Jamani tunaomba video nzima ya hili kongamano 😢 naihitaji sana 🙏
@emmanuelhumph
4 ай бұрын
Asante Baba unanikuza sana Mungu akutunze wewe na mama Diana na huduma ya mana
@ericmellau3783
5 ай бұрын
Ila uyu mzee ni wamoto sana, yaani i tafsir imenibamba sana ❤❤❤
@esthermchiwa7896
5 ай бұрын
Mungu wa mbinguni aukumbuke utumishi wako baba huwa unanibariki sana.Natamani siku moja nikuelezee ndoto zangu unisaidie
@emanuelnyab9872
5 ай бұрын
Ohoo my Lord ahsante kww mafunuo haya
@christopherjoyce1903
Ай бұрын
Amina mtumishi najifunza!ni jana tu nimeota nyoka kaingia kwenye nyumba yetu
@rebeccabayo2988
5 ай бұрын
Mwalimu naomba nami unikumbuke, niombee kwa mungu shamba langu lizae maana mwaka jana nilipata hasar mungu anisaidie na kuniinua.
@maryalphonce-jy8kn
4 ай бұрын
Amen
@neemamachangemachange8874
5 ай бұрын
Jehovah nifundishe kuomba jinsi ipasavyo
@JacklineJoseph-ld1gi
2 ай бұрын
Mwl naomba uniombee niliamka usiku. Nikaenda choooni. Mara narudi nikashutuka nyoka. Kumwamgalia sikumwona. Kweli sikuomba.nimekaaa wiki Moja . Mungu kanikushusha Ile nyoka ndo nikaomba. Nikangoa na kuaribu.
@bluebirdlogisticsco.limite3415
Күн бұрын
Amen
@user-ke9vc5it1d
5 ай бұрын
Amen Baba Mungu akutuze
@rebeccabayo2988
5 ай бұрын
Mungu akubariki mwalimu ili uzidi kutufundisha
@meudakayuni2346
4 ай бұрын
❤ nawapenda katika Kristo mbarkiwe saana mtumishi
@isdoryndayanse
4 ай бұрын
Mungu akubalik
@user-st8qb8qj7j
4 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@EfronMayoba
4 ай бұрын
Amen sana mtumishi
@edwardpeter701
3 ай бұрын
Asante mtumishi
@elishaathumanathuman16
4 ай бұрын
I receive I receive I receive
@allthingdranabeauty
5 ай бұрын
Amen Babà 🥰
@rechosagumo8971
5 ай бұрын
Amen baba
@rahelchilale1075
5 ай бұрын
AMEN 🙏.
@neemamachangemachange8874
5 ай бұрын
Amen Amen
@user-is1ek4dh8o
3 ай бұрын
Naomba no za mchungaji jaman
@emmaforrealtz1
5 ай бұрын
Amina
@elishaathumanathuman16
4 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
@Mak_health
4 ай бұрын
Amen 🙏
@user-mt1vj9hh8p
4 ай бұрын
Ameni 🙏
@user-kc6lr3pq2c
4 ай бұрын
Ameeen
@MagangaMasunga
4 ай бұрын
Ameen
@JoshuaHilgath
5 ай бұрын
Ameni
@aidanongole9341
5 ай бұрын
amen
@lightnesskweka4774
4 ай бұрын
Shallom mm nimewah kuota nyoka ameingia sehem zangu za siri na hakutoka tena mara 2 kabisaa😢😢😢nn maana yke 😢
@joycestivini677
4 ай бұрын
Maana yake unaishi na adui,,hasa eneo la mahusiano
@ChristinMsanganzila-te4pf
Ай бұрын
jesus❤
@ChristinMsanganzila-te4pf
Ай бұрын
🙏🙏asntee mungu,unanipenda na kuniongoza vema,..Amen
@PriscaDaniel-vu5bl
2 ай бұрын
Mwalimu mm nikiota nyoka mkubwa sana kavunja duka langu na aliyemtuma ni jirani yangu ,baada ya hapo uchumi wangu umevurugika sana ,leo nimeota nimengatwa na nyoka meno mawili
@CharlesNdoshi-xk7hd
Ай бұрын
Omba tena kwa maombi ya mnyororo wa kufunga usipo angalia uko pabaya sana
@florasimba3784
4 ай бұрын
Namb namb ya mtumish mwakaseg jmn
@user-im4dv8ls1b
4 ай бұрын
Baba naomba maombi
@samwelimadaraka4358
4 ай бұрын
Nina shida sana nahitaji mawasiliano ya Mwali mwakasege
@tumainiswai3540
4 ай бұрын
Nimepata kitu nukikuamwajiriwa miaka 8 imepita sasa lakini naota nikiwa na yule boss. Tunahesabu ela hii inamanisha boss ananipiga ela nini
@amosmdullah7301
3 ай бұрын
Imenikita ili jambo😢
@MINISTERBAHATIMPUME-px4pf
4 ай бұрын
Wewe ni Baba unanilea japo sijawahi hata kukaa karibu na wewe zaidi ya kukuona madhabahuni
@christinamwakitalima4267
5 ай бұрын
Tunaomba somo lote huduma ya mana
@franklinisaya4796
5 ай бұрын
Kwanza nimecheka kweny kukimbia
@user-jt4xw3py4k
5 ай бұрын
Tunaomba semina nzima baba
@user-th5xz1fg5t
5 ай бұрын
mtt wng mm anakimbia mpk ktandan uyo nyoka anamfuata na anamkimbiza
@user-gh9oh6mt5o
4 ай бұрын
Niliota nyoka anaishia kutoka ndani paka wawili waksmla sikufuatilia😅😊
@FelisterMunissy
4 ай бұрын
Niliota baba nimengatwa na nyoka
@HappynesSamuel
5 ай бұрын
Baba namie niliota ndoto nyoka kalala tumboni kwangu nyoka wa blauni
@beniviva5014
5 ай бұрын
Duuuuh!! Omba toba Kwaajili ya chochote kilichofungua Mlango huyo nyoka akakaa hapo tumbn, Afu anzaa kuachilia Damu ya Yesu kumuondoa, jitahd kuombea sana hiyo ndoto, Maan baaada ya MUDA UTAAANZA KUSUMBULIWA NA MATATIZO YA TUMBO, ukishindwa kuomba mwenyew Mtafut mtumish mweny Nguv za Mungu akusaidie kuomb usiipotezee hiyo ndt
@HappynesSamuel
5 ай бұрын
Ni miaka 4 iliyopita na kweli nasumbuliwa sana na tumbo kila nikienda hospital wanasema ni UTI na Taifod na kila mwez naenda hospital nameza dawa zikiisha linaanza kuuma tena
@HappynesSamuel
5 ай бұрын
Kuna Mtumishi wa Huduma ya Mana Mwanza huwa naenda
@beniviva5014
5 ай бұрын
Duuh! Pole aisee Mtumish, Hilo tumbo sio La ugonjwa wa kawaida Kam wanavyosema Uti, Mi nikushaur kam unaweza kufunga na kuomba, Na maombi yako yakilenga Toba Na Damu ya Yesu, Na kuamuru kila rojo iliyo kaa kweny Tumbo lako ikuachie, Basi baada ya Muda Utafunguliwa na utakua mzima kabisa
@user-th5xz1fg5t
5 ай бұрын
mwanang anaota anakimbizwa na nyoka
@eaglecrown1101
4 ай бұрын
Mie niliota nyoka kaniuma lakini nikamlalia kifuani na yeye huyo nyoka akafa
@yukundapeter8200
4 ай бұрын
Hongera sana hapo ulikuwa adui.Mimi nilitoka kwa rafiki jioni,kagixa kanaingia,nkawa Nakimbia wamama wawili wakanistopisha ucje cha2,yule mama mmoja akarudi dukani kwake kuchukua panga,mimi nkachukua jiwe kubwa km kichwa changu,nkamlenga Nyoka cha2 kichwani paa akaviviringisha,nkachukua jingine paa,aka2lia ana hacra,mama wa duka akalikata kichwa likafa,hii ni life,Unene wake unakaribia nguxo ya umeme,urefu nusu nguxo,mkichwa wa nyoka 2kausokomexa kwenye shimo la mchwa pana sn.Kila alopita hakuna aloamini km cc wamama 3 ndo 2meuwa lile joka,ucku nikiwa ucngixini ktk ndoto,akanijia akanijia joka lile lile,likaniulixa kwa nn umeniua?? Sasa nakuuwa wewe,nami nkaliambia joka hutaniuwa,ntakuuwa mimi ktk jina la Yesu,nkachukua gongo nkalipiga kichwani nkaliuwa.Nkastuka ucngixini moyo ukawa unadunda sn,Nkafunga safari kwenda Arusha kumwelexea Mch.Mch akaniambia lile likitoka kuximu,kwa nguvu ya Mungu nkalishinda.Ukiwa karibu na Mungu utaepuka mengi ya ibilic.
@eaglecrown1101
4 ай бұрын
@@yukundapeter8200 duuuu hongera Sana ulishinda hiyo Vita
@mathewpeter9504
5 ай бұрын
Amen
@JacklineJoseph-ld1gi
2 ай бұрын
Amen
@esthermbugulu3404
4 ай бұрын
Amen
@user-ep2jm7dp2r
4 ай бұрын
Amen
@user-ep2jm7dp2r
4 ай бұрын
Amen
@user-gg4ok6ws4p
4 ай бұрын
Amen
@JonhMassawe
4 ай бұрын
Amen
@rosedohho8971
4 ай бұрын
Amen
@amanmponji219
5 ай бұрын
Amen
@HappynesSamuel
5 ай бұрын
Amina Mtumishi nikumbuke ktk Maombi wakati mwingine nashindwa kuomba
Пікірлер: 71