Mngekua mnawaita watu wa ndoa nyinyi muulize maswali ingependeza kuliko kuchambua nyinyi amjaweza bado au caura atoke aingiee mtu mzma
@user-jr1nf8sz1u
5 ай бұрын
Safi sana hikikipindi kizuri kwel
@FatumaShabani-mp9vt
5 ай бұрын
Khadija yupo vizuli kuliko caira analinga frani ivi
@ashahassan2120
3 ай бұрын
Mmpendeza sana warembo
@saidibrahim2375
5 ай бұрын
Masha Allah mume pendeza
@KhatibKhalfan
5 ай бұрын
Na boss wenu pia muulizeni ataowa lini mana kashawachezea wengi
@mohammadoman8963
5 ай бұрын
Naam inajuzu mwanamke kumwambia mwanaume amuoe
@user-rg1jq4pg8v
5 ай бұрын
Nawapongeza kwa namna mnavyoelimisha
@fahadmohd2633
5 ай бұрын
Khadija mzee & kayla kipindi ni 🔥🔥🔥
@user-hi8le2vb7z
5 ай бұрын
MWANAUME UNAWEZA KUJISAHAU,,MWANAMKE AKAKUKUJUMBUSHA TU,,ILA SIO KAZI YAKE,,,,MWANAUME NDO ANA MAAMUZI YA MWISHO
@juma3473
5 ай бұрын
Assalamu alaykum ndiyo sahihi wapenzi wangu 😊
@khamismgunya4519
5 ай бұрын
Mashallah
@wardawarda6535
5 ай бұрын
❤❤
@nasoropori6892
5 ай бұрын
Bado mna utoto mwingi icho kipindi sio saizi yenu tafuteni plan nyingine.
@youdya
5 ай бұрын
😂😂😂
@Mimy_keys
5 ай бұрын
Ata mm sija wakubali kbs 😅😅😅 Hawana points za msingi 😂😂😂
@TEDY-MTEMY24
12 күн бұрын
Siyo saiz yao sawa lakini kwa kukiboresha zaidi wawe wanaalika wageni kulingana na mada ya siku husika,,wabaki hao hao ni sehemu ya kujifunza mengi ya kiutu uzima #Khadja ♥️♥️
@foodbasiccourt2028
5 ай бұрын
Kwanini ndoa za kiislum wanaoana asubuhi siku saba wameachana maswali je kwasababu ndoa za kiislum ni simple hazina gharama kwahiyo hata uvumilivu hamna? Au kwasababu utoaji taraka ni rahisi.sisi mji wetu ndoa kwa wiki 50 wanaachana.wanaoana ili waachane?
@frankngoloka5416
5 ай бұрын
Ndoa za kislam ni nzr mkizinguana tu unampiga chini,lakini za kikristo zinawapa sana viburi wanandoa hata wakifumaniana hakuna kuachana,Hadi kifo kiwatenganishe au kugawana vyumba ndani maisha ya kunununiana ,ndiyo mana tunakufa Kwa mawazo
@foodbasiccourt2028
5 ай бұрын
@@frankngoloka5416 kwahiyo waisilum hawafi kwa mawazo? Hata ndoa za mke zaidi ya mmoja aliweza mtume tu hawa wwngine wanaiga na imani hawana.elimu ya quaran hawana basi wanaiga kuoa suna unalundika wanawake kutunza huwawezi ndio suna hiyo? Mtu alikuwa na uwezo waluwaridhisha wake zake wote alioa hadi visichana vibichi alikuwa anajua cha kufanya.kuna dada mmoja namfaha ana 30 yo kaolewa juzi mke wa nne ndoa ya kumi. Kaachika siku ya hata wanasayansi wametoa miaka 7 ya hekaheka za ndoa baada ya hapo hakuna jipa kama nikukoseana mlishakoseana hakuna jipya nyinyi mmegeuza miaka 7 kuwa siku saba za ndoa
@user-bl6op9ej6u
5 ай бұрын
Kitu chochote kinachopatikana kwa urahisi na kukipoteza au kukichezea ni rahisi Means bure ni aghali
@FatumaShabani-mp9vt
5 ай бұрын
Apana ndoa sio jera jamn ndoa kulizia Kam umeoa alafu tabia aziendani je utaishi nae ivo ivo au
@foodbasiccourt2028
5 ай бұрын
@@FatumaShabani-mp9vt sio jela nakubaliana na wewe ila is too much nikama wanachezea dini na unakuta wanasema wewe nakuachwa kwa WhatsApp.ukifuatilia ndoa nyingi zinazovunjika matatizo yanarekebishika yaani unaishi na mtu wiki moja umeshaijua ndoa wewe
@aminamloka7545
5 ай бұрын
Kuuliza Ni vyema kuliko kuridhia kuwa na mahusiano nje ya Sheria sema kwasab shetan ametuaminisha kuwa Bora zinaa kuliko kutake step to ask a man when he is going to make things halal
Пікірлер: 37