Leo nimepata chance ya kuview mwanzoni ntacomment mpk mnichoke, I love sns
@mussamabawa2973
Ай бұрын
Hongeleni kwa uchambuzi mzur
@goodluckmwamboneke5591
Ай бұрын
Lawyer anamadini sana, ila sma mtafit sana na ally mdadisi sana wa vifaa mbali mbali vyakivita na anaijua siasa ya kijeshi. Siku zote huwa nawawek kweny haya makundi matatu ila nawaheshim sana uncles, maan mi niko na 19yrs, na kunakitu smaa uliwai kusem- watanzania wengi tuliopo abroad tunatamani sana nchi yetu to allow duo citizenship so we can invest back in our country but this Sims like a trap to our government, I'm so sad for that😢
@goodluckmwamboneke5591
Ай бұрын
I'm ll watching GPS from seattle Washington, I love you guys na sikutegemea kuona combination ya dj,royal,student engineering wakawa na madini kiasi hicho, big up bro sky and God bless u all.
@mrdocta3106
29 күн бұрын
Salamu kwa mzee wa Facts and logic, Mwana sberia na Mr Masubi. From Canada
@tunechmkumbwa6047
Ай бұрын
Huwa nafurahi sana na kujifunza vitu vingi sana pindi ninapo sikiliza GPS na SNS Kwa ujumla
@elishaluhwago6940
Ай бұрын
DJ SMA Una hekima sana brother... upo so matured.. and unajua...... shout out to Henry mwinuka pia... very knowledgeable
@godwinmandary5116
Ай бұрын
GPS hakika ni darasa huru najifunza vingi sana mengi nilikuwa sijui kupitia GPS nawaelewa sana ❤❤
@Gulfnas1
Ай бұрын
Aiseee mmetupa wakat mgumu, kila muda ku chungulia KZitem
@user-yv2mx1vq3w
Ай бұрын
Uchambuzi wenu ni wa Kisayansi sana. Uelewa wenu ni wa kitaaluma tena kwa ngazi ya juu sana. Hongera sana. Hata Waislamu walio wengi hawana uelewa ngazi hiyo.
@Gulfnas1
29 күн бұрын
Una hakika na hyo unayo yasema??
@user-ni9gx1ho6c
Ай бұрын
Henr mo faya
@SaraphinaKidoti-qe7gi
Ай бұрын
Ally amu acha nawenzik waongee wamalize bs 😅😅😅
@hemedmwipopo780
Ай бұрын
Mwanasheria umeukonga moyo wangu uko sahihi.
@Muba-Gucci-TV
Ай бұрын
Nafatilia kutoka Burundi 🇧🇮
@JumaMkele-lm7qy
Ай бұрын
Mwana sheria ameupiga mwingi leo nipo pamoja na wote Wana sns
@Brunotarimo10
Ай бұрын
Kipindi bora GPS kutoka 254
@binseify4615
Ай бұрын
😢h1
@Brunotarimo10
Ай бұрын
@@binseify4615 1 ndo Nini?
@HabibuHobohobo-py2mq
Ай бұрын
Mmesahau kuwataja wapalestna kwa uzalendo wao ndo wako NAMBA MOJA wako tayari kufa wakiwa wanaipigania NCH Yao
@issakhamis9581
Ай бұрын
Shukran kwauchambuzi❤❤❤❤❤
@kdloon2030
24 күн бұрын
Jamaa ana chukua kiti katika wakati mgumu sana!
@noelmarapachi1808
23 күн бұрын
Saana
@issaibonyissaibony9934
Ай бұрын
Naitwa KhatiBu (Irani ni watu wanye asili ya kuifumba dunia ili waweze kufikia malengo yao
@tidomilinga3750
Ай бұрын
Acha kuombaomba ridhika na unachopata unajiweza lakini hutosheki
@AbillaiShabani
28 күн бұрын
Tanzania 1
@brianbaltazar6198
29 күн бұрын
Hongereni sana❤❤...Uchambuzi mzuri sana..
@naqiahmad26
Ай бұрын
wallah naipenda hii channel kinoma
@bonemwaminifu3935
28 күн бұрын
Ali masubi
@GraceMashinga-be9wb
Ай бұрын
Yan naview huku mara pa kwann nato walimua gadafi🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Asante gps
@user-km1dm8et9x
Ай бұрын
Magaidi hawaamini
@user-km1dm8et9x
Ай бұрын
Namsubiri the MVP masub ally
@hazygardmericho9571
Ай бұрын
asee mwamba ni mnoma,
@GeorgeAkasha-zx2rj
Ай бұрын
Henry mwinuka pia fundi sana huyu Jamaa.
@AliNassor-qt6fm
Ай бұрын
Ile jamhuri ya mapinduzi ya Irani , haiwezi kwenda sawa na magharibi na irani anaipinga Israel % how come aende sawa na magharibi pale khamaney ndo muamuzi wa mwisho
@omarymwaluko9765
26 күн бұрын
Nchi zinazongoza kwa uzalendo N Korean Iran China Urusi Cuba Venezuela Vietnam
@khalifanoti6974
Ай бұрын
Lakini mjue kuwa ktk serikali ya irani maamuzi ya jambo lolote yanaamuliwa na baraza la Ayatullah Khomeini.
@SaraphinaKidoti-qe7gi
Ай бұрын
Ally million mia 5 zote ndo niuze nnchi mm 20 zinatosha 😅😅
Kitu wachambuz hamjakielewa hakuna kulisi nchini IRAN balaza la maulama kiongoz mkuu wa kidini Iran akifaliki lile balaza miongoni mwao anapatikana kiongoz mkuu wa kidini
@allyhasani3750
Ай бұрын
Nawakubali sana
@abubakariali9848
Ай бұрын
Nchi zenye uzalendo zaid 1. North and South korea 🇰🇷 2. Iran 🇮🇷 3. China 🇨🇳 4. Kenya 🇰🇪 5. Cuba 🇨🇺 1000. Tanzania 🇹🇿 😔
@ce-08
Ай бұрын
😂😂😂
@GeorgeAkasha-zx2rj
Ай бұрын
@@ce-08Kenya itoe
@jasonwatz7457
29 күн бұрын
Kenya ina uzalendo kuliko hata tz, mdomo tu ndio kitu tz wanaweza@@GeorgeAkasha-zx2rj
@LucasLagos-dq4mh
15 күн бұрын
We jamaa unaependa kuongea kizunguzungu unajitahidi japo unatumia hisia nyingi kuliko uhalisia
@Eng2460
Ай бұрын
My fav media🎉
@nassoroshakiru7094
29 күн бұрын
Binafsi naona Tanzania baado tupo chini sana kwenye uzalendo ila kwa Africa Mashariki naweza kuizungumzia Rwanda
@King_Of_Everything
24 күн бұрын
👊✌️👍.
@peterilimwa5754
Ай бұрын
watanzania wenye akili sn gps
@OsmanKauli
Ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I think 🤔 pia turkey Wana uzalendo
@josephkostans9128
Ай бұрын
Akisubutu kwenda sawa na mkoloni basi siku zake zitahesabika yaliomkuta mtangulizi wake hayatamuacha salama.
@Mubarak552
26 күн бұрын
Iran hata Rais awe nani, mwenye maamuzi ni Ayatullah Khamenei na lile baraza lake la viongozi, na inapokuja kuhusu maslahi ya taifa lao, Iran husimama kwa pamoja bila kujali misimamo ya Rais wao, na wao wakigundua Rais ni kibaraka basi wanamfyekelea mbali
@RAMAMOHA-vn9xv
29 күн бұрын
Yes Good
@fraternitesecondaire7073
29 күн бұрын
hapo Iran inaenda kuwa vizuri zaidi
@kdloon2030
24 күн бұрын
Upande wa uzalendo Tanzania hatumo,maana viongozi wetu wenyewe wanatufanyia ambayo siyo.Huo ni usaliti tosha
@HeriDunia-i7m
21 күн бұрын
tanzania watu wake wazalendo akujawai kutokea duniani yan adi wanaogopa viongozi wao akunaga iyo😂😂😂😂😂😂 ovyo tu tanzania mwisho jaman
@brianbaltazar6198
29 күн бұрын
Nchi zinazoongoza kwa kuwa na raia wenye uzalendo sana duniani..1.China. 2.North korea.3.Iran.4.Russia.
@GeorgeAkasha-zx2rj
29 күн бұрын
Lists ya nchi wazalendo. 1: USA. 2: Germany 3: China 4: Venezuela. 5: Iran
@omarymwaluko9765
26 күн бұрын
Marekani labda uzalendo wa ushoga
@user-eg1ts2fu9z
Ай бұрын
Mnachambua vitu tunaogopa sns kuwa blocked na KZitem. tunawakubali Sana
@allyhasani3750
Ай бұрын
Naona ya Kwanza urusi ila sisi 150
@rajdaboy
28 күн бұрын
🇰🇪🔥
@user-qo2dk6iv3u
Ай бұрын
Iran kageza vikwazo kuwa fusra ya kimaendeleo
@khamisfarouk9493
29 күн бұрын
Ally punguza izo nanilii😂😂
@SamsonEzekiel-or9xc
11 күн бұрын
Nawapata kipindi bomba ila Umesikia ya Traore mwanajeshi kuhusu Afrika na pembe tatu alivyoongea au ndio kuitawala dunia huko
@mdbosco1640
Ай бұрын
❤🇧🇮 🇧🇮 ✌
@samiraabdimahamed4449
29 күн бұрын
😢😢😢😢
@r.m.a7570
Ай бұрын
Kuna jamaa yote kama anaijua anasema uzalendo sifur Tanzanian
@AyoubHajj
Ай бұрын
Naomba kuliza ni mda gani anakaa madarakani raisi wa Iran
Turishawambia kuwatsa watu bila sababu ni ujinga huu ndiye rais anayestairi
@abdalahgunda1319
Ай бұрын
Kiongozi mkuu ndani ya lran anakuwa sauti tuu lakini maamuzi makubwa ndani ya nchi ni aigc control lran na bunge na ndio lnayoshikilia uchumi amatoller Khomeini ndio alioifikisha nchi ya lran kujulikana kimataifa na kushikilia msimamo wake ktk mashariki ya kati lran lnaanza kuondoa vikwazo kutumia njia nyingine kujikwamua ktk kuleta maendeleo ktk serekali ya lran lran hawezi badilika msimamo wake
@MAHAN-SMART
29 күн бұрын
Ya kwanza Palestine 🇵🇸 licha ya vita na mauaji ya kikatili ila bado hawajakata tamaa na kutetea taifa lao
@gateberaildephonse5488
Ай бұрын
kamenei ndiye kazikwa cairo??
@swedikagusa9300
Ай бұрын
bro sk mpe hi herry imemuelewa xana
@nassoroshakiru7094
29 күн бұрын
Kwa upande wangu nchi zenye uzalendo ya kwanza ni 1.IRAN 2.KOREA KASKAZINI 3.CHINA 4.URUSI 5.VETINAM
@aishaarusha894
Ай бұрын
Nchi yenye uzalendo ni Tanzania 🇹🇿 tulimzika magufuli na wengine walimsindikiza kaburini😅
@SaraphinaKidoti-qe7gi
Ай бұрын
Korea Iran Urusi China South korea
@salumabdallah2990
Ай бұрын
Si myahudi huyu
@lusitamagora23
29 күн бұрын
Pezeshkian keshasema wazi kuwa yeye anaamini kuwa Khamenei ndiye kiongozi mkuu na hawezi kwenda kinyume na anavyoamua kiongozi huyo mkuu. Iran ins sera madhubuti inayojengwa na msingi na dini ya Kiislamu.
@Ally-qi7xo
Ай бұрын
🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦💯🇧🇮
@Pablolookman
Ай бұрын
Iran inaenda kuangamia
@omarymwaluko9765
26 күн бұрын
Ww choko
@hamsikrasheedi1796
28 күн бұрын
GPS ❤🫡
@GraceMashinga-be9wb
Ай бұрын
1. korea kasikazin 2. China 3. Iran 4. Urusi 5. Venezuela 6. Burkina Faso 7. Burundi 8. India 9.__ 10 naiweka tz kwa uzalendo wa lugha na uhamiaj
@AFRICA_D669
Ай бұрын
Tuelewe yakwamba iran haiwez kupata kiongozi anaye kubali matakwa ya magharibi iran itaongozwa na maghaidi mpka mwisho, ila nawakubali sana
@emmadora7848
Ай бұрын
😂😂😂😂 Ile tu kutumia vitu vyao ni kwamba bado wanaongozwa # Helicopter ya rais
@salumabdallah2990
Ай бұрын
Kwaiyo magaidi ni wairan na sio marekani si ndio?
@KhamisOmar-kt4kz
Ай бұрын
Ww unaukimwi wa maskio na mawazo pia israel na marekani ndio magaidi ww demu
@AFRICA_D669
Ай бұрын
@@emmadora7848 😂😂😂ila ilikua ni zaman
@AFRICA_D669
Ай бұрын
@@salumabdallah2990 sio hvo mimi siwez ita mtu gaid
@BIGBOSS-hl3bu
Ай бұрын
Mhhhhh sijui kama hawajamchagua MZUNGU maana Kuna mapandikizi pia tusisahau 😂😂😂
@omarymwaluko9765
26 күн бұрын
Iran mfumo ww uelew nchi zisizo kuwa na mifumo kama tz ndo unaweza kuweka kibaraka ila hapo hata wakimuweka kazi bure
@BIGBOSS-hl3bu
26 күн бұрын
@@omarymwaluko9765 nimekusoma mwamba🤣🤣🤣🤣
@raydanfrenk
Ай бұрын
😂😂😂😂 mtakuja kuaibika subili atakuwa Bega kwa Bega nchi za magharib
@khalifanoti6974
Ай бұрын
Sahau hiyo kuwa rafiki na magharibi wale wa iran wanaongozwa na baraza la ulamaa
@user-ww5iu4gz4b
Ай бұрын
DJ SMAA NAMKUBALI KWMBA MUDA USEME KWAMFANO IRAN ASIPATANE NA MAREKANI WAKATI WOTE WANATAKA WAPATANE NA URUSI NA CHINA LAZMA MKANGANYIKO UTAKUWEPO APO
@OsamSaleh-k3v
Ай бұрын
1 palestine 2 north Korea 3iran 4china 5cuba
@user-mf7hl7jh6s
Ай бұрын
Naika Iran miaka 10 kwakwwli huyu pezekian kuna mambo atabadilisha ndani Ya Iran sana sana sheria zinazo husu Wanawake (hijabu....) ila kuhusu ku support hizbullah huthi Palestine daah hayo hawez kuyafikilia maana Huu ndio msingi wao
@abulaaliyah77amani91
Ай бұрын
Mhh
@martinisadru9899
Ай бұрын
Hii chanel, babu kubwa,, hakuna ngonjela hum, taarifa zao ni uhakika! Zisizo na upendeleo, wala ushabiki, naiweka ubora wa hali ya juu,, naitabilia itakua bora zaidi bbc.
@mrdaslam301
Ай бұрын
Nchi yenye watu wazalendo ni Russia ... Vikwazo vya kumgombanisha Putin na watu wake halafu wamemchagua Putin kwa asilimia 87 bigg up kwao.
@ce-08
Ай бұрын
😂😂 uchaguz unasiri nyingi hicho huenda c kipimo Cha sahihi Cha uzalendo wa watu kwa nchi Yao Je Tz wazalendo kwa chama tawala sababu nchi nzima karbu wabunge wote ccm
@GeorgeAkasha-zx2rj
Ай бұрын
Mkuu Marekani ndo nchi yenye wazalendo 1 duniani hakuna mfano.Ndo maana wako radhi wakushughulikie ww Kwa ajili ya taifa lao mkuu.Russia Putin na wachache ndo wazalendo halisi, ila Oligarches wengi wa Russia sio wazalendo.
@rumdeesonsoa1811
27 күн бұрын
Uzalendo wa kulazimshwa nao mnauita uzalendo? Hizo nchi zote walizotaja jamaa sidhani kama ndio zinaongoza kwa uzalendo maana wananchi wake wanalazimishwa kujifanya wazalendo bila ridhaa yao.
@omarymwaluko9765
26 күн бұрын
@@GeorgeAkasha-zx2rjmarekani wazalendo wa ushoga
@omarymwaluko9765
26 күн бұрын
@@rumdeesonsoa1811marekani wazalendo wa ushoga
@Gulfnas1
29 күн бұрын
Nchi 5 zenye raia wazalendo North Korea Iran Russia China Cuba
@sonnyr1899
Ай бұрын
Mtaji mkubwa wa Magharibi ni kupotosha vijana na wanawake kwa hio wa Iran wawe makini. Maendeleo makubwa wa nchi za magharibi ni kuingiza UGASHO katika Afrika na Asia sasa sijuwi hii inatusaidia nini?
@MathewNathan-yb2bz
Ай бұрын
Hivi kwa ujinga wako unaamini kuwa nchi za magharibi ndizo zinasambaza ushoga? Ushoga ni tabia ya mtu mwenyewe.Na je na umalaya nao ni hao hao wazungu?Nchi za magharibi hazimlazimishi mtu kuwa shoga.
@sonnyr1899
Ай бұрын
@@MathewNathan-yb2bz We ndio mjinga wa kwanza kukutana nae mwaka 2024 asie juwa kuwa bank ya dunia ukiomba mkopo miongoni mwa masharti unayo pewa ni ugasho
@kamanapomo7029
Ай бұрын
@@MathewNathan-yb2bzwew ndio hauna akili zezeta mkubwa, yani inamaana na ujinga wako woote hujui hilo
@MathewNathan-yb2bz
Ай бұрын
@@sonnyr1899 ww ndio mjinga kwa kwanza mwenye matumizi mabaya ya akili.Marekani na nchi nyingine hawalazimishi mtu yeyote yule kuwa shoga bali wanataka watu hao walindwe wasinyanyaswe.Hata ndani ya marekani kwenyewe kuna majimbo hayaruhusu ndoa za jinsia moja hususani huo ushoga.
@MathewNathan-yb2bz
Ай бұрын
@@kamanapomo7029 ww ndio una matumizi mabaya ya akili kwani kuna siku hizo nchi za magharibi zilikulazimisha kwa nguvu kuwa shoga?
@saidiomar6642
Ай бұрын
1-korea kaskazin 2- china 3-iran 4-Russia 5-Japan
@rumdeesonsoa1811
27 күн бұрын
Vigezo vipi vinazingatiwa kujua kuwa nchi fulani ina uzalendo sana?
Пікірлер: 133