Hasbiyallahu waniimal wakil minsharri hasidin idhaa hasad Allah anihifadhi mimi pamoja nakizazi changu aniepushe mabalaa pamoja nafamiliayangu
@user-gd2xj3xd1b
2 ай бұрын
Unaporojo sana had Yale ya maana hauyaongei
@zaituniabubakari7329
Жыл бұрын
Nyoka namwogopa mimi ila sinabudi kinanitokea Allah niondolee yarab subhanallah
@husna34562
Жыл бұрын
Allah atunusur na balaa na atukinge na shar za mahasid
@husna34562
Жыл бұрын
Subhanallah hasbunallah waneemal wakil
@sifamanyori-kf9vq
Жыл бұрын
Bona wakina dayamodi anafuka nyoka kimahisha mungu apedi uongo wamahisha anapenda Himani yako
@latifahstephano9038
10 ай бұрын
Nashukuru sana kiukweli leo nimejua maana ya kuota nyoka 😭😭😭😭
@MariaPlmbuki
Жыл бұрын
Niliota nimeng'atwa na nyoka mwenye sumu kari sana,niliota ndoto hiyo mara tatu kwa siku tofauti tofauti.aiseee nilikuja kupatwa na maumivu ambayo yalifikia maumivu ya sumu ile na nikajua aliekua nyoka alikua ni mutu wa karibu nami sana,hivyo usipuuze ndoto,zingatia
@paulineemali8008
Ай бұрын
Nimeota na nyoka wawili mmoja eti ni mzuri mwingine anadhuru
@sifamanyori-kf9vq
Жыл бұрын
Kubuka doto za nyoka kubuka kunamari uripo mukosea mungu wabinguni
@khadijaismail5013
Жыл бұрын
Subhanallah mtihan
@yasalaam590
2 жыл бұрын
Shukran ya sheykh
@abdulwahidsaid4186
3 жыл бұрын
Asalam alaykum sheikh nashukuru kwa darsa yako kuhusu ndogo y’a nyoka,mm nimemuota nyoka mkubwa amejiviringisha na amejificha kichwa chake Lkn nyoka huyo yupo jikoni nyumbani kwangu karibu Na sink y’a kunawiya maji chini Lkn baadae Nikamuona kama kile kichwa chake kimekuwa kama samaki kambare mkavu Lkn mwili wake unajiviringisha naona msaada wako imma watafsiri Na dua ili nifanye au kisomo nifanye Dawa yyte jifanye ili niondoe uadui shukran.
@askaobengo2253
2 жыл бұрын
Asalam alekum nimeota nyoka mkubwa ikiniona ikakimbia ikapotea
@ashurayassin2541
Ай бұрын
Mimi nimeota nyoka mwenye vichwa viwili mkian na kichwan ananitembea mwilin
@rahimaamour2756
9 ай бұрын
Mimi naota sana nyoka ila inanipa sana shida kujuwa maana japo huwa nahisi . kunasiku pia niliota nyoka mkuwa sana mweusu . nilishtuka na kumjuza mdogo wangu ili aweze kunisaidia maana ila nae hakuwa anajuwa .ila leo nashkur umenipa ufafanuzi nyoka ni uwaduei wa ndani yameshanitokea mpaka nikaachishwa kz ila nashkur mungu amenipa zaidi ya ile
@sumeiyamaddy95
Жыл бұрын
Mm pia naota sana nyoka Allah atuhifadhi inshallah
@lrene4442
Жыл бұрын
Naomba uniambie kila siku naota naibiwa pesa au vitu vya ndani yani kama vile kidanda ngodoro vitu vyote kwa ujumla nimeota mara nyingi sana😢
@gasharazarehema1427
5 күн бұрын
Asalam alaikum warhamatullah wabarakatuh nikiota nyoka nifanye Dua Gani ili niepuke madhara ya ndoto iyo
@ghareebatotoz1342
2 жыл бұрын
Ndoto nyengine za nyoka naskia ni asili ya jini mbuki ni kweli sheikh
@rozina2161
2 жыл бұрын
Hii ni kweli mm nliota nyoka mara nyingi sana nkaskia mamangu na jirani zangu wamegombana wakajenga uadui
@user-yy6iz5le9l
5 ай бұрын
🙌🙌🙌
@rehemaomary9804
2 жыл бұрын
Nimeota nakimbizwa na nyoka wawili weupeee
@somosaria8167
5 ай бұрын
Nimeota nyoka napewa na mtibabu alafu kuna dawa ukimwalia yuwajivua magamba nimeshtuka sana walah na sijawahi hata kwenda kwa mtibabu hii inamanisha nini jamani tena nyoka mkubwa sana
@mankagema5267
2 жыл бұрын
mimi nimetoa gamba la nyoka wa kijani
@nurumwinyi796
2 жыл бұрын
Aslm Aleikum warramatullahi. Mmi niliota nipo chumbni na nyoka mkubwa yupo sakafuni yuwaranda randa chini ya kitanda ila ukishuka chini ndio yuwakufukuza bt ukiwa juu ya kitanda hakufuati.
@salumsaid4574
Жыл бұрын
Asalaam aleikum sheikh mm nimgonjwa naumwa sna na maradhi ya ki sihri Jana nimelala usku nikaota nimeumwa na nyoka nikawa na hangaika kutafuta msaada lkn hakuna anae nisaidia nikawa natoa mapofu mdomoni baadae nikatoa damu nikawa na hangaika kuzunguka Kila nnae mfata hanipi msaada baadae nikaona nakufa kivuli kinatengna na mwili wangu Kisha Nika amka kutoka usingizni naomba uniambie hii ndoto Ina maana gani
@samiamohamed7602
2 жыл бұрын
Aslam alaykum sheikh,, pole na majukum,, naomba kujua ndoto hii,,niliota nimeumwa na nyoka maranying Hua naota ivo na pia namwote na mwanangu anakimbiza na nyoka
@reginadzame6015
4 ай бұрын
Unamuota nyoka unamkimbiza umuuwe na yeye na kutoroka
@HawaSalehe
Ай бұрын
Shekh mm naota sana hao nyoka na kuwaota marehem je nifanye nn
She Mimi niliota ndoto nyoka wa njano amekatika kichwa lakini Bado anatembea anakitafuta kichwa chake
@alimaomary8515
Жыл бұрын
Naombe mnisaidie hili jamani ua naita nipo namimba tena kumbwa yakukomaa napia wakati mwengine uota zaidi yamara mbili kwausiku mmoja niambieni jamani hiyo ndoto ninzuri au mbaya mana hinafululiza kila siku
@halimabaishe2326
2 жыл бұрын
Assalama laikum warahmatullah wabarakatu Shekhe Mimi niliota nyoka wawili wakinaangaliya tuliangaliyana machokwamacho lakini nikawanaogopa natetema katika ndoto ndio nikastuka ucngizi hiyo maana yake nini Shekhe manake Toka niote sinaraha nimtu sayote nimnyonge
@NajimaNichole-oz3zv
7 ай бұрын
Niliota nyoka mkubwaaa kazunguka kabati lakini kichwa chake juuuu ni sura ya mama yangu tena kakasirika ana muangalia vibaya dada yngu yuko getini kubwa na dadayangu pia anaogopa kuingia getini 🙏
Sheikh mm naota sana naokota pesa tena zkiwa zimepagwa kla nkienda mbele naziokota ila ikifka ya nne au ya tano kuokota tu hunijia ah pengne ni mtego wa kitu kibaya huziacha haraka naomba unitafsirie
@user-us1wc1qy9n
8 ай бұрын
Mimi nimeota nyoka amenirukia nikiwa nimelala
@zaituniabubakari7329
Жыл бұрын
Uyu shekh nampataje niko na hiyo tatizo toka juzi napatwa nahilo tatizo nashutka nafukunzwa na nyoka naota silali kwa raha simchana wala usiku
@user-sn8rn9hn5d
4 ай бұрын
Shehee nisaidie maana ya hii nyoka naota napigana nayo na nikamshinda nyoka huyo
@kennedykalenga1506
Жыл бұрын
Nilishaka wai kulota ivo
@anliomaromar7163
2 жыл бұрын
Asalamu alaykum mualimu.mim nimeota ananifukuza nyoka mkubua Ana mabaka meusy badae nikanza kunfukuza na Mimi alikimbilia shimoni
@bellahashim3787
2 жыл бұрын
Ukiwota watu watatu wasiyo eleweka wanagewuka wanyama wakali. Kama nyoka mukubwa sana na Simba wamakali pamoja mamba mukubwa sana
@user-lv3pf9mq3c
6 ай бұрын
Mm niliota nyoka ameumia mkia wake lakin anatoa Moshi nnin maana yake
@yasalaam590
2 жыл бұрын
Naomba niombee dua nimemuota huyo mnyama lakini nilimuota upande nyoka kichwani lakini mkiani ana mkia wasamaki
@siaalexander609
Жыл бұрын
Mimi nimeota ndoto ya nyoka wengi,wengine wakubwa,wengine wakawaida,wengine nawaua wengine siwauwi.....inamaana gani
@lrene4442
Жыл бұрын
Uyo ni mimi kabisa jamani
@akimuabdallah8039
2 жыл бұрын
Ili usiote ndoto yoyote unatakiwa usilale ila ukilala tu lazma utaota unataka usitake
@johnsonproductions254
Жыл бұрын
Hi
@candypowz1274
2 жыл бұрын
Mbona mm huwa naota nyoka wengi ila hawanitafuni wala hawanifanyi chochote napita na wao wapo
@halimahamis3742
2 жыл бұрын
Shekhe mimi huwa naota nge tandu nikiwa usingizini marakwamara inajirudia kila mara
@sumeiyamaddy95
Жыл бұрын
Yani mpka kitandan naota
@anithabashir6406
Жыл бұрын
Nimeota ndoto nyoka watatu wame fariki
@alonngoko7814
Жыл бұрын
Nliota ndoto mwanangu amegusa nyoka paspo kjua akang'atwa mkono nakatka harakati yakumsaidia nkaamka Toka usngzn nauliza mama ya ndoto hiyo Nini?
@nameno8608
Жыл бұрын
Mimi niliambiwa Nyoka ni mizimu yetu ukiota nyoka ujue mizimu inakulinda pia nyoka wote si wabaya wapo wenye sumu na wengine ni wema tu tusiwachukie nyoka ni viumbe kama sisi
@chinguilechinguile1501
9 ай бұрын
Mlinzi wa kweli na haki ni Allah pekee.tumtegemee Allah pekee tuache habari za mizimu ni shirki.
@salmauae2261
Жыл бұрын
Mimeota nazaa nyoka mpaka nimeshituka
@dianabosibori8476
9 ай бұрын
😮😮😮khai
@user-jd8th7xd6u
8 ай бұрын
Sekh mm tangu nilipofikish miaka 12 paka sasa nina miaka 18 na haiwez kupita wiki bila kuota Njozi za nyoka na nyoka wenyew naota nyoka zaid ya 50 alfu japo na wingi wao wote hakuna nyoka hata mmoja ambaye ananinga'ata sasa labda unisaidie ndotohii maana ake nini maana ni miaka mingi sana na ndoto ni aina tofauti tofauti ila zimejazwa nyoka kila pande zinaishia kunitambaa tu
@sharifayusuph7
Жыл бұрын
Naomba nisaidie kujua maana ya ndoto hii...nmeota nitojifungua watoto mapacha wawili wakiume na watu wananishangaa nimejifungua vipi wakati sikua na mimba
@veronicamaghembe2102
4 ай бұрын
Hii ni ishara nzuri ya mafanikio kwenye maisha yako
Пікірлер: 74