Bambo umetisha kaka ukwelimutupu hamo naizi jeshi la mutumoja lenyenguvu❤❤❤
@user-ou4tw1ob8b
Ай бұрын
Mmhh
@renatus5687
Ай бұрын
Chawa bambo
@user-sr6tr7ko7w
Ай бұрын
Muulezeni Mondi kama bambo anaongea uongo, na sio kumtukana, nyie wenyewe ni wapumbavu bambo kaongea ukweli wake hamchafui Mondi na kama yaliyoongelewa ni kweli Mondi nae ajilekebishe kwani huwa anatuhumiwa hata kuua kipaji cha mb dog, aslay, na rich mavoko
@BilaliBilaliamri
Ай бұрын
Mmmmh kweli kubwa jinga
@tonygee5680
Ай бұрын
Ushuuuzii 2
@rajabdibwa6415
Ай бұрын
Njaa mbaya!😂😂
@ROB_K08
Ай бұрын
Okey basi asiache Mziki jamaniii 🥷 Konde boy Mnyama mkari tena mpambanaji sasa sisi ma fans wak tutaenda wapi ama tutaishi aj?
@AbdallahOmar-bp8ij
Ай бұрын
Huyo mtoto anaetangaza niambie mahari shingali
@musakutenga9848
Ай бұрын
Bambo njaa itakupoza angalia usiigizwe chaka
@AllyShaban-ms7ot
Ай бұрын
Umezeeka vibaya
@YakoboSimif
Ай бұрын
Vvv
@YasinMalua
Ай бұрын
Mtangazaji kusema harmonize uwa msumbufu kutoa ela angalia kaulozako zitakuponza
@AbdallahOmar-bp8ij
Ай бұрын
😂😂
@SelinaMdoe-jv1pu
Ай бұрын
Shida hizi zinakufan ya umchafue diamo nd mii nasikitika san a weee bambo hovy o sana
@SylvesterStanlei
Ай бұрын
Sio kumponda si kweli alimkataa asipande jukwaan mond mbinafsi
@issamanongi1902
Ай бұрын
Angalia usije kuumwa tukaanza kuombwa tukuchangie sawa
@King_Of_Everything
Ай бұрын
👊👍✌️.
@husseinhcube1310
Ай бұрын
Bambo ni mmakonde hii ni mara ya pili anamponda mondi ila watoto wake ni mashabiki wa mond amewanyima democracy wanae. Mondi sio anaepanga show alafu hata ww lazima uwapromo wasani wako kwa faida yako
@DaudiSaid-bj7dh
Ай бұрын
Hivi mnawachukuliaga watz hawana akili au inakuwaje??? Acheni kicky za kitoto na muache kumaliza bundle za watz.Huyo kistuli madeni kibao yanamzunguka sasa akupe pesa kwa kazi gani. Huu usenge ni hapa Tz tu hata jirani zetu wanatushangaa
@SelinaMdoe-jv1pu
Ай бұрын
Bambo nilikuwa nak upenda sana kumbe msenge tu kakuuzi jukwaaani anapandi sha yeye diamond w asanii mpaka unam laumu
@hanifamziray277
Ай бұрын
Umepewa pesa ili umchafue ila umefeli jiangalie mondi ni maji usipoyanjwa utayaogea
@fahadfaraj6474
Ай бұрын
Acha ufala ye Mungu
@fahadfaraj6474
Ай бұрын
Mko radhi kukufuru kisa nini? Hata huyo rais sio maji kwamba uspomnywa utamuoga , sawa star ila isifike point uhisi bila yeye hakuna kinachoenda ye mtu tu na rizki yake watz waoga sana na umaarufu na ushamba mwingi angalia huku USA pdidy ni bilionea anauwezo wakurisha kijiji chenu chote ila kazingua watu wanamuangalia anavyostahili nakulaani ujinga
@user-sn8zw9rn5x
Ай бұрын
Kafel huyo boya
@MeenaHassan-fd9vv
Ай бұрын
maji ya kunywa kwenu n wazazi wako😂😂😂 muha mburundi hamuwezi mmakonde
Bambo wewe ni mc honganishi mimi sio ni kosa la diamond alilokukosea unaml aumu bure tu kwani aliekuwa na ratiba yakupandisha wasa nii jukwaani ni Nani usimlaumu mtu bila kosa bambo
Пікірлер: 30