Mungu ailinde ndoa yako Kwa kile ulichomfanyia mama yako,
@user-xc4or2vp6l
Mwenyezi Mungu nijalie lililo la kheri❤🎉na mimi. Hongera kwa kumkumbuka mama yako, na msiokuwa na uwezo hata buku 5 hutaki kumtumia mama yako. Wanaozielewa pepo hao.
@KhadijaMiteya-hh8xl
Hongera kwa harusi nzuri sana ila mnatuangua kuja na vitambi.
@dainessmyovela2115
❤ sn Shabani na Neina ndani ya real love, Mungu aitunze ndoa Yenu!Aminaaa🙏
@niindaelymalugu7629
Kwa furaha Hadi machozi yamenotoka Mungu akubariki Sana umejua kumuheshimisha mama yako mzazi ubarikiwe Sana Hadi ushangae
@user-cx1vn2mw8r
Nakupenda mamangu
@ShemsaIssa-lv6lh
Hongereni jamn b harus ana kimimba au ni macho yang🥰
@SherebanuIqbal-vn5fd
Mungu awabariki wote na muendelee ku heshimiana.mungu awa protect from devil eyes Ameen.
@jaclinesadic419
Natamn Mung anibariki kitu nami nifanye kitu siku ya harusi yangu Kwa mama na Baba yangu
@rahmasabuni3425
Күн бұрын
Etikidogoo😮
@irenepaul8470
Congratulations to you both
@FibiMuga-cl3dk
Hongera mama unaonekana unaupendo,Mungu awabariki maharusi
@speciozakaloli
Sio vya kutamani mshukuru Mungu kwa yote Kila mtu na liziki yake
@jemangonyan4876
❤ilove mamy
@RyycRaji
jaman baba baba
@brunoh_bx
Na mimi nahitaj mwanamke awe mke wangu🙏
@sudymgeni701
Vipi baba mbona simjamsikia au katangulia mbele za haki
Пікірлер: 27