Mashaallah sheikh Mazinge mwenye mungu akupe umrii mrefu uendelee kuitangaza Dini haki na ya kweli hakika mkristo mwenye ufaham na kujua baya na zuri akikuskilza atajua kweli ni ipi
@hajathhajiselemani3019
2 жыл бұрын
Mashallah sheikh wangu nimpendae kwa ajili ya Allah,,,,sheikh mazinge I love you from the moon and at the back sheikh
@rhiophiri6857
2 жыл бұрын
This time around professor Mazinge we are watching you from Lusaka zambia, it's very interesting professorجغق ،you making us feel okay, you make us grow in loving Islam
@mwanahamis5487
2 жыл бұрын
Mungu tuwekee mazinge.. Kiboko ya makafiri
@omarjeylan4113
2 жыл бұрын
MashaAllah TabarakaAllah i love this professor, i remember watching him since 1996 in mombasa Kenya when he use to come, Allah anijaliye to invite him n to be my VIP guest.
@hassansumera7818
2 жыл бұрын
Professor toa lecture wataelewa tu. Allah akupe umri mrefu tuendelee kunufaika zaidi kizazi Hadi kizazi.
@issmuking3987
2 жыл бұрын
yaaan mazinge wallah nakupenda kwa ajili ya Allah
@husseinguyo4379
2 жыл бұрын
Mazinge Allah akupe umri mrefu na hekma ya kupambana na hawa makafiri
@kochantv8554
2 жыл бұрын
Wallah Dr mazinge nakupenda kwa Ajili ya Allah🙏
@bahatisaid5435
2 жыл бұрын
MashaAllah tabaraka Allahu Akibr ❤️ mazige Allah akuhifazi wallah
@samxx411
2 жыл бұрын
Kama football, Mazinge ni Ronaldo na kama wrestling Mazing ni John Cena (Anajuwa hadi anakera) Mungu akuzidishie
@fatumamuya2139
2 жыл бұрын
Maa shaa Allah shukran wote mlioshiriki
@eshasalim5496
2 жыл бұрын
Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH
@deqamoha7001
2 жыл бұрын
Umewaosha Hawa mazinge
@hassanmpwepwe3826
2 жыл бұрын
Mashaallaah Allah ukupe umli mlefu shekh wangu mazinge na a2pe mwisho mwema inshaallah
@hassanounAbdul
26 күн бұрын
Mashaallah alhabib Ust.prof Othman Mazinge Allah akulipe kwa Kila utoapo na uvutapo pumzi yake ❤
@hamisijm8437
2 жыл бұрын
Masha allahy Baba mazinge Wamekuelewa
@NadhiraNa-vm5hs
Ай бұрын
Mashaallah mazinge Allah akujaalie uhai mrefu wenye manufaa kwetu nakwako pia
@chabunu3367
2 жыл бұрын
Ndacha Kaa chini kabla hujakutana na mazinge huwezi kumshnda mazinge maana anatetea dini ya haki
@ahmedabdirustu2193
2 жыл бұрын
MashaAllah sheikh Mazinge barakallah, unaeleweka kabisa, Anaye taka haki, Haki hii hapa.
@abdalaauame3863
2 жыл бұрын
Mazingue frofessa kwa waubir
@mchopaluka4319
2 жыл бұрын
Yesu ni Bwana, ni Mungu ni mwana ni mtume ni Mchungaji ni mwalimu na yote katika yote
@pilimusa3217
2 жыл бұрын
Yesu ni mtume, utume huo katumwa na nani?
@mwakoromamwanamgeni5420
Жыл бұрын
Kafiri mkubwa wee!! Huna haya
@jamilaomari2444
2 жыл бұрын
MAZINGE wallahi Allah akubariki Sana!
@salumunanguva9127
2 жыл бұрын
Mazinge
@hirammbugua7593
2 жыл бұрын
kwanini mazinge ndiye anaongea tu na ni kuongea na kujibu.waislamumko na ujanja furani.
@MkBoneface-dl4hn
Жыл бұрын
Allah akujalie maishabora duniani Na ahera profeca mazinge
@thomasalchannel1135
2 жыл бұрын
Yesu Ni Mwana wa pekee wa Mungu;nasi Ni Mfano wa Sehemu za mwili wake kwa kuwa Yeye Ni kichwa nasi viungo.Waisilamu fahamuni Hilo.Yusufu Ni Baba Mlezi wa Yesu.Amin Amin
@jumanasoro8903
2 жыл бұрын
Hujitambui
@fatumabakari1480
2 жыл бұрын
Mung amezaaa Wap broo Thom😂😂😂
@hadiyamohamed594
2 жыл бұрын
Yesu ni binadamu kama mimi na wewe slivyoubwa ila kspewa unabii .
@thomasalchannel1135
2 жыл бұрын
Mungu hazai kwa mwanamke huzaa kwa NENO.Kabla ya misingi ya Dunia(Issa) apo na Mungu Baba
@athumanzahir8316
2 жыл бұрын
Nyie mnabisha waislam hawampend yesu
@heyumi2340
2 жыл бұрын
shekhe mazinge 🥰🥰🥰kiboko ya wakiristo
@kudramzee5769
2 жыл бұрын
Professional mazinge
@maherzain615
2 жыл бұрын
Allah akupe afya na umri mrefu professor
@missrukia9661
2 жыл бұрын
Mashallhaaa
@nassarrostom1919
2 жыл бұрын
Mazinge unatetea dini ya Allah ❤❤
@editrudesmbonde9051
2 жыл бұрын
Mungu wetu sisi hana dini,yeye huiangalia lmani ya mtu juu yake tu. Dini ni Mpango wa MWANADAMU ili kumtafuta MUNGU. Mpango wa MUNGU kumtafuta mwanadamu ni WOKOVU tu!!
@nassarrostom1919
2 жыл бұрын
@@editrudesmbonde9051 ivi mpaka Leo ujui dini gani ya kweli,? Polee
@editrudesmbonde9051
2 жыл бұрын
@@nassarrostom1919 Kwa Mungu hakuna dini,kuna Imani. Imani ya kwanza duniani ni Christianity. Ukristo upo duniani toka miaka ya 200,na hiyo dini yako imeanza miaka ya 600. Labda nikupe definition ya Dini; DINI ni mpango wa mwanadamu ili kumtafuta MUNGU,lakini mpango wa MUNGU kumtafuta mwanadamu ni WOKOVU.. Sasa Ukristo siyo dini ni IMANI,sasa wewe kama unadhani dini yako itaku fikisha MBINGUNI,wait and see👀. Imani ni AMANI na UPENDO lakini dini ni VITA na CHUKI kati ya wanadamu,mna tabia yenu kwenye hiyo unaayoiita dini ya kweli,kuua watu wasio na hatia eti ndio unaenda ahera. Wonderful!!! Eti uue mtu uione mbingu mbona ni formula ngumu ya kishetani?? Badilikeni Mungu anaangalia IMANI ya mtu na matendo yake,pia jinsi mtu anavyozishika Sheria na Amri alizoweka tu. Hayo mengine ni yenu watu wa dini.
@editrudesmbonde9051
2 жыл бұрын
@@nassarrostom1919 problem is that Mungu hana dini
@nassarrostom1919
2 жыл бұрын
@@editrudesmbonde9051 Kwani ukristo ni nini!
@ngusacharles475
2 жыл бұрын
Nakupenda Debate hii Sana Hawa jamaa wanaondoa chuki za Udini na ni faida kwa taifa,,letu.
Hahahahahaha wallah asie kuelewa Mazinge huyo hana FIGO
@selemanendemangandemanga
18 күн бұрын
Big up PROFESSOR Mazinge.
@modinakshy6276
2 жыл бұрын
Mashaallah inshaallah watafamu tu
@alilalila5035
Жыл бұрын
MA Sha. ALLAH. MAZINGE. ALLAH. AKUPE. AFYA. NA UZIMA Aameen
@halinishibakari5402
2 жыл бұрын
Allah awalinde mashekhe wetu muzidi kupambana nao hao makafiri
@salehsuleiman8519
2 жыл бұрын
She mazinge jinsi ninavokupenda nataman siku moja tuonane Allah akupe afya njema
@omargbabaomar2004
2 жыл бұрын
Masha Allah sheikh mazinge
@MkBoneface-dl4hn
Жыл бұрын
Allah akubariki kwakazi kubwa unaifanya mazinge
@saumusanjiama6991
2 жыл бұрын
Mashaallah shekhe mazinge
@delefantasticali8377
2 жыл бұрын
Mashaallah big bro mazige
@AliMohamed-ng5ps
9 ай бұрын
Mazinge mashaallah wafunze ❤❤❤❤
@rajabhamis8272
2 жыл бұрын
Mazinge Allah, akupe mwisho mwema na kauli thabiti,,
@achanifumos1093
2 жыл бұрын
Kwa nini inaharibika sauti pindi akismama bwana mazinge?????..
@ahmedrashed7138
2 жыл бұрын
Maashaallaah Allhamdullaah
@leadyl5757
2 жыл бұрын
Yesu juuuuuu
@bellimarwa5454
2 жыл бұрын
Amina
@Bimariam-qn2gm
Жыл бұрын
Download
@halinishibakari5402
2 жыл бұрын
Vidume WA Allah.Allah awalipe.
@mastermacheni932
2 жыл бұрын
Yes yes yes yes
@tinnoaugusto7779
2 жыл бұрын
Shida n kwamba Biblia Ina mafumbo mazito ambayo n magumu kuyaekelewa kirahisi... Shekeh anatafiri kilaini tu sio kitabu Cha hadhi hiko... Em fanyeni hiyo midahalo na watu waliosomea SoMo la Biblia takatifu sio na walio kariri tafadhali
@fatumabakari1480
2 жыл бұрын
We ndo huelew sa Ina mafumbo gan mnagusaa Gus tu mnaruka mambo
@hirammbugua7593
2 жыл бұрын
kwangu mimi mazinge hana point. ni ujinga tu.
@hadiyamohamed594
2 жыл бұрын
Huyo ni professor Dacha wenyewe anapikwa 🤣🤣🤣
@alsamali6964
2 жыл бұрын
Toa point ww bc
@suleymanally4729
2 жыл бұрын
Naon kuna mdada kasmama hapo hat haon haya najisket lake 😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-en2gp3fb7m
9 ай бұрын
Mazinge waeleweshe ma a na hawajui kiswahili
@amosethantheking8815
2 жыл бұрын
Kwa nini anaitwa Issa Bin Mariam na asiitwe Issa Bin Yusuf? Kwa hiyo kwa mujib wa Qur'ani Mariam ni mama wa mtoto na baba wa mtoto? Kama ni hivyo Issa baba yake ni nani?
@ikabako2454
2 жыл бұрын
Na mie nnakuuliza Nabii Adam baba yake ni nani?
@fatumabakari1480
2 жыл бұрын
Isa amezaliwa bila baba😂😂
@mohamedhaji2200
2 жыл бұрын
Itakua mapacha
@fatumabakari1480
2 жыл бұрын
Akii nyiee tuwaombee ndug zetu makufar Allah awaongoze coz Ile itakapofika khalidiina fiha abaada n mtihan 😩😩😩🤲🙏
@pilimusa3217
2 жыл бұрын
Hivi wakristo ni ndugu zetu?. Nielimishe
@suedahmadi9091
2 ай бұрын
Iko njia ionekanayo njema machoni pa mtu lakini mwisho wake ni njia za mauti
@maukadekandege6617
2 жыл бұрын
Ila hii midahalo mnajichanganya sanaaa
@jumashabani8474
2 жыл бұрын
Muone huyo dada alivyo vaa hata mshipa wa haya hana duuh au ndio Rohomtakatifu yumoyoni
@shabandamas1759
2 жыл бұрын
Huyo mwanamke mbele hapo anafanyann
@heyumi2340
2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤸wahubir wa kikirsto
@ummuswaleh6550
2 жыл бұрын
huyo mwanamke mwambieni aondoke hapo yupo uchi
@ummuswaleh6550
2 жыл бұрын
mazinge tanga sehemu mpo?
@suleymanally4729
2 жыл бұрын
@@heyumi2340 na mskert wake hata haya haoni 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂anawap nguvu mapastor wao
@heyumi2340
2 жыл бұрын
@@suleymanally4729 toka lini mwanamke wa kikitisto akawa na aibu 😂😂😂😂😂
@johnayanga9880
2 жыл бұрын
Huna la kuamba si adi Quran iansema Isa alizaliwa bila baba
@pilimusa3217
2 жыл бұрын
Adam bila wazazi
@naimaabuualii578
2 жыл бұрын
Uyo mwanmke mm nilijua dume kumbe jike mwandishi au mchukua kamera t
@amblozambloz8812
2 жыл бұрын
Huyo mazinge mnafiki alihaidi kubatiza kama kuna Aya ukristo ni dini... Alipewa na kitu alichofanya ni kunyamaza kumblock mwalimu ndacha kila mahali ndio wasikutane naye kwa mtutano yeyote
@CharoHarrison
7 ай бұрын
Uislam dini ya shetani
@adammj6258
Жыл бұрын
Hadi hapo bado tu hamstuki!!?
@kashindiidi8259
2 жыл бұрын
Debate ambazo ampost na za wa kristo! Ni vizuri mna post zote ili tujuwe oja
@nalingarowl7048
Жыл бұрын
Hubirini Quran,kama ww unajua, nenda Vatican ambapo ndicho kiini Cha ukristo
@qerysir4410
2 жыл бұрын
Not impressive 🤪🤪
@editrudesmbonde9051
2 жыл бұрын
Mazinge unashangaza sana,yaani wewe na ushehe wako unashindwa kuelewa kuwa YESU ni Mungu?? Hata wewe ni Mungu au hijui?? YESU ni MUNGU na haibadiliki,na pia kwa utoto pia ni mwana wa MUNGU na hata wewe ni mwana wa MUNGU. Vyeo hivyo unavipata ukikubalika na MUNGU mwenyewe kwa kufuata amri na sheria za MUNGU.
@hamzafishten9560
2 жыл бұрын
Sasa yesu kama ni mungu nani ku Kamuumba mama yake Mariam aca ujinga wewe tumikusha akili Mousa na yesu na kaja mbele
@editrudesmbonde9051
2 жыл бұрын
@@hamzafishten9560 Mjinga wewe usiyeijua KWELI ili ikuweke huru. Pmbvsnxsz👹😈👺🙀💀💩
@editrudesmbonde9051
2 жыл бұрын
@@hamzafishten9560 You don't know even writing.
@hamzafishten9560
2 жыл бұрын
You to u don't know what u believe wewe ni mswaili aca kijifanya kama wewe ni mzungu ongea kiswaihil kafiri wewe
@editrudesmbonde9051
2 жыл бұрын
@@hamzafishten9560 Kafiri atakuwa wewe,mwenye imani ya mashetani na malaika zake,kuzuri zaidi l know what l believe and end of my journey. So l don't care whatnyou'll say about my Faith,so get lost with your religion👹
Пікірлер: 186