From burundian ipo siku ntaletaga ushuhuda kwa kitu kikubwa ulichobadilisha kweny maisha yangu taingia tanzania sababu yako asante kwa kunibadiaha
@mugishaflorence8590
Жыл бұрын
Tutaenda pamoja
@FredrickSeshahu
6 күн бұрын
Karibu sanaaa unipitie twende wote from Ngara Kagera Tanzania
@rosesesala9131
Жыл бұрын
Wewe ni mwalimu wangu mkubwa sanaa katika maisha yangu ,,
@necciakodi
Жыл бұрын
Brother Joel,kupitia elimu yako na vitabu in just 3months nimweza kununuwa pikipiki yakutembelea thank so much,God bless you brother NANAUKA
@mtotompole1040
Жыл бұрын
😢 Haya Mafunzo Ndio Yanayo Faa Mashuleni Asante Sana Mwalimu 🎉 NAOMBA NAMBA ZAKE MWENYE ANAZO #KENYA
@nurdininanjota4056
Жыл бұрын
Elimu kubha sana hii bado tunakuitaji
@josephmichael9555
Жыл бұрын
Kila point yako inanipa matokea asante sana mr Joel balikiwa sana hakika wewe ni mtumishi wa Mungu mwenye uaminifu wa hari ya juu sana.
@ediphonceedwin1482
2 ай бұрын
Mungu akubariki uwa napata elimu kutoka kwako
@cornerbrezz1207-lc6rg
3 ай бұрын
MUNGU akubaliki sana kaka Joel nanauka
@mwanaidiamanzi914
Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu, umenibadilisha sana
@shukranjulius9526
21 сағат бұрын
Kaka kiukweli umefanyika baraka kwa wengi, Mungu akutunze
@felixobare8135
Жыл бұрын
so powerful brother
@abdulymussa3008
Жыл бұрын
Be blessed bro kwenye maisha saizi tunahitaji personal development education University tunapat living certificate itusaidie kuishi
@timothykengere2535
Жыл бұрын
Shukrani 📚📚 Ndugu Nanauka nguvu ndio mzingi na subira 🎙️
@HellenMazullah-yw6hv
2 ай бұрын
asante uncle uwa nasikiliza mafunzo yako kila siku na MUNGU akubaliki
@geofreykangaho1149
Жыл бұрын
Najifunza vitu vingi saana kutoka kwako Kaka Joel Nanauka 👏🤝🙏
@PendoPendosechambo
Ай бұрын
Leo ndo nimejifunza Jins ya kuamua sikuwa naelewa Asante
@brackskinyozi3280
5 ай бұрын
Naendelea kukufatilia....kaka....sai...naona kuna kitu nimeanza kujifunza....naona.. maisha yangu yatanza kubadilika... kupitia wewe.....barikiwa....sana🙏
@tukaesanatu2754
Жыл бұрын
Asante baba kuna siku nitatoa ushuhuda wangu, Sababu ya mafundisho yako. Mungu akulinde usaidie wengi ufahamu.
@lwangakajembula8085
Жыл бұрын
Kilichopungua kwangu ni uhusiano mzur na watu
@gerraldgready8051
Жыл бұрын
Asante kaka Joel nanauka nabalikiwa sana kupitia ww kaka Joel nanauka Mungu akujalie maisha marefu
@solomonnzebele-nz3is
Жыл бұрын
Asant sanaaaa kaka Joel namshukulu Mungu kwa kukufanya uzaliwe Tanzania ili tuweze kupata mafanikio kupitia ww. Thanks so much umefanyika baraka sana ktk maisha yangu
@user-qt2yl9tl4f
Жыл бұрын
Kaka Joel Mm ninaomba Unisaidie Kutimiza Malengo Yangu Mimi niwe ninawajibika Kwako Katika Malengo yangu.
@faudhiasalum7279
Жыл бұрын
Power message ✍️📝📝✍️✌️
@amanigeorge9886
Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu brother.tuendeLe kupata mafunzo
@mahambagislain9618
7 сағат бұрын
Asante Kaka kwa mafundisho 🎉🎉✍️🇨🇩
@salamahamadisudi1912
6 ай бұрын
Nilikuwa na tabia ya kutumia pesa vbaya lkn toka nilipoanza kufatilia miaka mitatu nyuma nimebadilika kusema ukweli.. Mungu akubariki kaka joel
@tukaesanatu2754
Жыл бұрын
Ushauri wako ni mzuri sana kaka,asante ubarikiwe, Mimi nitafata ushauri wako. Mwakani nitakutafuta nikiwa nimeanza biashara yangu. Nitaomba ushauri zaidi kutoka kwako. Mungu akulinde.
@veronikacleophas5702
Жыл бұрын
Umeniondolea hofu katika maisha yangu nakukubali sana
@MasungaGahima-es5ei
Ай бұрын
Mungu azidi kukupa uhai,mwl Joel
@amosnshija
8 ай бұрын
Unastahili Sana bro! Mungu akulinde Sana!
@medlucas5686
Жыл бұрын
Asante bro ingawa unaweza kuamua Hali zikagoma kuhusu muda hapo ni sawa huwezikutimiza Marengo yako kwa mda unaotaka nashukuru kwa elimu
@wilsontungu3524
Жыл бұрын
Nakubali sana we mwamba natumia kanuni zako katika maisha,yapo ninayoyaishi na mengine Bado...ila hatua ni kubwa
@jacklinentabo2380
Жыл бұрын
Powerful teachings! Continuation please!! My mentor, Kaka Joel be blessed 🙏🙏
@SmilingBeignets-qt9dh
7 ай бұрын
❤❤❤❤
@alexlucas1571
9 ай бұрын
Mhhhhh mbona ni Mimi kabisaaaa hapa nazungumziwa kabisa, 😭
@dicksonkarithi5637
Жыл бұрын
You are so creative. From today my life will not be the same. Barikiwa
@davidonlinetv1468
10 ай бұрын
I learnt a lot through your speech .your talented bro! God bless you .heal 'em
@jumaahassan4707
Жыл бұрын
Asante sana broo umenisidia sana kujitambua nini nataka kwenye maisha yangu
@mangasinikusaya8157
Жыл бұрын
Life changing speech ❤❤
@AdelaLolinga
Ай бұрын
Nakufatilia sana kiongoz ww ni mwalim
@anodimdindikasi4823
Жыл бұрын
Asante sana kaka umechangia kubadilisha namna ya ufikiri wetu you are so speacial and change maker
@FELISTERPETER-jf9jv
Жыл бұрын
Asante sana Joel nikianzaga kukufatilia napata mabadiliko makubwa sana.
@aderiderkihupi7240
Жыл бұрын
Mungu n mwema
@InnocentLeonard-gy1mn
4 ай бұрын
Aisee Kuna kitu kikubwa nimekitoa kwako toka nimeanza kukusikiliza nimeona tofauti kubwa
@DavidKanaya-oq4mx
Ай бұрын
May God bless you Mr Joel
@FredrickSeshahu
6 күн бұрын
God bless you all the day sir
@194summer
2 ай бұрын
kubariki mnooo
@angelmollel2002
Жыл бұрын
Umenivisha somewhere, be blessed
@Simondeus360
Жыл бұрын
Mawazo makubwa xana bro
@aminasaid6555
6 күн бұрын
Aisee kama mwalimu huwa unaniadjust sasana kimadini aisee
@user-so1sr4hl9e
9 ай бұрын
Asante sanaaa nataman kuja kwenye masomo yako live siku moja
@fadhilikiyungi1741
Жыл бұрын
Thanks brother for your teaching
@ishengomabashweka9592
Жыл бұрын
Nashukuru sana kaka leo kuna kitu umenifunua
@HussainOmar-ub5hi
Жыл бұрын
Asante sana,mm ni mmoja wapo naumli miaka 40 najutia mambo mengi sana sikuyafanya na sasa cn hata biashara nilio simama nayo ndo nashituka sasa uml umekwenda, nahitaji vitabu vyako nisome itanipa nguvu.
@SarahNsajigwa-up8sv
Жыл бұрын
Asante sana kaka Joel kwa kutufundisha
@ruwaidamabrouk1797
Жыл бұрын
Amazing kaka joel naendelea kijifunza kila leo Mungu Akubariki
@Selemanially-xz8ly
3 ай бұрын
Mungu akubariki
@japhethcharles5791
Жыл бұрын
Genious!!!!!
@missmfinanga3000
9 ай бұрын
Very powerful speech.🔥🔥
@ismailgumbo289
Жыл бұрын
Shukran mkuu, mungu akuhifadh na kupe kheir nyingi. Sisemi sana ila nimekuelewa.
@happypaulo7954
2 ай бұрын
Mungu akutunze
@Francoiskasangala-gc8vx
Жыл бұрын
pôle Sana Kaka sasa n'a penda ni ulize kwenye kazi. ngambo ya familia ya mke ao familia ya mume ni wapi ambapo tuta wa weka kwenye ma kampuni zetu. ? kwa sa baba kuna utata apokweli. asante .
@oscarj....5979
Жыл бұрын
I feel so blessed
@saumusanjiama6991
5 ай бұрын
Unatufungua akili shukran sana
@user-ex7qz6uo1y
5 ай бұрын
BWANA akusaidie sana mtumishi
@alexlucas1571
Жыл бұрын
Amen kaka nimekuelewa sana
@saidirajabu3475
Жыл бұрын
Nakukubali sana kaka Joel
@SizzoSela29-sh8nz
7 ай бұрын
Hilo somo linanihusu mimi kabsa
@michaelyona9573
Жыл бұрын
Godbless you
@yahyasirlim4928
Жыл бұрын
asante brother kwa elimu hakika tunanufaika
@mwitakihani686
10 ай бұрын
Hakika Joel umenitoa mbali
@AdelaLolinga
Ай бұрын
Yaan Huwa nakata tamaa lkn sas umenipa kujiamini
@user-hd4tg3wt1u
Жыл бұрын
apo njo kaka umeni gusa na ju tiya kumbe
@user-qd4pn2ev7s
7 ай бұрын
Kaka ulisema vitu ambavyo mtu anavisikiliza Kila Kila siku ndiyo humkaa na kumuathiri basi nishakuwa addicted na masomo yako yaani siwezi kushinda bila kukusikiliza 😢na matokeo nayaona
@amosnshija
8 ай бұрын
It's good
@joharisaid4394
Жыл бұрын
Bro mungu amekuumba Kwa ajili ya kuwasaidia watu yaani Kwa mtu yeyote akifuata mafunzo Yako atafika mbali sana.mungu akupe miaka mia
@julianalaly2095
Жыл бұрын
Umenipa nguvu kaka.
@user-jr4fe9pv5s
10 ай бұрын
Safi Sana,elimu nzuri
@janviervenasi
Жыл бұрын
Nikwel kwenye maisha
@user-ln9px2vh6r
10 ай бұрын
Bro nakufatilia saaan ❤❤❤❤
@user-pd7zf3tc9q
5 ай бұрын
Asante sana
@damariszuckschwert9489
Жыл бұрын
I'm here from fix you!!
@ramakatonyongo1389
Жыл бұрын
kaka Nanauka nakukubali sana
@happynescostat7420
Жыл бұрын
Tunakuelewa!
@solangesine1874
Жыл бұрын
I really learned alot of things from u .
@happinessezekiel6446
11 ай бұрын
Umenifungua akil yanguuuu
@dorickmichael
Жыл бұрын
Tumesubir sana hiyo training namna ya kuamua kinachotakiwa
@fatmamayunga5792
Жыл бұрын
Nakukubali Sana umenibadilishia maisha
@lameckgunze6376
Жыл бұрын
Blessed
@WanjeCharo-qp2ou
Жыл бұрын
Hujambo kaka?" Mimi naitwa Wanje kutoka Kenya na hua nafatilia masomo Yako sana nashukuru Yana nisaidia. Lakini naomba unisaidie kama naweza kupataje vitabu vya elimu ya mafanikio...
@faudhiasalum7279
Жыл бұрын
🙌🏿🙌🏿🙌🏿
@magrethdamiano6305
11 ай бұрын
💪
@songolomeshake6206
Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@JacklineWiston-lf1zy
9 ай бұрын
❤❤❤❤
@andrew0502
5 ай бұрын
Natamani nisave hii speech
@dorotheakapufi
Жыл бұрын
Barikiwa kaka
@raymondngeze3461
Жыл бұрын
Kweli ndg anguu
@zawadigasper9544
Жыл бұрын
asante kaka mungu akubariki
@ashangonyani7989
Жыл бұрын
Asante kaka angu
@nathanmao159
Жыл бұрын
Asante kwa elimu hii
@joelnanauka
Жыл бұрын
Naahukuru sanaaa
@josephatjosephat7448
Жыл бұрын
Maisha yang yamebadilika toka nianze nianze kukusikiliza
Пікірлер: 125