Huyu Nikki Mbishi inapaswa atunikiwe heshima ya uprofessa kwenye mistari na kijumla kwenye hii kazi yake.
@hasheemabby2583
4 жыл бұрын
waki afrika🔥🔥🔥
@jigwafrankie9420
4 жыл бұрын
BONGO HIP HOP is ALIVE💪🏾 Mucho🔥 Stan Rhymes🔥 Wa Kiafrika🔥 Nikki Mbishi UNJU🔥
@CoachHafidh
4 жыл бұрын
Beat imesimama kishenzi...ya kijanja sana, mwenye huo mkono ni hodari kweli
@fyzzlzo8929
4 жыл бұрын
"Ukitendwa tulia ukiwaka unakatwa umeme" #Nomore
@gaitanemmanuel8340
4 жыл бұрын
Daaaah stan weee ni noumer ila kaka unju mhhh hvi mbona ukoseag we jamaa una nini lkn maan unajua mpk unatukera bhn
@sahidymassoudysahidy8776
3 жыл бұрын
uyo nikki kashndikana bhn
@georgeanthony1547
4 жыл бұрын
natumai hii project itadumumu tena na tena. tuna enjoy sana aisee @ WANENE TV salute
@kaundasutikaunda7769
4 жыл бұрын
Kazi nzuri sana...big up
@movieskalinaseries6232
4 жыл бұрын
Stan rymes kaua
@bablwaryngonyani7125
4 жыл бұрын
STAN RHYMES 🔥🔥🔥
@sleimanfakihhajjir9389
4 жыл бұрын
Mucho mm nishabiki wako no 1 Kama tuko pamoja gonga Like
@jumangala
Жыл бұрын
big up mumeuwa nyote cjui nimpe nan taji
@rotkaofficiel3693
Жыл бұрын
@@jumangala 😂😂😮🎉🎉😢😢🎉😂😂🎉a la 😊❤😮❤😮
@Elfuego257
4 жыл бұрын
Uyo stan kama jina lake tuu...Amna utani utani🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@camillomakongwa8308
4 жыл бұрын
Kumamaqe 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Stan umeua sanaa, Nikki dr ujuuuuu ma meeen, mucho flow, wakiafrica mmetendea haki hilo beat #Punchline Tupu
@jumaissa6229
4 жыл бұрын
Stan ametisha mnooo... I never gave a card to this nigga... He proved me wrong
@jimmyx8412
4 жыл бұрын
This is real Hip hop.... Punch bars tuu, sio wale jamaa wanao rap Kama wabanapua wanatafuta melody studio maana huahawaelewek wanaimba nn
@camillomakongwa8308
4 жыл бұрын
@@jumaissa6229 He got barz, flows, puncline , wordplay eerthang!!!
@camillomakongwa8308
4 жыл бұрын
@@jimmyx8412Yaap hawa jamaa wanajua asee
@robsongeorgenho475
4 жыл бұрын
wa kiafrika 100%
@japharysety6890
4 жыл бұрын
Ahahah stanii amemadaaa umu ndani wazee
@CoachHafidh
4 жыл бұрын
Hii CHALLENGE ya kikubwa SANA...hao ma underdogs wote ni mahodari kinyama...big up WANENE
@jumajuma6612
4 жыл бұрын
Walioniweka pending siku hizi wapo amezed wakina #wakazi
@husenihabibu3689
4 жыл бұрын
Dah...hapa ndio watu flani tukisikia tunajua kabisaaaa hatujui kuchana... SICHANI TENAAAAAA
@ommiekendrick8881
4 жыл бұрын
Mmmmmh hizo flow sijawahi ziskia tangu nizaliwe
@eliazebedayo1802
4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@mr_nyoroo
4 жыл бұрын
Hip hop ndo hyoo sasa me nahisi wote wameuwa sanaa beat imetendewa hakii
@Reach_lous
4 жыл бұрын
The second one killed it🙌 nikki too🔥
@promramson80
4 жыл бұрын
Nomaaaa sana hiiiiiiiiiiiiii 🔥
@youngmillar4110
4 жыл бұрын
Stan kaua sn, mbishi noma🔥🔥🔥
@cazoramahussein1998
4 жыл бұрын
Tukipendacho ss @hiphop
@octaneallybonge2075
4 жыл бұрын
Baba na wanawae naona like father like son ... daa Nikki hicho ndicho kizazii chakoo na cio hao tuuuu tupo wengiii em fanyaaa kuwashikaaa mkono wote wanao afuuu iwe full album utakayo Fanya na kizazi chakoo au iwe hata mixtep maaana naskilizaa daily maraper wapya wote umewainspire sasa washike mkono we ndo mzaz wao mzee kama hivooo na kina Stan . Uje kina boshoo, chuma,nala mzalendo,matrix,kakiva, Jaco jeezy,barz write, kado kitengo,yaaan daaa ni wengiii broooo
@frankchamba8894
4 жыл бұрын
Uyu jamaa anajua anataka support ngosha
@franklawrence95
4 жыл бұрын
A very good time for HIP HOP in Tanzania. Nafeel Kuna Ma-MC wamoto Sana sasa hivi. Safiiii.... Humo ndani naona Nikki ni wa mwisho..... Machalii wamekaza sana
@theoriginals3240
4 жыл бұрын
Damn! Jamaa wakwanza anajua
@abdulmbuma7453
4 жыл бұрын
“Utu wameuweka nyuma watu ni mbele na mapene” hip hop ✊🏿✊🏿@stan 🔥🔥🔥
@timolivier411
4 жыл бұрын
Wakiafrika " nabii hakubaliki home hainifanyi nisiwe"
Anaitwa stan rhymes nimjaa fire ako na nondo mobb manzee
@nelsonmasolwa8343
4 жыл бұрын
Daaah kweli kumbe nawewe umeona ee
@kelvinmshana6712
4 жыл бұрын
Noma sana
@omaryaziz
4 жыл бұрын
Nikki mbishi sawa sawa
@cosmaschuwa6664
4 жыл бұрын
Tunakugeuza mboga hta kma haupo kwny budget😀😀😀
@donprince9752
4 жыл бұрын
No commen # hip hop ilipo nipo
@jacobyende6225
4 жыл бұрын
NEXT WEEK TULETEENI KIKOSI KAZI KAZINIII WOTE ALAFU WAPENI DAKIKA ZA KUTOSHAAAA
@hkmeme5437
4 жыл бұрын
Au sio
@mugadimon3563
3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@jolamababyofficial6481
4 жыл бұрын
Wanaodislike wana matatizo jaman , kubali cha nyumbani wane2 ,wametixhaa kinoma noma 🔥🔥🔥🔥
@abashussein2355
4 жыл бұрын
noma sana wanene safi kwa support rappers
@yaedlifemedia3203
4 жыл бұрын
kwa hip hope izi kutoboa kaz sana dah
@izvibez6823
4 жыл бұрын
Da Vinci code washindi ndio hawa..BISHA😎
@nelsonmasolwa8343
4 жыл бұрын
Da vinci code challenge washindi ndo hawa Bishaaaaaaa bishaaa
@kiduaalute603
4 жыл бұрын
Of Kali sana hii
@rantojasiri
4 жыл бұрын
Mdundo 🔥 100%
@elvistheawesome4864
11 ай бұрын
"hakubaliki home nabii hio haifanyi nisiwe napambana kwa mana asiefanya kazi asile. Natafuta mkate men asokaza aambiwe kwa kauli ilochachama sio liwalo na liwale Ukizama ni jiwe na kwa kuwa boya Haiwez fanya uibuke" Wa kiafrica Shaolin
@hamisinanyata2557
4 жыл бұрын
hongeren sana wanene tv. kwan mumetuaminisha kuwa munaturetea mikwaju mikal na vichwa makin. kibwa na cha msing wakusanye wasanii wote wa tanzania ili wasiikose fulsa hii ili iwawekee alama hata kizaz na kizaz. najua weng wao hawajapata shavu la kutosha na hawajulikan, ila kupitia wanene watajulikana na kuwa wasanii wakubwa sana. kwan wote wanafanya vizur sana. asante sana,
@allymbozu5167
4 жыл бұрын
Mucho😳 u kill it tol
@mimisisinawao2298
2 жыл бұрын
WAKIAFRIKA AM ALWAYS HERE FOR YOU
@pjsite2390
4 жыл бұрын
Nakucheki Stan pambania kombe wa home
@majorwayonlyway
4 жыл бұрын
Wote wameua ila Stan Rhymes na Mucho wamefanya Unyama sanaaaa🇹🇿🔥
@jegekatv8384
Жыл бұрын
🔥 🔥 burning 🎙 🎙
@kelvinmhina1685
4 жыл бұрын
Daaaaaaa ya kibabe sana Unju
@razackyahaya7798
4 жыл бұрын
Daaaah.... Mmeua wazeeeee ⚠️⚠️⚠️
@kassinc5016
4 жыл бұрын
Waki afrika ameua sana....
@ellytanaki579
4 жыл бұрын
Hikitu imekaa powa sana vijana wamekaza sio poa muuji nimuuaji tu hata siku akija kupigastory raia lazima wasepe unjuu haaa salute
@skm1143
2 жыл бұрын
WAKIAFRIKA🔥🔥🔥
@lionking3015
4 жыл бұрын
Unjuu HipHop unaidai..
@allybrown8137
4 жыл бұрын
Dah! They really rappers nikk umetisha mwamba
@djb2kzer0
4 жыл бұрын
The first one He kill 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@joachimkijanga1926
4 жыл бұрын
Star Rhymes🙌🙌🙌
@anordyusuph5418
4 жыл бұрын
Daaah Wakiafrica we Noma mwanangu Una content 4 sure dadek ✊🙌
@derickshady5590
3 жыл бұрын
"Nina bars za kumfanya izzy arudie wizi" kumbe ndo maana lord eyes kama alipanick hv kwny ile weusi interlude! Nikki mchokozi😂😂😂! Stan ryhmes🔥🔥🔥
@henrymwakisu2101
4 жыл бұрын
Zhoan ur legend joooh duuuuuu l cant say bt uwez unajieleza
@attumdemu4465
4 жыл бұрын
Stan kama stan appreciate u for life
@joharikibitanyi9886
4 жыл бұрын
Like son like moon UNJU NATION ...weka mbali hi ni Babu kubwa .✌️✌️✌🏿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Inno-qz2ec
4 жыл бұрын
Zombie movie rambo in the jungle.🔥🔥🔥
@nelsonmasolwa8343
4 жыл бұрын
Daaaah
@emmanuelasheri7037
Жыл бұрын
Njombe IPO salama,Stan we ni shida sana,mmh a see
@julahamis3356
3 жыл бұрын
Stan saluteeee.. .mucho muafrika unjuu mmetisha
@humphreymasoud1725
4 жыл бұрын
mamaeee....wana wanaflow kisenge... hii ndo kali yao.... sema unju kafunikwa na wadogo zake....😃😃😃
@hkmeme5437
4 жыл бұрын
Unju kafunika skiza flow zake zinamfaya Izzy arudie wizi
@hkmeme5437
4 жыл бұрын
Rudia skiza flow za Nikki mbishi, anatema sumu kama ngosha yani fid q
@johnmgweno4254
4 жыл бұрын
Unju
@marchseven4395
4 жыл бұрын
Hyo wa pili ni Kmmmmmk 🔥🔥🔥🔥🔥
@fidelemma9818
4 жыл бұрын
Next level
@clintonkomba4468
4 жыл бұрын
Stan nakubalo Sana mwamba njombe on eeeya
@izvibez6823
4 жыл бұрын
Wakiafrica 🙌🔥🔥🔥🎼
@pulltheskymusicgroup4475
4 жыл бұрын
Suit aliyovaa Davinci 🔥
@zanialytraveller9825
4 жыл бұрын
Tym ya 🎼 gud music ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@davidchristopher5569
4 жыл бұрын
Stan Stan usitufokeee bhana
@mosamossile9113
4 жыл бұрын
Am watching from South Africa 🇿🇦🇿🇦Cape town wayneberg Unju Nikki mbishi My favourite musician from Tanzania
@suleymanmakiwa1651
4 жыл бұрын
Wa Kiafrika ni hatari na nusu "Asiyekaza aambiwe"
@gibsonbuzoya9339
3 жыл бұрын
Cna swali aisee Baba malcom zoha mmetisha mistari kwenzi big up
@divinejr3607
4 жыл бұрын
Bars is wah we like Nikiwa booth sichani ,nafanya upasuaji!! Bongo sio ya Dulla (planet) Kicks ka paranawe!! Ukizama ni jiwe na kua boya haikufanyi uibukee!! Zoom outter focus!! Mifugo mingi so I gotta overgraze
@nelsonmasolwa8343
4 жыл бұрын
Noooma sana
@guiltytv2363
4 жыл бұрын
Stany Rhymes ametisha sana
@abasmwika3432
4 жыл бұрын
1 Mucho 2 Stan rhymes 3 wakiafrika 4 Unju Nikupanga tu hizi namba ila hilo balaa lililofanyika humo ni hatari.Mdogo wangu Wakiafrika ahsante nimeona techniques.
@davidchristopher5569
4 жыл бұрын
Stan kama Stan kweli in balaaaa,,,
@tembomnyama2310
4 жыл бұрын
Gonchaaaaa🔥🔥🔥🔥📌
@amoswangwe628
4 жыл бұрын
Napenda hip hop swahili code mix.
@marktarimo5881
4 жыл бұрын
2&3 ni noma sana
@georgerwebembera1565
11 ай бұрын
Huyo chalii kafanya verse ya pili he is all potential. Complete set
@efeueu3648
4 жыл бұрын
tunaitaji vija wapia kama awa wa leo🤝🗣🇰🇷🇰🇷🙌💥💥💥unju iko sawa,ila mutu patiye vijana wapia wana weza
@josephmlele5780
4 жыл бұрын
Stan rhymes unahatari mzee baba
@thelivingwelltv6399
4 жыл бұрын
respect kwenu nyote mlio kwenye hii ngoma,aseee mmeua vibaya hip hop still alive
@hermanmihambo8838
4 жыл бұрын
🔥🔥🔥 Keep on applying the pressure.. Tupo on the right track..
@mecksedeckkauzeni5703
4 жыл бұрын
Ukitendwa tulia ukiwaka unakatwa umeme
@allyzahor5875
3 жыл бұрын
#Genius wakiafrika shaolin mtendaji Hali mashauri
@alobogastcharles9314
4 жыл бұрын
Napenda sana hip hop
@JordanSolomon-mj6dn
10 ай бұрын
😂😊😊❤❤❤❤❤❤ aseeeeeeh. Hili goma siongei sana😊❤❤❤❤❤❤
Пікірлер: 425