Licha ya kumchangia tafadhari aombewe sana wapo walio na habari hizi lakini hawathubutu kufungua midomo yao kwa kuwa hawako sawa na Mungu na hawaja chukuwa hatua za kumumfanya Yesu Kristo na kufanya kuwa BWANA na mwokozi wa maisha yao , wengine wanadhani muda bado wakusema hayo mambo.
@derickcowly6681
Жыл бұрын
Asante sana kwa ukweli Mungu akubariki sana ktk kristo Yesu asante Yesu kristo kwa kumpa roho ya ujasiri kuokoa Dunia
@user-xh1uu2bd9p
Ай бұрын
Tlnisiongee sana ila ukweli ana ujua aliye umba mbingu na nchi , ambaye ukisoma Mwanzo 1. 1 hapo mwanzo kulikuwa na mungu amvae mungu aliumbabingu na nchi na vitu vyote vina vyoonekana na visivyooneka , Kwa hiyo yeye ndiye aonae sirini mwa wanadamu coz aliumba Kila kitu 🙏🙏🏿
@emilyrissling9703
5 ай бұрын
Amen and Amen, wewe Casian unawito mkubwa wa kufungua funiko wale wanataka kusikia na kuona watasikua, wenye kukupinga watapitwa ,nungu akulinde na akutie Nguvu usimame kwenye nafasi yako vizuri
@yesuanikumbukejanuary8363
Жыл бұрын
Ameeni MUNGU akutunze mtumishi MUNGU ni MUNGU haja wahi kushindwa lazima atushindie pia MUNGU ni mwema amekuponya kipindi ulikuwa una umwa pia MUNGU awakumbuke woote walio toa sadaka zao ukaenda kutibiwa.
@annewanyonyi-nb1zh
Жыл бұрын
Mungu wetu ni wa neema sana.Yeye hutuwazia mema kila wakati na hii ndiyo maana anamficha mtumishi wake katika kikundi cha maadui ili amfunulie uovu uliopo mle ndani na kisha kumpa ufahamu wa kutasimlia watakatifu wote ili isije hata siku moja wakakosa kubambanua ishara na uongo wa muovu huyo ambaye ni shetani kiongozi wa uasi wote duniani. Asante sana mtumishi wake Mungu kwa ujasiri wako na kwa kutuokoa sisi ambao hatuna uelewa wa hayo yote yaliyokusibu na kutusaidia ili tuepuke moto jehanamu kwa kutafuta umarufu duniani.🙏🙏🙏🇰🇪
@paskalimichael3994
6 ай бұрын
We need power of JESUS to push to our destiny in everything
@mosesandera6970
6 ай бұрын
the power is in the watchman...has been prepared by the Almighty father himself the most high Jah...be cool children's and lets keep on praying to the father and ask for change because the world is on crisis knows so we have to make the change or it will be no change #watchman
@AdamMathias-db2jq
9 ай бұрын
God akujalie kaka akupe ulinzi wa kutosha. Tuna barikiwa sanaa!!.
@user-rn2ud7yh1q
Жыл бұрын
Daaahhhhhh...!!! Nimeipenda hii habari inawafaa Sana waliopotea..,,,,!! Endelea mbele,walimpinga Musa,Elia,Yoshua,Paulo na wengine wengi,kwako isikusumbue hubiri tupone Mchg!!!!!
@gabrieljemawo7828
Жыл бұрын
Amen pia nakuomba ukuje kenya ubirihi huu ujumbe
@TosigwegeraisonMwakisenjele
6 ай бұрын
Ubarikiwe sana mwenye mungu akulinde na kukuepusha nawatuwabaya
@mitaocamilliusthegreatest7517
Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kutuimarisha kwa kweli dunia ina mambo mengi mno hakika!
@TheMvenTvfamily
Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa mungu Kwa kutuelezea ukweli uliopo,mungu ndiye njia pekee ya ukweli...
@adamjulius9782
Жыл бұрын
Nikushukulu Sana kwa kutoa sili za adui yetu maana umetaka kusaidia wengi. Mwenye sikio na asikie neno hili ambalo roho ayaambia makanisa
@kamgishaisaya4763
8 ай бұрын
Amina, ni ufunguo tosha kwa mawaka mbalimbali katika sekita m alimbali
@johnemmanuel7805
Жыл бұрын
Bwana Yesu aendelee kukulinda na kukupigania.Watapigana nawe lakini hawatashinda.
@bettymuhonja9967
6 ай бұрын
Bwana yesu kristo akuwezeshe na neema yke ikutoshe ,,,Bwana Yesu kristo na. akulinde akufunike kwa damu yke takatifu mchungaji mie nakufuatila unahubili ukweli wale ambayo nivipofu macho kuelewa nivigumu muno but mungu azidii kutupa nguvu Ameni
@Muislaelmumina
11 ай бұрын
Amen 🙏 barikiwa Sana mimi sina mali lakinitu niombee nipate mtumishi wamungu niko hali ngumu
@user-dh9gb8yn7y
8 ай бұрын
Daaah Mungu a2saidie akina sisi 2nayopitia kwenye maisha magumu mpaka 2naangaika mpaka kwa wachungaji ambawo upako wawo ni wa shetan
@ReginaMasalu-hk8ho
11 ай бұрын
Mungu akubariki kwa kuwa thabit kwenye maamuzi yako, you are so strong! Stay connected always.
@Chekakidogo2
Жыл бұрын
Amen nimebarikiwa sana kwa ushuhuda kamanda wa Yesu,tunaomba mwendelezo.
@laninjeje8290
6 ай бұрын
Kama unashangalia stori za Freemason wewe ni chizi
@JenipherJoachimu
22 күн бұрын
Mmh mtumishi unaonyesha unauchungu na watu wapotosha Imani ya kwel barikiwa
@VictoryMesu
4 күн бұрын
Huyu bado hajatoka huko kama kweli wapo maana mimi sijui lakini kama ametoka angehubiri hari za ufalme wa mungu
@SafiAkinyi8361
Жыл бұрын
AMEN AMEN 🙏 🙌 LAKINI BROTHER KUA MAAKINI NA HAWA WATU WA MEDIA KWA SABABU NDO WAMEANZA KUKUTAFUTA KWA WINGI HAO MAADUI WAKO WATATUMA WAO SASA KUA MAAKINI TAFADHALI
@alainmuhigirwa5151
Жыл бұрын
Umeongea ya mana ndugu
@joycerehema9258
Жыл бұрын
000⁰⁰⁰⁰
@beautyibrahim8428
Жыл бұрын
Kama walishindwa kumuua kipindi kile bc hawawezi
@josephinmwanibanza6001
Жыл бұрын
Mungu tu amtetee
@rachelmaina3476
Жыл бұрын
Amelindwa na damu ya Yesu kwa hivo atawatambua na hawatampata
@madam-florensialutego
Жыл бұрын
Kweli tuliozaliwa familia za huko usukani elimu zagiza tunakuwa tukizijuwa natutakuwa tulikuwa nikaisha ya kawaida ila unapokuja kukutana na kikristo ndipo utajuwa kwamba elimu hiyo si sahihi na Mungu anapenda kutumia wafu wanaomba hiyo kwamba wanakuwa kweli yagiza kubwa niuwongo hakuna kweli hata moja ila Mungu pekee anaetusaidia nakubaki salama
@michaelmwalimu6057
Жыл бұрын
Hongera sana kaka Mungu baba ktk kristo amekuokoa kweli
@FistonMarc
2 ай бұрын
Yesu kriston skyline sana nanguvuyamungo idhidi kuwa pamoja nawewe amen
@peterodongo7847
7 ай бұрын
amen!!! kwa Mungu Kila kitu kitakuwa wazi .
@ByamunguErnest-jc7kd
Жыл бұрын
Mungu akufunike na mukono wake🇨🇩👏🇨🇩.
@thomasamri
Жыл бұрын
In the might name of Jesus amen
@MamaBarakha-no3bj
Жыл бұрын
Safi mtumishi wamung usiogope Mungu yu nawe ata kulinda
@yaduniamapitotz26
Жыл бұрын
Amina pamoja munguatuokoe
@user-wi2vr4bt1t
4 ай бұрын
Mungu akusaidie ktk maisha yako
@paulinewambui6763
Жыл бұрын
Chunga pia hizi Juice zao
@RebeccaMwaja-je7jk
Жыл бұрын
Barikiwa Sana napenda Sana watu wanaochana ukweli
@RegineBuloze
Ай бұрын
Sio wote watakuelew baba amen ❤
@israelmlabwa9783
Жыл бұрын
Mungu akutunze
@gasparlubaga5866
10 ай бұрын
Wonderful story
@Muislaelmumina
11 ай бұрын
Amen 🙏 apo sasa
@ElishaMwashiuya-rz4dn
Жыл бұрын
Asante nimejifunza japo siwez kuerezea nilicho jifunza, usiache kusema endelea mungu akutumie zaid mana saut Yako Niyamungu , na mungu amekutumia wewe uje utufundishe
@user-zx4zr3hc7y
Күн бұрын
Hili jamaa jiongo vibaya sana
@mosesmwailenge5192
Жыл бұрын
Hao wAtu wame nisumbua saana katika maisha yangu kamà kujiunga ningesha jiunga muda lakini atukuzwe yesu wambinguni Kwa kuniokoa 😢🙏🙏
@rowenalilie993
Жыл бұрын
Ni YESU. SIO yesu
@mosesmwailenge5192
Жыл бұрын
@@rowenalilie993 sija soma nimeishià lapili kwaiyo utaelewa ivyo ivyo mpaka hapo nimejitahidi saana wengine hawajui kabisa ivyo nashukulu MUNGU kwa yoote kwani neno lasema tushukulu kwa Kila jambo
@chrithicksambo2287
Жыл бұрын
Say YESU Bro ✍️
@user-xq3xr9ui1w
Жыл бұрын
Na we uliwavutia na nn?
@zaitunjuma870
Жыл бұрын
jee ulisaidik vip nina ndugu yangu wana mtisha sn kwa kumwambia wata muwan man yy aliwapigia cm na kupewa maelekezo yao lkn imekuwa ndo chanzo icho
@user-gk8vg4ow2i
3 ай бұрын
Hongera Kaka kwakumpokea yesu
@AgathaPesambili
Жыл бұрын
Umetisha brother kama movie naisubiri party 6
@hezronsanga5197
Жыл бұрын
Amen, Yesu tumain langu
@PeterPhilemonNzigula
10 күн бұрын
Asante sana
@mjumbewaaganoduniani
Жыл бұрын
Nimeitwa na Mungu mwaka 2000, 1,1.tarehe moja mwezi wa kwanza mwaka elfu mbili.hapo ni mwisho wa utawala wa shetani duniani,na mwanzo wa ufalme wa mbinguni hapa duniani,yaani habari njema ya ufalme,na Mjumbe wa agano duniani John Isaya Igumi nipo Tanga Handeni ninakuomba unipe nafasi ya kufundisha Neno la wakati huu, Malaki3:1-6. Isaya 41:1------.
@mjumbewaaganoduniani
Жыл бұрын
Ninakuelewa sana ila jua kuwa Mungu hawezi kufanya jambo lolote bila kuwajulisha watumishi wake, na hii ni saa ya mjumbe wa agano duniani nikaribisheni basi msikie alicho sema Mungu juu ya dunia.
@HebronMwasomola-iq1eg
2 ай бұрын
Ubariwe sana atadhibitika katika haki atakuwa mbali y kuonewa
@issabaraka2850
Жыл бұрын
Félicitations
@AgnessChalles
Ай бұрын
Asante kwanifumbua mim ninamadeni mengi sana nikua nataka kujiunga 26:21
@alainmuhigirwa5151
Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi. Nakusikiliza kwa makini nikiwa apa bondeni Johannesburg 🇿🇦🇨🇩
@veronikashija4979
Жыл бұрын
🎉
@SmilingJellyFish-vf6xy
7 ай бұрын
Amiiina nachukuru Mutumichi. Wamungu.
@milkambithe4622
Жыл бұрын
Uyasemayo ni ya kweli kabisa 👏👏,wale wanaotembea katika ulimwengu wa Roho wanaufahamu hiyo kabisa
@georgemerere6097
Жыл бұрын
Mm naogopa
@WillBat-gc9ex
7 ай бұрын
Ubarikiwe sana casim
@collinsmercy3971
Жыл бұрын
Mambo mazito kweli Asante kwa elimu
@MariamElias-qz9tk
3 ай бұрын
Dear Nice
@JosueMumbereVasugha
Ай бұрын
Mungu akupe nguvu zaidi pasta.sio raisi kabisa
@magrethstany2032
7 ай бұрын
Mtangaze Yesu itoshe
@LeisaJonikaporua-lx4be
11 ай бұрын
love you Jesus for the other two
@user-rh9fd5or4r
Жыл бұрын
Eu Só Bernardo Filipe Tudo bem 🤲🤲
@user-cg9df5nt1f
2 ай бұрын
Mungu tusaidie
@MayalaDieseloil
3 ай бұрын
Aache uongo hawa wanakimbiria kwenye mafanikio ya haraka mwisho wa siku ndo wanakimbiria kwenye midia
@user-ll3zu8lz4y
7 ай бұрын
Ndugu haya simahubili mbona yesu hakuhubili maneno kama haya kwani unausiyano na mabo yakishetani juu unayaongelelea sana hubili ijili inayo tuwezesha kukaa imala katika Imani jameni Giza na Nuru zinakujia wapi uta zihubili zote kua na msimamo
@mikael1656
Жыл бұрын
Amen
@beatricefilbert1171
Жыл бұрын
Yesu tuokolee maisha yetu
@philoteuslwena3082
Жыл бұрын
Jamani mwendelezo bav
@AndreaMsemwa
Ай бұрын
Kazana kumuomba Mungu maana dunia ipo mwishoni
@frankdanford8245
Жыл бұрын
Elimu kubwa sana hii
@PeterMagwea
16 күн бұрын
tuache kejeli na kumuinjoy mtumish wapendwa hutaki kumsikiliza acha usimalize bando
@ChalitoAssumaneAssumane
2 ай бұрын
Salve Luz.
@ChalitoAssumaneAssumane
2 ай бұрын
Good afternoon master please ayuta mid-day Freemasons please.
@samyjoseph2732
Жыл бұрын
Te encontro no meio de Moçambique e África do Sul
@joshuacosmas681
Жыл бұрын
Mungu akubariki na akurinde
@zarizariboss4529
Жыл бұрын
Ok
@frankjohn8706
10 ай бұрын
Sura ni Cassian mikono ya mzungu
@florenceokullo6049
Жыл бұрын
Nakuamini sana mtumishi wa Mungu ila natamani sana nionge na wewe
@user-be8es3bu4i
7 ай бұрын
YESU NO.1
@cheiknamouna2058
Жыл бұрын
Kazi ipo kweli kweli 😂😂
@levocatuspjohn8638
11 ай бұрын
Nikweli kabisa
@mkojeragodsonofficial4664
Жыл бұрын
Kaka NAKUPATA vizuri Sana ni kiwa hapa mjini Arusha I love the kind of your gospel❤
@marylauwo
Жыл бұрын
Master j alikuwa hakupenda ushinde
@highzacknnko9685
Жыл бұрын
Arusha sehemu gani
@cobilmaster5221
Жыл бұрын
Tupe connection Sisi tukapige hela jombaaa
@okekemasimba9961
Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@wannaproducts
10 ай бұрын
Aitoe wapi hiyo connection tapeli muongo huyu
@benjaminwafula
Жыл бұрын
13days ago ndio nimeiona Sasa hv mchungaji kama ulivosema shetani akikuitaji nawe ukampa nafasi hapo panaitaji neema ya kristo iwe nawe bwana atakupigania kama Kuna mtu namfatilia Sana ni wewe mungu yupo nawe
@user-ni3lj3je6i
10 ай бұрын
🙏🙏🙏
@davibphilipo5425
10 ай бұрын
Naikumbuka sana bss 2009 stagen Michael Jackson wa bongo aliimba mpaka akachana fulana, lakin ulipopanda uliimba ukamficha na ulitunzwa sana pale stagen na ule wimbo wako wa shebeleza ulioukopi ktoka kwa marhem joe mafela, leo Mungu aliemgeza sauli muuaji kuwa paulo mtume amekugeuza na wewe, usrudi hko tena kama unavyoimba sku zote Mungu akushike mkono.
@abdallahsaidi7729
9 ай бұрын
elezea uliingiaje freemasons unaongelea mambo mengine unatumalizia bando ujinga mtu unaongelea aina aja kuongea ongea sana kaka atuuhitaji stor nyingine acha ushamba wew
@AdamJonas-sx4mi
27 күн бұрын
Vipi giza ndani yako lishakutoka lakini Casian? Maana naona unawavaa hadi watumishi wa MUNGU nakuyapinga maandiko Matakafu
@Ntomolapagu255
27 күн бұрын
🎉🎉❤
@veronicahkhaikwa4929
Жыл бұрын
Weee watanzania hamtaki ukweli njoo Kenya cassian
@Crabtree1844
Жыл бұрын
Ukweli gani wa Kenya wataka kushinda waTZ?
@WittnessShoo
3 ай бұрын
God help us
@sss3s867
17 күн бұрын
usike au kunywa kwa mkono wa kushoto.
@user-qy1fv6rm7v
4 ай бұрын
Mimi nataka kujiunga na chama cha freemason
@iranangole7007
Жыл бұрын
Nilkuwa na mfananisha kumbe Yey
@GoldvanJackson
3 ай бұрын
Rais samia mwenyewe ni freemasonry kwahyo sisi wenyewe tunajiongoza kama makomando
@manethmwiyanja2452
11 ай бұрын
samahani nirekebishe hapo hakuna mwanajeshi kuruta - kuruta ni mwanafunzi anaeanza mafunzo halafu anakuja service man kama ngazi ya jeshi anaanza na private ni mwanajeshi kamili kabisa na mwenye sifa zote za kijeshi ikiwa uvumilivu na zingine.
@user-ry9vx8yv7u
Жыл бұрын
mimi nataka nijiunge
@user-qt2mu1cn3t
5 ай бұрын
I love free mason💙💙💙💙akuna Alie wai kuwa mwanachama akatoka maana anapata manufaa makubwa sana yaakili naakili nimafanikio nahuwa awajitangazi kama uyu jamaa anatafuta ela za KZitem
@IMANIMWAITEGE-ve8gr
2 ай бұрын
Hujui usemalo MUNGU akusamehe VP na wewe umeshindwa Nini kutafuta hela KZitem
@jacksonjeizh2n353
Жыл бұрын
Bwana yesu aendelee kukulinda
@familykabange6328
6 ай бұрын
Katika ku katiliwa na Freemason ni kuna watu wanayo chapa ya MUNGU awa awakubaliwe,Wengine ni hawana Bahati,Wengine awana shuguli
Пікірлер: 288