Mashallah asalkum vip hakika leo natoa ushuhuda kwa sala ya mtume s.w hakika ina maajabu makubwa subuhanaallah...mi niliposikia hay mawaidh nilimuhadithia mumewang na tukaaza kuyafanyia kazi hali yetu ilikuwa ngumu kimaisha basi baada ya siku 3 tu ilitokea risk tusioitarajia subuhanaallah Allah alitufanyia wepes na hadi sasa tunaendelea inshallah mpaka mwisho wa maisha yetu.
@sultanasalim5177
Жыл бұрын
Mashaallah
@rizikially9535
Жыл бұрын
Unasemaje hayo maneno naomba niandikie hapa
@jumaahmadi7909
Жыл бұрын
Maashallah
@zenasalum2231
11 ай бұрын
Maasha Allah
@omaramne4465
10 ай бұрын
@@rizikially9535unamsalimia mtume kuna namna tofauti ww utaangalia wepesi wako , Kama hujui hapa hapa KZitem Andika jinsi ya kumswali mtume itakuja alaf utaona.
@foodcook3626
Жыл бұрын
Sheikh unaniliza!!!! Nampenda Allah na mtume wake wallahi namswalia mtume idadi isiyo na hesabu hadi kufa yangu na kufufuliwa kwangu iwe hivyo mpaka ku uwanja wa hesabu aamin
@mkambaselemani-ej7np
Жыл бұрын
Sgeh naomba uniandukue Sala ya maradhi ya mtune hii qibrikunubi nijisaidue
@alyazain290
Жыл бұрын
Allaahumma aamin yaa rabby
@bipoposaidmohaa6242
Жыл бұрын
Assalam alekum vp hali zanu naomba kuandikiwa swala ya mtume iyo ya mwisho tafadhalini
@RosyKaemdin
6 ай бұрын
Maradhi na shida mara 1000 Allahuma swali alaa Muhammad waala ali Muhammad twilb khulb wadhawahia waafiat liabidani washifahiwa wa nuril abusariw wadhwihawia wakhutil aluwahy wadhwihawia@@mkambaselemani-ej7np
Maa Shaa Allah. Tahadharini ndugu zanguni. Hakika Mwenyeenzi Mngu, yuko karibu sana haswa, katika sujud. Unapokuwa unaomba hazako katika sujud. Usitie mchezo wala fikra zakipuzi. Ilinipita fikra nikaitamka katika dua. Allahu Akbar ! Nitipaliwa vibaya sana hata kukosa pumzi na kububujikwa na machozi. Uchungu mwingi kifuani. Mpaka nilipo staghfir, na sala za mtume ndipo nikapata afwaani. Allahu Akbar.
@NassorMohd-y7p
11 ай бұрын
ah hatari sana Allah yupo karibu mnoooo ni kweli kabisa wala sikupingi mana na mimi nishafanya
@jamillahaidha8184
Жыл бұрын
Naitekeleza na Nina hamu kuanza namuomba Allah aliyekujibu Shekh namimi anijibu kupitia uradi huu naamini kutokana na unayoyasema na viapo vyako kusisitiza, Yah Allah tukidhie haja zetu na Kama hazina kheri na sisi tubadilishie yenye kheri na turidhike nayo Ameeen
@omanomqn4345
Жыл бұрын
Mashaallah,,, wallahi napenda kusikiliza mawaidha yako,,, yanatia raha moyoni na hamasa juu ya mtume muhammad SWALALLAHU ALAYHI WASSALAM,,,, kuanzia leo namie nataka nimswalie hadi nione matokeo,,
@sofiamunga9179
Жыл бұрын
Mashalah... Walah sheikh othman Allah akuzidishie hekma mawaidha yako haki yaniweka Sawa.
@nasreenmohammed9304
Жыл бұрын
Shikh Allah akuzidishie ww na ss Allah atupe kama anavyokupa ww Sheikh kwa kuwa dua zako zinapaa na ss tuombee dua kwa. Allah atuwezeshe tufikie kiwango cha kumsala Mtume wetu Muhammad. Saw
@maimunaabdallah1294
Жыл бұрын
😀
@geradybahati3127
Жыл бұрын
Tunaomba atufundishe jinsi ya kuoga hedhi mashekh wengi Wanatuchanganya
@aminaismailmikina1240
Жыл бұрын
Assalam alaykum waramatullah wabarakat shekh othman Mungu akubariki sana tena sana kwa darasa zako tangu nimeanza kusikiliza hizi daras zako kuhusu mtume wetu Muhammad nilianza kuzifanyia kazi hata mwezi mitatu haijaisha na leo usiku nimemuota mtume wetu Muhammad akisoma dua hii allahumma swali alaa saydina na muhammad mara 3 na nikaona noor ya taa moja kali san na mengine nimeyaona kweny ndoto mashallah 🤲
@MahraMansoor5969
Жыл бұрын
Mie naanza in shaa Allah usiku huu wa kwetu uk 🇬🇧 nataka hii iwenikazi yangu hadi Alfajir ikiingia naanza saa saba hadi Alfajir in shaa Allah mungu atuwezeshe mana shekhe namatatizo mengi ya kifamiliya wallah watoto hadi mume Niombee allah atuwezeshe kwa kila mwenye nia in shaa allah Shukran shekh wangu nakupenda kwa ajili ya Allah nafatilia sana vipindi vyako
@salummakame5086
Жыл бұрын
Assalaamu alaikum . Naomba makarama uloyaona baada ya kusoma nipate hamasa
@muddymuzungu4357
Ай бұрын
Assalam aleykum ww Vipi dada mahra Tüpe majibu ya Swala ya Mtume
@SalmaRashid-q5y
5 ай бұрын
Sheikh Othuman Allah akuhifadhi akupe umri wenye manufaa kwako na kwa Uislamu wetu
@lawamatu4221
9 ай бұрын
Ma sha Allah....nimeanza usiku wa Leo...ninamatattizo mengi in shaa Allah mwenyezi Mungu atanifanyia wepesi
@cishahayoali1136
Жыл бұрын
Mashaallah nikipaji kilioje ulichonacho, Sheikh Allah akuhifadhi na azidi kukuinuwa na akupe nguvu na afya na ulinzi katika harakati zako Allahumma Ameen! Nashukuru kwa kwa kuzumzia umuhim wa sala ya mtume Muhammad, na nimefaidika na nimepata mazingatio!
@husnamasoud4989
Жыл бұрын
Shukran Ustadh, tutalifanyia kazi BibIdhniLlAh, Allah akuweke akuhifadhi na kila baya 🤲🏻
@salmaalkyumi6030
Жыл бұрын
Allahumma swali alaa saydina MUHAMMAD waalihi waas habihi wasalam❤️❤️❤️
@faridaikussi
Жыл бұрын
Asante Salma alkyumi umepatia
@ShaniaKing-o5d
9 ай бұрын
Hapa bado zinanichanganya, ni hiyo alosema da salma,au allahumaswal alamuhamad yalabswal alaih wasalim,?
@ElizabethLizzy-pk3zj
2 ай бұрын
@@ShaniaKing-o5dni hiyo ya salima
@ashalaurent2465
Жыл бұрын
Mashaallah Mungu awaongezee duniani na kesho akhera nakependa kwaajili ya ALLAH mwenyezi Mungu atuhifadhi pamoja tuingie peponi kesho
@athmanharubu171
10 ай бұрын
Masha Allah,mm sala ya mtume imeniondolea tatizo ambalo nilikuwa sijui nitafanya Nini?, wallahi haikufika hata masaa mawili nilipata nilichokuwa nakiomba, Alhamdullah,
@rahmatahmed1871
Жыл бұрын
Assalam Aleikum warahmatullah wabarakatu ALLAAHUMMA SALII WA SALIM ALA SAYYIDINA MUHAMMAD WALA ALIHI WA ASS HABIHI WA JIMAIN ❤❤❤ Jazak Allaahu kheri yaa sheikh Allaah akulipe kwa Nia yako yarabby
@taturajabu1806
Жыл бұрын
Asante Rahmat Ahmed
@salmakaratta1420
Жыл бұрын
Sh.umenifurahisha sana, Allah pekee atakushindia kila jema unalokusudia kutusaidia walimwengu.Nakukubali mtu wa Mungu.InshaAllah tuombeane uzima.
@firstlady9848
Жыл бұрын
Mimi sikupingi Sheikh langu Sala ya mtume imenipa chochote nikitakacho I love Muhammad ❤️💞💞 s.w.m
@nuuraalinoor3630
Жыл бұрын
mashaAllah thanks bro, which salawat were you reciting? please share with me.
@NassorMohd-y7p
11 ай бұрын
Allahumma swali wasalim alaa sayyidaa Muhammad (SAW)
@AsnatyMshamu
Ай бұрын
I love more muhamadi s.a.w
@hafsawambi779
Жыл бұрын
Jazzaka llah kheyri shukran sana sheikh Allah atuwafikishe kwa rehma zake
@wardaam3707
Жыл бұрын
Allahu akbar sheikh othmani tunashukuru kwa darsa zako
@ummulabduul-je8db
7 ай бұрын
ALLAHUMA SWALI ALLASAIDINA MUHAMMAD WAALIHI WASWAHBIHI WASALAM❤
@muhinanjowa7229
Жыл бұрын
Shukran sheik Jazakka Allahu kher 🙏Allah akulipe kher hpa leo duniani hdi kesho akhera.Allahu Akbar,Alhamdhulillahi 🤝
@zakhealthbeauty1619
Жыл бұрын
Allah akbar leo nimekesha kwa ajiri yakusikiliza darsa lako mashaallah Mashaallah tabaraak rahman Allah akueke kwa ajiri yetu
@Samsungjprime-ww9ve
Жыл бұрын
Shukran sheikhe Ahsante sana nakupenda sana sheikhe kwa ajili ya Allah sheikhe namuomba Allah akuzidishie umri wenye afya njema na siha mzr akujaalie pepo ya fredaus kwa uwezo wake na Rehma zake Allah akujaalie uwe pamoja na Mtume wetu Muhammad s.A.w peponi
@yasmeeenmusajuma6531
Жыл бұрын
Swala zausikuu
@suweidkhamis722
Жыл бұрын
Kila comment nakuona mashaallah
@Samsungjprime-ww9ve
Жыл бұрын
@@suweidkhamis722 Mashaallah napenda kufatilia na kuskiliza hawa masheikhe nafaidika na mengi nakujifunza mengi maana sesoma lkn angalau niwe mskilizaji ili nijuwe vyakujirekebisha nakujuwa yalo mzr na mabaya
@shemmaster7swaleyuun228
Жыл бұрын
Aamin yaarabbi
@BaaOmar-j4h
4 ай бұрын
Mashallah ALLAH akupe umri mrefu uzidi kutupa darsa za NNABY MUHAMMAD SAW DAAIMAN ABADAH!!!!! ni hivo hivo sisemi kitu!! But swalatu NNABY ziendelee ndugu zangu utafanikiwa haqiqatan!!!!!!!!!!
@ashumohd2192
Жыл бұрын
Shukran saana ALLAH akulipe ujira mkubwa BiidhnLLAH 🤲
@bobomuamarg3856
Жыл бұрын
Assalam alaikum wa rahmatullahi wa barakaatuh. Wallahi kwa zawadi hii umetusambaziya . Nikuombee tu Allah Akuzawadiye kheri zote za Waja wema na Akulinde Allah na Alizo walinda Waja wema "Amin "
@bobomuamarg3856
Жыл бұрын
Akulinde na Shari Alizo Walinda Waja wema "Amin "
@fatmaameer5333
Жыл бұрын
Shukran kwa kutujuza mambo ya kheri ALLAH akuhifadhi akuzidie kheri barak kwa ulivo navo
@nayeemn9275
Жыл бұрын
Mashaa Allah tabaraka Allah, Allah akupe umri mreefu wenye kheri na Baraka, Akupe mema duniani na Akhera.
@abdulhafidhelbahassany52
Жыл бұрын
Masha Allah aturuzuqu mapenzi yakumpenda Mtume wetu na kumsalia yeye . Allah akubaarik sheikh. Masha Allah
@CheiaNdiricho-kn4zb
Жыл бұрын
Masha allah ❤ sheikh nakupenda sana❤❤❤❤❤❤
@abdifarah-yq5tf
Жыл бұрын
Alhamdulillah nimemswalia mtume SAW nimepona gas ulecers
@muddymuzungu4357
Ай бұрын
Maa Shaa Allah
@tumajunior6080
Жыл бұрын
Masha Allah shukran jazzakallah khairan
@fatmamuhammad4772
Жыл бұрын
MashaAllah ustadh na shukran kwa mawaidha yako mazuri yenye kutupatia manufaa jazaa yako kwa Allah.Allah akuhifadhi
@jamilashabani8580
11 ай бұрын
Maaa Shaa Allah Shukran Wajazaukum llah khayra
@roquaal5682
Жыл бұрын
Maashaallah allah akulipe pepo ya firdaus
@saeedsaeed7381
Жыл бұрын
Masha Allah awesome lecture..BarakAllah feek sheikh
@msimissa7734
Жыл бұрын
😢😢
@mifunga3414
Жыл бұрын
Shukran sheikh na jikuta machoz inadondoka Mwez Mungu akulipe kila laheri🤲
@nassibmalik9934
Жыл бұрын
Naamini bi idhini llahi ntapata majibu shekh nmeanza kumswalia mtume kwa speed kubwa sana 🙏🙏
@muddymuzungu4357
Ай бұрын
Natumai hujaacha Akhuy
@Shakila-t3c
Жыл бұрын
Aslm alkm ww.... Masha Allah!!! Nikweli kabisaa hata mimi nikimaliza kumswalia nabii Muhammad S. A .w. mimi hucheuka. Allahu maswali wasalim aleyh.. Jazakallah kheir 🙏 Nikweli hilo bilashaka Masha Allah 🌹
@saidira726
Жыл бұрын
Assalam alaikum warahmatullahi wabarakatuh. Sheikh wangu endelea utupe mambo matamu ya Allah, Allah azidi kukupa nguvu na uwezo wa kuendelea kusaidia ummati Muhammad swalallahu alaihi wa alihi wa salam, kila wapingao mambo unayo fundisha watapinga Allah awe akiwafanya sababu ya kuzidi kupanda daraja, baadhi yetu tunafaidika na ilm yako
@allynyangehassan5121
Жыл бұрын
Salam alaikum warahmtulillah wabarakatuh shukhuran ya sheikh Othman Michael Allah akuraishishiye duniani na akheran Allah Huma amin
@sabahabdallah5791
Жыл бұрын
MashaAllah. Saw❤
@salmaalkyumi6030
Жыл бұрын
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
@umazimwambezi8092
Жыл бұрын
Alhamdulilah kwahíi neema kubwa cna
@sofiaomar8939
Жыл бұрын
Shukran sheikh, nafaidika sana n darsa zako, alakujazie kheir ameen
@خديجةالمعمري-ج2س
Жыл бұрын
Jazaka lwaah kheir mungu akuzidishie ilmu uzidi kutufundisha tumepata faida nyingi alhamdulilaah
@AishaMwenehanji
6 ай бұрын
Kila nikisikia hii clip nahisi ipo kwa ajili yangu...huyo msomali hajamuona mimi wallah nimemuona mtume s.a w mara mbili ..mara yakwanza nilikua nimekithirisha sana kuswa usiku saa 9 hadi asbh naswali rakaa 11 kila usiki na kumswalia mtume ..nilimuota mtume akiwa mtu mzima nilifurahi sana ...mara ya pili nilioteshwa nikamuona akuwa mdogo kwenye umri wa miaka km 12 au 14 hv ...na hiyo siku asbh nilikua namkatia mume wangu kachumbri nilivyoikata nyanya huyo nyanya ikawa imeandikwa jina la Allah kwa kiarabu naomba niitume humu muione hadi najiogopa ..subhannah llah ...madarasa yako yatukuzwe Allah akulipe pepo na uwe na mwisho mwema amina
@AsnatyMshamu
Ай бұрын
Mashaallah, Allah akuzidishie
@fatumahayani4671
Жыл бұрын
Mashallah Allah akuhifadhi shekh na ss pia atujalie mwisho mwema
@ayoubahmad7107
Жыл бұрын
Shekh othman michle.....unanikosha sana.....ukitaka kuongeza mke wa tatu tuwasiliane mimi ni mpemba....itabid uelekee uku bi.idhnillah
@jumamohamedi5855
Жыл бұрын
Maashaallah Allah akulinde uzidi kutupatia elimu hizi Inshaalaah
@MmMm-hx6ln
Жыл бұрын
ASALAM alaykum,sheikh mi nakuomba unapofahamisha Dua,au uradi bas jaribu kusoma taratibu maana tunaandika Ili tuipate vzr,hata ukiirejea mara mbili mbili itakua vzr sana, bila ya hivyo inatufanya tuirejeshe video Kila wakat kupata kuiandika ,ahsante
@abelsaranguti8732
Жыл бұрын
masha Allah , mwenyezi mungu akuzidishie zaidi
@aidhajaafar391
Жыл бұрын
Mimi natoa shuhuda jamani ninauza biashara yangu alhamdulillah na ninaamini Allah atazidhisha
@RosyKaemdin
6 ай бұрын
Unasoma ngap Kila siku na wakat gan?
@HawahMohammad-f1f
3 ай бұрын
Aslm alkm shekhe Othman mm napenda sanaaa kusikiliza mawaidha yko wallahi , Allah akuhifadhi
@latifasuleiman7527
Жыл бұрын
Mashallah sheikh tunakupenda kwani unatupa faida nyingi katika darsa zako mwenyez mungu akulipe kheri
@zowaina9946
Жыл бұрын
MANSHAALLAH tabaraka RAHMAN nakupenda kwa ajili ya ALLAH ALHAMDULILLAH
@ZainabSeif-n1s
Жыл бұрын
Shekhe Mimi napenda Sana mawadha yao yemenipa elimu Alhamdulilah arwah akujaliie umli mlefu uzidi kutupa faida sisi navitukuu vyetu
@kulthum8335
Жыл бұрын
Mashallah jazakawallah Allah hakuzidishie
@alyazain290
Жыл бұрын
Allah akupe mwisho mwema yaa sheikh atukutanishe sote sisi na ww pamoja na bwana mtume s.a.w
@azizadjumadazuu2731
Жыл бұрын
Kwakwel Allah akujaze kheri
@assinaassende7561
Жыл бұрын
Allah akulipe kila laheli
@sofiyabakari9730
Жыл бұрын
Shekhe umenenepa maa shaa llah
@nasradada7050
Жыл бұрын
MA Sha ALLAH tabaraka Allah kwa somo lako Allah akujaze umri WA faida na kwa thikri yako
@dungayusufu1954
Жыл бұрын
alah akbar, mtume ninuru fanyeni hili linaukweli asilimia mia hakika
@AshuraRamadhan-hm6jc
Жыл бұрын
MAA SHAA ALLAHU
@OmaryNusu
20 күн бұрын
Mashallah
@melchiorndayizeye9761
Жыл бұрын
❤😂 walahii shekh, natanguliza shuklulani saaan mimi hapa ni muchristo lakini nilifuatilia hiii uladhi wa ko shehk ,mambo ya ukafili nimetupa nilukua na made ni ya kupfa mtu ,kwa week 1 tuuu. Ghali ya Nissan mpya ,deni kwisha kwa siku moja 😊😊 walahi mungu akupatie lehema.
@athumanikhamisi3377
Жыл бұрын
Karibu katika uislam.
@NassorMohd-y7p
11 ай бұрын
AllahuAkbar
@wardagogodigo1111
11 ай бұрын
Allahuakbar
@EliseNiyomungere
10 ай бұрын
Maasha llah
@muddymuzungu4357
Ай бұрын
Karibu katika uislamu kaka!
@ZaiduHashim-ry1zr
Жыл бұрын
Masha Allah Allah akupe unalo stahili
@fatinahasani882
Жыл бұрын
Jazaka llahu khayra allah akufikishe mbali
@fatnaally-ou7xx
Жыл бұрын
Allah shekhe kiukwelli napenda nitoe ushuuda hata Mimi huwezi aminiii hizi wiki na fanya ibada Kwa wingi na kumswalia mtume na kuswali tahajudi nawaona mpakavmaswahaba wananiombea dua isitoshe mtume nae ananiombea msamaha Kwa Allah kiukweli na kuwa sitamani hata kulala nataka mudavwote niwe na fanya ibada mpaka wanangu wanaoba sasa mama mbona kama anachizika tumswalue mtume jamani
@fatnaally-ou7xx
Жыл бұрын
Nikichoka nakuwa nasikilizia kipindi chako kiukwelli ni kizuri mno naoneshwa mpaka wanao taka kunuzuru subhanaallah ama kweli muomba mungu akosi fungu lake
@athumanikhamisi3377
Жыл бұрын
اللهم صل على سيدنا محمد وعلى اله وصحبه وسلم
@muddymuzungu4357
Ай бұрын
Allahu Akbar Maa Shaa Allah dada fatna Ahsante sana
@SADIKIMALISAWA-ou8sk
4 ай бұрын
Jazaka allah khaira
@animamichael3968
Жыл бұрын
mashaallah my shekh
@maimunamselemo8427
Жыл бұрын
MashaAllah sheikh wetu Allah akuweke
@saidamur5747
Жыл бұрын
Allah.akufanyie.wepesi.kwakila.jambo
@hemedphd8532
Жыл бұрын
Mashallah shekh wetu shukran shekh
@masudimwinyi7301
Жыл бұрын
Mashallah sheikh wangu Allah akujaalie kheri ishallah
@tatuaamuuinyi9633
Жыл бұрын
Hii swala ya mtume naiyamini asilimia 100
@halimamathew285
Жыл бұрын
Mashaallah.mashaallah.shekhe.Allah.akuhifadhi
@wahabingaheka637
Жыл бұрын
Allah akufanyie wepes utufundishe na mengine
@barbiesefu
Жыл бұрын
Wallahi sheikh umesema kweli ,mimi wakati fulani ,baba yangu alifungwaka,alafu nikamswalia mtume "slw"kwa namnahii alafu alitoka hapohapo Kabla sijamaliza..."alaumaswalati kamilatu wa Salim sakaman taaman anla saidina Muhammad..."
@kaizafatuma2737
Жыл бұрын
Allahumma swalli alamuhammadi
@mkmwayama4534
Жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu sh. Uthman .....nimefuatilia sana hii chanel...Nimesoma mengi
@zwatts38
Жыл бұрын
Kwa nini shekhe huwa anasema Mtume bila kumalizia s.a.w?? Sipendezewi kwa kweli
@msafiriduwiya953
Жыл бұрын
Masikio yako yana shida KDG
@athumanikhamisi3377
Жыл бұрын
Pole mwaya,,ila sikiliza vzr.
@sulekhamohammed5358
3 ай бұрын
Shukran Allah akupe Afya
@fatmahraseid7019
Жыл бұрын
Mashallah Allah kujaalie umri mrefu wenye uchamungu ndani yake
@fatmahemed2189
Жыл бұрын
Masha Allha
@manasa2449
Жыл бұрын
Shukran sheikh
@UessoSalimo-cd3mw
Жыл бұрын
Mashaallah from Mozambique
@mesalimchama1874
Жыл бұрын
Shukran Allah atujalie miongoni mwao tutekeleze
@najatmgaja9579
9 ай бұрын
Jazakallah
@mohamedrokaz5272
Жыл бұрын
Mashaalh ustad mm pia nitaanza inshaalh mungu atupe kheri
@خديجةالمعمري-ج2س
Жыл бұрын
Sheikh othman mungu akuzidishie kila la kheri
@dungayusufu1954
Жыл бұрын
mashaalah allah akulipe ishaalah
@KhadijaMohammed-z8c
9 ай бұрын
Masha allah
@faridahkavochi8079
Жыл бұрын
Mashaallah tabarak Allah
@SifaNibigira
Жыл бұрын
Shukran san sheikh 🙏
@SelemaniHassan
Жыл бұрын
Inshallah mimi nitajitayidi sana inshallah nitakupeeni jibu
Пікірлер: 217