Leo February 8, 2018 Mwanamitindo Hamisa Mobetto amefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya usuluhishi na mzazi mwenzake, Diamond Platnumz kuhusu malezi ya mtoto wao. Hamisa Mobetto amezungumza na AYO TV kuhusu hilo.
- 6 жыл бұрын
Hamisa Mobetto kafunguka Mahakama kumsuluhisha na Diamond 'Ugomvi wa familia uacheni tu'
- Рет қаралды 403,262
Пікірлер: 507