Ndio tabia zao tunawajua hawa, kama wanataka wao kumbe wanatoa sadaka.
@jamespeter5882
9 күн бұрын
Kila siku nawauliza huwa mnachambua mpra au ushabiki
@baharanimasoud
9 күн бұрын
Momo upo kama chawa wayangaa
@richardkokoro3269
9 күн бұрын
Kajisahau kaongeza kama yeye ni kiongozi wake eti hakuna anayeweza kukataa. Kwani hivyo vitu haviwezekani?
@SaidAlly-uh4qw
9 күн бұрын
Madunduka hawataki kuukubali ukweli hawana uwezo wa kumsajili mayele wala feisal wanawapumbaza mashabiki wao wasiojielewa
@MohdAli-fl2ef
9 күн бұрын
Nobody knows about tomorrow tusimalize maneno
@victorronald1449
9 күн бұрын
Simba hakuwahi kumihitaji
@zickdeus5497
9 күн бұрын
Man yani na paul mkai mmemwachia aende duuh!!? Mbn chama letu hili tumekuwa wanyonge san kias hiki
@msomiadam250
9 күн бұрын
Ujawai kuongea k2 cha ukweli wew
@invocavitykitaly2483
9 күн бұрын
1
@AthumanAlly-zw9ni
9 күн бұрын
Duuh huyu jamaa hana utofauti na shoga
@SIMONHERMAN-qv2ln
9 күн бұрын
2
@roudhamahmoud763
9 күн бұрын
Momo leo umeongeya kikubwa
@GabrielAmma-jp1oo
9 күн бұрын
Tatizo unakuwaga mwongomwongo sana
@bigjizee4130
9 күн бұрын
Lini amedanganya
@BADAWY575
9 күн бұрын
Sikieni nyie hao wote ni Bakhresa ikiwa farmily kazi ndio huko Azam na Azam ndio Bakhresa .mchukueni ila Eng Hers ,yuko sawa kwa hiza kazi tena imara sana .nitafurahi sana kina bakhresa wakiachiana wampeleke simba .nitafurahi tena na chochea kuwa Fei ni mzawa apandishwe anatakiwa acheze Simba mpelekeni plz.Hers atafurahi sana ndio kutakua nabushindani lakini maisha ya wachezaji wenu yatakua ni magumi tu hayana raha paka Mo atoke pala nyie omba omba wa babu jiii amkeni mpira biashara ijengeni timu yenu mutaomba paka lini
@taseleli9181
9 күн бұрын
Inakuhusu nini huko kuomba omba alaaaaa
@SenoNorbertKiemena
9 күн бұрын
Ama kweli nimeamini nyie wachang'ombe wawa wasafi mnatumiwa na nyuma mwiko acheni uchambuzi uchwara mbw nyie
@murshidyabdallah1356
7 күн бұрын
Sio wasafi tu midia zote hapa tz nikama wanaitumikia nyuma mwiko wanabaki kuonesha kuchambua mpira kumbe waelezea mambo yao ya nyuma mwiko
@majaliwamussa9268
9 күн бұрын
Feisal
@olaislukumay2208
9 күн бұрын
Belive me Fei anakuja Simba
@hirizonetz9558
9 күн бұрын
Unaota😂
@olaislukumay2208
9 күн бұрын
@@hirizonetz9558 hata ndoto huwa na ukweli
@stn4873
9 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@amaniomar1755
9 күн бұрын
Mbona sielewi
@chillogeorge1383
9 күн бұрын
Ni Fei toto
@user-ww4so9ks9c
9 күн бұрын
Fei huyo
@ekisuka1
9 күн бұрын
Huo mkataba ni wa kiuonevu na kama aliusign ni kwa sababu ya shida na umru, bado ana uwezo wa kuupinga na kwenda atakako, akamuone mama amsaidie.
@reonardchatanda6371
9 күн бұрын
Unaelewa maana ya mkataba?
@cosmasthomas9164
9 күн бұрын
Kwani mo na bakhresa nani bilionea?
@TwalibKwelii
9 күн бұрын
Wewe hujuwi kama bakhresa ndio niloneya na kama huamin fuatiliya
@cosmasthomas9164
8 күн бұрын
@@TwalibKwelii heee kaka kuuliza siyo ujinga,miaka yote jarida la Forbes huwa linatuambia kuwa mo ndiye bilionea wetu wa tz.ila Asante kwa kunisaidia👍👍
@TwalibKwelii
8 күн бұрын
@@cosmasthomas9164 waarubu kiuhalisiy ndio matajr wa dunia ila umewah kuwasikiy hata cku moja kutajwa kwenye forbers watu basi na mzee wetu bakhresa huwez kumsikiy kwenye hizo takwimu za mitandaon yule mzee kipaj kwa biashara na Mungu kambarik hana mpinzani na tena ama msaada mkubwa xan sio kwa tz tuu bali ni Africa kiujumla
@user-pb3ub3gl4q
8 күн бұрын
@@cosmasthomas9164 Bakharesa kazisambaza mali zake kwa watoto wake ndiyo maana,ila yuko juu sana kamzidi mo
@cosmasthomas9164
7 күн бұрын
@@user-pb3ub3gl4q Asante ndugu👍👍
@chillogeorge1383
9 күн бұрын
Ningewashangaa Azam kama wangemtoa Feisal aende simba akacheze ndondo, wakati wao wanakibarua kirefu kwenye Ligi ya Mabingwa. Simba bado wanadhani Azam hii ni ile waliyozoa akina Manula, Kapombe, Erasto nyoni, Boko, nk. Wanatakiwa wajue kuwa kitonga hio ilisha isha kitambo. Lazima waongeze ubunifu
Пікірлер: 45