Hapa duniani huwa tunarukaruka tu ila mwisho wa siku Mungu ndiyo kila kitu. Ujanja wetu ni wa muda mfupi sana
@SIMONHERMAN-qv2ln
18 күн бұрын
Amen
@florabuzoya3948
18 күн бұрын
Amazing God🙏🏿
@user-nt6fb2ky3t
16 күн бұрын
Amrudiaye bwana naye bwna atampokea na kumfanya kuwa wamataifa🙏🙏
@pacomezouzoua9175
16 күн бұрын
Injiri itahubiriwa duniani kote Stey blesed phin
@sumbaonline4002
19 күн бұрын
Ameungana na Irene Uwoya siyo mbaya sema wangekuwa wanafuta na hizo tattoo
@igihamanuel1
18 күн бұрын
Tatoo zitatoka tu, hakuzaliwa nazo
@kingcole60
16 күн бұрын
AMEN 🙏🏿
@kyannickk2be
18 күн бұрын
Injili itahubiriwa kila mahala
@lifestory477
18 күн бұрын
New mwamposa in town
@salymsuleiman2035
16 күн бұрын
Ukristo ni dini ya maokoto
@FreeGod368
15 күн бұрын
Pole sana kwa wivu brooo..ni aibu sana kila sku allah allah yakabudu, mara alllah allah na huna upendo..dini ako kama haikufundishi upendo ina maana gan sasa, si kama kikundi cha kibao kata tu
Пікірлер: 14