Mama Asante kwa uteuzi wa JAFO, Waziri mzuri sana na atatusaidia sana, TRA ndo shida Tanzania
@allysimu6856
3 ай бұрын
Asante Sana mama unazidi kutupa raha watanzania mama chukua mitano Tena kulayangu niyako chukuaa mama chukuaa Tena mama nanikama mama mashaallah
@JosephKangungu
3 ай бұрын
Mama kaenda na wake wameshindwa Sasa jafo ataweza Hongera mama
@mswaki_newstz
3 ай бұрын
Big up sana Rais wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania 🇹🇿
@herryochola2650
2 ай бұрын
KAZI NZURI SANA MHESHIMIWA RAIS,MIMI NINA IMANI KUBWA NA WEWE.
@BigZhumbe
3 ай бұрын
JAFO CHUMA back in business 💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾
@imamwaki2566
3 ай бұрын
Asante Raisi, sasa unaanza kueleweka
@princeisaac2202
3 ай бұрын
Our President is very Calm, relaxed, composed, Not Talkative though She knows Alot, Mungu endelea kumtunza Rais Wetu, Amen.
@imallya6513
3 ай бұрын
Ni kweli mama!! Lakini swala la wageni kufungua maduka nje ya kariakooo sio sawa
@bugapeasant1827
3 ай бұрын
Umengea vzuri sana Mheshomiwa Raisi
@itanzaniaAS
3 ай бұрын
Mama nipe hiyo kazi mmi kwenye kazi i ni zaidi ya mwanaume
@RoanCorporation
3 ай бұрын
Mama iko mzuri Sana
@AbdallahBabu-jl8ld
3 ай бұрын
Mama kama kocha wa mpira anajua kupanga timu na anajua mchezaji gani anafaa acheze wapi Nani anafaa akae wapi. Big up mama akili kubwa
@azizimohamed9171
3 ай бұрын
Kweli mama kaamua
@AlHamra-k4u
3 ай бұрын
Hapa kwa jafo umeweza. Chalamila yeye anatixhia wafanya biashara. Hongera sana Rais Samia kuwapa makavu hakuna kukaa oficeni tatueni kero za wananchi km Mh Makonda. Chalamila ujumbe huo
@MaulidHimidi
3 ай бұрын
Tupo pamoja mama unaupiga mwingi
@melitajeremia
3 ай бұрын
Perfect kabisa
@shabanjuma4253
3 ай бұрын
Mkuu jafo hongera sana kaka
@DeusJackson
3 ай бұрын
Mama mitano Tena unajua kazi mama
@MikaJoseph-h4p
3 ай бұрын
Wakwaza leo kariakoo ime karia kooo
@bbclondonulimwenguwasoka6126
3 ай бұрын
Jaffo yuko vzr saaaaaana
@SAMISAI.
3 ай бұрын
Hapa Mama kaupiga mwingi
@zuberiismail2972
3 ай бұрын
Jamani wamachinga waliosajiliwa tunaomba wasibughudhiwe ila kama sio machinga ni mfanyabiashra kaweka meza nje huyo hafai anawaletea shida wamachinga waliosajiliwa na wanachama chao kizuri sana kinaitwa KAWASO hio organization ipo smart sana sema kuna watu wanaleta siasa kariakoo kichunguzwe waache wafanya biashara na wamachinga wafanye kaz kwa ushirikiano pasiwepo na migogoro
Пікірлер: 28