Hv unawezaje kumchukia mtu aliye kuzidi uwezo. ww piga kimya.
@fatumasaidi2592
Ай бұрын
Hayo ni maneno ya mkosaji😂😂😂isitoshe msipomuongelea diamond mtakula wapi?
@user-cj4mg8th7l
Ай бұрын
Bambo wewe njomnafki kwanini hawuwalilie wengine inamana diamond nimungu watanzania kila mjinga akipndwa nawazimu wake Ni diamond acha ayo mambo yako bwana😂😂
@user-st3ws1ns5g
Ай бұрын
Hasa unajua mondi sio mungu,ww unalaumu nini?? Kwani we diamondi akichukia mafanikio ya wengine,ndio we usifanikiwe??? Ubwa wewe
Пікірлер: 5