Sasa unaimba albam nzima unamsifia kiongozi wa siasa wakati sifa unazotoa hazina ukweli wowote nani atakuelewa? Na hiyo albam itatoka nje ya nchi? Ndio maana wakiwa nje ya nchi wanapiga kwenye mabaa.
@user-ys5iu3qu3u
3 күн бұрын
Big point kwelli kabisa bongo flevo ya zamani nzuri kuliko hizi amapiano
@ilynpayne7491
20 сағат бұрын
7:36 kweli kabisa mimi siwez tofautisha luludiva na mimi Mars ama fina sjui madem wana igana sana
@AndrewMajingwa-ln7oi
7 күн бұрын
😂😂 ila konkii hapa umepuyanga wenzio hawataki mziki wa kuishi wanataka mziki New model na wanapiga pesa hatariiiiiii,,, angalia ni ENJOY hapo inachanja mbuga
@alibinali_
6 күн бұрын
DUDU BAYA NOMA SANA 😂😂😂😂😂😂😂
@user-rh4ue7rb6t
8 күн бұрын
Wewe mzee mtafute Mika mwamba mbafu sana
@ilynpayne7491
20 сағат бұрын
Anasema ukweli top 10 hazina maana 😂😂 watu wana Bluetooth hawana mda wa kwenda club😂
@AishaYahaya-ld5lb
6 күн бұрын
Msema ukweli ❤❤
@Wamoyothenumberone
3 күн бұрын
❤
@RodaMwakatundu
8 күн бұрын
Trueee konk3masta
@AckriniSikulumbwe2000
8 күн бұрын
HHaahahhahahaah hii nchi
@Legends_Interviews
9 күн бұрын
Huyu jamaa kapotea yeye .. kila kitu kwake sicho anachukia wasanii bila sababu ovyoooo
@frankngoloka5416
8 күн бұрын
Wewe umefanyanini enzi zako?
@barakarobert1029
9 күн бұрын
Kwa kwel ww enz zako hela ulipeleka wap mbona unatia huruma uwez fikia level za mmakonde
@Legends_Interviews
9 күн бұрын
Nashangaa kazi yake kuwasema wasanii tu
@evansobewa7741
9 күн бұрын
Jamaa anaongea maneno mengi ila hana lolote,tafuta pesa wacha mdomo
@user-nx4eg7sf8u
8 күн бұрын
Wewe ndo hujitambui unapenda kiingereza kuliko kiswahili chako halafu unajigamba umeitawara nchi yako muda huo huo unasema kiingereza, cha mtu mavi hebu acha kuiga cha mtu watanzania muudumishe utamaduni wenu hebu rudini kwenye bongo flava.
@Wamoyothenumberone
3 күн бұрын
Loloote analoo
@johnmike6059
8 күн бұрын
We nimuongo
@redockbracard9455
8 күн бұрын
Wewe ni mzee mda wako umeukula vibaya una wivu na Harmonize kijana mdogo ana kuzidi pesa na umaarufu aumuwezi
@RomanMwinyi
9 күн бұрын
We kaka msanii au mchambuziii atukuelewii au ume ACHA kuimba toa ww nyimbo kumawee
@Wamoyothenumberone
3 күн бұрын
Huyu kipaji kingi wewe
@DelightfulFish-ps8ny
9 күн бұрын
Huyu kaka hampendi konde boi
@AckriniSikulumbwe2000
8 күн бұрын
Hapan ukwel anaseama
@user-wn3zb5xv6v
6 күн бұрын
Umeferi huu wakati wa konde ata upondevipi wwnzio washakuacha mbali mmechezea mziki kazi makelele kuwaongelea wenye mziki wao
@albertkadyanji9722
6 күн бұрын
Wakati wa konde hahahahahaha mmakonde kwa kipi hana jipya ameshafeli
Пікірлер: 31