Inaoonekana zury nayo mapara kama ,,,,,,,,,,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@JacksonMutinda-jw5qw
Ай бұрын
Wa Tanzania na likes jameni,wat for? 😂😂
@user-hb7ln2dl3r
18 күн бұрын
@@JamaliNdwata good
@samponews1689
Ай бұрын
Me siombi like me nasapoti kazi😂embu tuache utani like Zina raha yake bana😊Aya twende kazi kumsapoti mwanetu 🎉🎉🎉
@zuberpaulo7577
28 күн бұрын
Hahahahah
@CalivinNjau
28 күн бұрын
Umetekenywa@@zuberpaulo7577
@KambaleMbangale
Ай бұрын
❤ya leo kali tena tamu❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 ruta man hapa karibuni naona unabeba bendera yawasani bora tanzania hadi nchi zote zinazo zungumza kiswahili , kamaunakubaliana nami gonga like alafu sambaza hii link ❤❤❤❤❤ umoja ni nguvu
@ruthkarisa3045
Ай бұрын
walaii hii movie ni moto ila luta man banaa🤣nakupenda babaa
@AbdulMussakabagambe-qd6lv
Ай бұрын
Ngoma imeanza na unyama yaani moto moto👍👍👍👍
@amanijumanne5543
28 күн бұрын
Igizo ni nzur sana ina wawomba kitu kimoja ogezeni ubunifu wa kufunga mimba maana mimba mpaka inaonekana kama nimenguo .mefugafunga tumboni ila samahani
@muhsiniamiri9310
23 күн бұрын
saf san hayo ndo maon mazur wame jitahd lkn pia tunapasw kuwa kosoa wanapokosea❤
@LilmmyCrazyfficial
Ай бұрын
❤Wa kwanza Mimi Leo kuitizama Tamthilia ya TARZAN 🎉🎉🎉😂😂😂
Tulio maliza love bite na tume anza Tarzan tu juane apa🇨🇩
@BenjaminMetanyau
Ай бұрын
Sema mganga kunanamna unapita na idea za mwakatobe siyo poa ingependeza kama ungepata ya kwako✊ ingependeza zaidi
@octavian54
29 күн бұрын
@@BenjaminMetanyau kwelii kabisaa kazingua
@YoungblackPeople-qf7vx
29 күн бұрын
@@BenjaminMetanyau ushauli ndo una faa kama huu✅️siyo kuomba like
@BenjaminMetanyau
29 күн бұрын
@@octavian54 🤝
@BenjaminMetanyau
29 күн бұрын
@@YoungblackPeople-qf7vx 🙏
@fatherjaytz
28 күн бұрын
Nlitaka kusema hvo
@Boniphacehachili
Ай бұрын
Kama unamkubali ruta mani gonga like🎉🎉🎉🎉heshma kwako kazi nzuuuri❤❤❤❤❤
@CrypsinMoraa
Ай бұрын
Ni tamu kweli naitazama kutoka 🇱🇧🇱🇧🇱🇧🇱🇧🇱🇧🇱🇧🇱🇧 i miss my motherland Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Isael.6396
Ай бұрын
Tarzan,wa kwanza mimi from congo 🎉
@Footballre-zx9lc
Ай бұрын
Pongezi kwa ruta man kwaiyi kazi nzuri ame tuletea
@rashidkibavu1863
Ай бұрын
Kama film ya kiasili basi hata majina yawe ya asili, Humu ndani nimeskia jina la HAPPY, ila haikupaswa kuwe na majina hayo ilitakiwa kuwe na majina ya kibantu na si ya kuzungu. Ila season nzuri hongera Ruta
@NDAYISHIMIYEEslon
Ай бұрын
Daa leo nimewahi jamani kuwa wa kum na tisa kutok Burundi mnipatie like zangu
@user-yw5hs6in2z
Ай бұрын
Nitumie no yako ya wasap nikutafte samahan lkn
@JacksonMutinda-jw5qw
Ай бұрын
Neda kaage izo likes,watu wa likes tuu,upuz
@HamadMwagoani
Ай бұрын
Baisa Acha kuenda na mwendo wa mwakatobe bwana kuna Wana wengi walicheja ya scene ya uganga kuna kama mganga mwavumba,kuna yule chidi unaeza fuata awoo samahani n fan wa Ruta gang kama nimekosea mnisamehee
@khido_tz
Ай бұрын
Ni kweli apo kapiga kama mwakatobe bn😂
@ngulathfundikira4205
Ай бұрын
Kweli kabisa kazingua
@agnesjohn9382
Ай бұрын
Wala hujakosea kazingua
@chaggastar9236
Ай бұрын
Kuiga kitu kizuri sio mbaya kwa upande wangu
@JohnJustine-no1zv
29 күн бұрын
Kaka kama ww unaweza weka naww yako uone kama itapata views Ata wa 5hapo ndio utaamini kuwa mwamba kaupiga mwingi anasitahili pongezi
@user-zw6cy2hn7x
Ай бұрын
Mbona mnamtesa sana Happy wang ama hana Bahat kwenye mapenzi😂😂😂
@joshuasakwa1548
Ай бұрын
Jameni,
@KIJITO-CHA-UTAKASO_HQ98.
Ай бұрын
Hujawahi haribu KAZI....upo vyema ...zinafundisha mno...Good content, quality pictures...na wasaniii wako wanavaa uhusika vyema...nice choice of location ..keep it up bro
@GlorylukaBura
Ай бұрын
Apo Kwan mganga ameharibu movie yote😢😢angeongea sautii yake aachane na ya ZINGA anamharibia 😢😢
@johnmwirigi3836
28 күн бұрын
@@GlorylukaBura 😆😆😆😆🤔
@perajiampipi4473
26 күн бұрын
@@GlorylukaBura na kaiwezea kwelii 😁
@GlorylukaBura
26 күн бұрын
@@perajiampipi4473 kawezea ila atumie tu yake maana si kote anaweza..ep2 katimia yake na movie inanoga tuu🥰
@zzerosooraj9134
Ай бұрын
Taznan bonge la movie big up 💪 luta man from Kenya 🇰🇪
@fortunegerishom1827
Ай бұрын
Nmeikubali mwanangu,,, movie Kali sana🔥🔥🔥Km unamkubali LUTA MAN Eka like tukisonga
@user-vo7yb6wp1m
Ай бұрын
Woow kumbe kazi nzuri mungu ashidi kukuongoza kaka rutaman🎉🎉❤❤
@LagerMtandila-g7x
Ай бұрын
Wabongo bhana uwa siwaere wagi sana ilandoivyo mtukwao inabidi ukubar2 chakwako
Nzuri sana, mabint nguo zimewapendeza na lutha pia vazi limempndeza bila kusaha mtoto wa chief gumbwa kapendeza 🎉🎉🎉🎉
@user-fb5kx5km6t
Ай бұрын
Jamani leo mm wa KWANZA naomben like ZENU tafdhal jaman❤
@user-iw1jt5ll7m
Ай бұрын
Bona kama itakua tamu kizindi zote 😂😂😂🎉
@essaojohn3971
Ай бұрын
Bonge la story ruta man appreciate it brother
@pogo946
Ай бұрын
Kazi nzuri mwanzo mmefungua vizuri ila Mganga anatembea na code za #Mwakatobe 😂😂 #zinga kama mmeliona hilo gonga like zangu nyingi sana..
@KikohBoy
Ай бұрын
Kama umeona kua mganga anajitahid kupita njia za mwakatobe au zinga gonga like tujuane.
@vallesndayishimiye2396
Ай бұрын
Sitokuangusha Mie❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮Hadi mwisho
@JmmJacky
Ай бұрын
Noma sana .......watching from 🇰🇪
@AbdulMussakabagambe-qd6lv
Ай бұрын
Ruta mnyama mkali sana kisha chunga sana gumbwa ni moto wa kuotea mbali💪💪💪💪💪
@ZuhuraNgubule
Ай бұрын
Kaz nzur sana
@SelemaneIssa-vr7po
25 күн бұрын
Na mimi nipeni like japo nimechelewa kuwai
@DamarisMasese-rh6hy
Ай бұрын
Kutoka Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 shabiki sugu wa Boncena Ruta man hii kweli kali kanikumbusha unyago aisee nawakubali sana ❤❤❤
@user-fw2jk3mx7g
Ай бұрын
Mima pandisha kanga juu basi mchirizi huo hapo duh
@user-qg1yh7hy4o
Ай бұрын
Waoooooo!!! God job maua yako boncena🎉🎉🎉
@samuelbonfils57
Ай бұрын
Love from Burundi❤❤🎉🎉
@RebecaMackenzi
Ай бұрын
Mganga kamuiga mwakatobe mpaka anakera.
@Lovekidoti32
Ай бұрын
Yani napenda movie za hivi za kijijini arafu wanajichora chora ivo Yan dah raha Sana, Luta man upo fire 🎉
@maestrobindaniel7040
Ай бұрын
Leo nataka gawa like kwa kila mutu sasa sijuwi inanze na nani?
@IsayaKudeli
Ай бұрын
Mie nimekuja kwa mfumo huu tulio rudia kuangalia mara tatu(3) tujuane sasa APA kwa like sawa mashabiki wa Ruta man
@iddyramadhan4595
28 күн бұрын
Mnakoenda sio mnataka likes mpeleke police au makwenu like kwenye channel tu,,, Hongera saaaaaana boncena🎉🎉🎉🎉 maua haki yako
@boydinhobabaneemadinho9677
Ай бұрын
Na mm naomba like Leo jamani nimewai nawakubari sana
@TPEXtz
Ай бұрын
Ndio shida ya wabongo Yan yuko busy anasoma comment yangu badala andike yake 🤨🤨...kaz nzur team ruta man🔥
@metrinemanyonge6055
Ай бұрын
Woow nilikua nimengoja❤
@user-il8wx3eq8i
Ай бұрын
Nikajua wanawake ndo wanaomba like kumbe hadi midume😂😂😂😂
@Mwenge-li2kr3vk8w
Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@elizabethcatherine-jm8fr
Ай бұрын
Midume ndo balaa kwa kuomba like 😂😂😂
@mtzhalisi2232
Ай бұрын
Tofautisha Kati ya mwanaume na shoga..mashoga ndio huwa wanaomba like@@elizabethcatherine-jm8fr
@bernnoely5519
16 күн бұрын
Kitambo ila nyumba ni za bati
@benjaminwafula
Ай бұрын
Naomba kujua n msitu upi huu
@allyraymond175
Ай бұрын
nakukubali sana mwanangu boncena najua hii kitu itakuwa kali balaa
@melaniameri2847
29 күн бұрын
Mamaaaa mm nikajua miguu ya ng`ombe ndo wanaokimbia kumbe binadamu naomba mnisamhe😂😂😂😂
@ollenmlangali2867
28 күн бұрын
Wasafwa big up mwagona ewane ...mbeya stand up .
@justuukilosh3962
Ай бұрын
Wa kwanza from Kenya😘
@falejilala1158
Ай бұрын
Mwamba ruta man hongera kaka pambana MUNGU atusaidie utimize ndoto zako.
@benoseaone
Ай бұрын
Anyway hii ni kipande cha kwanza na inapendeza kuona ni very natural. It is good. Wasiwasi wangu, kwa nini wameigiza jina? TARZAN wamemaanisha nini? Kwenye jina wamechemka.
@aishaomar2287
Ай бұрын
Wameigiza vipi? Nichanue😊
@benoseaone
Ай бұрын
@@aishaomar2287 Tarzan ni jina la filamu ya Kihindi. Jaribu kuseard KZitem utaiona.
@aishaomar2287
Ай бұрын
Kazi safi sanaaaaaaa🎉🎉🎉...am in love with the location walai
@ramseykey940
Ай бұрын
Na mimi kutoka south africa 🇿🇦 naombeni like zenu jameni
@abdullatif053
Ай бұрын
🤓🤣🤣luta man VP ktk kushuka mti mbona km umeanguka, kateleza ❤nimeipenda iyoo🤓🤣🤣🤩🥰
@user-eo1qy1zh7r
Ай бұрын
Nakubali sana master movie nzuri sana ❤😂🎉😢😮😅😊
@condeboy257tv9
Ай бұрын
Nyie Wa Tz Kwa Kusema kweli mnanipa furaha kubwa Sana Kuhusu Movie zenu, Nikiwa huku Rwanda . Hongeleni Sana.
@annaki318
Ай бұрын
Hiii ni nzurii sanaaa wametukumbuka kina mwaghona na bhughonilee😅😅😅😅😅😅 Ndagaaaaaaaaa #Boncena🎉🎉🎉🎉
@user-ec6ow2cx7c
Ай бұрын
Mko vizuri sanaaaaaaaa team ruta man 🎉🎉🎉
@shakehmedicatz
Ай бұрын
Jamani heppy mmmh pole sana nawafatilia sana jamani
@DannyMutai
Ай бұрын
Congratulations nafatilia from mombasa kenya🇰🇪nakubali
@user-ud5mv5qi8w
Ай бұрын
Mimi wa kwaza naipenda sana tarzan luta mimi shabiki yako kutoka Bujumbura 🎉
@Bibi-he6vt
29 күн бұрын
Mko smart na hizo nguo lovely kipepeo na udugu wako❤
@gideonodoyo-wk5cw
Ай бұрын
Tuachen ubinafsi mwamba kaweza kwenye hii Kaz tumpe 💯❤❤❤Mwagona🙏🙏🙏
@hamisisaid1489
Ай бұрын
Ruta Man! Nakukubali man.. kazi nzuri sanaa❤❤❤❤
@salumuwembo-fo5rr365
26 күн бұрын
Naipenda Saaana Tangu kongo 🇨🇩🇨🇩🎉🎉❤❤
@Charles-t7h
8 күн бұрын
Umetixha ruta tumemaliza love bite now tazan du umetixha kinomabruta🎉🎉🎉❤❤❤❤
@KasimuIbadi-kq2ne
Ай бұрын
Wakwanza kutoka iringa, kamwenee vanyalukolo
@user-zz1iw9wu4h
Ай бұрын
Kmwenee unogagee
@mughishajohn3287
Ай бұрын
Hii nimeipenda sana Tarzan ♥️♥️♥️💪🇰🇪🇰🇪
@SHYNESZAWADI
Ай бұрын
Huyu mganga ni kama mwaikatombe
@user-st3wo7qi2v
Ай бұрын
Kaz nzur sana team Boncena❤❤❤
@KambaleMbangale
Ай бұрын
Kazi nzuri, hongera wanangu
@SelemaniIddy-nc1nf
Ай бұрын
Nakubali team ruta man
@sarahmariah2371
29 күн бұрын
Kazi nzuri jamani vichakani sio kurahisi kushoot filamu .mungu awajalie
@SwifraKitemwe
Ай бұрын
Move nzur na inaleta hamu ya kuiangalia 🤐👋👋naomba like hapa
@jofrayanthony9769
24 күн бұрын
Tanzania sijawai ona movie imepangiliwa kama hii the best kila kitu kimekaa sawa director apewe Maua Yake m Kwakweli❤❤❤❤❤
@User7700
Ай бұрын
Ongera rutaman kwa kazi nyingine mungu akuzidishie kipaji mara dufu🎉😅
@officialgee-m3b
Ай бұрын
Ni zaidi ya maajabu brother eeeeh heshima kwako
@stephanosafari3792
Ай бұрын
Thamthilia nzuri maudhui yake mazuri,from Kenya,Gen_z
@nelsonoscar8837
29 күн бұрын
Nyimbo nzur sana ya nani hiyo nimeipenda kaz pia nzur
@RizikiZiki
Ай бұрын
Waooo kitu kipya ico piga kelele kwa bocena weweee 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JuliusPaul-se6wk
Ай бұрын
Yes bonge moja ya series hukuenda america bure boncenw
@JoelMwandete
Ай бұрын
😂😂leo wa kwanza kwa tarzani gonga kopa aaaapo
@HuriaTimoseu
Ай бұрын
❤❤❤❤ ruta ndiyo bongo bongo movie tuache unafki
@BlessingIgiraneza-jw4qv
Ай бұрын
Munanifurahisha sana.Mubarikiwe
@jassminemubarak2828
28 күн бұрын
tuseme tu wasafwa tunashukuru kwa kuendeleza kutangaza kabira letu🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ruto man❤❤❤
@user-oz3lp1ib7m
Ай бұрын
Wa kwanza naomba like zenu
@AminaMohamed-td2bi
27 күн бұрын
Nimependa pk boncena mwenyewe kabla sijaimaliza
@adidjaVyumvuhore-tp3tc
Ай бұрын
Baisa Wang kama Baisa kweny uhusika wake w uganga 💪💪💪💃💃Respect for u man
@Barnizeboy
Ай бұрын
Kili Sanaaa 🔥
@user-lo6sy9zz2f
Ай бұрын
Mmmh Hao wenye vipara Sasa 😂😂😂❤❤❤
@moiseszacariasmoisesmoises
Ай бұрын
mashabiki wenzangu, inguwa vizuli sana kutoa maoni juu ya tamsilia hii,kuliko kushobokea laik
@ShabaniBandini
2 күн бұрын
Oya king makokwa mwanangu nakubali asaiv upo clias asana bigapu man
@Allyahloleka
Ай бұрын
Kazi nzuri wallah upew mauwa yako boncena ruta man
@benjaminwafula
Ай бұрын
TARZAN sasa kitu na nusu lkn hapo kwa mimba mmetudanganya tumbo lote hilo hata kama n mimba hapana bana ila niko nanyi hatua kwa hatua
@lumistarboy8499
Ай бұрын
Kazi nzuri team Boncena Ruta man never disappoint Kaz nzuri baada ya kazi
@JamesReuben-gt8up
28 күн бұрын
Boncena unajua sanaa brooo
@MussaHaule-tn3xw
28 күн бұрын
Waooooo😂😂 umetisha Ruta kwa kuwakilishia Salam wandali mwaghona❤❤❤❤ nmependa sana
Пікірлер: 656