Niga ur the best,, kuna mchambuzi m1 awezi kuonesha hata chembe ya zuri mnja kutoka magharibi (HADI UKIMSIKILIZA UNAGUNDUA ANA HISIA ZA CHUKI)
@PatrickKagiraneza-ok8cw
10 күн бұрын
Good technique kwa urusi...
@davidandrew6332
10 күн бұрын
Huyu ndiye mchambuzi Wangu Bora (Ally) hapa Sns, Hasa napenda Sana beto yake na Kipara (Djsma) Amazing Sana.
@hazygardmericho9571
10 күн бұрын
Mwenzake sma ni kuwapondea tu magharib yani hana jipya,,😅nauko kwenye komenti wasilamu wanavomjaza kichwa bas ndio doh,!
@AliMwingwa
10 күн бұрын
Safi sana nakuku bari katika teknology upo good
@paschalfausitine7108
10 күн бұрын
Mungu wabariki warusi, wapate ushindi, huko , Ukraine, Viva Russia
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
10 күн бұрын
AMIINA . ILI TUPATE AMANI DUNIANI. MAANA WAHUNI WANAKOMA😂
@selemancokker4994
10 күн бұрын
🙏🙏🙏
@claudinyandwi9481
8 күн бұрын
Amina
@brianbaltazar6198
9 күн бұрын
Uchambuzi mzuri sana kaka ally
@AFRICA_D669
10 күн бұрын
Ukiwa katika kundi LA majasusi ukiingia tu KZitem lazima ukutane na habari za kiume kama hzi na uzifatilie kwa umakini zaidi gonga like Kama muafrica harisi ila kiroho tunaishi Europe
@HajiJuma-xw7vh
10 күн бұрын
Sawaaaaaa
@StephanoMoses
10 күн бұрын
Uhakika👍
@AFRICA_D669
9 күн бұрын
@@StephanoMoses nakubal
@AFRICA_D669
9 күн бұрын
@@HajiJuma-xw7vh kubal
@chachamturi259
9 күн бұрын
Hakakakitu kanatwanga
@AbdillahRashidi
10 күн бұрын
Ni Vigumu kuzizuia glide bombs au kuzitungua ndege ambazo zimebeba glide bombs(esp.SU 57) kwa Ukraine ,kwa sababu Glide Bombs zinazotumiwa na Russia zina "Flight control Surfaces" yani zinaweza kujiongoza/kuongozwa kwenda kwenye Target husika ,nje ya mpaka wa mfumo wa kujilinda wa anga yani " beyond air defence interception zone" hivo ile ndege na Pilot wote wanakuwa salama....
@pascalmanyama2304
10 күн бұрын
uko sahihis
@user-cx9lt8hh4l
10 күн бұрын
🫡👆🏻
@omarymwaluko9765
10 күн бұрын
Kama unawafagilia marekani Israel Ukraine juwa ww ni choko
@ManusuraWalumona
9 күн бұрын
Habari zenu hua zimehitimu chuo kikuu hivyo sio habari tu bali ni masomo tunafaidika mno!!ahsanteni
@franksimonngole8481
10 күн бұрын
Juzi nimeona Zelensky anawaalika Urusi kwenye Peace list.
@dominicksangu8934
10 күн бұрын
Tunakushukuru kwa kutu fafanulia vizur mtangazaji
@abdullahnassor9433
10 күн бұрын
Mabomu ya kuteleza, kwa nini inaitwa glide, kwa sababu imetolewa umbali wa kilomita 60 kutoka mahali pa kushambulia kwa hivyo haiwezekani kuangusha ndege. Mabomu ya kuteleza Urusi inatumia aina mbili za fab family na odab family Kwa kutumia satelaiti ya glonus Thermobaric Wanatumia TOS family ambayo inatumia hit to the degrees of sun .. wanaiita familia ya warusha moto (flame throwers )
@issakhamis9581
10 күн бұрын
Shukran kamanda kwauchambuz
@muhammadmbaraka4515
10 күн бұрын
FAB=Father of All bombs🔥🔥🔥
@RaymondPaul-bs7su
10 күн бұрын
Lipo la Marekani linaitwa MOAB kirefu chake ni Massive Ordinance Air Blast, Lakini watu wamelipa kirefu cha Mother Of All Booms.Sasa sijui lipi litakua na hatari zaidii kati ya FAB na MOAB mchambuzi atuambiee
@mustafamasudi8093
10 күн бұрын
@@RaymondPaul-bs7sukuna bomu linaitwa tsari la Urusi hilo likipigwa hakuna kinachobaki
@hamidamussa-sy4fm
10 күн бұрын
Ra marekani liko vizuri@@RaymondPaul-bs7su
@AbdillahRashidi
10 күн бұрын
SNS NAOMBENI NA MIMI NAFASI SIKU MOJA NIJE NICHAMBUE MADA INAYOHUSU VITA YA RUSSIA NA UKRAINE AU VITA YA ISRAEL NA HAMAS,AU MAMBO YOYOTE YA DIPLOMACY NAJIAMINI KATIKA SEKTA HIYO NIKO VIZURI ,NAOMBENI NAFASI WALAU MARA MOJA TU NIONESHE KIPAJI NILICHONACHO
@ommymehmed8880
10 күн бұрын
Kaka nmekulewa nmeona umechambua vizr kwenye comment yako apo juu
@AbdillahRashidi
10 күн бұрын
@@ommymehmed8880 pamoja kaka
@user-cw8zn2dn6m
10 күн бұрын
FAB 3000 ni hatari mbaya mbovu.
@PUTINN365
10 күн бұрын
Asante mchambuzi
@thelonewolf4429
10 күн бұрын
iizidi inchi za magaribi inchi Ukraine
@mozamoza3960
10 күн бұрын
Hizi siku hamu ingeleyi mambo ya Gaza au mlikatazwa jaman tuna itaji kujua maendeleo huko
@raphaelgeorge517
10 күн бұрын
Ally Masubi is the best
@user-yl3be9ix4y
10 күн бұрын
Kwanini urusi haijapiga mjimkuu wa ukren tupate ushindi haraka
@zawadimpayo3839
10 күн бұрын
Vita siochakula🤣🤣🤣
@user-cw8zn2dn6m
10 күн бұрын
Kwasababu sio lengo la Russia
@EmanuelMinja-fv9dn
10 күн бұрын
Uraaaaaa
@YahayaDewa
10 күн бұрын
Pamoja sana kwa uchambuzi mzuri
@selesjandwa412
10 күн бұрын
Leo masud umetisha san
@jkifutu7936
10 күн бұрын
Russia 🇷🇺 msulimoto daima
@Visionofeagle9689
10 күн бұрын
Cheers 🥂
@BlessMugisha-z4k
10 күн бұрын
Ally unajua sikuhizi umeanza kua Sharp zaidi ya dj sma yani unajaribu kutupa kitu kila siku bila kupita mda mrefu sijui sma anachelewa wapi
@kevicristian2738
10 күн бұрын
Yule fundi akitoa anatoa facts na logics😂
@kevicristian2738
10 күн бұрын
Sema kijana muda huu ana improve sana✍️🙌
@AllyGibu-cz2vo
10 күн бұрын
Sema vingine anakosea kosea kusema km 12,000 badala ya mita 12,000
@Gulfnas1
10 күн бұрын
Nadhan sky ndie huwa anachagua nani atupe updates, sma hata Henry wapo on-time vile vile
@GeorgeAkasha-zx2rj
10 күн бұрын
Nadhani ally atakuwa na kigugumizi hivo tusimlaumu sana, anajua na kujitahid pia
@gabrielgodwin7465
10 күн бұрын
Russia wameshindikana, ila natamani mje mchambue Electronic weapons zilizo tumiwa na Russia kule Syria
@Chettymlambalipsi-lb9km
10 күн бұрын
❤❤❤❤
@MohammedBwanga
10 күн бұрын
Glide bomb ni sawa Bomu linaloambaa lkn Pia linalosambaa
@HajiKlein-so1rk
10 күн бұрын
🇹🇿🇹🇿🇷🇺🇷🇺💯👏
@user-pd5hl9di2q
10 күн бұрын
Twaweza yaita mabomu vishada
@user-it7ih1it3m
10 күн бұрын
Ali masubi umri mdogo nondo kama zote🔨
@franksimonngole8481
10 күн бұрын
Kuna FAB 3,000 Glide Bombs ni hatari sana.
@King_Of_Everything
10 күн бұрын
👊👍✌️.
@HajiJuma-xw7vh
10 күн бұрын
Sawa
@MwemajaphetyZackalia
10 күн бұрын
Piga upinde wa vua hao
@Ally-qi7xo
10 күн бұрын
🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇧🇮❤️
@user-fx3sk9kh1s
8 күн бұрын
Aliy umesomea chuo Gani nakukubali sana
@user-fx3sk9kh1s
8 күн бұрын
Unatisha San aliy
@thefactbook...1607
5 күн бұрын
@@user-fx3sk9kh1s ahsante sana boss wangu.
@rashadally6871
10 күн бұрын
Tunaweza kuyaita mabomu ya vishada
@MAHAN-SMART
10 күн бұрын
Keep going Russia you will win
@brianbaltazar6198
9 күн бұрын
Uraaaaaaaaaaa🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
@omarymwaluko9765
10 күн бұрын
Putin kiboko ya mashoga
@samuelpolepoleruhegeza8139
10 күн бұрын
Hoooraaaaaa y
@abubakariikumbo9721
10 күн бұрын
Yanaitwa mabomu ya kuteleza
@user-nr2bz5pq4m
10 күн бұрын
Mabomu mtelezo
@user-wc3hn4kt1x
10 күн бұрын
Team Russia nasikiliza kwa makini
@yayananajota5838
10 күн бұрын
Vita iendelee tuone Nani choko na Nani mwanaume, 👊
@kidyybravo5267
10 күн бұрын
No GPS this week?
@nassorrashid2521
3 күн бұрын
mashoga wataisoma numbee
@JosephMbagala
10 күн бұрын
Mikoa mingapi mrusi aimalize Ukraine
@hasanimkamba8377
10 күн бұрын
wajisilimishe tu yaishe
@hamzafishten9560
10 күн бұрын
Uraaaaa
@vitusjackson1354
10 күн бұрын
Ingependeza kama ungekua unaweka na video ya lilipotua tuone
@hamidamussa-sy4fm
10 күн бұрын
Hawana wanafiki tu hawa wachambuzi wa urusi
@AliKaroyo
10 күн бұрын
@@hamidamussa-sy4fm kma Ni Uwongo Toka Vita Iyanze Na Misaahada Ya Silaa Za America na Nato zimebadilishaa ninn kwenye Vita Hiii Ukitambua Ilo Wala Utashindana Na Urusi , Urusi Ndio Nchii Ya Kwanza Dunian Kwa kuongoza Kwa Uzalishaji Wa Silaha Kma Ujui😂😂😂😂
@Gulfnas1
10 күн бұрын
Keep it up Russia 🇷🇺
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
10 күн бұрын
WACHAPWE HAO WAHUNI AMBAO SASA HAWATAKIWI HATA NA WANANCHIWAAO😂
Kwa nini Ukraine iharibiwe kwa faida ya wanachama wa Nato? Mungu apishe mbali Vita vya tatu vya Dunia. kwa maoni yangu tuko karibu yake. Je tunataka kuishi au kuangamia? wakati wa kuchukua hatua ndiyo sasa. Bravo Putin hata Mungu yuko pamoja na wewe.
@ramadhankilango9088
9 күн бұрын
Hujafafanua vya kutosha hiyo ya kuunguza ardhi
@thefactbook...1607
9 күн бұрын
Next time inshaalah.
@Mjukuuu
8 күн бұрын
fab3,000 ya madhara ya circle radius ya 200km unaijua kweli Mkuu?.. daaaaah😅
@thefactbook...1607
5 күн бұрын
2km perimeter.
@thefactbook...1607
5 күн бұрын
Umechanganya km 200 kwani imekuwa nuclear hyo..?. Ni km 2 za madhara.
@josepheriah5977
10 күн бұрын
Ukraine Ana himars
@Mumewangu
10 күн бұрын
Na ushoga pia anao
@franksimonngole8481
10 күн бұрын
Himars zinawindwa na Lancet Drones.
@samuelpolepoleruhegeza8139
10 күн бұрын
Sasa uyu zelesky anaumwa kishwa kabisa kwani yeye anaona atafanyikiwa kwa vita ya kutemeya mwenziye 😂😂😂😂
@pascalmanyama2304
10 күн бұрын
Bomu mtelezo
@hemedykuziwa1227
10 күн бұрын
🇷🇺
@amonezekiel4893
10 күн бұрын
Sasa kama ameona ni hatari, anasubilia nn,
@uwimana6533
10 күн бұрын
Tatizo lugha ningumu kuelewa 😂😂
@HamzaMbasha-xs2ky
10 күн бұрын
Kweli tumedanganywa sana marekani ndoo ilikuwa inaonekana ina jeshi kali sana kumbe ndoo yale yale ya israel mikwara mingi vitendo sifuri.... Leo ukraine imepewa kila kitu na wanajeshi wa magharibi wote wapo ukraine lakini kibano ni kile kile... Israel nao wanapigana na kikundi miezi yote hiyo wameshindwa kukomboa mateka wanaishia kuua wamama na watoto wadogo..
@AbdillahRashidi
10 күн бұрын
Kuzidungua ndege za Russia(SU-57) ambazo zimebeba Glide Bombs ni ngumu kwa sababu Zenyewe zinadondosha hizo bombs nje ya mpaka wa Ulinzi wa nga(beyond air defence interception) ni ngumu kwa mifumo ya anga ya Ukraine kujilinda na Hizo Glide Bombs, Na hii Tactic ndo imempa Russia hizi siku za Karibuni hapa maeneo mengi ya Ukraine
@muhammadmbaraka4515
10 күн бұрын
Ila hawa warusi watengwe🙌🔥🔥🔥
@user-do2id6pp4g
10 күн бұрын
Ili iweje wewe yaani we ni mtu magharibi sio
@YothamAlex
10 күн бұрын
Nimeskia kuna FAB 9000 inaandaliwa,ni huzuni kwa wanajeshi wa ukrain
@thefactbook...1607
10 күн бұрын
😮
@user-cw8zn2dn6m
10 күн бұрын
Hiyo bado
@AliKaroyo
10 күн бұрын
FAB 9000 Maana Yake ni Nin #YothamAlex
@YothamAlex
5 күн бұрын
@@AliKaroyo bomb la kilo 9000
@iddkaoneka7485
10 күн бұрын
Hapa Ali umepiga nondo kali sana.
@JumaNjiku-df1fd
10 күн бұрын
Chonde chode Zelensky! Unaimaliza Ukraine!. Kubali matakwa ya Putin. Mkono usioweza kuukata ulambe! US na UK wanakudanganya!
@hamidamussa-sy4fm
10 күн бұрын
Wote wanazo na pesa wanazo wewe utaona tu
@selemaniayubu115
10 күн бұрын
Zelensky ameuwasha moto kwenye nyumba yake sasa unamshinda kuuzima na wasaidizi wake amewaponza viti vyao vinawaka moto vile vile sijui itakuaje,na jamaa anamdunda kimya kimya,aliambiwa kasikia lakini kapuuza kwa maelekezo ya wapambe mtihani mkubwa anao jamaa labda aombe poo na kujitoa kimasomaso😂😂😂
@josepheriah5977
10 күн бұрын
Asante ukrane kwa kulipua meli ya urus
@africanmandetraveler2847
10 күн бұрын
Sasa mbona unalia😂😂😂😂
@baharanimasoud
10 күн бұрын
Unawashabikia mashoga wenzio
@GraceMashinga-be9wb
10 күн бұрын
Team mashoga njoo mmuone mwenzenu
@yanja69
10 күн бұрын
Unatesekaa ukiwa wapii😅😅😅😅😂
@PAULNYANDILE
10 күн бұрын
jinga lingine hili hapa😂😂
@josepheriah5977
10 күн бұрын
Ukrane katungua ndege ya urus yalipuliwa mig 34
@Mumewangu
10 күн бұрын
Lini hiyo
@PAULNYANDILE
10 күн бұрын
mbona unatufosi kukusikiliza😂😂😂 mbwa wewe
@user-oh8ig2cy9q
10 күн бұрын
Hamna mbinu yakijeshi ambayo wewe utaijua
@mustwafathabiti2978
10 күн бұрын
Mpingaji
@michaelphares9411
10 күн бұрын
Wa pili Leo nipeni like
@josepheriah5977
10 күн бұрын
Ukrane kalipua visima viwil vya mafuta vy urus
@nizarrama225
10 күн бұрын
siyo Ukraine wewe mbumbumbu, ni Marekani na NATO yake, Ukraine haina jeshi
@josepheriah5977
10 күн бұрын
Ukraine Ana attacks storm shadow
@user-cx9lt8hh4l
10 күн бұрын
Uraaaaaaaa🫡🇷🇺
@abdullahnassor9433
10 күн бұрын
Ali masudi stop lazy analysis, the style of battle is using know one knows, Lakini ina hitimisho kwamba Urusi inawapa ukraine vita ya uasi ..Urusi imeweka nguvu kubwa ikiwa NATO itajiunga na vita.. kwa sasa mbinu yao ni polepole lakini thabiti. Chaso vyar bado haijazingirwa, lakini ilikuwa ngome zaidi ya miaka 12 iliyopita ambayo inamaanisha ikiwa itachukuliwa Kirusi itasonga kabisa kwani chasoviyar ndio tofauti pekee iliyobaki. Ili kudhoofisha chaso vyar Urusi ilitumia misheni ya bomba kama walivyotumia kwenye soleda Urusi inatumia wanajeshi 17 hadi 20 na 2 kwa recon Ukraine ina wanajeshi wengi 5 sasa wananyakua watu kutoka mijini.
@thefactbook...1607
9 күн бұрын
Asante mchambuzi mkubwa.
@thefactbook...1607
9 күн бұрын
U are the who don't know the battle style but we do.
@josepheriah5977
10 күн бұрын
Krasnoda yashambuliwa na ukrane
@africanmandetraveler2847
10 күн бұрын
Propaganda ambayo haina kichwa wala miguu ,tunajua kichapo wanachopata Ukraine 🇺🇦 .Ruksa kujifariji😂😂
@Mumewangu
10 күн бұрын
Ushoga unakuhangaisha
@PAULNYANDILE
10 күн бұрын
😂😂😂😂we jamaa ukapimwe akili na malinda
@josepheriah5977
10 күн бұрын
Ukrane ya shambling mij miwili ya urusi krasnoda na rostov
@magrethmagonza186
10 күн бұрын
Wewe kwanini Urusi kila siku ndio ina sifa nzuri uliwahi kusikia wapi. Lazima na yeye ana disadvantage zake wewe ni shabiki . Sometimes unafa usifu Ukraine nchi ndogo kupambana na nchi kubwa km hiyo ambayo ilisema itaipiga Ukraine kwa siku 3 leo tuna zungumza mwaka wa 2. So acha hizo lie
@user-it7ih1it3m
10 күн бұрын
Nadhan umeanza kufuatilia vita hii siku za karibuni na kama unafuatilia basi huwa una base na media za magaribi
@omarymwaluko9765
10 күн бұрын
Ww utakuwa choko
@martinisadru9899
10 күн бұрын
Bado mzee putini ana hangaika na ka inchi ka Ukraine? Miaka 2 sasa.
@Mumewangu
10 күн бұрын
Urusi anapigana na NATO kwa mgongo wa ukrein
@MAHAN-SMART
10 күн бұрын
Na mashoga wenzako wa Israel wamehangaika na Gaza kwa mda gani
@bonifacesembuche2295
10 күн бұрын
Lengo la PUTIIN Ni kuua uchumi WA nchi za magharibi na Marekani,sio kuwa haiwezi kupiga Ukraine Kwa MDA mfupi ,anao uwezo ila lazima waisome Namba Uraaaaaa
@suleymuntar3544
10 күн бұрын
Sawa sns ni timu urusi bbc pia uangalii wanavyojitia madeni wenzako kwa kumsaidia ukraine karibia inchi 20
@SaidKawela-qy5wv
10 күн бұрын
Hujui kinachoendelea
@hamidamussa-sy4fm
10 күн бұрын
Urusi ni watu kama sisi subiri mfalasa aingie ukleeni inchi ndogo sana
@josepheriah5977
10 күн бұрын
Ukrane babalao
@Mumewangu
10 күн бұрын
Baba yako wewe aliemtomba mama yako
@user-rt1wf6se5f
10 күн бұрын
😂😂 unajipa habar
@omarymwaluko9765
10 күн бұрын
Ukraine shoga lao
@josepheriah5977
10 күн бұрын
Urusi yaa shambuliwa mji wa voronezy kambi za slaa kalipuliwa zote ongera ukrane
@Mumewangu
10 күн бұрын
Ushoga unakutesa
@PAULNYANDILE
10 күн бұрын
😂😂😂jamaa haujawahi kuwa na akili tangia shuleni
@mustafamasudi8093
10 күн бұрын
Kwan huna kaz ya kufanya mbona unakoment mara 100 halafu wenzako wanakoment mara moja tu
@josepheriah5977
10 күн бұрын
Ukraine kayatungua mskombora
@mustwafathabiti2978
10 күн бұрын
Pole hujielewi pungawew
@josepheriah5977
10 күн бұрын
Putin afe
@Mumewangu
10 күн бұрын
Utakufa wewe na wazee wako shoga
@paschalfausitine7108
10 күн бұрын
Hata mama yako shoga atakufa tyu
@paschalfausitine7108
10 күн бұрын
Hata babako. Shoga atakufa tyu
@Mumewangu
10 күн бұрын
@@paschalfausitine7108 mwanamke hawi ushoga wewe! Lakin akili zenu wewe na mashoga wenzako ndio zinakufanye useme mwanamke shpga . kumamayo na familia yenu na ukoo wenu na kabila lenu LA kishoga kumamazenu
Пікірлер: 188