Vitenge vimewappendeza kweli lakini usajiri mnaiga tuu hamtoifikia simba
@NuruSeif-uf2ge
8 күн бұрын
Wivu unakufurukuta chevu una haya pyeeeee
@LuqmanIddi-cb8me
8 күн бұрын
Simba alifanya lini hivi mpaka muigwe tukumbushwe.
@reginaldmapunda6702
8 күн бұрын
Mpira ni makombe sio blaaablaa, usajili sio makombe subiri turudi kwenye ligi tukuporomoshe hapo kwenye baridi yetu ndipo utajua Simba mmesajili au mmebugi.
@AshaNchira
8 күн бұрын
Hawana lolote hao kz ushirikina wanachama wa kufoji hao.
@PeterJumla
7 күн бұрын
Hayo ni mawazo ya watu waliofeli, Wewe unaesema huo ni uongo, lete data zako wewe, Wenzenu wanapasuwa mawimbi wanasonga mbele nyie mnabakia oo hao wanachama wa kufoji, kuna timu hata data base yao tu haijui Ina wanachama wangapi ,halafu mnataka kubishana, YANGA ikiingia tu kwenye data base yao unapata idai ya wanachama wake mpaka Sasa,
@amanizavala
8 күн бұрын
Utopolo wana mbwembwe sna
@errydeo8865
8 күн бұрын
Kumbe unafatilia 😂😂! utateseka saaana huku Sheikh
@Abubakarkatana
8 күн бұрын
😅😅😅@@errydeo8865
@EdisoniKisenya
8 күн бұрын
Anahangaika huyu😅😅😅😅
@moshielfesty7992
8 күн бұрын
Mbona shughuli sio yako umeivalia kibwabayaa ww endelea kuteseka kolo😂😂😂
Пікірлер: 22