Kwa miaka kadhaa sasa, kumeibuka kikundi cha watu wazushi na wachochezi kwa jamii ya watanzania. kikundi hiki kinachochea chuki katika jamii ya Taifa la Tanzania kikitumia dhana hafifu ya mfumo wa kufikirika kwamba Tanzania inaongozwa na mfumo kristo. Huu ni uwongo na uzushi usiokubalika fuatilia maelezo sahihi kwenye video hii.
- Күн бұрын
Uzushi dhidi ya mfumo mkristo hoja dhaifu ya kichochezi
- Рет қаралды 21,404
Пікірлер: 118