rahasana wafunze ao Allah akuzidishie umri sheih
@user13375
Ай бұрын
Ila majini ndo anatuchanganya
@BBm-re6oj
29 күн бұрын
uislam ama ukristo hautatufikisha mbinguni mhimu imani na matendo
@hafidhhemed1514
21 күн бұрын
Sisi wa islam tunaamini dini yetu, nyinyi msiamini dini yenu sababu hamuijui na ni wavivu wa kujifunza
@HassanJaphari-rx7jy
7 ай бұрын
MashaAllah
@fardoshnassor7847
Ай бұрын
Masha Allah
@muhammadmuaswara8087
7 ай бұрын
Maashallah mabruuk
@mwambakibucheche1119
7 күн бұрын
Msisahau kusoma 2petro 2:23 Lakini uyakatae maswali kipumbavu....
@user-tr9wd5kf7i
2 ай бұрын
Doctor surely kiboko
@user-qg7el6gc5j
Ай бұрын
this is the end..... Watu wanabishania Dini Uuuuuuwih. Mungu nipe mwisho mwema
@khamisally5788
Ай бұрын
Mara nyingi mtu asio na dini Moja kwa moja anakua kafiri
@obestone1188
Ай бұрын
Mchungaji ni mtu, yesu ni mchungaji , yesu ni mungu . Ina maan mungu ni mtu . Hatar hii
@michaelkenga9150
Ай бұрын
Hata Allah ni mchungaji UPO?
@mr_voiceeyounghustler149
25 күн бұрын
Dr sule ana PHD
@woah.africa99
Ай бұрын
Nyiyi ndio mnatenda mabaya mana wachungaji wa kila aina mpaka wamawigi na maiss kupigwa viboko na kusema wamenda kwa mungu ili mradi wawadanganye kondooo kwa kua hajui kitu mpaka viuno wanakata ndio kanisani jamani muogopeni mmungu hata yesu atashangaaa
@hidayambarka6514
Ай бұрын
Doctor sule karbu pemba nimemss raha zako na ss
@user-ve3wu5jn1l
Ай бұрын
Huyo ndacha mwenyewe hana mda mrefu anawaacha
@hamisimwagarashi9501
29 күн бұрын
Mmejua fika kwamba mko kidogo na maajabu ya MUNGU mwaeza pungua zaidi
@godisgreat1845
Ай бұрын
Swali halijakuelea vizuri sasa roho mtakatifu hajaamka kuja kuwapa majibu
@mulewakatana2518
Ай бұрын
Ndacha nde kiboko yao
@rashidbusanya5843
Ай бұрын
Dokta sule ni fimbo ya makafiri wote
@ElberthBambara
Ай бұрын
Zizi ni Jamii iliyokuwepo enzi za ufuasi wa Yesu .
@hassanjuma2772
Ай бұрын
Nikuulize unisaidie jibu,yesu kabla hajaja alitabiriwa atakuja kwa njia ya mimba kwa bikra maria,Sasa ameondoka na tumeambiwa atarudi tena, jee kurudi kwake kutakuwa kwa njia gani? 1.njia ya mimba au atateremka tuu 2.atapokuja ikiwa atakuja kwa mimba jee mimba hio atabeba yule yule mariamu atamzaa tena au kutakuwa na mwanamke mwengine? 3.
@hassanjuma2772
Ай бұрын
3.na ikiwa atarudi kwa njia ya mimba jee atarudi akiwa na umbule gani la uungu au mwanadamu
@julesngama2508
Ай бұрын
Uyu jama anadiri na majini , siwezi kubishana naye . Yesu Njo njia na uzima wa milele.
@khamisally5788
Ай бұрын
Jibu hoja sio kuleta vioja
@yassinhamza1969
Ай бұрын
Hivi majini yamejiumba yenyewe au mungu kayaumba
@user-gu9zp7jt8k
7 ай бұрын
Naaam
@mr_voiceeyounghustler149
25 күн бұрын
Hao wakilisto wameingia chakike
@CrispusKadenge
22 күн бұрын
Swala si ukali wa Dr sule..swala ni ukweli ndani ya vitabu..uislamu wapendwa ni ukafiri bila isa
Watumishi wamesikia tumenawa kazi kwao wakimbie kabla maji hayajazidi unga
@user-fy4op1sw2f
Ай бұрын
Kumbe nyie wachungaji ni wa mshahara 😂😂😂😂
@mohamedmtahiyatu9113
Ай бұрын
Sule unatisha
@CrispusKadenge
22 күн бұрын
Swali mboga tu..
@whitetigerprincy5882
Ай бұрын
l wish ndacha angekuwa huku
@ElberthBambara
Ай бұрын
Hapana maana ya mchungaji ni Yule mtu aliyenusulu kundi la watu ambao hawakuwa naufahamu juu ya uzima wa milele.hivyo mchungaji ni YESU CHRISTO .na Kondoo ni Wafuasi waliokuwa wakimsikiliza Yesu
@user-ve3wu5jn1l
Ай бұрын
😅😅😅😅
@japhetndoro6533
Ай бұрын
Dr sule Hana hoja
@mussakamando2678
Ай бұрын
Tehetehe😂😂
@ramadhanjuma610
Ай бұрын
Ukristo tobo tu
@jekoniarubeni4609
Ай бұрын
Hamna ustaaaraabu kuzidi mkristo nyie ni fuujo tu
@michaelkenga9150
Ай бұрын
Kondoo ni kina nani? Zaburi 100:3 - Jueni kwamba BWANA ndiye Mungu, Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake, tu watu wake na kondoo wa malisho yake
@qassimislam5291
Ай бұрын
Mmh ila sule kweli wewe ni shule watasoma tu halafu mchungaji kajiuwa et mchungaj ni Yesu wengine wauwongo daah na yeye kajisahau hahhh😂 hawa jamaa
@user-qg7el6gc5j
Ай бұрын
sasa israel wa leo ni nani kama sio mimi na wewe
@thobiaspaul8247
Ай бұрын
Hichi si kipindi Cha agano la kale hich ni kipindi cha agano jipya maana yake vitu hufanyika rohoni Kwa Imani Sasa huyu sule analitazama neno la Mungu ktk mwili wa damu na nyama wakati huko hatupo Tena maana vita vyetu sisi ni katika ulimwengu wa rohoo na si ktk mwili wa damu na nyama
@FatmaMohammed-ry8yo
Ай бұрын
Ushapotea
@abasingaruka1872
Ай бұрын
Ndacha ndio kibomo wà waislamu vinginevo Ni ubishi tu wà waislamu, mm Ni mwislamu najifunza kutoka kwa Wakristo,
@mwinjumaissa4434
Ай бұрын
Wewe sio muislam hakuna muislam anaejifunza dini kwa makafiri. Basi wew ni mmoja wao polee shetani
@AshaOmar-vk7kg
Ай бұрын
Hakuna muislamu anaejifunza kwa makafiri ukiona mtu kazaliwa katika uislam na nafanya Mambo kikafiri nayy kafiri kwaiyo jijue ww kafiri na kafiri mafikioyake ni moto.
@binrashid1638
Ай бұрын
Huuamini uislam wako
@DuliBrillant-mr8er
Ай бұрын
Ww sio muislam ww ni mjinga tu wa africa mashariki ya kati
@user-sk1hm7mf2t
Ай бұрын
Kweli hakili hana angekua naakili asinge ongea utopolo mwislam anaamini mungu mmojatu wewe una amini myungu wala siomungu wewe nikafiri miongoni mwamakafiri
@machindafadhili3186
Ай бұрын
FRANCIS NDACHA ndo fimbo ya waislamu wote duniani 😁😁😁
@DuliBrillant-mr8er
Ай бұрын
Uyo ndacha ndo hana hoja kabsa mkaid tu lakin hana lolote
@lukmanabdi2015
Ай бұрын
Wwe na ndacha sbirini mufe ndio mutajua
@ImaniKinyansi
Ай бұрын
Huyu sule ni muongo haijui haki na hafuati haki kwakuwa ukweli uliopo kwa Yesu kristo kuwa ni Mungu Ila anachokifanya no kupotosha watu kwakuwa anamkataba na shetani na anafanya kazi za shetani
@chunaabdullah1333
Ай бұрын
Soma bibilia yako vzry utajua yesu ni nani.
@MwijakaSwalehe-dg4hw
Ай бұрын
We kama wajua itisha mjadala usitukane watu
@GodfreyPantaleo-po9mk
Ай бұрын
Elewa mdaa mpendwa!! Si ujibu kwa upendavyo ww ujumbe uko ubaoni weng wanatak kujifunza elimu ya mashetani au watu mashetani unawajua!!
@hashimchaoga9566
Ай бұрын
Yesu kristo akiwa ni Mungu hivi Mungu alitahiriwa alizaliwa? Mungu hakuzaliwa wala kufa wala hakua na mshirika. Yesu kama ni Mungu siku ile alipokesha kuomba alikua akimuomba nani? Hujasikia Yesu akisema baba mbona unaniacha wasamehe hawajui watendalo kesho tutakua sote katika ufalme wa baba yangu. Kama yeye ni Mungu hayo yote amwambie nani kama yeye ndie Mungu
@KhamisSuleimanAbasi
Ай бұрын
Soma marko 12:28-30 ili ujue ww unabishana na yesu mwenyewe
Пікірлер: 82