Sajili nyingine Hadi uvivu kusikia et mwamnyeto kibwana Yani hovyoo tu
@MeliusAdloph
2 ай бұрын
Yani simba msim huu msitufanyie utani kama msm ulioisha❤
@ElibarikiBulugu-fx4ug
3 ай бұрын
Kelele mingi sana Mwisho wa siku,tunaletewa Mandazi yamesajiliwa!! Daadeki wallah!!
@theonasmkoba6121
3 ай бұрын
Mhakikishe MISUMARI inapigwa vita kwa njia yoyote ile. Tumechoka wachezaji kutegewa MISUMARI
@RonnyAdrian-m7o
2 ай бұрын
❤❤
@CoblaEdward
3 ай бұрын
Yetu macho
@LawiMsigwa-xl7sk
3 ай бұрын
Safi Kabisa kamati ya ufundi leteni majembe mapya
@revocatusmalimi4525
3 ай бұрын
Ayubu lyanga siyo aina ya wachezaji wanaohitajika Simba kwa sasa
@ngusandongo6866
3 ай бұрын
Kweli upigaji mwing sana simba
@galuskisonga
3 ай бұрын
Viongozi mumekuwa na maneno matamu ya kujiamini lakini mkifika uwanjani Madudu , Msipobadilika ! Msimu ujao nafasi ya 4 inawahusu
@mohdtza
3 ай бұрын
Simba Nguvu Moja
@TheclassicKundiB
3 ай бұрын
kwer simba tunapengo
@JoelMwalongo-cr1bi
3 ай бұрын
Mmmmh
@TonyMaenge
3 ай бұрын
Dah ila yasije yakawa mengine baada ya usajili
@AthumaniChuji-w7w
2 ай бұрын
Simba
@Nurukindenge
3 ай бұрын
Nuru kindenge❤
@ThomasMsita
3 ай бұрын
Kwel unajuwa kutushka maskio mashabiki kwa kutudanganya kusajil wachezaj lkn mwsho wake wausajil mnatuletea wachezaj wabovu hatutawaekewa tutawatukana sana
@bakarimmbaga2344
3 ай бұрын
Mmh! Tusubirini tuone maana hii mitandao bana.....
@MubaMninde
3 ай бұрын
😊😅😢😮
@KwilasaBugumba
3 ай бұрын
Saki
@EliyaAnody
3 ай бұрын
Simba fanyen usajili msifanye utan
@SelemaniHalfanially
3 ай бұрын
Amna Kaz kuongop
@BarakaPatrick-qe6se
3 ай бұрын
Mmmmh weee
@leonardkinoshi6393
3 ай бұрын
kibwana waniniii?
@BettyChalamila-dj3cm
3 ай бұрын
Kibwana wa yanga asije simba
@lucastungera4495
3 ай бұрын
Tatizo mmezidisha uongo
@Furahamwapule
3 ай бұрын
Tumechoshwa na uwongo
@revocatusmalimi4525
3 ай бұрын
Mbona wote wazee tu kama hawa tuliokuwa nao.Viongozi wawe makini yasije yakajirudia ya msimu huu.Tusitumike kama shimo la taka wanaokataliwa kwingine na sisi tunachukua
@EnockBalama
3 ай бұрын
Saf
@JabirYusuph-m4o
3 ай бұрын
mpaka tuone
@SaneRajamoAdamo
3 ай бұрын
Voces mentira
@LaheliMathiaskalabwe
3 ай бұрын
Ukwer wajinga ndio waliwao
@EsterMwandola
3 ай бұрын
Simba tumechoka kudangaywa
@dnewztz
3 ай бұрын
Pole ila Kuwa na Imani na Uingozi wa timu yako Utafanya Jambo
@FrankPaul-ip5tr
3 ай бұрын
Amna huyo hovyoo kabisa
@ChandeMbaujika
3 ай бұрын
Kwa kusajiri majina ya wachezaji wanaofanya vizuli paletu inapofika mda wa usajiri mko vizuli Ila dirisha likifungwa angaria majina ya wachezaji walio ondoka tofauti kabisa hiiiiii unaitwa mda wa danganya toto
@LaheliMathiaskalabwe
3 ай бұрын
Ukwer wajinga ndio waliwao
@EdisonJuma-b1k
3 ай бұрын
Asante simba kwa usajil mzur
@mrfreytz
3 ай бұрын
Leteni Vyuma Wana Lunyasi
@ShedrackVenanti
3 ай бұрын
Bado sijaona usajir wa maana manzoki na kibwana wakazini gani kwahari iyo hatufiki mbari munazidi kutuumiza mashabiki wenu
@rajabumwarabu9092
3 ай бұрын
Tumewazoea kudanganya /chupri chupri tu..
@JOTACEJARUBES
3 ай бұрын
Simba msifatilie cv ya mtu fatilia mda huo yukoje sio yalio pita
@YustonLukumay
3 ай бұрын
Waongo mnatudanganya kwa misimu minne sasa
@dnewztz
3 ай бұрын
Msimu huu viongozi wamedhamiria Kuweni na Imani
@DanielidaudyliganyaDanielidaud
3 ай бұрын
Ansanten simba
@JumaKatwanga-jq4gh
3 ай бұрын
Kwa kuwavisha majezi ya simba mnaweza na usajili wa mitandaoni mzuri lakini matokeo ya mwisho upuuzi mtupu kwa kuuza mnajitahidi xna
@dnewztz
3 ай бұрын
Mkuu hizi ni tetesi usichukulie sana serous Hakuna ambapo nimesema usajili umekamikika
Пікірлер: 48