Imenichoma sanaa hii interview esp sehem ya chorus ya necessary noise
@reymekay1
8 ай бұрын
Mtoto wa geti ni soo nambari one
@user-se5vv9yx1n
6 ай бұрын
😂😂miaka zaidi ya 20 nasikilizaga hiyo ngoma na necessary noise,ckujuaga inspector aliimba nini na bado nlikuwa napenda maneno yalivopangika,ila Leo ndo nmeelewa,, big up sana insp.huo ndo uandishi bora
@amriseleman9395
8 ай бұрын
Achana na mtoto wa geti kali kabisa. Hapo nikikuwa form one 2001
@mtambogeof5648
8 ай бұрын
Time ya dark master au g solo pia waletwe watupe story
@ramadhankassim7205
8 ай бұрын
Body language ya luteni kalama inaonekana hayuko sawa
@svt3
8 ай бұрын
@ramadhankassim7205: kwa kweli inaonekana kama iko na wasiwasi, anaumwa,na hajielewe kweli akili iko nazo hapo haziko timamu
@sharifukitori239
8 ай бұрын
Ukimshtua na swali juu ya kitu ulichotoka kuongelea muda huo huo anaweza akajibu kitu kingine tofauti na ulichosema.
@patrickjulius5951
6 ай бұрын
Kweli ayuko sawa mawazo
@reymekay1
8 ай бұрын
Ebana eeeh, wakongwe wenzangu
@superhemed7590
7 ай бұрын
Ruge alimfanya Inspekta astuck ila Angekuwa mbali sn ndg yetu huyu.
@innocentmathias8668
8 ай бұрын
Bro walete wale washkaji walikuwa wanaitwa "Wawili
Пікірлер: 15