Watoto wa juzi hawawezi muongelea vizuri bambo hawamjui
@noahchepe8036
Ай бұрын
😂😂bambo hata akiwa serious unajikuta unacheka tuu
@patrickimran2645
Ай бұрын
Mbona mzee wangu kakasirika
@baizobaizo6638
Ай бұрын
Naisubir Hiyo Lugha Mmun'gunyo Inaonekana Itakuwa Balaa Sana
@Heisfeisalmwema
Ай бұрын
Kanumba alikuw ana bumshiti mamaee 😂😂😂
@jameswissa9981
Ай бұрын
Bambo katoa ya moyoni mwacheni aseme ukweli. Bambo ni Msanii mkubwa,lazima aumie kufanyiwa hivyo na watoto wadogo waliomkuta.
@Kushgang-cr4pv
Ай бұрын
Bambo kakasirika kwasabab dai mabaunsa wake walimzuia aspande kwa stage wakat anaparform.
@ramiatebe8373
Ай бұрын
C uandae show zako we kazee😂 eti nae kapiga piano😂😂
@suncheafrica
Ай бұрын
I love this guy 💪🏿
@moseskulola6913
Ай бұрын
Noma
@nasrimohamed7556
Ай бұрын
Hahaha eti Bambo kisa mkongwe anamuelekeza mondi kupga show hahahah
@subirajohn728
Ай бұрын
Wewe Bambo acha kutafuta kiki zisizo na msingi!
@salimrashidy3513
Ай бұрын
Iyo mmung’unyo na izo akili za Bambo😅😅
@EzekielTv49
Ай бұрын
Watanzania mtu akifanikiwa wanahisi anatakiwa awasaidie na wao!!!mtu akifanikiwa sio lazima akusaidie na kama unaona ni rahisi kusaidia mtu fanikiwa na wewe awasaidie wengine,,,,sasa mtu anasema diamond hataki wengine wafanikiwe wale wasanii hawajafanikiwa!!,,aliiwaajiri je,, Watanzania wengi ni wapumbavu sana
@mudibojaffar9269
Ай бұрын
Asante sana,, Nadhani watajifunza kupitia Comment Yao .sasa wanataka Diamond awasaidie Kila mmoja anaye taka Msaada,,alafu kingine nikuwa,,huezi famia show ya mtu bila mpangilio
@agnesjohn9382
Ай бұрын
Ukiwemo na wewe
@jumahalifa6436
Ай бұрын
Mzee bambo naye kaingia kwenye mapiano 😅 toaizo pigachini mpaka bakuli
@ngolocomedian
Ай бұрын
Bambo wala hujakosea mimi mwenyewe yamenikuta hayo ...alikuja kigamboni huku ..ulikuwa mda wangu wa kupanda stagini kupafom comedy wakaanza kupanda wao aisee tangia saa nane hawakushuka mpaka show inaisha
@jerrymfinanga3773
Ай бұрын
Etii mzaziii wetuu😂😂😂😂😂😂😂
@RaphaelZama-ql3eb
Ай бұрын
P0p0ppop0p
@princebulas737
Ай бұрын
Babalevo ni mwanamke
@sunwizy608
Ай бұрын
ukweli lakini umefika hongera Bambo utuuzima dawa
@Wamoyothenumberone
Ай бұрын
Bambo nimtu wakale sie vijana wakale namjua saan,toka 99 bambo yupoo anaimba anafanya music pia
@samirakashililika4223
Ай бұрын
Nawewe kua mchoyo
@ananiamwatebela3159
Ай бұрын
Sio kila mtu atasaidiwa na mond afu bambo umefilisika vibaya mzee mzima ovyo sana ww hivi huyo unayemsifia katokea wapi mpuz kweli huyu
@stevensosipita
Ай бұрын
WEWE FARA BAMBO HAKUTAKA MSAADA KWA MOND ISIPOKUWA MTANGA NA BAMBO WALIPATA MWALIKO NA WAZRI AWESU LAKINI MOND KAWABANIA WASIPANDE KUFANYA YAO MJINGA WEWE
@josepheriah5977
Ай бұрын
Umbea uwo
@musiccaentertainment100k8
Ай бұрын
Tunalijua hilo kitambo..
@Larrytzatza
Ай бұрын
Hakuna mtu aliyemzuri kwa watu wote.....kila mtu ana story mbaya kwa mtu fulani... that's life.....Bambo n mtu mzima sana hakutakiwa kuongea yote ayo maan pia kuna kesho.....Km yeye anajiona ana roho mzuri atuoneshe vijana wenzake au wazee wenzake aliowashika mkono wakapata ridhiki wakatoboa😂😂maan uyo mwenzake anayemsema kafanya tumeona na yeye atuoneshe......Maisha yako ni jukumu lako....pambana tu anko bambo😂😂😂
@fabianmainchanyangachika5017
Ай бұрын
Kibakuri alienda wapi?
@user-wu8qe4fv4j
Ай бұрын
Ss wee naye shida minis na dai
@mugishasteve325
Ай бұрын
Maisha yanafunza vitu vingi malafiki wanakupenda kwasababu ya kile ulichonacho.wachache wanakuthamini ukiwa hauna kitu.kikubwa ni kupiga moyo konde ukapambana na Mungu anakuwekea wepesi unafanikiwa yeye atakuletea watu sahii
Acha izo ndugu acha aseme ukweli mi mwenyewe yamenikuta Hayo
@emiliuskifigo3062
Ай бұрын
We mtoto mdogo humfaham au umechelewa kuingia mjinii diamond kalalamikiwa na Ommy dimpoz kalalamikiaaa na Chidbenz Aya hermonize kama mmerogwa mnatetea ujinga
@j...876
Ай бұрын
Bamboo ahujawayi ku msemeya diamond kizuri hata sisi wa Kongo tuna lifahamu hilo
@dannylema3125
Ай бұрын
Nyie wakongo si miyayesho amuwezi elewa
@WISDOMMUSANYA-kt1ry
Ай бұрын
kazizawatu ww ulitakaushukenanini
@michaeljames403
Ай бұрын
Kwani hapo Bambo anafanya comedy ama yuko serious!!? maaana nahisi kucheka
@slymsameer5415
Ай бұрын
Kwani unafuta wapi kwenye KZitem au inakuwaje ok sasa hiyo show alipanga yeye ilikuwa yake au nae alialikwa tuu maana mnampango wakuchukia watu
@ramiatebe8373
Ай бұрын
Nawe ushazeeka
@PatrickEmanel
Ай бұрын
Siku baba yako akikukalisha kukushaur mwambie umezeeka ndo utajua ulimwengu ni nini
@ramiatebe8373
Ай бұрын
@@PatrickEmanel sawa babu ushauri
@agnesjohn9382
Ай бұрын
@@PatrickEmanel😂😂😂😂
@gideonemmanyi9593
Ай бұрын
Kwamba mngepanda siku hile show ingezaraulika au?
@ScopionScopion-zj9cd
Ай бұрын
hahaaaaaaa kweli bn show ingechuka thamani kinoma watu wangesema duh mpaka yupo kweli huu niutoto
@ashantinicas
3 күн бұрын
mziki ni biashara kila mtu anapambana kivyake ili afanikiwe sasa nyie mnataka msaidiwe pumbavu nyie pambaneni mpate na nyie mnalaumu watu kwa matatizo yenu shenzi nyie.
@T-Fellow
Ай бұрын
We Bambo, wewe kunamtu amekutuma kusema hayo.
@mashramadhani1989
Ай бұрын
BAMBO NAE ANATAFUTA KIKI TU
@dronemiguel2230
Ай бұрын
Toka lin bambo akatafuta kiki mapenz yanakuzid na ww kias kwamba kila m2 akizungumza ukwel unaona kama anaonewa
@mashramadhani1989
Ай бұрын
@@dronemiguel2230 Ukraine BWA wake wasanaa anatataka kupanda BILA mualiko Kwa stage kwakuwa bamboo noooooo
@agnesjohn9382
Ай бұрын
@@mashramadhani1989alialikwa na wewe acha chuki za wazi
@mashramadhani1989
Ай бұрын
@@agnesjohn9382 simchukii lkn muda wake wa kisanaa sio Mambo anatakiwa kupambana mayo sasa Kwa watoto zake.
@atunselu2401
Ай бұрын
Wakati wako ulishapita,acha makasiriko baba
@melki-kabalu759
Ай бұрын
Wakati wa mtu unapitaje????
@nakalikyumile3234
Ай бұрын
Sasa nyie ikiwa mlimtangulia huyo diamond sasa mna nini?
@simba9563
Ай бұрын
😂😂😂povu
@Peterchila-un2lx
Ай бұрын
Anatafuta Kik kwa pikipik huyo inaonekana mkundu wake unamuwasha huyu mzee
@stargalinya5135
Ай бұрын
Unatukana nn wewe Achauchawi
@ismailisungura3491
Ай бұрын
Tafuta pesa yako acha majungu kenge m1 we
@WISDOMMUSANYA-kt1ry
Ай бұрын
uingiekufanyanini sasa
@jacksonmsendo3478
Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@melcksedeki1012
Ай бұрын
Bambo anaroho mbaya sana
@abdalahmohamedi1806
Ай бұрын
Weee zombi simba la masimba dangote yaani mkimsema ndio mnampa kiki
@MJ-rr6dy
Ай бұрын
mond ana management yake na ni mkubwa, siyo akimuona bambo amwite, futa kwani ukifuta we nani ? peleka njaa zako huko swaini
@stevensosipita
Ай бұрын
CHAWA KAMA CHAWA MTAFILIKA SIKILIZA NDO UTOWE COMMENT BAMBO HAKUTAKA MSAADA ISIPOKUWA MOND KAWABANIA WASIPANDE JUKWANI KUTOA COMEDY YAO NA MTANGA BOYA WEWE
@shukurumgaya5950
Ай бұрын
Mond jambazi sio wewe tu mulize chidi
@bonita329
Ай бұрын
Sijawai kumuona bambo kakasirika kiasi hiki😂😂😂😂
@mudibojaffar9269
Ай бұрын
Huyu Katumwa Na Mataira wenzake kina Konde GIRL
@alibachirofficial3939
Ай бұрын
Q chief alitumua piya? Mond sio mtu mzuri
@mudibojaffar9269
Ай бұрын
@@alibachirofficial3939 Udhibitisho unao kama sio mtu mzuri.. Listen in this world not everyone will like you...Wengine wanamchukia kutokana na Wivu...So F*ck them All
@user-je8iw9jk1v
Ай бұрын
Mxenge sana huyo domo
@user-go6hi2pl8o
Ай бұрын
We mzee punguza shobo wewe na familia yako mkifuta nyimbo za simba sisi na uko wetu wote tuna download 😂😂😂sasa cakufanya aca maneno tuko bize na comment ça va na raha 😛🤪🤪🤪🤪🤪
@DeogratiusMadeje-os5ur
Ай бұрын
Kwenye ukweli mtu aambiwe ili ajilekebishe, kwan mwambino yeye n MUNGU? Hakuna binadam mkamilifu kwaiyo punguzeni ushabiki
@jumachacha1439
Ай бұрын
Acha njaa bambo
@khalsasalim7930
Ай бұрын
Domo ana roho mbaya q chif pia ashalalamika
@hoseanobocka7140
Ай бұрын
Huwezi kupendwa na Kila mtu hata yesu alikataliwa sembuse, hafu bambo anatafuta kiki anataka Diamond aongee hawezi kumjibu chochote na
@MJ-rr6dy
Ай бұрын
yani hili zee pumbavu sana, alitaka diamond apite anagawa hela, bola mond kiki haopo linatafuta kiki kwanza hata halichekeshi halina hela njaa inalisumbua saa hz lawama we hela zako ulimpaga nani tuachie mond wetu pumbavù wewe
@user-qz5yh1dl1n
Ай бұрын
Huyu d Mond ni umbwa kabisa kama umbwa wengine
@alzawahirabdallah2299
Ай бұрын
Daimon angekuwa mkristo wangekuwa washamuabudu
@cathbetsolomon3151
Ай бұрын
Matako nn unauhakika na unachosema have respect na dini za watu kiande weee
@alzawahirabdallah2299
Ай бұрын
@@cathbetsolomon3151 ukiambiwa usibitishe ukristo dini unalo andiko aw unasema tu
@mpsanga2914
Ай бұрын
Hiyo kauli ya kufeli wewe hataufanyeje diamond atabaki kuwa mkubwa mbwa wewe
@marokeyLFM
Ай бұрын
Diamond platinumz sio mchoyo angalia ajira alizo wapea kwanza watu wengi wasafi 😂
@bfofficial1735
Ай бұрын
Acha shobo na wasafi
@musiccaentertainment100k8
Ай бұрын
Hyo ni kazi na biashara tofautisha biashara na kusaidia
@pilimwanza8117
Ай бұрын
Duh we naeee
@mbwaralali5049
Ай бұрын
@@bfofficial1735kwaiyo tz mzima mwenye roho mbaya ni mondi. Amuoni wale walio pandishwa kwenye show asubui. Wacheni basi kumuongea mtu abaye hata time na porojo zenu
@user-qx8wb1lf1v
Ай бұрын
Ametowa Ajira Kwa manufaayake Ili Nayeye Anufaike Wacha Ukuma
@boniphacejames3356
Ай бұрын
😀😀 Futa kabisa mbwaa yule
@chekakizenjyzanzibar4153
Ай бұрын
ukute bambo jina lake ni bambi😂
@danrappergangamaa1190
Ай бұрын
Bambooo kaongea pointi tupuuuu Diamond Platnumz roho mbaya.... Ila bambooo sahizi umerudi kwenye chati SAFI
@bfofficial1735
Ай бұрын
SAfi sanaa
@Peterchila-un2lx
Ай бұрын
Wewe inaonekana mkundu wako unakuwasha unataka mond akufire
@Peterchila-un2lx
Ай бұрын
@@bfofficial1735mkundu wa Bibi yako wewe
@danrappergangamaa1190
Ай бұрын
@@Peterchila-un2lx matusi tena mbona unatumika kauli chafu hivi
@ramiatebe8373
Ай бұрын
Kwani bambo ndio nani😂
@PatrickEmanel
Ай бұрын
Wewe motor wa 2ooo huwezi mjua huyu mwwamba tulia
@stevensosipita
Ай бұрын
UTAJUWA WAPI MTOTO MDOGO WEWE?
@luckybarbershop2342
Ай бұрын
Oyawe muzeh mbambo kafanye comedy achana kwongea ushuzzzz www mzehe au do unska kufa
@MeenaHassan-fd9vv
Ай бұрын
na wewe kapande minazi ushushe nazi juma lokole wewe
@luckybarbershop2342
Ай бұрын
Oya mim siyo choko mbwa ww...unafata na chawi BAMBO
@user-bv9ce5sd7u
Ай бұрын
Na WW km kuma yn
@khamisidowany6262
Ай бұрын
Shabiki yangu diamond ila yanayo ongelewa abadilike bamboo kama bambooo ni mkongwe sana hawez kumsemea uongo pltnum abadilike
@jacksportman5181
Ай бұрын
Njaa huleta lawama ⛷️😂
@emiliuskifigo3062
Ай бұрын
Ommy dimpoz alimlalamikia Chidi dyna nyange bambo Q chief wote Wana wivu nae?
@ScopionScopion-zj9cd
Ай бұрын
ila bambo naww bn hivi kweli mtu andae show ya mamilion watu kibao Naww nae et upande pale sasa ww ukafanye Nini hebu acha utoto mzeee hii ww vp
@raphaelmwaura1648
Ай бұрын
Mjinga wewe wapi kasema yeye mungu ubwa wewe wivu tu una kusubua
@Sululumedia
Ай бұрын
Acha bamboo aongee
@Wamoyothenumberone
Ай бұрын
Unamtukana bambo we kama babaako heshim
@chugaprince
Ай бұрын
We msenge ww sisi diamond hatumjui
@dollsouthtv2136
Ай бұрын
Tuache unafiki uchoyo sio kwamba sababu kawaajili watu eti sio mchoyo anaweza kuajiri kuizuga Jamii ila ukweli wa nafsi huonekana kwa baadhi ya matendo mi sibishi ila lisemwalo lipo kama halipo laja
@KashindeKilovele
Ай бұрын
Wewe wakati wako uliwajar wangap mzeee tuoneshe hata nmoja uliyemshika mkono wakati wako
Пікірлер: 130