Kweli Ahmed ally ndo mtangazaji. Bora kwasababu yey ndo msemaji muongo kuliko wasemaji sikia hii CHAMA hawezi kwenda Clabu yoyote hap TZ mhhhhh na kweli hajaenda
@AlexMbagata
6 күн бұрын
Watu muhimu Sana Hawa na hapa walikaa kwenye sehemu muhimu na walisema vitu muhimu.
@kabhikachambala3392
Жыл бұрын
Ali Kamweeeeee😂😂😂 Yani kitu pekee ulichoweza kuweka shingoni ni tai tu!😂😂😂
Watu mnaotowa maoni yenu hebu kuweni naadabu Ahmed tukitafuta wasemaji nayy msemaji? Hauna pwenti
@lowasameliyo4027
Жыл бұрын
Mnanichekesha jmn watoto wa azam sport nafurahi kuwaona mko pamoja
@masubukopita7201
Жыл бұрын
Ahmed all anajua kuongea hao wengne wanalopoka tu
@teddymhagama611
Жыл бұрын
msemaji ni Ahmed Ally wengine mapoyoyo
@mishikombowato1457
Жыл бұрын
Hujioni ww ulivyo mwehu😂
@user-po8hz7xw9j
Жыл бұрын
Yani hawa ni wahuni vichwa vyao vibovu😅😅
@jumashedafa
Жыл бұрын
Kwa timu iliyoitwa hasa langon tunashafungwa tyr mengin ni maajabu ya mpira
@petersonjamess6497
Жыл бұрын
Huwa napenda sana utani wa hawa jamaa
@ujamaabashiri2996
Жыл бұрын
Kuna msemaji na waongeaji, hapo msemaji ni mmoja tyu wengine ni waingeaji
@hemedwalid6570
Жыл бұрын
sasa mechi Kama hii mnaweka kiingilio Cha nin weka bule tu waite watu waje uwanja mechi muhimu nyie mnaweka hela ya kiingilio
@yusuphjilala846
Жыл бұрын
Waandishi wengi mazuzuu😴!!!!!!
@teddymhagama611
Жыл бұрын
timu ya taifa acheni mageti wazi watu waingie bure, Mwambieni Rais atununulie tiketi maana hili Sasa ndio Jambo lake kindakindaki
@user-po8hz7xw9j
Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😅
@yusuphjilala846
Жыл бұрын
Ibwe na ahmed akili hamna mkichwaaa😴😢😴😢
@denisrukangula2227
Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@alicenice1711
Жыл бұрын
Semaji ni mmoja tuu hapo Ally kamwe tu
@norbertmakundi2305
Жыл бұрын
Hawa jamaa nawapenda mno
@BADAWY575
Жыл бұрын
Hawa wasemaji ni wasemaji upepo hawana upeo au akili au kujua kama wapo katika jambo la nchi ,wanaongea ujinga wao lazma wabadilike kiuhakika hii ni game ya taifa pumbavu zao
@frankhoffa8356
Жыл бұрын
Unajua maana ya utani?
@BADAWY575
Жыл бұрын
@@frankhoffa8356 utani upo na sehemu zake ,au baada ya kufanya walicho itiwa ,but wao ni mwanzo mwisho
@user-rs8bx6uh6q
Жыл бұрын
Mtoto wa faida kwa Azam media ni Ali kamwe kweli ni pigo
@joerryFrancis-mc1mo
11 ай бұрын
Ali kamwe unatixha kaka
@user-rr7du8om1z
5 күн бұрын
Ali kamwe n mt w maan sana maan lzma aanze na shkran,na kuw falsafa nzri ya kuongea
Пікірлер: 28