Zanzibar wajanja mnoo, CAF 2027 timu nyingi zitapanga huko hivyo, itajitangaza sana ki utalii Afrika na duniani
@severinostephano3213
3 сағат бұрын
Huuu uwanjoo ndo wa afcon jmnn kwelii mbonaa munatuaibishaa watanzania angalieni ivory coast walichofanga ongezeni idadi y watu elfu ishiri etyy Ani, angalieni majirani watatupiga gepu ongezeni idadi y watu so siasa tuu
@ShauriAli-o5y
5 сағат бұрын
Kiwanja gani nacho
@AzhadSaid-j1t
7 сағат бұрын
Hh😅
@sadih5333
9 сағат бұрын
Jezi zilizo bandikwa nembo ya Yanga
@jacksonjuma3653
7 сағат бұрын
we kolozidad hizo jersey ni official za YANGA ila ni za warm up kama hujui usikurupuke
@vincentdaud9954
10 сағат бұрын
Boresheni namna ya kukata ticket .tumepata kwa taabu hao mawakala wa N CARD
@LimseyMassawe
9 сағат бұрын
Vituo vimetangazwa kwenye page rasmi ya yanga.....wewe unapataje shida???....kama upo Dar unaenda vunja bei au Jangwani pale. Zanzibar unaenda new Amani complex shida iko wapi?
Пікірлер: 10