watumishi wa serikali wengine hadi aibuuu kuliko maelezoo, inaonekana hata elimu yakee haikumsaidiaa chochote zaidi ya kuhesabikaa kama mfanyakazi akili yake ni zeroo
@saidmabanga388
5 күн бұрын
Tatizo liko kwenye mfumoo kaka uyoo hana shida
@mwazanimnyamani8493
4 күн бұрын
Waachieni vijana wafanye kazi kama.kazi huelewi acha wanaoelewa.wafanye hizo kazi
@emilianchibinda82
4 күн бұрын
Msiwe mnatuonesha mambo yenu ya ajabu ajabu!! Hivi jamani kweli kwa mazingira haya, watu wanalipwa mishahara ya kodi za wananchi halafu watendaji ndio hivi!?!! Huyu kaajiriwaje jamani? Daaaah!!
@hawaelymaricca7602
4 күн бұрын
Hao fukuza wanalipwa mishahara ya bure wanakuangusha hao, hata haelekei kua afisa.
@SalumonEustace-cl4mk
5 күн бұрын
Sina mashaka na wewe ila watendaji wako wanakuangushaa waziri Aweso usipo chukua hatua haraka kwa watu wako haoo, rungu litaaanza na wewe
Hizi nafasi jamani kuna vijana kibao huku wanazitaka hizi nafasi aisee,daah hii ni aibu sana
@BituroPaschalKazeri
5 күн бұрын
du
@zobakazizi7637
5 күн бұрын
Waziri umechelewa sanaaa
@jamesmaths2296
5 күн бұрын
ina disappoint sana mtumishi analipwa mshahara halafu utendaji wake ni kama huo. wapo watu committed wanaota jua vijiweni halafu wajinga wanapewa kazi. Ndio maana hatupigi hatua
Пікірлер: 12