UJue watu hawajielewi cz mnapenda kumuona shekhe yuko kwenye jumba bovu anaendesha basikeli ndio museme mungu awajalie sio poa allah awajalie mashekhe wt wafike mbali inshallah
@issakobakimanga7738
2 ай бұрын
Ewaaa watu wengi ndio fikra zao
@SuzyMarroch
Ай бұрын
Amen
@ismailabdallah7853
Ай бұрын
Binadam mawazo yao mabovu sana majin viumbe kama viumbe vingine kuna majini wapotovu kama binadamu kunawema wanaomumcha mwenyezi mungu
@user-qe3fs1xc3b
2 ай бұрын
MashaALLAH mwenyezmungu azidi kukufanyia wepec kwenye na kheri nyingi za Dunia na akhera mm nakukubali Sana sheikh. Doctor SULE.
@UwayezuJosee
Ай бұрын
Mambo! Naomba namba ake please!!!
@maciaali3698
Ай бұрын
Doctor Sule unadunisha dini pia unatukana dini,Allah mpenda haki atakudhalalisha mbele ya watu InshaAllah
@abasssuleiman6149
2 ай бұрын
Nilianza kumkubali huyu bwana tokea miaka ya 2003 nikiwa Mbeya, alisilimisha watu wengi pale, Allah ampe wepesi
@audifansisafari5587
Ай бұрын
Kawaunganisha Kwa majini majini wote wamemuasi Mungu
@nakundwamkubwe7823
2 ай бұрын
Kichwa cha stori ulicho andika hapo ni tofauti na alivyo ongea Dr Sulle. Sio vizuri kupotosha watu muogepeni Mwenyezi Mungu.
@aishathabit3732
Ай бұрын
Huyu muandishi sio mwislamu
@aishathabit3732
Ай бұрын
Umekosea maana ya haram na halali Kasome tena maana hiyo ya halali na haramu
@user-dl4mr4bu8w
17 күн бұрын
Kweli kabisa
@mwanaikaomar8628
2 ай бұрын
Nnachompendea dr sele.ni mfasaha wa mazungumzo kupita kiasi.humshiki kirahisi kwenye mazungumzo.huyu mtu Allah kampa kipaji kikubwa.mashallah
@MisheckSiame-si1yo
2 ай бұрын
Mungu anisaidie kupata jini mwema
@YamunguMuha
2 ай бұрын
Allah gani wewe,hakuna Cha Allah Wala nn,mshirikina mtupu
@Famao-dg3ul
2 ай бұрын
@@YamunguMuhasiku ukimjua Allah ndio utajua makosa yako
@kennethbenjamin275
2 ай бұрын
Nyie wabongo si mnapenda watu wanaongea sanaaa ndy marole model wenu
@mwanaikaomar8628
2 ай бұрын
@@Famao-dg3ul kabisa yani.👍👍.hajamjua Allah Nani mpaka siku ya Kufa ndo atamjua.Allah ajaalie aslkm kabla ya mauti yake.hajitambui bado
@niyongiraidi7242
Ай бұрын
Allah akuzidishie kira raheri kwa kuokoa nafsi za wajawake Allah kwa kuamrisha heri na kukataza mabaya
@maryamkombo2039
2 ай бұрын
Dr. Sule, Nakuombea kwa Allah(SWT) akulinde, na akupe Maisha Marefu yenye Afya Kamili, Ili uzidi kuelimisha Umma. Shukran.
@IbrahimMahmoud-em1np
2 ай бұрын
Mganga wa kienyeji anaetumia mgongo wa dini. Aqida ya ahlu sunna wal jamaa3ah hakuna mafungamano mahusiano baina ya bin Adam na jini. Wewe sule mche Allah
@fatumaomary6110
2 ай бұрын
Soma ujue kama una muweza mfate ilala ustake kiki
@IbrahimMahmoud-em1np
2 ай бұрын
Kwahio mtu akikomenti anatafuta kiki sindio? Hahahahaha ضعف الطالب والمبطلوب
@VukaRails-jp6mf
2 ай бұрын
Simba ndo simba anamahusiano na binadamu na watu wanafuga kama kawaida sasa jini inashindikanaje? Oxygen yenyewe haionekani na watu wanaitengeza kama kawa na wanamsaidia mgonjwa
@heriabudu3207
2 ай бұрын
Kweli bro naanza kuwa na tashwishi naye
@IbrahimMahmoud-em1np
2 ай бұрын
Katika uislam sisahihi mtu kuongea kitu hana ujuzi nacho.unaleta mifano ya Simba na oxygen unadhani dini hii haijakamilika katika kila nyanja? قال تعالى ما فرطنا فى الكتاب من شيئ. Hatujaacha chochote katika kitabu ( yani Quran) then anakuja mtu na mifano ya simba na oxygen. Narudia kusema hakuna mafungamano mahusiano baina ya bin Adam na jini. Na if yapo leteni dalili katika kitabu na SUNA au kauli ya wanazuoni wema. قل هاتوا برهانكم إن كنتم صادقين
@aminabdalla7824
2 ай бұрын
Allah anajua zaidi ..... Allah tupe mwisho mwema waislam wote tulioko kwenye mgongo wa ardhi... Allah humma ameen🤲🤲
@user-yo4qu1pt7h
2 ай бұрын
Amiin
@IbrahimShan-qu3um
2 ай бұрын
Interview nzurii sana big up...MTANGAZAJI UNAJUA
@muhammadally393
2 ай бұрын
Dr Sule mimi nakuombea kila la kheri duniani na akhera
@muhidinsultan2049
2 ай бұрын
Allah akupe afya,Siha,na kila hitajiko lako na Allah aweke barka ktk harakati zako Dr sule Allah amekujaalia hakika.
@ndogoroedson199
2 ай бұрын
Mnamsifia tu huyu ndyo anawakashifu sana akina mwamposa je huu utajili alionao yy kaupata wap? C humo humo kwenye dini? Kama yy yupo kwenye kweli na Akina mwamposa pia wapo kwenye ukweli kikubwa kila mtu adili na upande wa dini yake
@muhidinsultan2049
2 ай бұрын
@@ndogoroedson199 Bro wanaadam tuna sir kubwa sana ktk utafutaji wetu kikubwa Sisi sio watoa hukumu hata sisi hasa Mm personal ninamatatizo yangu(mapungufu) Kikubwa ni kuombeana DUA au kufanyiana Maombi 🙏
@muhidinsultan2049
2 ай бұрын
No coment bro🙏
@thomasgogomoka6404
2 ай бұрын
Huyu ni Mganga tu wa Kienyeji aliyechangamka, mkiambiwa Waislam mnafuga majini mnakasilika.
@solissereeh7913
2 ай бұрын
na nyie hamuabudu mpka muonyeshwe miujiza😮
@user-hu3sc4kg1f
2 ай бұрын
Mashaallah tabarika allah mungu akubariki zaidi sheikh
@mwanaikaomar8628
Ай бұрын
We unauliza swali moja.mwamba anakujibu majibu kumi.aaa weee.asante Allah kwa kutupa huyu mtu.dr.sule nchini tz.alhmdulillah
@MusaCleophac-bs9fk
Ай бұрын
Uoj kisomi zaid nimependa uko vzr xan allah akujalie ❤
@omariaman7818
2 ай бұрын
Huyu mtangazaji nimemkubali sana anajua sana kutengeneza maswali
@RamadhanKarim-el6tv
Ай бұрын
Dr Sule Allah akupe umri ugekuwa Rai's ugedelesha Ichi Sana vizuri Sana mashaallah
@IbrahimNtirenganya
2 ай бұрын
Allahu Akibar Allah akupe hidayat kama unataka kufaidi nakujuwa mengi kuhusu ilimu ya dini watafute Wana ilimu ya dini
@saiddigogogo8218
2 ай бұрын
Nili wai kukupigia cm nilikua na mgonjwa anatapika damu ukanielekeza dawa ...nikaona kama umenizalau kumbe ilikuwa dawa kweli .... inshallah Mungu akuzidishie na akupe maisha malefu
@imanimakishe8632
Ай бұрын
Kwanini ulozani kakuzarau au dawa ilikua ya ajabu
@MakondaPaul-uq7cm
Ай бұрын
Ndugu naomba namba yake
@hamiduyusufuhamiduyusufu5008
Ай бұрын
Ilikua daw gn hyo jamn
@hamiduyusufuhamiduyusufu5008
Ай бұрын
Daw gn alikupa
@UwayezuJosee
Ай бұрын
Naomba namba ake
@user-jd6vr9xw1o
2 ай бұрын
Docteur Sule nakukubali sana Sheikh wangu
@kennethjunior6071
2 ай бұрын
Mtangazaji big Up sana
@allymwinja2693
2 ай бұрын
Dr. Sule ni MTU NA NUSU. Allah akulinde Sana🤝🙏
@ArafaSuleiman-db9pw
2 ай бұрын
Mashallah Barakah ALLAHU fiiqum hbbi shekh wangu doctor sule kwn ss wa kenya tunakupenda kwa minajili y Allah swt akulinde na kila aina husda na balaa na akupe mwisho mwema aaamiin
@zahraalbaloochi2841
2 ай бұрын
Ameen
@saloom4902
2 ай бұрын
Bro una maswali critical sna umefit kabisa kuwa presenter Allah akufanye bora zaid ufikie ndoto zako❤
@SeifHamad-vn6bo
2 ай бұрын
Allah akulinde kwa Kila Shari uzidi kutangaza elimu ya dini❤
@user-jd6vr9xw1o
2 ай бұрын
Asante sana Sheikh wangu , WE mkweli kabisa
@bashirmahero7021
2 ай бұрын
Sule nakupenda bro
@kambiyusufu2776
2 ай бұрын
Sjui unanielewa❤❤❤❤
@user-ci1hf6fm7t
2 ай бұрын
Nimekupendaaaaa
@ShomaryGango
2 ай бұрын
I like this interview, you did bro.
@abdullahmsuya665
2 ай бұрын
Kwa upande wa majini, umeusemea uislamu uongo jambo usilo na ilimu nalo, unataja aya za uongo, nawanasihi waislamu na wasiokua waislamu wajifunze uislamu kwa watu sahihi watu wenye ilmu sahihi ya dini. Wasikilizen mashaykh wakisalafy Shaykh Qassim mafuta, Abdallah humeid, Abuukhaulah Mbwana Abdi Allah awahifadhi
@hajihaji123-lp5lx
2 ай бұрын
kweli kabisa huyu ni dr wa nguvu za kiume sasa ukimfanya ni sheikh unapotea
@jayabdy7273
Ай бұрын
Baarakallah fiyk.
@PaulMsema
2 ай бұрын
Mungu ni mwaminifu pia mvumilivu sana,siku moja maji na mavuta yatajitenga kuhusu Imani zetu
@mwanaikaomar8628
2 ай бұрын
Ni kweli kabisa maneno yako.lkn tunapaswa kuchunguza kabla ya kujitenga hayo Maji na mafuta.ili tuweze kufuata dini ya kweli.kwani tukisubiri Hali hiyo mpaka itokee itakuwa Ni too late.hapo litakalofuata Ni moto tu.hivyo tuchunguze na kusoma Kwa undani zaid vitabu.tusijetukachelewa.mara nyingi kwenye viwili.kimoja kinakua wrong.nayo Ni dini ya kikristo.tubu mapema kabla ya kifo
@Rmkh88
2 ай бұрын
Yameshajitenga tayari, Uislamu ni haki na ukristo ambao Mungu ameuliwa na akasulubiwa ni batili. Mungu amezaliwa na binadamu? Lol
@saidbakari2408
2 ай бұрын
Hizi dini tumeletewa watu wengi sasaivi wamerudi kwenye asili zao, jamani turudi kwenye asili zetu 😂😂😂 jamani hivyo vyote vyawezekana
@ELIASFELIX-bq2nc
2 ай бұрын
@@Rmkh88 dini za majini na mapepo na mizimu zimekuwa haki. Ama kweli hekima ya mwanadamu kwa Mungu ni upumbavu
@jabirkasunzu6841
2 ай бұрын
Mungu wako hakujua kuwa atauliwa na binadamu wake, mission ya Mungu imefeli maana Bado tunaendelea kutenda dhambi...ukristu ni rubbish in the rubbish pit.
@zahraalbaloochi2841
2 ай бұрын
MashaAllah shkh Allah bless you
@user-nu4qn4ep4z
2 ай бұрын
Sulle yuko vizuri...
@user-MRTSLONLINE
2 ай бұрын
Kama unamkubali doctor sule gonga like hapa
@hanifamasudi9732
2 ай бұрын
Doctor sule amemutapeli babangu mukwe alimudanganya atamutumia dawa akadanganya hadi akafa hadi mbele akateroho akaomba wakutane kiama
@bas2823
2 ай бұрын
ANOSEMA KINATAKIWA CHANO NI MGANGA! ANAJIDAI KUPANDISHA SHETANI KICHWANI KWAKE STI SHETANI ANATAKA CHANO! WAKATI SIO SHETANI NI HUYO MGANGA ONLY NDIE ANOTAKA KILE CHANO! WALA SIO JINNI AU SHETTANI NI MWANA ADAM NDIE ANACT TUU HUYU ANA PALACE LIKE KING! KAZIPATIA WAPI PESA HIZO KUWA YEYE AWE NA JUMBA HILO!? HUYU SHEIKH!? OR MGANGA ONLY!
@bas2823
2 ай бұрын
WEYE SIO SHEKHEE! ABADAN!
@JumOnyancha
2 ай бұрын
@@hanifamasudi9732 huyu ni mganga wa majini ya Muhammad ndiye mnayemsifu ....
@stevensosipita
2 ай бұрын
KUMKUBALI KWA LIPI?KWA UCHAWI AMA KWA LIPI?HAWO WOTE MOTO WA JEHANNAM UNAWASUBIRI
@azizabuyonde8368
Ай бұрын
Asante Yesu kunifiliya, ni hatari viongozi wa ma dini
@chancekambale3498
Ай бұрын
Mtangazaji uko vizuri unauliza ukijitoa big up for that kwasababu uislamu unauchawi wingi 😢😢😢😢 Bali ulipotea sana kwenye mada
@mwashumkigoda
Ай бұрын
Uisilam hakuna uchawi were punda mtu
@user-dp8hr7ex5p
Ай бұрын
Dr mungu akubariki sana
@benjaminlisi6097
2 ай бұрын
Mtangazaji ana maswali mazuri sana.. watching from Kenya
@fatmahussein1238
2 ай бұрын
Allah azidi kukubariki Dr Sulle ama kweli neema za Allah zitangazwe
@DhaharaniJongo-gt2un
2 ай бұрын
Namkubali sna sheikh doctor sule
@MavisMunyiva
2 ай бұрын
Very true Daktari Kindly pray for my sons Brian and Raymond to excell in life .Thank you
@MansourKabuhaya
2 ай бұрын
Are they islamic?? How can he pray for non Muslim??
@faudhiasaidi3669
2 ай бұрын
Dr. sulle nakukubali unajua kunyoosha maneno adi raha
@samwelmatemu8873
2 ай бұрын
Dini yenu hiyo ya mashetani
@faudhiasaidi3669
2 ай бұрын
@@samwelmatemu8873 Kwa maono yako
@IbrahimMwinyi
2 ай бұрын
@@samwelmatemu8873kwa nn
@chusseboywcb2808
2 ай бұрын
@@samwelmatemu8873yenu yakishoga sio
@samwelmatemu8873
Ай бұрын
Kwa kufuga mashetani sio
@patsonkyando1732
2 ай бұрын
Huyo Dr sule ni mganga wa Kienyeji
@user-tz8zu2gt6u
Ай бұрын
waaa waisilamu mnakupaliana na xhekhe wenu mimi yesu ananitosha
@MustaphaKiluke
Ай бұрын
MashaAllah,wanyumbani wazee walikunyima ubunge wa CCM,kule kwetu Rufiji,umetoboa kwa njia nyengine
@rasheedabby2871
2 ай бұрын
Mungu Tusaidie sana Hizi zama ni Hatar Sana
@user-sh3tr8cm1v
2 ай бұрын
Sana walai...
@user-rq9hb7hl3g
2 ай бұрын
Fitna kila kona, Allah atujaalie uongofu na tufe ilhali tupo katika uongofu
@ELIASFELIX-bq2nc
2 ай бұрын
Mungu akuhurumie Sheikh!
@erastoshedrackhaule9211
2 ай бұрын
Uhurumiwe wewe ambaye huna akili
@ELIASFELIX-bq2nc
2 ай бұрын
@@erastoshedrackhaule9211 huna akili wewe unayetaka kumiliki Hela za majini!
@jabirkasunzu6841
2 ай бұрын
Mungu wako katailiwa na binadamu wake, biblia inasema.
@user-wf4vp6zu2y
2 ай бұрын
Nakupenda shekh kwaajil ya allah
@user-ou2og1ze9d
Ай бұрын
Hongereni sana hakuna mkamilifu
@MatildeBjelland
2 ай бұрын
Jini ni jini Tu hapaswi kuishi na binadamu
@VukaRails-jp6mf
2 ай бұрын
Mbona kuna watu wanaishi na simba?
@user-gt8fw9vk4c
Ай бұрын
😂😂😂😂acha uoga,mbona Paka Mbwa tunaishi nao ndani
@CKMO
2 ай бұрын
Doctor tuzidi kutuelimisha na tuna zidi kukupenda sana ❤
@hajikomora703
2 ай бұрын
Mungu akuhidha sheikh.
@muktarikwangaika1857
2 ай бұрын
Mungu akubariki sana shekhe
@ramadhanimussa2625
2 ай бұрын
Shida tunapenda kumuona Paster anaendesha V8 lakini shekhe akiendesha inakuashida kwa watu kuna watu maostadhi wanafundisha watoto wa ma boss ila kanzu imefubaa 😢😢😢 ndio tunasikia furaha si ndio tuache kujishusha waislam tuwaombee sn kwa allah
@abdurahfaris8438
Ай бұрын
Haahaahaahahhahha
@audifansisafari5587
Ай бұрын
Ya majini
@amanimanase8799
2 ай бұрын
Sawa mganga wa kienyeji tumesikia
@uwimanajustine7313
Ай бұрын
Mwenyezi Mungu aki kubariki ,jivunie na utangaze,mbone wenye watatoa kwa jina zengine wanatangaza!?
@SangaleSugume
2 ай бұрын
Ndy Majin walijenga
@oklahommy9838
2 ай бұрын
Audhu Billah huyu Dr sule ...Allah ndio ajuaye
@user-gi2jv4kl7s
2 ай бұрын
Nipe ya ndani
@abduljabbarmohammed4188
Ай бұрын
Upo vizuri hujakosea.
@kayumbasosthenes3596
2 ай бұрын
Mungu ni mmoja tu na asili yake niyeye mwenyewe,Ametuumba kwa mfanano wake
@salimsaleh9354
Ай бұрын
Unaposema mungu katuumba kwa mfano wake hayo ni mawazo potofu mungu hafanani na chocho wala hana mfano
@godfreydavid6847
27 күн бұрын
Kwa hiyo yupoje? @@salimsaleh9354
@HubertMaleko86
2 ай бұрын
Sema mdaa mwingine Sule Biblia anaiamini vizuri tu.. Nabii hakubaliki kwao ni maneno ya kwenye Biblia sema mdaa mwingine anaiponda
@BakariChimako-gq6st
Ай бұрын
DR Sulle MUNGU akujali kwa kilalakheri inshallah
@anthonymgina3893
2 ай бұрын
Daah hapo kazi kweli kweli, Masheikh wanatakiwa wasome tawd sana wanapotosha watu haswa wale ambao wanataka kuingia kwenye uislam
@DOCTORYKAGUFA
2 ай бұрын
kwann unasem ivo
@trophywilson7211
2 ай бұрын
ndo ukweli huo wa Doctor Sule ndugu
@trophywilson7211
2 ай бұрын
@@DOCTORYKAGUFAAnaogopa tumejua ukweli ndani ya Uislamu
@anthonymgina3893
2 ай бұрын
Ni kweli katika Quran Allah amesema amewaumba binadamu na majini lengo ni kumuabudu kama ilivyo kwa viumbe vingine ambavyo hatujui wanaabudu vipi nao ni waislam ila jini lolote likiungana na binadamu tayari hakuna lolote isipokuwa ni uovu tu maana hakuna ushirika wa jini na binadamu kisheria, wao wanaabudu kinamna yao nasi kinamna yetu. NB yoyote ambaye yupo karibu na viumbe hawa mara nyingi wote wanakuwa ni waasi na niwashirikina. Na hakuna mwislam yoyote ambaye ni Sheikh atakuja na hadith au aya ambayo ina ruhusu sisi kufungamana na majini.
@jabirkasunzu6841
2 ай бұрын
Misunderstandings tupu
@ashurakodd1589
2 ай бұрын
Watumishi wa Mungu wamebarikiwa bhana wanadamu sisi tuache maneno
@nassoroyahaya821
2 ай бұрын
Wamebarikiwa vipi watumishi wa Kikristo ambao wanaamini na kuhubiri Uungu wa Yesu,Utatu mtakatifu haya mambo 2 ni makubwa ni laana kumshirikisha Mungu na viumbe
@vesper2548
2 ай бұрын
@@nassoroyahaya821 mwenyezi mungu anawarehemu wema na waovu hapa duniani, ata uwe kafiri vipi mwenyezi mungu anakubariki2
@user-te5ps3xd2d
2 ай бұрын
Doctor su anajua anachokifanya mwenyezi Mungu amlinde inshaallah
@user-og6qz2ht6e
2 ай бұрын
❤mungu akubariki
@RamadhanMohamed-jz6xm
2 ай бұрын
Tatizo la makafiri wakisikia jini tu wao wanawaza vitisho uchawi Habari na mambo mabaya tu
@bassambashirou4604
2 ай бұрын
Ndio walivyokarorishwa kuwa hakuna jini mwema na wanashindwa kujua nini shetani na nini jini
@user-sp7cm8pm4w
Ай бұрын
Hao ni malaika walio mias Mungu,wakatupwa hata pande za chin za nch,, lakin unyakuo ndio utatoa majibu ya muabudu wa kwel ni yupi.
@ChoiceSportstv
Ай бұрын
@@bassambashirou4604 Kaka jini na Shetani wote walimuaasi MUNGU na hakuna Hapo mzuri ....Mzuri NI malaika haooo wengine walimuaasi MUNGU na wamelaaaaaniwa
@Blessedboi8019
2 ай бұрын
Sule ni mchawi anachificha kwa dini
@diagfinamix1861
2 ай бұрын
Fanya taratibu sasa umuhangushe akiruka hewani kwenye ungo tumshangile ndo tujuwe ni mcawi ama laa.
@heriabudu3207
2 ай бұрын
😮😮
@Onlyforfun1992tube
2 ай бұрын
Dah bro sio fresh jamaa ana familia na ana watoto na ana wafuasi pia kwaio samahan usimtusi bana mzee
@PtransJulius
2 ай бұрын
Mtangazaji big up sana unajua
@donaldmwahalende4841
2 ай бұрын
Muongo wewe Suleiman mungu alimuongoza sio jin
@heriabudu3207
2 ай бұрын
Huyu shehe namwonea mbali Kwa maneno yake
@3leggedbird222
2 ай бұрын
Ohoo hapo kwa suleiman ni kweli unajua lile hekalu ni kweli lilijengwa nq majini tena wakubwa wenye nguvu hapo amepatia
@fababindawood8363
2 ай бұрын
Dr Sule safi sana watu wamezowea kuwaona mashekhe wanamaisha ya chini sana lkn ww umeweka wazi safi sana
@HalimaSuleiman-ks8md
2 ай бұрын
Doctor Sulee you vzr sanaa Allah akuzidishie elmu na ufahamu
@FatumaMpokwa
Ай бұрын
Alhamdulillah Allah akutengenezee mambo yako
@Jabaman207-ue6sk
2 ай бұрын
MashaAllah suleee
@stevensosipita
2 ай бұрын
MAZINGE ,SULLE SHEKHE MWAIPOPO SHEKHE MAJINI NK WOTE NI JEHANNAM INAWASUBIRI MATAPELI NA WANAPOTOSHA UMMA
@Rmkh88
2 ай бұрын
Kwa chuki zako tu
@user-tg5ru7cb9b
2 ай бұрын
Duuh Mungu ndiye anaehukumu
@princessmakwega2444
2 ай бұрын
Kwaiyo wewe una pepo na una moto wa kuwapa watu duu Pole sana tubia mda bado unao
@muhsinihassani2805
2 ай бұрын
We kama nani mpaka umuhukumu mwanadam mwenzio kua ni wa motoni acha habari zako bwn hiyo ni kazi ya mungu mwenyewe si binadam
@stevensosipita
2 ай бұрын
@@muhsinihassani2805 ahaa kama unajua hukumu nikazi ya mungu hao mashekhe wako wa mchongo wanachofanya kwa harmonize ni sahihi?hao ni matapeli tu kutwa mtandaoni
@ahmadifataha6677
2 ай бұрын
Huyu magumashi si ndio allkiuwa anatoa hukumu juzi juzi kwa msanii
@khamisyahya7703
2 ай бұрын
Bwanaweeh
@omariaman7818
2 ай бұрын
Uzuri doctor sule anaongeaga na kutoa ushahidi kama kuna kitu kakosea mkanushe kwa ushahidi sio kwa kubwabwaja
@SumaiaIssa-px4pl
Ай бұрын
Wew una sapoti ujinga tu basi
@DuliBrillant-mr8er
Ай бұрын
Dr sule i'm proud of you 4rever❤❤❤
@user-qp5my5ju6u
2 ай бұрын
Mash'Allah...
@ClementinaHabineza
2 ай бұрын
Mnapenda sana waisiraamu majini Sisi tunashamga
@uwimana6533
2 ай бұрын
Na mwamposa ni mwislam anaetapeli watu kuwaombea ?
@RemyDuma-db5fd
2 ай бұрын
@@uwimana6533Mwamposa ndio kiboko yenu nyinyi na Majini yenu kuiba Pesa, kuloga,maradhi n.k
@susanejd7775
2 ай бұрын
Waisiraamu ndo kina nani. Inaonyesha ww zuzu mmoja usojijua
@RemyDuma-db5fd
2 ай бұрын
@@uwimana6533 Mwamposa ndio kiboko yenu Wafuga Majini na Majini yenu
@KSJ6569
2 ай бұрын
Haya nyie mnae sema mlimoona Mungu amuoni kuwa mnamkufuru Mungu sikiliza maneno mjielew mlipoteya kiasi gani nyie
@zawadichalale4047
2 ай бұрын
Nampenda sana YESUKRISTO mimi jamani nampenda kuliko maelezo
@znaqmumeja2678
2 ай бұрын
Muongo wewe , unampenda mtu usimuona, na hakujui, eti kuliko maelezo,🤣🤣🤣🤣🤣
@user-nb2ql7zw3i
2 ай бұрын
Sasa tukusaidiaje na huyo ndiyo bwana yako uliyomchagua.
@jabirkasunzu6841
2 ай бұрын
Kuna siku utang'ata kidole
@user-yu1zo9pf4o
Ай бұрын
Endelea kumpenda ila elimu haina mwixho soma ujiue njia sahihi❤
@jumamwacharodzikowa523
Ай бұрын
Kumpenda ni huko kumwita mwana wa Mungu ndio Kumpenda
@mmeagroup-TV
Ай бұрын
Allah akuongoze kaka ,wew una elimu nzuri ila hapa hatupo pamoja mche allah , hakuna mfungano wa muislam na majini kufanya hvyo ni kujiingiza katika ushirikiano.
@mbondelotv8380
2 ай бұрын
Shekh upo sawa najua unajua kuwa nivigumu kumshawi mtu kupata kitu ambacho (mhamasishaji,) huna.uko sawa tujifunze kwako
@Magemria
2 ай бұрын
Na wanaokusapoti ni wenzio
@AhmedHassan-vl5zf
2 ай бұрын
Tapeli Tu huyu anatuma dini kuibia watu
@hamzarangi7989
2 ай бұрын
Natamani nisome kwako na nifanye kazi ya Allah unaniispare sana
@rogerabdallah439
2 ай бұрын
Mkweli mungu tu ata wewe tapeli
@sulleymanselenge4975
2 ай бұрын
Kweli au unamdharirisha2 kaka
@user-sn2wz8zs8y
2 ай бұрын
Kwan naww umeibiwa
@user-nj1if8dl2c
2 ай бұрын
Maasha Allaaah
@ismailabdallah7853
Ай бұрын
Hira namkubari sana Dr Suleman
@HadijaZabroni-pu1lt
2 ай бұрын
Anakera uyu baba😢😢😢
@user-nr3uw7bq1r
2 ай бұрын
Anakera aje, nafasi ya kutongozwa na yeye uliikosa, hahahaaaa
Mmi nakukubali sana Dr sure, even though am a Christian
@Itsblackghost
Ай бұрын
Unasubur nn😂
@OmaryIssa-uk4zh
2 ай бұрын
Exactly doctor sulle
@SullamfootballAcademy23
2 ай бұрын
Sullam football Academy love
@ahmedalfan8075
2 ай бұрын
Hamna shee umo
@Omaryactor01
2 ай бұрын
We mwislam gani hawa ni warith wa mtuma acha upuuzi
@ahmedalfan8075
2 ай бұрын
@@Omaryactor01 mpuuzi mim au wew mtume awezi kua na mrith tajir ktk inchi ya kafir hakuna muumin wa kweli akainjoi ktk inchi ya kitwaahud nenda madrasa kwanza
@user-kd6xn7ux4v
2 ай бұрын
@@ahmedalfan8075kuwa nahaya ww we unaona raha gn kuona masheikh wanakuwa maskini yaan sheikh akiwa napesa wee unachukizwa!
Anamtokea Kwa sura ya kibinadamu na hakuonyeshi tofauti Wala vitimbi
@muhammadally393
2 ай бұрын
Elimu huna na hujataka kujua tafuta Elimu utajua ulimwengu
@salumngakonda2182
2 ай бұрын
Shekh hyo aya siyo neema za kidunia Neema za duniani ukizitangaza unatengeneza hasadi kwa wasio nacho. Na ni riya. Na ndiyo maana haifai kuzungumzia furaha ya wazaz kwa kwa yatima atajisikia vibaya. na mengne mengi yasiyo kuwa hayo.
@annakattoa7502
Ай бұрын
Mm napenda tu huyu mtangqzaji anamasqali mafupi ya hekima yenye point yaani hajakutupuka amejipanga hongera sana
@octaaalyiii9539
2 ай бұрын
Ukisikia kufuru kwa Mungu ndio hiyo sasa, Unaamini Miungu kuwa ina Mali nyingi, lakini binadamu ndie ananguvu kubwa zaidi kuliko huyo Jini kwasababu jini lolote limelaaniwa, ndugu zetu wanakufuru sana bila kujijua,
@swahililyrics4635
2 ай бұрын
Binadamu mwenyewe kalaaniwa ndomana tunakufa
@diagfinamix1861
2 ай бұрын
Vizuri nawe njo hapa utupe ya kwako tukuskie utatafsir vipi hayo maswali.
@jumaalhadi4274
2 ай бұрын
We mwenyewe umelaaniwa
@EmmmaTembo
2 ай бұрын
Ndio tatizo la kutosheka mapema yaani nyie hamutaki kusoma mkidhani kwamba mnajuwa.weye acha ujinga tafuta elimu ujuwe uumbaji wa Mungu hautasema tena eti majiini yote ya melaaniwa
@tahiyasaidi6532
2 ай бұрын
Huna unachojua ......Kwa kifupi ww ni mjinga
@SherburnSireid
2 ай бұрын
Baki kuwa mganga tu...uislamu Bado hujausoma vzr
@jabirkasunzu6841
2 ай бұрын
Wewe ndio mpumbavu kabisa maana mtume s.a.w. anasema fikisha ujumbe angalau kwa aya 1, yeye anatekeleza wajibu wake, wewe endelea na majungu
@abdurahfaris8438
Ай бұрын
Soma dini ww utajua uganga umetokea wap mbakurupuka tu kuandika ushuz
@bashirbaruan3969
Ай бұрын
Dr sule me ktk masuala ya Dini ya ukristo upo vizur sana lakini kwenye Quran tukufu sio saana but all in all nakupa big up sana ktk kazi zako za biblia
@myself4128
2 ай бұрын
Ushauri wa Bure dr Sule Weee Endelea na Uganga na Uislamu wako Achana kabisa na Imani yetu Sahihi sisi hatufagilii Mashetani we endelea kupoteza waislamu Endeleeni kulea Majini tuu,na uzidi kuwazibia njia ya kuingia katika Uzima wa Milele kwa kupinga kweli,achana na Imani sahihi ya Kristo
@rogersiddy
2 ай бұрын
Simu yako alete nani sasa Dr.Sule wakati simu unayo mwenyewe?😂😂🙌
@frankmichael411
2 ай бұрын
😅
@rogersiddy
2 ай бұрын
@@frankmichael411 Bhana weeee watu tunambwembwe kwenye mgongo wa ardhi hatari sana😂😂
Пікірлер: 1,1 М.