Ambao leo tumekutana leo kufuatilia speech za jemedari wetu aliyetumwa na MUNGU kwaajili yetu tuseme Asante Mungu wewe ni mkuu sana Asante kwa zawadi. Amen
@donaldmhulula6888
3 жыл бұрын
tupo kamanda
@esterkiyabo1329
3 жыл бұрын
Lala salama shujaa wetu
@thomasmagoti9040
2 жыл бұрын
Asante mwenyezi mungu
@richardnganya2311
2 жыл бұрын
Mungu alimtuma.... na amemwondoa ! Mungu anatupenda.
@renatusmatungwa2508
Жыл бұрын
Dah
@kamaukamau6233
3 жыл бұрын
Hon.JPM was a man from the beginning displaying boldness from the start..may his soul RIP
@zarunaamwanajimba1950
3 жыл бұрын
Daaa!! Mzalendo kutoka zamani, mchapakazi haswaa jamaniiii Pumzika Baba tutakukumbuka milele!
@ponsianamataka4607
3 жыл бұрын
Pumziko la milele umpe Ee Bwana, na mwanga wa milele umuangazie. Apumzike kwa amani Amina. Nahisi ulijitoa sadaka kubwa hadi ukasahau moyo wako na ukauchosha kweli kweli. Mungu Baba msamehe dhambi zote na umpokee mbinguni.
@albertkondela976
3 жыл бұрын
🙏
@ramamohamed8392
11 ай бұрын
Hii imenigusa sana!😭😭😭
@micamathew2595
3 жыл бұрын
Huyu mtu alikuwa halali! Hajui cha usingizi. Acha tu, pumzika baba. Sitakusahau hata kwa sekunde mmoja. Acha tu nimwage machozi yangu.
@zakiamsafiri123zakiamsafir7
3 жыл бұрын
Ulianza kitambo kuijomboa Tanzania yetu ya sasa😭😭😭tungekuwa na uwezo tungekubakiza miaka 10000
@simonmayunga6252
3 жыл бұрын
This is unanswered cry, magufuli ww ndiyo baba wa taifa wa pili
@khamislisso9137
3 жыл бұрын
Magufuri siamin Kama umetuacha Baba 😭😭😭
@lucymangwela5275
3 жыл бұрын
Nilitamani sana uwe Rais miaka 50 lakini haukuwa mpango wa Mungu,umetuacha katika wakati mgumu sana,Taifa lilikuwa bado linakuhitaji Baba,inaniuma sana
@Nabiilkhamis
7 ай бұрын
Bc alikuwe awe mfalme
@aizackkajika5086
3 жыл бұрын
Nani yuko hapa baada ya kamanda kuzikwa chato
@florakweyunga4490
3 жыл бұрын
Jamani,Jamani.Mtumbua Majipuuu,........Mungu akupumzishe kwa Amani.
@modestwenceslaus9
Жыл бұрын
Asante Sana kwa kuweka kumbukumbu sawa kumbe katika utawala Jakaya Kikwete aliweza kujenga mtandao wa Barabara wenye jumla ya KM 11100,bado hujaongerea umeme wa REA chini ya Prof Sospiter Mhongo nk.
@saumuhassan6365
3 жыл бұрын
Rest In peace Rais John Pombe Magufuli, Allah akupumzishe kwa Amani Rais wetu 🙏
@allynazareth9684
3 жыл бұрын
Huyu jamaa alikuwa ana conference nzuri sana haijapata kutokea hapa anaongea kama yeye ndo alikuwa rais ila mawaziri wa sasa wakiwa mbele ya rais wanaongea kwa hofu na kujipendekeza ila huyu mwamba alikuwa wa tofauti sana mungu amsamehe makosa yake amlaze pema
@dicksonmatulile1523
3 жыл бұрын
Tutakumisi sana baba yetu
@mlalikwabiswalo7804
3 жыл бұрын
Kumbe tangu zamani alikua haandiki speech anatoa kichwani tu ni hatari sana
@onesmoelias2285
2 жыл бұрын
Jembeeeeeeeeee likikuwa
@hopehealthcs3294
6 ай бұрын
Kbs
@Ramadhanimsingwa
3 жыл бұрын
Shujaa Wa Tanzania hotuba zinatufariji Mungu akupe pepo na mapumziko mema tutakukumbuka daima
@asueddy1465
5 жыл бұрын
This Man is very humble and hard working....God bless you JPM
@godlizenmolla2192
3 жыл бұрын
Appreciated, one year ago. 🙏🙏
@romanamassawe814
Жыл бұрын
According to your statement to say this one was humble, I think the meaning of the word humble has changed, you surprised me by called an assassinator Humber instead of dictator
@thegreatsource2953
Жыл бұрын
@@romanamassawe814 Mapumbu yako wewe😡
@vailetikulanga5393
3 жыл бұрын
Dah hapa alikua wazir😭😭
@agripinaaudax168
3 жыл бұрын
Dah Mungu anamakusudi yake nimeamini hii Leo vyenye Simuoni tena raisi wetu
@sospetershijah5619
3 жыл бұрын
Alikuw mkweli Sana. Rest in peace my president
@mwamengele
3 жыл бұрын
RIP JPM tutakukumbuka daima
@amenyemwansile631
3 жыл бұрын
Eeh mungu mpe pumziko la amani mja wako katika ufalme wako milele Amina
@danielupendo6748
3 жыл бұрын
Baba etu atutakusaau kamwe😭😭😭😭😭kwa upendo wako kwetu,ulitupa upendo wa kweli ,pumzika kipenzi Cha TANZANIA kea amani,amina
@Ronald-gh6jl
3 жыл бұрын
Kiongozi supavu,, mungu aiweke roho yake marehemu jpm mahali pema peponi
@sniper93999
3 жыл бұрын
DAIMA utakubukwa milele JPM ww kwel ni shujaaa ulianza kupigania maendeleo zamani sana 😭😭we still tunakukumbuka hata na kizazi kijacho REST IN PEACE JPM
@coolruler6820
3 жыл бұрын
Daah,,,Hapa kazi tuu kweli" 2013 iyo Ila hotuba ya Mwamba kama ya jana vle,,,aliziishi kauli zake, iyo kichwa kumbukizi kama kompyuta vle,,mmoja wa Raisi aliyefanikiwa kunishawishi kupiga kura yapata miaka 25 tangu nitimize umri wa kupiga kura sikuwahi kupata wa kunishawishi kumpa kura ila Mwamba alifanikiwa kunishawishi...Rest in Power JPM
@imanijohn6069
3 жыл бұрын
Dah, alikuwa anajiamini sana aisee, ameenda kuwa kiongozi wa malaika
@yusuphissa9613
3 жыл бұрын
Ulitakiwa uwe Rais wetu kuanzia 2012
@lucaschisamalo2852
3 жыл бұрын
Kikwete ametukanwa Sana kumbe barabara kaanza kujenga yeye
@msetikebwasi1469
3 жыл бұрын
Sema alikoswa hela kwa kushindwa kukusanya kodi.
@gooddeeds162
6 жыл бұрын
Honest and straightforward man since day one , 🙌 Mr President. ProudlyTanzanian
Hapa ni waziri bado na kujiamini kweli mungu anamakusudi yake
@brother_majesty
7 ай бұрын
Maono alikuwa nayo kitambo.....ana beji ya africa
@emmanuelgwaay4773
4 жыл бұрын
Hajawahi kupindisha ukweli tokea day one
@kenslogistics4377
3 жыл бұрын
Mheshimiwa raisi........x 1000000000
@maribaisack8389
3 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani mzee
@moshimgaza5642
3 жыл бұрын
Hapa alikua waziri wa ujenzi
@AliHussein-lk2gw
3 жыл бұрын
Daa inauma kweli
@yasinnyembo8249
3 жыл бұрын
R.i.p chuma
@eenpaard3915
3 жыл бұрын
Chuma chetu
@AbdulrahmanMurshid
Жыл бұрын
Apumzike kwa aman jemedal wetu na watu wahivi niwachache dunian wenye mapenz kwa wananchi wanyonge ambao wakotayal kujitoa kwa nia ya dhat kutka moyon ili kuwatetea
@saimonpeter3788
3 жыл бұрын
😭😭😭😭 tutakukumbuk Bab
@yordanyona1234
3 жыл бұрын
Huyu mwamba alikuwa Rais hata kabla
@MwazoaMwazoa
6 ай бұрын
Marais wetu hakika wanaishi kishkaji nakuvumiliana sana
@mrinjamwanga1423
3 жыл бұрын
Kwli baba sio wote watakushukur ,,hata wewe hawajakushukuru ,nashangaa kuona mataifa mengine yakikulilia na kutamani ungekua wakwao,hapo ndo utagundua kibaya ni saile unacho
Pumzika kwa amani baba uliyoyatenda Tanzania ni makubwa Sana
@alfredyfredrick8955
3 жыл бұрын
Daaah Chuma R.I.P
@stephanojmafumbira5369
3 жыл бұрын
Kama upo duniani vile
@mosenetor7882
Жыл бұрын
Nakukumbuka BABA Yale uliyokuwa unayatetea hayapo tena
@punchlinetz
2 жыл бұрын
Mnaofake uongozi hili jiwe ni FUNZO kwenu huyu mwamba alizaliwa alivokuwa; msijifanye mnatembelea Magufulification ambayo kiuhalisia HAMNA. RIP Mr. President..
@saidalsalmi9313
3 жыл бұрын
Hii ndio ilikua safari ya kwenda Ikulu
@paulsingano674
4 жыл бұрын
Mchapa kazi toka zamani
@godfreypaulo8355
3 жыл бұрын
Nimemuona majaliwa hapo alikuwaga nani?
@ellymwitakichonge8416
3 жыл бұрын
Alikua Naibu waziri tamisemi
@yusuphissa9613
3 жыл бұрын
Nashindwa hata niseme nini
@ezekielkazingo6055
4 жыл бұрын
Waziri adi rais wapekee
@mongogwelaanthony6867
Ай бұрын
Ripp magufuli
@jijab4442
3 жыл бұрын
HE WAS A REAL LEGEND
@erneuslugusi1785
3 жыл бұрын
Jembeeee hiloo
@charleselijah-vq3hq
Жыл бұрын
Ukweli Mweheshimiwa Dr.John John Joseph Pombe Magufuli Hayati ulikuwa Mzalendo wa pumzika kwa amani. Kizuri hakidumu ila thamani yako liko pale pale.utakumbwa siku zote.
@ibrahimjobu9141
4 жыл бұрын
Ahahahahahahahahahahahah saizi Baba ndio umeshika rungu sio kwa kutunyoosha huko na uzidi kutunyoosha mbaka tukubali wenyewe
@tugesyegemwakatumbula9857
4 жыл бұрын
Mzee wa kutunza kumbukumbu
@sulaimanomary6533
4 жыл бұрын
😆😆😆😆😅 kwa kumbukumbu tu duh
@erickphilipo4163
4 жыл бұрын
Kazi ya samaki hiyo
@stn4873
3 жыл бұрын
Huyu mzee angekua na nguvu kama hivi hadi leo kungechimbika😂😂😂😂😂
Пікірлер: 222