Kwa kweli nimeskitika sana kusikia shekhe anahamasisha majini watumike katika baadhi ya kazi nzuri , ABADAN , huwezi ukapata aya wala hadithi kuonyeaha dalili ya anachokisema si mtume mashaba wala tabiina tabi tabiina waliwatumia katika izo kazi nzuri alizozielezea hakuna katika uislam mafundisho hayo ya kuwatumia majini , shekhe amevuka mipaka WALLAHI ... Allah akusameh bado nakupenda na kazi unayofanya in kubwa ila binadamu hakosi mapungufu kwa hilo hauko sawa ...
@IzudinAlwyDin
3 жыл бұрын
Shukran sana kwa nsaha yako mzuri lakini mm sijawahimiza mm nimesema kisharia yafaa kumtuma jini bt sijawambia watu watafte majini wawatume .
@musaolemollel4756
3 жыл бұрын
Majini ni haramu ni uongo wewe.ogopa.m mungu
@mohammedmhina3973
2 жыл бұрын
UNAPOTOSHA USTADH MAJINI HATUTAKIW KUSHIRIKI NAYO KIVYOVYOTE NDO MAAN WAO WANAULIMWENGU WAO N SISI N WETU ALAFU NYIE NDO MANCHAFUA DINI YETU MNAENZA PROPAGANDA MPK WSIO WAISLAMU WANAAAMN DINI ETTU Y MAJINI
@JannatTahmid
10 ай бұрын
Kweli tusishirikiane nao lkn kvp?
@sheikh.abuusamuhath
2 жыл бұрын
Asalam alaikum.. sheikh. Hapo kidogo kuna ikhtilafu,, kwa sababu wengi katika wanazuoni, hawasupport hayo mambo... ila hata aliyesema yafaa kulingana na masharti aliyotoa... ust. Hapo kidogo umekosea, naomba ujirudi katika maelezo yako toa clip kurekebisha hayo makosa, afuan lakini.. maana hata mimi ni mwalimu wa ruqya, kutoka hapahapa Kenya
@ramadigidigi1988
4 жыл бұрын
mashaallah mungu akupe mwisho mwema
@bahashachembea6922
3 жыл бұрын
Aamiin yaa Rabbi
@muniramohamed8887
6 жыл бұрын
Mashallah Allah akuzidishie elimu yenyee manufaa amin
@AmirOmar-vl9vc
Ай бұрын
Umezungumza bila Dalili tafadhali shekhe
@neemaabdul9553
5 жыл бұрын
Yanini kujitia shubhaa buree! Kuishi na viumbe kama majini shetani ni rahisi kuwa karibu sana na wewe ninavyoona mimi!
@abuubadru2403
6 жыл бұрын
Hyeeeh
@allyrashid8738
6 жыл бұрын
MashaAllah👏
@khamismaulidi4562
5 жыл бұрын
MashaAlhaa
@shabanisaidi8827
5 жыл бұрын
Mashaalh
@mlawaalliy
Ай бұрын
😢Hata angesema haifai pengine dalili vile vile isiwepo.wewe unayo dalili?tupe faida.
@mesalimrashid6312
5 жыл бұрын
Mbona usifanye kazi ya kuvua samaki kuliko kutumia jini utampa nn . Ndio nyinyi mnaotusumbua mitaani.Mabati huvuja tu kwakugongwa.
@Namanda425
2 жыл бұрын
Tatizo wale hawafanyi kazi bure. Ushirikina unaingia wakati wa kuwalipa.
@adamududu1260
Ай бұрын
hapo Sasa Sasa NDIO kwenye utataaa
@farhasalim9824
6 жыл бұрын
Muetee...hahaha!!!!kutukua tukua watu
@antv5590
2 жыл бұрын
na je kuoa jini yafaa.assalam aleykum Sheikh
@AbdulRahmanAliy-sr7gw
Ай бұрын
Haifai ndugu
@abdalashah3292
4 жыл бұрын
ndio maana haifai kushirikiana nao
@AhmadAlikhamis-ri3nb
6 ай бұрын
Je nihakki kuomuoa jini akawa mkeo
@abdimwalim3505
5 жыл бұрын
Shekh nisaidie kuupata uwo uradi wa ibnu nnawawi
@medy7814
4 жыл бұрын
Download youtube ipo
@sophiasharif9183
3 жыл бұрын
Tupe huo uradi wa kutoa jini
@SameerMdumbemalongo
2 жыл бұрын
Huyu jamaaa ni mushrik
@umikram6755
4 жыл бұрын
Mim bdo cjakuelewa kabisa majb yko. Majin hawana urafik nawanadam. Wao namishwar yao na wanadam yakwao. Dk wanageuka Et hamna shida kuwatumia jamani khaaa Allah atuhid
@nawwarsultwaan6404
3 жыл бұрын
Shekhe ebu kasome Tena kwanza usibishane na vitu vya kusoma hivi nivitu vyaelimu na kuwatuma majini si dhambi shekhe sawa
@ibrahimsudi5967
3 жыл бұрын
Um ikram jitahidi kusikiliza kwa makini darsa au majibu ya sheikh utaelewa tu.
@joyceandrew5682
5 жыл бұрын
Sheikh serious Mimi nina jini ananisumbuwa mwili mwangu sina raha mume sipati wara fedha hazikayi nisaidiye miye
@sikitu8957
5 жыл бұрын
wewe auna jini ni tabia zako tu
@joyceandrew5682
5 жыл бұрын
@@sikitu8957 hayaja kufika yakikufika utasema
@joyceandrew5682
5 жыл бұрын
@@sikitu8957 naniko inje ya Tanzania kikazi sasa izo tabiya sijui umenifunza wewe ndugu yangu duuuuu binadam tupo kukosowana na sikupeyana moyo daaaaa ila safi tu
@namayeali6096
5 жыл бұрын
Fwatilia abalqaasim online TV, Iko na kisa kingine kizuri, chajiita "ukipendwa na jini, jiandae na haya " Huenda kikakusaidia
@mutomubaya
5 жыл бұрын
@@joyceandrew5682 nadhani usisikize ya watu kwa kuwa baadhi ya majibu sio.sahihi na huenda yakawa ni maudhi bali utafute ushauri kwa huyu Sheikh usikie nasaha ile aliyonayo.
Пікірлер: 52