😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 no matter what he's still handsome Be strong bro😢
@willygraphics360
Жыл бұрын
Wamemuonea wivu bwana 😢😭 hii ni wivu kabisa!
@Maria-cx4kn
5 ай бұрын
We love you Tariq. Maneno yako yanabatiki watu wengi na yanafungua macho wanaojipoteza ufahamu…..wajue Mungu yupo anaona kila kitu na kila mtu atawajibishwa hapa hapa diniani kabla hata ya kwenda ahera. Kila chozi la mnyonge litalipiwa haki
@queendollie8792
Жыл бұрын
Dear Lord i come before you this evening am asking you to please give this young man hope, assurance, peace and faith in you, Lord Jesus umejibu maombi mengi ya watu nakuomba ukamjibu na huyu pia, wewe ni Mungu usiye shindwa, Mungu wa Musa, Abraham na Elijah nakuomba umtie nguvu na furaha kijana huyu, umejidhihirisha kwenye maisha yake kwa kumfanya kua hai inspite of everything he went through basi ukamfanye akutegemee wewe na kila mtu atakaye muona akapate kukuona wewe in Jesus Name Amen🙏
@mishiriadha
Жыл бұрын
Amiin ya rabby...nimelia kama mtoto mdogo
@meryglory2012
Жыл бұрын
Amen.Mungu ni mkuu
@fatunam7721
Жыл бұрын
Ameen, Ameen
@lilychanceline6677
Жыл бұрын
Amen amen and amen 😭😭😭
@mouldykomba1852
Жыл бұрын
Amina
@Maria-cx4kn
5 ай бұрын
Tariq nimekusikiliza kwa makini wewe ni mwanaume hasa. Very smart, Jasiri mpenda haki na mwenye busara na hekima. Uko vizuri kichwani na moyoni na uko handsome Mungu akutetee zaidi na zaidi. Vita umeshaishinda wala usiogope kitu
@halimamashimba4424
Жыл бұрын
Maneno yako ya mwisho yameniliza sana kijana 😭😭😭Mungu atakutetea na haki yako haitapotea mwenyezi Mungu akulinde tu sana na azidi kukupa aman ya moyo kama hivyo ulivyoona dah! Una amani mpaka raha, sijawahi ona mwenye haki ameachwa Amina Mungu yupo pamoja nawe ameshakushindia 🙏
@SamSung-do9xc
Жыл бұрын
Pole sana taliq Allah akusimamie malipo ni hapa hapa nae atalipwa inshallah 😢
@mwananganzi
Жыл бұрын
Pole sana Tariq Jamani Mungu atakulipa INSHAALAH
@zainabubalama8869
Жыл бұрын
Pole sana mdogo Mungu yupo pamoja na ww 😭😭 huyo muhalifu alaaniwe daima
@zahornassor5420
13 күн бұрын
Tariq pole sana , Dhuluma lazima ilipwe na ww Allah atakupa faraja huwezi amini
@teckie__songsofworship6680
Жыл бұрын
To everyone watching and reading this may God bless you and your family and may thy Lord protect you from all evil plans and peaceful life be your portion in Jesus Mighty Name Amen 🙏🙏.
@solangecyusa7587
Жыл бұрын
Amen
@graceeric1232
Жыл бұрын
Amen
@apynesnzisa5045
Жыл бұрын
Amen 🙏 you too dear, May the blessing of the Lord be your portion 🙌
@user-fs7xc2bb5d
Жыл бұрын
Kwanza Alhamdllah Rabbllaamin kwa uwezo wake Mwenyeez Mungu kwa kukuwezesha kuona macho ni muhimu sana kabla hujafa hujaumbika dua zetu tunazoomba Allah ndie atakae muhukumu huyo shoga tumchangieni ili akufanyiwe na jicho lingine
@marylazaro4625
Жыл бұрын
Huwenda aliyemfanyia Hivi yupo anaangalia hii interview ... Kama upo... Muombe Mungu msamaha... Tubu tu! Kisha kamuombe msamaha TARQ
@yasminjuma9146
Жыл бұрын
Alllah mkubwa. Kwa uwezo wa Allah utaona macho yote amin
@ufundi_tz
Жыл бұрын
Alhamdulillah for this stage ... Allah ajarie shifaa inshaAllah ...
@atuluvalamo2772
Жыл бұрын
Jamani polesana kaka mungu akutunze akulejeshe kwenye Hali ya kawaida 🙏
@xclusivebtz7516
Жыл бұрын
I feel his Tears😭😭😭😭 bro May our God of heaven heals and guides you
@GraceTemba-nx3mw
Жыл бұрын
😭😭😭
@melangongo6490
Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭
@mariaokiring1519
Жыл бұрын
his mission was to make him suffer alot OMG 😢😢😭😭😭 one thing I know there's God in heaven 😭😭😭😭
@abuuhafsin2224
Жыл бұрын
Dah, imeniliza hii, wanadamu tumekuwaje sijui, hv aliyemfanyia haya anajiskiaje sasa. Malipo ni hapa hapa duniani, Allah atawanyoosha tu, Dua zangu mbaya ziko juu Yao.
@salmaalimusa6809
Жыл бұрын
anafurahi maana alidhamiria Allah atamlipa😢😢
@hadijamandanje6189
Жыл бұрын
Unajua ukiwa na maasi Sana Allah anakuacha hivyo wewe unakuwa na shetani hatua kwa hatua hivyo vitendo unavyovifanya vinatusha maana Allah hakuwekei hofu yeyote na shetani anakusifu kwa ushindi,yaani ni suala la kumuomba Allah asituache katika maisha yetu ni mtihani mzito sana
@janethobadiah8062
Жыл бұрын
Aiseeee naandika nafuta sina mengi.. Mungu baba wa mbinguni akutetee tu kaka yetu 😭😭😭
@apynesnzisa5045
Жыл бұрын
Kweli mtu hajui kesho yake😢😢Eeeh Mwenyezi mungu tutangulie Kwa Kila jambo... Quick recovery
@lilianwaflotina1288
Жыл бұрын
ee mungu wa mbinguni msaidie huyu kaka
@giftibrahim
Жыл бұрын
Ijumaa yaleo tuna muomba Allah akufanyie wepesi upone inshallah ila tuna muomba Allah kweny ramadhani hii uyu aliokufanyia unyama huuu Allah ampe pigo Mara 3 zaid binadam utu umeisha kabisa ila hapa tz yetu kupata Hak n mtihan snaa ila Allah akufanyie wepes tuko nyuma yako na tutachanga uone tena much love bro❤ ......
@husnaabuu8341
Жыл бұрын
Allah nimuweza wa yote allah atakujaria utapona
@messaabbas739
Жыл бұрын
Allah kareem,,,you still handsome Tariq,,,,I pray for you broo,, INSHA'ALLAH 👏 and Allah he's with you
@musamsawanga9266
Жыл бұрын
Tatizo atembea na wake za watu(Mario) na jamaa alishaonywa
@itNeza
Жыл бұрын
@@musamsawanga9266 Jamani na Wao Yani usoni Tuu ? 😢 Ila aliye onja anajua Mashini ilivyo anaweza akarudi tena kulamba asali. 😂
@messaabbas739
Жыл бұрын
@@musamsawanga9266 ,,alitembea na mke wako ww mbwa ww,,,,,acha makasiriko,,,,,, and next do not comment on me this nonsense,,, better be quiet
@sakinamsafiri8660
Жыл бұрын
Ndio nyie nyie...hovyoooooo
@rosemkono
Жыл бұрын
Mungu akusaidie may god bless you 😢😢😢😢😢😢
@queensarah860
Жыл бұрын
Oh lord our savior, please watch over this man and heal him so that people will see your glory through his testimony 😢🙏🙏🙏❤️❤️❤️
@ashajumakivugo4293
Жыл бұрын
i believe whoever did never knew that Allah had bigger plans than him, still strong still handsome nothing has change just scars to remind you who you are bro
@florencemlay9333
Жыл бұрын
Pole sana kaka yangu, Mwenyez Mungu atakupigania, is not easy at all to be in your situation but nina imani atakupa njia ya kutokea 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@nyachikomesi315
Жыл бұрын
Mungu akuponye kaka 🙏🙏🙏
@BarakaGwakisa-fv7pd
Жыл бұрын
Mungu akikupa kilema uwa ana kupa na mwendo pia , fear not brother JESUS IS WITH YOU FOREVER. JUST LOOK ON HIM CAUSE HE'S A CAPABLE GOD.
@sein.208
Жыл бұрын
SUBHANA ALLAH 😢😢😢 POLE SANA KAKA. ALLAH AKUZIDISHIE SIHA NJEMA KILA KUKICHA. KILA KITU KINA ASBABU, HALIKUFIKI JAMBO ILA KWA #IDHINI YAKE MOLA... ALLAH NI MJUZI ZAIDI. UTAPONA BIIDHIN LLAH KAREEM.
@gilbertnyangares7052
Жыл бұрын
I found myself crying, Take easier broo, God has a reason why he restore your sight and He also will give u strength and hope. From Ke
@ahmedimarusu-rp3bk
Жыл бұрын
😢😢😢😢 dah..mungu ata kusaidia kaka..siku hiz watu ni wengi kuliko binaadamu
@Zai-vh7jd
Жыл бұрын
Pole sana Tariq! Mungu akuponye. Raisi wetu Mama Samia tunaomba ingilia kati hili kijana atendewe haki mhalifu ahukumiwe. Tunakuamini mama kwa huruma yako. Mungu akulinde daima uwasaidue watanzania wanaoonewa na kukosa haki zao kama Tariq.
@salimharrasy7047
Жыл бұрын
Tariq! Baba Pole sana. Mtegemee Allah. You will stand on two feet. Allah naomba mlipie Tariq wetu kwa kumfedhehesha na kumuadhibu alofanya unyama huu.
@qatarworls1902
Жыл бұрын
Watu ni wanyama Aki 😢😢 wivu ni kitu baya sana Mungu ni mwema utaendelea na kupokea miujiza Mahandui wahaibike but kikulacho kinguoni mwako mungu akulinde popote utakuawepo 🙏🏼
@felisterdioniz8113
Жыл бұрын
Sorry my brother God can protect you and forgive brother
@Neemakilimba
Жыл бұрын
Kaka yangu Mungu anampango na wewe Rudi Msalabani ,Hata hivyo ulipofikia Ni Neema tu Love you my Brother
@HarimahtheAnny
Жыл бұрын
Kwer😭😭😭😭🙏🙏🙏
@FatmaMbarouk-zp3ev
Жыл бұрын
Msalaba Tena Allah atamuafu yy ni juu ya kila tunachokijua au kuwahi kukisikia
@sharifuahmed8340
Жыл бұрын
Msalaba wa nyokwe, wakt uyo muislam na pp yy anamtegemea muumba mbing na ARDHI na alieumba MITUME yte akiwemo yesu wenu
@user-dn7gn6ib4k
Жыл бұрын
@@FatmaMbarouk-zp3ev😂😂
@user-dn7gn6ib4k
Жыл бұрын
@@sharifuahmed8340 amni
@irenewilfred6072
Жыл бұрын
Nimechoka kulia kwa Ajili yako Tariq,,, Acha Huyu Mungu tunaemuabudu aseme nao😢
@fridakakiko1217
Жыл бұрын
mama samia msaidie huyu kijana inaumiza sana na tuzidi kuomba mungu ampe afya njema
@lyidiamrema7294
Жыл бұрын
Mama yetu Samia msaidie huyu kaka nimtanzania pia hakupenda kuwa hivi na aliefanya hivi yupo huru inaumiza sana jaman
@kissamlowe4685
Жыл бұрын
PoLe Mungu Akuponye kijana na Akulinde
@JustineMathias-wj7bd
Жыл бұрын
kweli kabisa yan sio poa kabisa😢
@latifamchekenje6718
Жыл бұрын
Malipo hapa hapa duniani!!! 😌Mshtakie MUNGU tu,!!!
@edjenmakwai2310
Жыл бұрын
Yaani machozi yanakaribia kunitoka jmn tunaomba haki itendeke serikali ifuatilie huyu mtanzania atendewe haki. Yeyote aliyefanya hivi hatoishi kwa amani katika hii dunia
@hanifa9153
Жыл бұрын
Am so sorry my brother Allah akupe amani ya moyo akfute machungu yako😢 inshaallah utakua sawa kwa uwezo wa mungu
@aminaluliho8456
Жыл бұрын
Mungu ni mwema talking awo mbwa mung awape adhab za kabli 😂😂😂😂
@marosgodfrey2089
Жыл бұрын
@@aminaluliho8456 wq2w
@PaulinaSemindu-ob3de
Жыл бұрын
Hakika maisha haya jmn" ukiona watu wanakuchukia mtaan hama bado mapema Hujui kesho yako" pole Sana kaka angu malipo n hapa hapa dunian
@hanifa9153
Жыл бұрын
@@aminaluliho8456 sasa mbona umemaliza nakcheka we nae
@ZainaNdijah
Жыл бұрын
Nina uhakika mtu ulomfanyia ukatili huyu kaka huna ani zaidi Sana nakuomba utubu usipofanya hivyo wewe na filia yako yote mtateseka sana gharama na muda maumivu anayoyapata mtalipa lazima mnywee kikombe chake mungu ndo faraja yake pole mdogowangu kikubwa uzima.
@andrewemmanuel1861
Жыл бұрын
Polee Sana'a bro Watanzaniaa tunakuombeaa uwenamiakaa ming akupewepesiii wa maisha ......
@shakilamasoud2983
Жыл бұрын
Subra iwe nguzo yako Tarqe. Mwenyezi Mungu atakufuta machozi unayolia kipekee. Pole sana,sana ndugu.
@mwanduelizabeth2282
Жыл бұрын
😭😭😭pole Sana Kaka Yesu akuponye Kama alivyomponya kipofu aliyekuwa haoni tangu kuzaliwa kwake na wewe akuponye uweze kupona na kuona tena.
@ester283
Жыл бұрын
Amen
@gracesilayo7670
Жыл бұрын
Amen
@eliaichraymond1215
Жыл бұрын
Yesu mnazareti uliyemfufua Lazaro wa Bethania ninakuomba umponye kijana huyu na pia serikali iingilie kati haki itendeke,huyo shoga popote alipo asipate amani moyoni mwake,awe Kama kaini( Mungu na amwekee alama popote anapokwenda asipate amani moyoni wala furaha)
@reginaldminja9880
Жыл бұрын
@@yohana1242 kaa kmy kw usiyoyajua
@kirigitidorothy7201
Жыл бұрын
@@reginaldminja9880 Mmmmm!!!
@joyceshayo680
Жыл бұрын
Mungu ni mwema utaona kaka jipe moyo
@abdirizakibrahim1975
Жыл бұрын
Eliach umeongea vizuri na unaonyeaha huna ukabila huna udini na moyo ulonao na hayo ulosema ni maneno ambayo hayaanguki
Hii ni criminal wanashika wanasheria wa serikali na police dear😢 Yaani imeniuma sana
@nancywanjiku1554
Жыл бұрын
Healing is your potion much love from kenya
@savioursimon458
Жыл бұрын
Pole sana kaka yangu!! Tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa ajili yako!! Mungu wetu ni mwenye haki na atatenda haki kwako!! Mungu ataleta neema na baraka zake utafanikiwa kupata matibabu, utakuwa sawa na utaishi kwa namna Mungu alivyopanga tangu uumbaji wake tumboni mwa mama yako. Nakuombea Mungu akuinulie kila mtu unaemuhitaji katika uponyaji wako wa mwili na hisia. Lawyers, Doctors, Therapists, Financial Help and everything that you need physically and emotionally. In Jesus' Name. Amen 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@ester283
Жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏
@OmanOman-ns3iw
Жыл бұрын
Amina
@issagihozo8316
Жыл бұрын
😢😢😢
@praisejonas5896
Жыл бұрын
Tarique ushuhuda wako umefanyika Tiba kwenye maisha ya watu wengi na kurudisha hofu ya Mungu kwetu Kama wanadamu, Mungu atakubariki na atakupanya kwasababu yeye ndio aliyekuumba na anakujua HAKUNA MTU AMBAYE NI BORA KULIKO MTU MWINGINE INATUFUNDISHA KWAMBA HAKUNA MWENYE HAKI ILA MUNGU.. ❤
@najmasaid7057
Жыл бұрын
Nimejikuta nalia na kujiskia homa ktk mwili wangu pole kaka Allah ni muweza wakila Jambo akupe wepesi in'sha'Allah
@DorisZephania-ci8ym
2 ай бұрын
* Yaaani kama hujakusudiwa kufa, hautakufa hata shetani asimame mbele yako! Pole sana Tariq
@nibigirahassina9308
Жыл бұрын
Nimefurahi kusikiya unasema alhamdulillah mwenyezi mungu akufanyiye wepesi
@khalsasalim7930
Жыл бұрын
Still ur handsome tareq ❤️
@neemareuben311
Жыл бұрын
😢😢😢😢😢
@pendo8082
Жыл бұрын
😢😢Mungu atamponya
@hyacintagugu7
Жыл бұрын
Yes
@beckybeeomosh3818
Жыл бұрын
Shame on those who did this! Our boy is still handsome
@joshuatarimo2168
Жыл бұрын
Girls mmawazia tu u handsome
@janejonathan9846
Жыл бұрын
Pole sana jaman Tariq Yesu Kristo atakuponya amini tu,ila Mungu atahukumu kwa haki kwaalie kufanyia ukatili huo,hadi umeharibika hivyo jaman binadam tunabadirika sana
@stanleymartin2943
Жыл бұрын
Pole sana aisee binadamu sisi ni watu wabaya sana pole pole na pole sana😭😭😭😭
@dainesskyando1850
Жыл бұрын
Pole tarek mungu mkubwa Sana andika namba Apo ya sim mungu mkubwa umepona baba umepona mungu aliye juu ashindwi. Ameeen
@Sham-vj4er
Жыл бұрын
Pole sna Kaka Tariq yote muachie Allah atakulipia kw uyo mwenye amekufanyia ivo pole sna 😢 usisahau kila hatua dua 🤲
@Maria-cx4kn
5 ай бұрын
Pole sana Tariq usijali mungu wako anakuoenda atakufanyia wepesi. Unonekana kuwa kujana mzuri kabisa mwenye maadili mazuri. Usiohope sababu mungu anakuoenda sana
@Maria-cx4kn
5 ай бұрын
Wahusika wote ambao wameamua kukaa upande wa pesa na kuacha utu basi wajue mungu wetu yuko kazini hizo pesa zitawatokea puani siku si nyingi. Lazima watachapwa kwa fimbo ya mungu wataguswa pale panapowaumiza zaidi. They will pay with their blood
@benancejohn1198
Жыл бұрын
Mungu yu pamoja nae. Aamini tu atakuwa sawa na atarejea katika hali yake. Amen 🙏
@evarinenathaniel9838
Жыл бұрын
Mungu Baba katika Jina la Yesu Azidi kukupigania.
@Maria-cx4kn
5 ай бұрын
Uko sahihi kabisa kaka. Watu tumeweka mbele pesa kuliko utu. Pole sana naamini watu pamoja na ushetani wa mioyo yao ujimbe wameupata.
@furahamwakalukwa
Жыл бұрын
Ndugu yetu na kijana mwenzetu Pole sana tena sana kwa yote yaliyokukuta!!!Naomba niseme tu kuwa Mungu U pamoja nawe Daima,Sasa jiandae kwa ushindi Mkubwa ambao Mungu amekuandalia mbele ya safari yako ya mafanikio. Simama na tembea kifua mbele kwani Mungu yupo pamoja nawe Daima.
@ashuraissa7044
Жыл бұрын
Pole Sana Kaka watu wanaroho mbaya Sana mlaaniwe nakizaz chenu mliosababisha ulemav wamwenzenu
@mariamantes4203
Жыл бұрын
Am from dubai ur words zimefanya nitokwe na machozi God bless you
@ahmadsalim6782
Жыл бұрын
Broo nikuambie tu pmoja na hali yako ulio nayo wallah swali swala tano halafu shikamana na Allah wallah hutauzunika
@hidayaismail-fk1js
Жыл бұрын
kweli kbsa🙏
@GraceTemba-nx3mw
Жыл бұрын
Mungu simama baba,huyu kaka simjui lakin,Mungu naomba umtoe kabla ya huyu kaka🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭😭Millard Ayo Mungu akupe maisha marefu na huyu mtangazaji ana busara sana
@Maria-cx4kn
5 ай бұрын
Tariq Kama mungu mekuwezesha Kufika hapa Salam umeweza kuona tena basi ujue ana makusidi makubwa sana juu yako, Hatakuachia njiani, utapona kabisa na uhahubiri utukufu wake mbele ya umati. Utahubiri amani, uwajibikaji, madhara ya rushwa, visasi, kazi za shetani, upendo nk ikiwa Kama mfano hai. Mungu kujalie ufungue watu macho na mioyo imwelekee mungu wa kweli
@shukurukoll7269
Жыл бұрын
Binadamu tumwogope Mwenyezi Mungu. Ni vema tukaoneana huruma badala ya kufanyiana unyama. Duniani tunapita hapa. Pole sana Tariq Allah Akujalie upone haraka. Mwenyezi Mungu Atakulipa.
@hidayaswai3119
Жыл бұрын
Mungu asante kwa kujibu maombi ya watanzania. Mungu ni mwema kaka umepona. Tufanyie kisasi wewe mfalme wangu dhidi ya hawa watu/ team ya wanyama waliofanya haya.Hakuna usiloweza Mungu wetu😭😭 Ww ndio Mungu mwenye haki peke yako tunakuomba sana utusaidie kwa hili. Tariq achana na kesi za duniani utaumizwa moyo tu. Acha Mungu pekee atende kaka. Duniani hapa 😭😭😭 Hata ungetenda nini hukupaswa hii adhabu. Kaka Mungu hatakuacha kamwe Pia tujitahidi watanzania wenzangu kwa chochote kumfanyia Tariq wepesi.
@glowingspirit606
Жыл бұрын
Very unfair may justice prevail, huyo mtu kifo kisimpate aishi maisha yake yote akilipia aliyomfanyia mwenzake from his|her kids na wazazi wake na kila mtu anaemzunguka nimelaani.
@bryson0772
Жыл бұрын
Put the children apart hawahusiki kwa malipo ya mzazi wao sio sawa hata Mungu ataepusha hilo watoto n malaika wanazaliwa hawajui lolote iweje wao waje walipe madhambi ya mzazi wao i pray for the innocent child Mungu huyu alie hai asiesinzia hapo aepushe ALAANIWE MUHUSIKA NA YEYOTE ALIEHUSIKA KWA NAMNA YOYOTE JUU YA HILI🙌
@fatmasaid7093
Жыл бұрын
Allahu Akbar alhamdhulilah Allah qarim😢😢😢😢inshaAllah everything gonna be fine
@mody-guyngido2792
Жыл бұрын
Allah Amekuvusha Kwa hilo Na Atakuvusha na pengine tena Biidhnillah,Bro Msamehe na Nina Imani Allah Amekuandalia Mazuri zaidi Ya Huo Mtihani Aliokupa In Sha Allah. Allah Akupe Uzima na Swiha njema Allahumma Amin
@sanurahaji5194
Жыл бұрын
Pole sana Allah akupe shufaa kikubwa kumshukuru mwenyezi mungu
@mariamzkinogo6775
Жыл бұрын
And he still look handsome and attractive ❤😢😢
@amanimanase8798
Жыл бұрын
Wabaya ndo nyie sasa handsome ya nyokho badala ya kumuombea apone mnaanza ushetani wenu inawezekana ndo nyie wanawake mlotaka mmbadilishe sura kwa kumng'ang'ania kwa uzr wake wamalaya nyie
@kingkapessahofficial6716
Жыл бұрын
Bdo ana confedence god is great
@brownie_dee8655
Жыл бұрын
@@amanimanase8798 umemwelewa vby,amesema ht km walimmwagia acid kuharibu sura yake wamefail coz bado ni mdhur vilevile...
@ainsesseverest1136
Жыл бұрын
@@amanimanase8798 umemwelewa vibaya ajamanisha hivyo ulivyowaza wewe
@user-sq7pz9ex5g
Жыл бұрын
@@amanimanase8798 lakini hajasema Kwa ubaya....
@rehemasharifu8985
Жыл бұрын
Pole sana TARIQ allah atakufanyia wepes utapona hakuna aijuae kesho hata sisi hatujui kesho yetu allah atufanyie wepes
@aishaissa2512
Жыл бұрын
Dah wamemtesa huyu kijana walahi si kwa adhabu hii mungu anawaona 😭😭nakuombea upone tariq🤲
@irenelukumay877
Жыл бұрын
hapo ulikofikiya nikwa neema za mungu usijali kaka tuko pamoja na wewe usijione wa tofauti hakuna kilichoharibika hata kidogo kuwa na amani sisi niwatanzania wenzako tutazidi kukusapoti mungu ni mwema sana kwa hatua uliofikiya inaumiza sana usijali ndugu yetu kaka yetu tunakuombeya kila leo kwa mungu
@caritasmushi8896
Жыл бұрын
People are so wicked. Kwanini umfanyie mwenzio hivi? Pole sana kaka Mungu anakupenda nae atakuponya kikamilifu one day..
@berthamakortha8387
Жыл бұрын
Pole sana kijana daaaaa. Watu wabaya siku hizii. Wivuuu tuuu wa MAENDELEO
@ALIKHAMIS-un4fv
Жыл бұрын
Usijali kaka angu Allah atakuponya ila aliekufanyia ilo jambo ajue utavyomfanyia mwezako na ww litakurudia muda wowote kama si leo kesho atambue ilo mm sina cha kukupa kaka cha kukupa ni kukuombea dua kaka angu Allah akubariki sana
@ssaa7495
Жыл бұрын
Jamani nimesikia maumivu kichwa ghafra 😭😭😭🙌🙌
@mauldabdalah2168
Жыл бұрын
Kaka sisi watanzania wenzako tunamshukuru mungu kwa wewe kuona japo kwa jicho moja tunakuomba usijinyanyapae sisi tupo pamoja na wewe hii nimitihani tumeumbiwa wanaadam kwa upandewetu sisi watanzania wenzako tumekupokea kwa moyo mmoja
@donkaloza6985
Жыл бұрын
InshaAllah
@FatmaMbarouk-zp3ev
Жыл бұрын
Naam
@hyacintagugu7
Жыл бұрын
Amen
@abdullahyunus9235
Жыл бұрын
Allah akuponye brother Dua zako allah azipokee brother
@ireneimbuhira7759
Жыл бұрын
Its sad 😥 may God be with him all the time 👏🙏
@mohamedyally58
Жыл бұрын
Daaah alokufanyia hivo mungu atampa alichokitafta naamin malipo hapa hapa kweny uso wa dunia mtu Ana kufanya uteseke kweny maisha yako yote bora mtu akuue tyuu kabisa hii sio adhabu ni unyama kabisa
@SamiryOmary-yw6se
Жыл бұрын
Yanii uyu kaka anaongea kwa uchungu kwaninni hawatendi haki jamanii 😢😢daa inauma sana usikate tamaa kakaa angu mungu kila mtu anaruhusu apewe jaribu analoweza kulimudu be strong my brother mungu atakuwa na wewe mbaka mwisho😢
@ngowibeatrice1701
Жыл бұрын
Kweli anaongea kwa uchungu sana inauma amemualibia maisha
@paskaziasholla7471
Жыл бұрын
Tariq MUNGU ndie mwenye kujua hatima ya kila mtu tnakuombea MUNGU akupe amani ya moyo na Imani juu ya MUNGU omba uzima, kisasi ni juu yake pole sana mdogo wangu
@emmanueltemu3606
7 ай бұрын
Pole kaka ,,hakika mungu ni mwema,,binadamu siyo wema ishi na watu vzr
@wakywenaky3674
Жыл бұрын
Ikiwa huyo kaka anamwamini mungu,bas aachane na mambo ya kesi, yeye amuachie mungu tu ndio atatoa hukumu ya kweli, daima siku zote mwambie mungu tu,lkn hao watu popote walipo hawatapata amani,kwa jina la yesu wasipate amani milele
@vailethmaji2158
Жыл бұрын
amina tena adhabu ya mungu ni kubwa hakuna anaweza kupinga mungu wa mbinguni mponye kabisa huyu kaka mpe wepesi kwa kila jambo
@malaikalihuda2831
Жыл бұрын
Wivu ni kitu kibaya sana ila malipo ni hapa hapa Mungu akuinue sana 🙏
@shazilmohamedi-fw3rm
Жыл бұрын
pole sana kk Mungu akuweke salama nyakat zote
@Maria-cx4kn
5 ай бұрын
Wenye mamlaka sehemu za kazi siku hizi wala hawana aibu wanakula rushwa mchana bila woga wala aibu. Kama huna hela kuna haki. Sijui tunaelekea watu watu wa Mungu
@subrynerysegerow1323
Жыл бұрын
Alhamdulillah una uhai kwasabb hakuna kinachogharim kama uhai mungu ni huyu huyu Alhamdulillah aliekupa huo mtihani ndo anajua anakuandaa na nini usilalamike ukakufuru stay positive only your heart matter hakuna kiangazi kilochokosa masika only God knows ❤
@FreeGod368
Жыл бұрын
Huyu jamaaa ataponaaaa complete aisee mi nawaaaambia
@ahuriladaniel9849
Жыл бұрын
Kabisa atapona hapo ni pesa tu
@ester283
Жыл бұрын
Ameeen
@Mery-st4nu
Жыл бұрын
Machozi ya furaha yamenitoka kusikia kaka Tariq kuona nazidi kumuombea kwa mungu azidi kumpigania apone mungu wa mbinguni hashindwi kitu utapona kaka yetu❤
@rehemaismail1794
Жыл бұрын
Pole sana mungu hatakuponya kwn pk kufika hapo juwa mungu hanakupenda sana,,mungu hakupe subra juu ya afya yako
@amanmaleko3085
Жыл бұрын
Daa inasikitisha sana mwenyez mungu akutendee upone walimwengu sio watu ndio wamefanya dunia ikawa soosehemu salama
@sadaalsheibani7106
Жыл бұрын
Ajitamba kashafuta keshi polis ajue hajafuta keshi na mungu na polis munaofuta kesi hawatendi haki mungu anawaona na dua ya mtu aliezulumiwa mungu huipokea kwa haraka
@salimkassim6020
Жыл бұрын
Broo M/mugu akufanyie wepesi katika kila zito kwako,,, akupe subra na akupe mwisho mwema Inshaa Allah maana duniani tunapita tu hakuna wakusalia,,,,kuna mengi ya kujifunza kupitia hili tukumbuke kufanya ibada na kumshkuru sana Allah kwa neema alizo tupa kuanzia kupumua kuona kuskia na kila kitu bila kulipia chochote,,, ndugu yetu anaona ila jicho halitakiwi kuingia maji wala vumbi ni mtihani sana,,, ila kwa Mungu hakuna kubwa amjaalie apone awe kama awali...inahuzunisha kwa kweli dah
@mercypeter162
Жыл бұрын
Kumbe hii kampeni ya ushoga wanapoelekea wataanza kubaka wanaume MUNGU atuokoe
@wardaomar4828
4 ай бұрын
Allah atakufanyia wepesi inshallah pole sana Kaka😢😢 Binaadamu tunakosa utu hta chembe
@thaniakassim7687
Жыл бұрын
Muachie Mungu...Mungu hukumuyake kubwaa sana subiri uone...polesanaaaa
@mandajamaly4843
Жыл бұрын
Du jamaa alikukatiri sana pole sana brother🙏🇹🇿
@emmajud1237
Жыл бұрын
Maskini 😢😢 wamemuharibu kaka wa watu daaah MUNGU mtetee huyu kijana jamani
@hboywasasa
Жыл бұрын
Talifa hii naomba mungu sana ifikie mama etu mama Samia amsaidie huyu mpiga kula mtanzania mwenzetu Tanzania tusifanyiane hivi wote ni ndugu mungu akupe walizi kaka utembe na usalama.
@user-xk6ce7vz3m
Жыл бұрын
InshaAllah Allah atazidi kukufanyia wepesi kwa kila atua
@ester283
Жыл бұрын
May you be healed in Jesus Name🙏 bado nakuombea na sitaacha🙏 you are going to be fine
@geeva99
Жыл бұрын
Ndo maana system za wamarekani wanachukulia verbal threats very serious dah, pole sana
@InnaMussa-hd7nw
Жыл бұрын
Naumia san wallah pol San kaka inshallah utakuwa sawa😢😢
@vincej9275
Жыл бұрын
Kweli kabisa
@shantalismailhassan9878
Жыл бұрын
Allah akutie nguvu ,subira na imani. Sisi hatuwezi isipokuwa Mungu pekee ndo muweza. God bless you.
@nibigirahassina9308
Жыл бұрын
Polesana Allah will make it easy for you my dear brother
Пікірлер: 1,2 М.