Watu wengine wanakosa uelewa tu! Iko hivi ukizungumzia ubora, maana yake hata ukishika nafasi ya 30 ni Bora,ila Kwa nafasi, hapa ndio linakuja suala la namba!!!!
@JELSONMAUKI
2 ай бұрын
Leo umekubali 😅😅😅😅😅🙌🙌🙌
@MamboMbuli
2 ай бұрын
Kivipi
@kichefuchefu2382
2 ай бұрын
Wekenge simba alipgwa 5
@JoshTechServices
2 ай бұрын
Mchambuzi wa ovyo
@iddimasika1173
2 ай бұрын
Mwenye kamera jiongeze hapo mulipokaa hamkuona km panamuangaza wajuwa
@lotimwansule5017
2 ай бұрын
Hana lolote huyo ni mnafiki
@jonamnyone8014
2 ай бұрын
Chama anawakati mgumu mimi namuona hafiti katika mfumo wa Yanga. Kwanza hana speed na si mzuri haswa timu ikiwa haina mpira. Chama hakabi ni kweli Chama ni passer mzuri lakini yupo very slow naona atakaa bench sana na huu ndio mwanzo wa safari yake kurudi Ndola.
@زيتونتنزانيا
2 ай бұрын
Akizoea wancheza je atakuwa nambio nakukaba timu ya yanga ına mbio
@alfredanthony9924
2 ай бұрын
😊
@alfredanthony9924
2 ай бұрын
Q
@jumannemwakalinga2586
2 ай бұрын
Ni mapema sana kutoa maoni hayo, Chama atakwenda vizuri tu na mfumo wa Coach Gamondi
@martinkabazo8412
2 ай бұрын
Yanga bora Africa ??? Afu top 10 haipo kweli njaa inaweza kukufanya uwe kiazi kutoka keki
@edesiuskuyasiwa6352
2 ай бұрын
Hiyo top 10 kaanayo
@robertphilip385
2 ай бұрын
Marnin unaota ndoto za mchana nyee Simba mebaki na majungu
@alexngelezi9864
2 ай бұрын
Huna lolote
@MunaMohammed-j3m
2 ай бұрын
mshamba wewe
@DengaAlly-x5b
2 ай бұрын
Baba kuchambua soka tafuta shughuli nyingine za kufanya
Пікірлер: 28