Mashallah najiona kama nishaingia katika nusra ya allah .dhikri ni chakula cha moyo wallah
@RAMADHANKHAMIS
2 жыл бұрын
SIKIZA NA HII PIA kzitem.info/news/bejne/rZlnuYiVg6Nld4I
@furahambondo-rp6qm
8 ай бұрын
Mashallah yaani nijikuta chozi ladondoka😢 I proud to be Muslim ❤
@ibrahimsalim8368
Жыл бұрын
Masha Allah namuona mjomba sheikh nuru kijongoo kutoka mtongwe Familia ya dhikri nyumbani maganyakulo kwa mwalim mbwana Allah amrehemu Sijamuona Sheikh kidzeru Love DHIKRI ❤❤❤❤❤
@MWANAMWAKAMWINYISHEE
4 ай бұрын
Ntmn Niko hapo
@abdallahyakub5075
Жыл бұрын
Natamn sana hii.... Penda sana dhikiri ya Hamis kombo😍
@chechekhamisi8712
2 жыл бұрын
Shekh mwaranjira unauaa
@user-qp4yj7fd4v
9 ай бұрын
Mashallah sheik Hassan mwaranjir mungu akueke jomba langu la power❤❤
@saidmwakulika9945
2 жыл бұрын
Maalim Jumaa mwatetema na mwamlondwa na hamis kombo na mwamadi wa matuga na swaleh nilikosa uwondo hii ngoma ni kubwa sanaa na nitataka yangu zaidi ya hii inshallah inikishuka bila kuwasaharau mahalifa watatu nawaoma Allah atupe umri nije kuwakuta nyote inshaallah
@mialihamadi5098
Жыл бұрын
Nikiwataka nawapata vp
@saidmwakulika9945
Жыл бұрын
Wako ngombeni
@rajabbugu3571
4 ай бұрын
mwamad chamwenye
@mcaattanmbarak3717
3 жыл бұрын
MASHALLAH nimekosa utamu ila tuko pamoja inshallah namuona Rashidi,mukhtar,na maustadh wengine wengi tuu ALLAH awajaze
@suleimanngare6707
3 жыл бұрын
Mamuona ustadh hamisi kombo pale emayee Mombasa baha kaya
@shkhmahadhihajjialqadiria7570
2 жыл бұрын
Shukran ahal Qadiria tupo pamoja Qadiria Mchangani Zanzibar
@fauziajoseph2440
Жыл бұрын
MashaAllah I love Islam
@mibsamswedi928
Ай бұрын
Mashallah Barakallah Swalawaat
@royalautoworld7843
2 жыл бұрын
namkumbuka babangu mzee mnyapara ALLAH amrehemu alkua akpenda snaaa
@karimamwachano8752
Жыл бұрын
Naam babu mnyapara alikua kipenzi wa dhikri mola amrehemu babu
@sophiaangel6771
3 жыл бұрын
Mnanikumbusha zawiyani riadha . marshaallah
@HadijaAbdallah-ld1xx
3 ай бұрын
Nami namkumbuka mamaangu na kakaagu walekua wanapenda sana thikri Allah awarehemu
@kibafteshadau222
Ай бұрын
Mzee mwaranjira MashaAllah
@MakuKumala-zy3bl
7 ай бұрын
MashaAllah
@suleimanngare6707
3 жыл бұрын
Masha Allah 👌moja safy sana aki
@moha_the_gamer
10 ай бұрын
Nice dhikri ❤
@shabanimussa4269
3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@jahaabdullahi3356
3 жыл бұрын
Shukuran kwa dhikri
@hadiyamohamed594
2 жыл бұрын
Dhikir? Katafute maana ya dhikir hio sio dhikir ni ujahiliya
@jumajigwa504
3 жыл бұрын
Napenda
@maridadimbwanamwakulafiwa69
3 жыл бұрын
Mashaa Allah
@dktabbaimran2002
2 жыл бұрын
Masha Allah
@karneinyusuf5011
2 жыл бұрын
Mashallah napenda sn
@mamabestie8964
3 жыл бұрын
MASHALLAH
@user-ow1sh6rw8w
3 ай бұрын
mashaallah
@tinaramadhani-xs3vs
Жыл бұрын
Mashaallah.mungu awajaze kheri
@fatmasaid7093
2 жыл бұрын
MashaAllah 🌹😍🌹👌
@hassanraphaer2022
3 жыл бұрын
Mashaalwa xana nakumbuka mbary
@nyangeshari1184
3 жыл бұрын
Nzuri Sana hizo
@abdallahjamalullaily7235
3 жыл бұрын
Maashaallah Maashaallah
@eshlykheriyth7201
2 жыл бұрын
Mashaallah
@aimanabwedu7047
2 жыл бұрын
Nakumbuka memon villa
@alisudiramadhan3151
2 жыл бұрын
Allah barik
@hamadmohamed3056
8 ай бұрын
Kuswali hamtuka nyie na Migokaa. Huu Uzushi jiangalieni maisha mafup husije kutieni Motoni. Hajafanya Mtume (s.a.w) Wala Maswahaba. Husiposoma utajikuta unafuata mambo tuu kimbwiga.
@user-kb2xk3ry2g
4 ай бұрын
Dhikiri
@mwanakombopopo5117
3 жыл бұрын
Mash Allah napenda dhikri nitaipataje hii nitumie
@saidmwakulika9945
Жыл бұрын
Umeipata
@mwanakombopopo5117
Жыл бұрын
Bado nitumie
@ibrahimsalim8368
Жыл бұрын
@@saidmwakulika9945kama uko na video nitumie kaka please
@marrypaulo9098
2 жыл бұрын
Mashallah
@khadijahh5765
3 жыл бұрын
Nyumbani kulee
@khamseysagrado7547
3 жыл бұрын
Ngooooma
@mohamedsheyba6816
2 жыл бұрын
Ngoma ya Peponi
@mialihamadi5098
Жыл бұрын
Ni ng'omben ya wapi?😔
@saidmwakulika9945
Жыл бұрын
Moshini
@mialihamadi5098
Жыл бұрын
@@saidmwakulika9945 namba ya cmu plz.niko mbal ila nikijaaliw nitawatafuta
@maosthmohammad4838
2 жыл бұрын
Hicho kitabu chapatikana wapi na chaitwaje wanachokisoma
@mdalamgir-gu9hu
Жыл бұрын
Ata zinaa ina kitabu chake ila cjui kiko wap
@jumajigwa504
3 жыл бұрын
Nimo
@mdalamgir-gu9hu
Жыл бұрын
Mnankumbusha taru momen vile.moshi.mwakileli.kwa kidzeru..cku ya mazishi ya gamla...woi
@MWANAMWAKAMWINYISHEE
4 ай бұрын
Mm nakunja y bbngu 😢
@hamadamabali2895
3 жыл бұрын
Jiangalie mnaleta uzushi katika Dini maisha mafupi jamani!
@alisudiramadhan3151
2 жыл бұрын
Ndio nawewe uwachane nayo yauzushi angalia yako yadunia wamaliza siku hata bila kumtaja Allah kisha wasema uzushi
@hamadamabali2895
2 жыл бұрын
@@alisudiramadhan3151 umejuwaje kama naweza maliza siku bila kumtaja Allah? Halaf mbona umepanik wewe ni miongoni mwao Wanao endeleza huu uzushi nini?
@babutonge1415
2 жыл бұрын
Kasome ilmu wewe hunà elm
@babutonge1415
2 жыл бұрын
Wewe ni wahabi Wala hatuna haja ya kubishañ sisi
@user-ew6lr6eh6o
3 ай бұрын
acha wanaopenda ka hupendi tupishe
@hadiyamohamed594
3 жыл бұрын
Hio sio sunnah ya mtumie na wala hayakuyafunza haya. Huuu ni ujahilia watu watatoka lini ?
@bibiali2713
2 жыл бұрын
Wewe endelea sunnah zenye unamjua na pia mtume alikua akisilimisha watu wewe ngangana na kusilimisha watu na kuswali wacha watu wazidi kutaja Allah na mtume kwa uwenzo wa uhai wao wewe baki na sunnah ya kuswali na kuhji na kubaki na dini yako Kim ya kimnya
@hadiyamohamed594
2 жыл бұрын
@@bibiali2713pole limekukera ndio unaongea ushunzi pole lakini ndio ukweli
@bibiali2713
2 жыл бұрын
Wala hakuna ukweli wowote na pia asante KW tusi lako kama wenye kupinga wenye kumtaja Allah na mtume wake nalkn wanaruhusiwa kutukana ndio sunnah basi pia haina shda watu watakufata ww mwenye matu waa he wenye kumtaja Allah na mtume waka Pia usisahau kua hutaulizwa ulifanya dhikri au maulidi au kutukana ila Mali yako, umri na watoto wako. Wala hutaulizwa kwnn hukuwakataza wenye kumtaja Allah na mtume wake
@bibiali2713
2 жыл бұрын
At tena uwislamu na unataka watu wakufate na kunyamazia dini kujua ww peke ndio nn sasa
@hadiyamohamed594
2 жыл бұрын
@@bibiali2713 samahani Wacha kuongea na machungu shida watu wakiambia mnakuwa wakali . Hamna mtu kakutusi illa katafute kujuwa dini zaidi . Hata mimi nilikuwa sijui lakini Alhamdullilah nimejifinza mengi . Watu wa coast tuko nyuma na dini
Пікірлер: 98