Mama amekukataza kwenye madhahu yake, acha kabisa Mungu atakuhukumu
@SelestinaHamis-dw1gs
Ай бұрын
Mama hautakiwi kua mchungaji mama biblia imekataza mwanamke kua mchungaji
@frolianhulubano6358
Ай бұрын
Na hereni masikioni inaruhusiwa???
@pastorpetermageta6833
Ай бұрын
GOD is not the author of confusion
@bonifasiemanueli21
Ай бұрын
Pengine ilikuwa maxazo yako tu,😅
@bonifasiemanueli21
Ай бұрын
Pro mover Tive msaidieni huyo Mtumishi achunguze vizuri huyo wito wake kama kweli anayefanya nae KAZI ni MUNGU wA kweli,maana kasema zaidi ya mara 3 kwamba ataua Mme wake n'a MWISHO akafa hapo nimetia shaka😢
@frolianhulubano6358
Ай бұрын
Naomba kuuliza hapa mwanamke aweza kuwa mchungaji?
@user-ii1qk9xn9z
Ай бұрын
Utumishi ni Roho na wala sio kwa nje vile wanadamu uangalia.
@pastorpetermageta6833
Ай бұрын
Mwanake harusiwi kubwa mchungaji
@user-ii1qk9xn9z
Ай бұрын
@pastorpetermageta6833 huo uke uko kwa nje hauko kwa ndani? Wewe pastor wa wapi! Mm pia nilikuwa nasema hivyo haifai mbinguni hakuna mwanamke wala mwanaume.... Adam na Eva walikuwa na miili yakutoharibika lkn walipo asi Basi ndio wakavikwa mwili huu wa uovu tulionao. Sasa my friend UTUMISHI ni Roho. Omba Mungu akafungue macho ya ndani. Yatiwe nuru uone sawasawa
Пікірлер: 11