Mwalimu nikweli pale kwenye miaka kumi na nane ndipo tulipotezA muda tukifikiri watu wanatuanghalia na tukachelewa kufanya tlicho takiwa kukifanya.lakini hatakama nimechelewa nitajikaza sana kwani unanitia moyo sana
@rehefehe8890
4 ай бұрын
Kaka joel mungu akubariki sana uishi miaka mingi tuzidi kujifunza , tangu nianze kukufatilia nimekuwa nna furaha ,strong, naweza kufanya maamuzi ubarikiwe sana
@IsakaJackson-uc9jj
2 ай бұрын
Daah, kiukwli Tangu Nikujue sijawahi kuku oinga MY"Blaza Uko vzl sana 🔥🔥
@MartinsDimbanda
2 ай бұрын
Nimekukubali Kaká,kwa lugayangu wanasema Ivi,acredito que você tás falar é verdade 🇲🇿
@BreckmasBaraka-zx1gb
2 ай бұрын
Unafaa kuwa mtawala au kuwa spika wabunge maana una mafundisho ma zuri sana yanayo weza kuvusha watu kutoka hatuwa moja kwenda nyingine
@hamasikatv
Ай бұрын
Asante kwa maoni yako tuendelee kujifunza
@josephtesha872
4 ай бұрын
Barkiwa sana Sir Joel hizi na vitabu vyako umebadilisha akili na mtazamo wangu🙏
@UnjuKhan-wq5rj
2 ай бұрын
siwezi comment juu ya kipaji chako ulicho nacho,lakini acha nikwambie kitu kimoja bro...unaisaidia sana jamii hasa vijana naomba usikate tamaa na usichoke juu ya hicho unachikifanya lakini pia naamin mungu amekuinua kuwa mtu kati ya watu kwahyo naomba usichoke na mungu akubaliki sana na akakuongezee pale ulipo pungukiwa
@user-bz3gu4tv1v
2 ай бұрын
Nakukubali Sana mkuu Mungu akupe nahitaji yako ya Muhimu.
@jacquelinemwacha7784
29 күн бұрын
Mungu nisaidie na mim nifikie hatma yngu🙏🙏 Kaka Joel Mungu akubariki umekuwa msaada wngu🙌🏼
@pulcheriamayombo5780
14 күн бұрын
Asante kwa somo zuri nifanyeje kutimiza malengo yangu?
@CristinaPedro-tv6qm
2 ай бұрын
Nimekuelewa kaka. Hongera sana na mungu akubariki.
@user-sq6cl8mf3b
3 ай бұрын
Safiiiiii sanaaaa barikiwa endelea kunielimisha
@SalumuSaid-vq2kp
2 ай бұрын
pa1 sana mkuu
@godfreyjulius8740
26 күн бұрын
Good joel imenigusa sana
@SwedyMohamed-vt5zm
Ай бұрын
Wewe ni jembe,hakika Kuna mambo kadhaa umenifunza na tayari yamenisaidia maishani.
@user-hf9fh6nk6h
2 ай бұрын
Ubarikiwe umenitowa mbali wewe kaka mungu akueke uzidi kutufunza
@shukranjulius9526
4 ай бұрын
Kiukweli Mungu akuweke kaka
@Dafetty
2 ай бұрын
Asante sana brother God bless you
@user-cz7yn8ct5r
Ай бұрын
Wewe ni mwalimu mzuri Mungu akupe Kibari siku zote
@user-lo6rw3ic7v
4 ай бұрын
Yaani ni Mimi kabisa kwenye swala la health
@festodaudi6478
4 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@ElizabethHamidu
2 ай бұрын
Kaka ubarikiwe kwa darasa lako
@ElishaMwasenga-r6j
28 күн бұрын
Asante
@festomatiku2611
Ай бұрын
ur ze insparation zion utafika kule unaenda bro joel.
@shukranjulius9526
4 ай бұрын
Hallelujah, dumu kubarikiwa kaka Joel
@AlbertGau-k7u
Ай бұрын
Kaka Joel mawazo na maono yako Ni makubwa mno Kwa vijana ambao Ni Sisi respect 🙏🏾✊🏾
@CheusiMshani
2 ай бұрын
Nakukubali mpaka naazima cm kukufutilia by med
@hamilcharles6830
3 ай бұрын
MaashaaAllah
@bazompolaphilbert
4 ай бұрын
Amina 🙏 barikiwa sana, but nashindwa kupata vitabu vyako.
@rehemamallya1136
23 күн бұрын
nashukuru kwa somo zuri ila ktk 7 areas of life hujamalizia Finances na Career.
@alexandercamili7275
3 ай бұрын
Katika haya kuna mengi sana nimejifunza, Asante sana
@magretharcard4531
4 ай бұрын
Asante sana kwa kutuelimisha
@Mr.Queentz
5 күн бұрын
Mm nilikuwa na ndoto ya Sanaa ya uigizaji ila wazazi wakaikatisha bila wao now ninge kuwa mtu mkubwa sana ila wakaanza kuwa eti ni uhuni mda wanakuja kuona ni sawa tayari kichwa kinawaza maisha mengine kwaiyo ni kweli bana lifestyle yangu Iko mbaya upande furani coz wazazi na mahusiano na marafiki pia mmmh
@StanleyMatembo-wj8rz
3 ай бұрын
Mungu akubariki kwa helimu yako
@user-oj6qq8up7f
3 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@IsayaMilya
3 ай бұрын
Mungu awe na we thank
@emmanueltangale2587
4 ай бұрын
Comrade Joel hongera sana
@RobatiMwambakale-jm5lj
2 ай бұрын
Yani naona umenigusa sanaaa
@rabanphotostudionyakanazi_4115
3 ай бұрын
Jamani,Asante
@RafaelHarubu
3 ай бұрын
Thanks bro for ur inspiration ❤
@edithavalelian256
4 ай бұрын
Barikiwa sana Kaka
@dolamussa8749
3 ай бұрын
Hapo kaka sawa kwamtindo huu tutakuelewa sana mm umenisaidia Sana kwaswala lakufuta aibu yangu kwasababu yako kaka mm nipo mtwara nakufatilia Sana
@TumainiMsumba-el3oe
3 ай бұрын
Ni kweli hatar mm nilikataliwa na wazaz wangu wa kambo
@user-te4nq8vv6c
3 ай бұрын
Mimi Toka nimekupata wewe na matokeo ya kumtunza pesa nimejua , before sikujua kitu Asante ,kiongozi🙏
@EmmanuelMaziku-vp6mq
2 ай бұрын
So great 👍
@BimmangaHemed
2 ай бұрын
Uko sahihi sana kijana
@DonardTomas
2 ай бұрын
Asant sana Joel nanauka
@bmajesky63
2 ай бұрын
Uko vizuri sana bro umenitachi sana na umeni encourage
@user-iq7uq3qu9d
4 ай бұрын
Kk Asante sanaaa
@nurujuma6912
3 ай бұрын
Umenibadilisha sana kaka angu nimejifunza,mengi kupitia ww
@user-rh5kv2du5e
3 ай бұрын
Ubalikiwe sana
@4bod801
4 ай бұрын
The best 👌
@veronicawilsonmbwambo1054
Ай бұрын
Barikiwa san 🔥🔥
@rehemadaudi4390
3 ай бұрын
Hi kwa Mara ya Kwanza kukusikia ,nimepata. Kitu
@mpazijuma962
3 ай бұрын
Good
@shekhaahmed3961
2 ай бұрын
Ahsante sana
@charlesmtatiro8534
2 ай бұрын
Asanteee kaka
@kuruthumukondo7149
Ай бұрын
Shukrani kaka ❤❤
@AnnaMagembe-uv5el
4 ай бұрын
Hata bhana
@user-rl5qu4zj9b
2 ай бұрын
Duuuu hii nikweli aisee
@veliuspaschal-wj7ev
2 ай бұрын
mungu akubariki kaka
@aderiderkihupi7240
4 ай бұрын
Barikiwa
@IrankundaOsee
2 ай бұрын
kijana wew ni kichwa.Mungu akubaliki sana.no comment brother
@directorpatron6995
18 күн бұрын
kaka unatufunza mengi
@user-bz3gu4tv1v
2 ай бұрын
Nampenda sana huyu mkali.
@user-mt6nu5hs8q
Ай бұрын
Nikisikiliza maneno yk wkt sijafanikiwa ndo nakataga tamaa kabisa Brother.
@realemma2312
Ай бұрын
Pambana usikate tamaa
@user-zj7br5vf8h
2 ай бұрын
Uyu jamaa ni mtu na nusu genius balaa
@veronicawilsonmbwambo1054
Ай бұрын
Umenibariki sana
@abidandastanmaliyatabu1373
2 ай бұрын
Kaka Mungu akubariki kwa uelimishaji wako mzuri, ila shida yangu hapa kwenye lugha unachanganya lugha mbili kwa wakati mmoja na sidhani kama kusudi lako waelewa watu ambao waliosoma au wanaoelewa lugha ya kizungu; ombi langu kama unaweza kutumia lugha ya taifa au moja wapo ya hizo unazotumia na sisi tusioelewa lugha ya kizungu tunataka kuelewa kila neno unalozungumza. Kama hautajali lakini; ni maoni yangu
@tunumigila8995
4 ай бұрын
Thank you
@IrankundaOsee
2 ай бұрын
mhimu sana kwa jamii
@sadickhassan8764
20 күн бұрын
🔥🔥
@user-lj7oq5hp4f
3 ай бұрын
Mi natamani pia hata udoctor wa heshima upewe
@JohnJoseph-xu8qv
2 ай бұрын
Asante sana
@francisndabila1119
3 ай бұрын
Nakubali joel Nanauka
@user-qh2ef5gj5b
3 ай бұрын
Nimekueerewa sanna kaka mungu akulinde
@Hopestanley565
2 ай бұрын
Yani unafaaaa kua kiongozi mkubwa kwenye nchi unaupeo mkubwa sana
@realemma2312
Ай бұрын
Napata nguvu sana kila nikikusikiliza
@user-hz3rb7vc1x
2 ай бұрын
Uyo ndio Joel Nanauka
@beatricemwamini2044
2 ай бұрын
Amen.
@user-lj2cl5yn6j
Ай бұрын
I learn many different things about you
@hamasikatv
Ай бұрын
Asante kwa maoni yako tuendelee kujifunza
@mathiasdickson522
2 ай бұрын
❤
@ToboaSaid
4 ай бұрын
❤❤❤
@GraceRugoyera
2 ай бұрын
Vraiment
@javanskiti5911
4 ай бұрын
🙏🙏
@Mr.Queentz
5 күн бұрын
Nime kunywa chai nime shiba nianze laumu watu sasa😂😂😂😂 mm marafiki zangu kila siku wana shida ila mm nikiwa na shida hawana wanaanza kuelewa zao nanikisema niwakope aisee awalipi Hadi tutombane aisee😂😂😂 Hawa watu
@user-uq6uv7mb4o
Ай бұрын
Mm niombe kitu kama kitakupendeza utafte tamasha taifa na uweke kingilio ili utufundishe maisha biashala na mafanikio br ww uko vizur
@user-tp5mz9bi1u
4 ай бұрын
God bless you
@BreckmasBaraka-zx1gb
2 ай бұрын
Hongera sana kuelimisha jamii mafundisho yako yanatujenga
Пікірлер: 135