Tumbo la mama nyumba, Mgongo na mama Gari, Maziwa ya mama Chakula
@prime_215beatz
Жыл бұрын
Hard to understand this Pastor but always he's talking deeply messages 👏
@MILTONKALYEMBE
Жыл бұрын
MUNGU akubariki sana pastor kwa neno lako ulilotupatia
@erickgulayi2089
Жыл бұрын
Huyu mzee namuelewa sana na sikosi kumsikiliza
@dankhany3385
Жыл бұрын
maisha marefu hannanja
@jayjay4313
Жыл бұрын
Dag, kazi ipo! Leo Sasa nimepata muda. Ti taaa mwamba huyu hapa. Nishaandaa mbavu zangu Mimi hapa saa mjue. Hakuna mtu kunipigia simu mpaka somo liishe hapa.😅😅😅
@daudimichael7338
Жыл бұрын
Nakupenda sana mchungaji wangu, sijawahi kuchoka kukusikiliza😂😂
@dottohami
Жыл бұрын
Huyu mzee mm namuelewa sana naongea ukweli wake 😘
@TALLUBOY
Жыл бұрын
Wewe mzee ni
@frankmalesa9226
Жыл бұрын
Jamaa huwa ampingi mtu hata kama chizi yeye anaamin maandiko tu
@nelsonnyamle
Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu baba yangu Hananja nimejifunza mambo mengi kupitia wewe
@azizamohamed7692
Жыл бұрын
Sichoki kumsikiliza Hananja ❤
@emmymshomi8893
Жыл бұрын
hananjaaaa pastor safiii sana 😍❤
@vickytorry100
Жыл бұрын
Barikiwa sana Mchungaji Hananja, nahangaika kukariri fungu moja wewe unatiririka na mafungu kibao! Una baraka, hekima na upendeleo wa Mungu🙏🏾
@ezevisionmediastudioezevis7855
Жыл бұрын
Hii interview ina zaidi ya dakika 25 lakini nimeona kama ni dakika 5 tu, mchungaji hau boi.
@omaryrashidiboga4651
Жыл бұрын
🤣🤣🤣 Nimecheka eti wa2 wanashida nying Unaweza kuwauzia Dona la upako
@paulnzilo7252
Жыл бұрын
Pastor Hananja wewe ni sauti ya waliotengwa 😂😂 nakupenda sana.
@mekumeku2484
Жыл бұрын
Huyu mchungaji yuko vizuri sana yaan anaenda nje ya box anaokoa wwngi sana nikiwemo mimi
Пікірлер: 263