What Pastor is explaining about his life is what we hear in his preaching his desire for people to know Jesus waooow very powerful testimony be blessed Man Of God I pray for you May your ministry go further ili watu wa Dunia hii wamjue huyu Yesu.🔥🔥
@jojianaskibura3190
Жыл бұрын
Nakukumbuka pastor ukiwa SUA tuliabudu wote kwa the late pastor Lyoba, ulikuwa unaonyesha kweli umeamua kumtmikia Yesu. Ubarikiwe sana endelea kwa nguvu hizo hizo kama ulivyosema ufalme wa Mungu hutekwa na kwenye nguvu.
@daudchachaitindechachaitinde
3 ай бұрын
Namimi natamani kusimama kuifanya kazi ya mungu naitaji maombi yenu watumishi wa mungu ,by daudi itinde
@elijahwaweru2309
Жыл бұрын
One year since I started listening to this Man, for sure God can use anyone as long as he can choose you...
@elvissam7897
2 жыл бұрын
This brother is smart!Una uwezo mkubwa wa akili,both spiritually na mwilini,niliskiza siku moja nikaamua kuendelea
@euphrasiantawatawa1510
Жыл бұрын
Nswila ni shule nzuri sana mbeya
@isaiahzakayo5318
10 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana mtumishi we were created for greatness
@winnerjudith2007
Жыл бұрын
ushuhuda wako umenivusha sana Pastor umeongea point
@christophermwandemange796
Жыл бұрын
Mbalizi-mbeya Nsalala shule nzuri, viboko sana injili sana shule sana, Barikiwa sana, life-Jesus = zero
@kimkimbeth7918
Жыл бұрын
Late Mbalizi members 🥰
@latiphajackson4901
3 жыл бұрын
Ameniiiiiii hakuna kuwa dhaifu dhaifu hapa ni kuwa wakakamavu nmebarkiwaaa💕💕💕💕
@mercy342
Жыл бұрын
Mungu anatoa kitu chema ndani ya waovu maoni ya yohana ndani ya biblia anasema nliona mishumaa sana ndani yake nikamuona mwana kondoo aliye chinjwa yesu kristo In God nothing impossible 🙏🏽🙏🏽
@elleng5227
Жыл бұрын
Ila ufalme wa mbinguni si kama wa dunia hii, kwamba we need security and financial systems sjui nini za dunia hii, unguvu unaoongelewa ni wa kuukubali huo udhaifu katika dunia hii, The word says alie mdogo ndie mkubwa mbinguni, heri walio maskini wa roho..heri wanaolia sasa maana ufalme wa mbinguni ni wao..kuikubali aibu kama Bwana wetu Yesu..kwa kifupi bro Tony angalia vzuri the root ya wito wako na Mungu akajifunue zaidi katika huduma yako..Peace and one love pastor.
@user-zz6zj4ei8f
6 ай бұрын
Ameeni🙏🙏
@mwl.lydiamcharo4376
Жыл бұрын
Mahojiano mazuri...kla sauti ya ala ya muziki iko juu sana
@edithakyando8554
5 ай бұрын
Akuzidishie MUNGU Tony nakuerewa mtumishi wa kristo iposiku nittafika morogoro
@marie-noellemunengela4783
Жыл бұрын
Mimi sio mlokole, lakini nakupenda saaaana Pastor kwa wisdom yako na ginsi unavyo ongelea Bwana. Maubiri yako yananisaidia saana.
@user-sx5zn1sx4z
4 ай бұрын
Okoka uje kwa yesu
@ezekiamgwasi7822
Жыл бұрын
Nafikiri na viboko vya swila vilichangia na wazazi wako walikupeleka swila walijua kule utanyooka maana pale palikuwa na fimbo za maana hongera kwa utumishi
@johnbernad3990
3 ай бұрын
😂😂
@mourine2268
6 ай бұрын
Wonderful testimony impressing
@ananiasgervase-cj2yi
Жыл бұрын
Yaan huyu pastor ananibariki kwa kweli.. Yaani kila anaongea ni point 👍👍 Actually He is so impressive
@joynessmhalila226
2 жыл бұрын
Dah pastor umenikusha, yaan your interview is very power yaan nmekupenda bure, really you made same thing in my life, ooh haleluya kwa yesu kweli nikutamu Sana,
Mungu Akubariki sana Pastor Tony Kapola Nina furahi sana kusikia ushuuda huu
@WinneSylvie-nf1qf
Ай бұрын
May the God give you more strength
@rogersnyangaga6275
2 жыл бұрын
A powerful testimony full of wisdom......
@elizabethmabiki8503
10 ай бұрын
Unanibariki sana mungu azidi kukutunza Pastor
@ireneamanimusician9635
Жыл бұрын
This back stage is lit aisee i love it Kwakweli
@janetchriskagona831
Жыл бұрын
So powerful 👏 🙌
@roseminja4202
Жыл бұрын
Very powerful 👏 🙌 🙏 👌, nimejifunza kitu kikubwa leo
@jacksonchiwalanga4817
2 жыл бұрын
There is something inside of this man
@gooddeeds162
Жыл бұрын
The Holy Spirit of course 😊
@user-ul4bb1rt6x
3 ай бұрын
Please dear God as this year going to end please God change my life am real tried of everything i have passed throw plz change my life am ready to change am ready to follow ur rules please 🙏🙏 help me dr God change my life so as nikutumikie watu wakuone kupitia mm
@annamwagilo1489
3 жыл бұрын
Be blessed Pastor.....hahahaaa nimefurahi
@happyelias9465
3 жыл бұрын
Nilizani Tanga wanatoka tu waganga na waimba taarabu ,kweli Mungu anaishi yaani mtu akiniambia natoka Tanga la! Mungu akubariki
@lwihurazakayo3864
3 жыл бұрын
Sasa ninakufahamu japo KIDOGO na nimekuelewa Pastor.Huwa nakufuatilia ktk mafundisho yako
@highzacknnko9685
2 жыл бұрын
Ameeeeen
@sebonikegobi6244
Жыл бұрын
Alizaliwa tanga he ni mtu wa Tanga
@djackishara-lj6zd
Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu ni mukubwa zaidi sana pamoja n'a Mungu yote yana wezekana Mungu aku bariki mchungaji 🙏
@heriethnyaki4816
3 жыл бұрын
Iko sawa sana... Kwa sura na mfano wake
@lillxchichi8643
3 жыл бұрын
Very sincere and inspiring testimony.
@consolatatangas7037
2 жыл бұрын
amen
@nihifadhiidarusi6233
2 жыл бұрын
I LOVE THIS,JUST PERFECT,SERIOUS MINDED PEOPLE BECOME VICTORIOUS
@justinalyimo9834
Жыл бұрын
Umenibariki Sana mtumishi.
@kyalagwamaka1550
Жыл бұрын
Huwezi itenganisha Mbeya na injiri ya kristo Yesu Tanzania kama unakubaliana gonga LIKE
@kyalagwamaka1550
Жыл бұрын
Huwezi itenganisha Mbeya na injiri ya kristo Yesu Tanzania kama unakubaliana gonga LIKE
@elysefuraha1284
11 ай бұрын
Asante saana wangu pastor
@davidokhaga5831
Жыл бұрын
am so proud of you pastor
@judithsalvatory2892
Жыл бұрын
Amina
@jimmycliff6977
2 жыл бұрын
Hahahahaha hawana vaibuuu...!!!! Unatupa vaibu Now days Kwa kweli...!!!
@khakinagentrix3982
3 жыл бұрын
Napenda kiherehere chako, ndugu,
@salomeezekia4239
Жыл бұрын
Hakika unamafundisho mazur Sana Mungu akubaariki
@marianyange3013
2 жыл бұрын
Pastor ilikuwa mtundu mno,ubarikiwe
@tabumwangomemazera
Жыл бұрын
GOD bless you bro
@msafirimfilinge4308
Жыл бұрын
Mzuuuuuuka 😂😂😂😂😂😂😂 ubarikiwe sana
@sj-dg8wg
Жыл бұрын
I will be the best as Lord is the best. Amen
@deboramsangi360
Жыл бұрын
Nakuelewaga sana pastor
@naahbby-fk9vo
Жыл бұрын
Nitakuwaa Bora Kama yesu
@winnerjudith2007
Жыл бұрын
Mungu akubariki Pastor
@judithnjunwa6668
Жыл бұрын
Jamaa kanipa neno la maana Sana na akili zaidi juu ya MUNGU na kujiamini, barikiwa mtumishi wa MUNGU
@annamwagilo1489
3 жыл бұрын
You are so Strong Pastor
@pastortonykapola23
3 жыл бұрын
Bless you beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation ( LIVING FOUNTAIN ORPHANAGE FOUNDATION.) in Lagos state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Help them contact the MD in charge of the orphanage to get their Bank Account or Transfer details. Here his official email: (livingfountainorphanage07@gmail.com) tell him I sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you
@philemonmlowe7418
Жыл бұрын
Smart one
@rachelyombi3785
Жыл бұрын
Powerful testimony....God bless you for blessing us.
@zainabmbarak1043
2 жыл бұрын
Mimi sikuwa naumwa😀😀
@jenelithangemalila5160
2 жыл бұрын
AMEEEEEN
@mwanashagladys4581
2 жыл бұрын
Amen
@tausihasheem5169
11 ай бұрын
Eti walokore hawana vibe🤣🤣🤣
@abordercypirian9118
Жыл бұрын
Kapola I accept you much broe endelea Kuni ment kk
@yusuphmbembela1151
Жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua tunajifunza mengi kupitia wewe.
@IvanaDaudi-qe3dc
Жыл бұрын
Swila iko nyumban kabsa Yan
@sheen2756
2 жыл бұрын
You are so true
@emasonnziliye8711
3 жыл бұрын
Good
@barjonahondachi4656
2 жыл бұрын
Very inspiring
@philemonmlowe7418
Жыл бұрын
Smart one
@martintv9696
Жыл бұрын
Wandishi hamfanyi interview kwa ethics. Hump candidate wako nafas ya kujieleza step kwa step
@hendrycomonsiwenga1128
Жыл бұрын
Eti mimi sikuwa naumwa! Ila umenichekesha sana Pastor Tony. 😀😆🤣😄😃
@eliasbagaya360
Жыл бұрын
The interview was good and GOD breesing you bro. but I like it
@AishaOman-qz7tn
Жыл бұрын
❤❤❤
@judithnjunwa6668
Жыл бұрын
Safi samaa
@SCAPLER_SNIPER
2 жыл бұрын
Part 2
@irenemark6908
Жыл бұрын
Hapana kusudi la Mungu lazima liwe na sababu na sababu ikaanzia kwenye kijana kusogezwa mbavu na jamaa akapelekwa Mbeya huko akutana na Mwamba Yesu 😄😄😄😄
@thomasrodriguez7684
Жыл бұрын
Sauti hii km Diamond platinum
@tausihasheem5169
11 ай бұрын
😅kwakwel
@vickysteven1172
6 ай бұрын
Kweli
@msafirimfilinge4308
Жыл бұрын
Strong pastor
@SusanaSimoni
3 ай бұрын
Maana hata kama ni uongo watu wanaunga hoja angalieni mh
@meshakimsacky4746
Жыл бұрын
Rashid Sadick.
@ikuucharliez
Жыл бұрын
Biggest lesson to us
@msafirimfilinge4308
Жыл бұрын
Pastor of leave pertime
@jazzwambu575
Жыл бұрын
The interview was good but the music back ground is too much should be quite so interrupting like your teaching pastor Tony.
@SusanaSimoni
3 ай бұрын
Hii inaonyesha wakristo wengi hawajui nini maana ya ukristo
@barjonahondachi4656
2 жыл бұрын
Hio sauti kwa backgroung mbovu sana
@mbazibamilka8129
3 жыл бұрын
Yes sir
@malopemaliyamungu5243
Жыл бұрын
Sauti Sasa.. Kama Ida Kapola sijui Ni Dada yake Pastor? 😅😅😅 Sauti ya kukwaruA
@emmanuelkyando6935
Жыл бұрын
Ni dadake ndio.Edina,Ida,..
@malopemaliyamungu5243
Жыл бұрын
@@emmanuelkyando6935 Aisee 😅😅.. Safi sana. I salute them in the name of JESUS.
@nicebatare2737
Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@msafirimfilinge4308
Жыл бұрын
Pastor of leave your life pertime
@SusanaSimoni
3 ай бұрын
Wee ni muongo maana maandiko yanasema karama na mwito havina majuto mtu anazaliwa nazo
@jenelithangemalila5160
2 жыл бұрын
AMEEEEEN
@nginyikimaai7750
2 жыл бұрын
Hata mimi nimemsikiliza mchungaji kijana, yupo vizuri sana! Mungu amempa Kibali, MSUASO.
@tanzaniamovie3792
2 жыл бұрын
Amen
@sofiarugoye7929
Жыл бұрын
Napenda Sana nahubili yako,unahubili ukweli kabisaaaaaàaaaMungu akubarikie
Пікірлер: 109