Ismail juma... Mswahili halisi... mwenye damu ya kuswali..nakukubali...from Tanga
@benedictmrisho1800
5 ай бұрын
Kumbe muungano ni mzuri unahitaji tu marekebisho. Hongera Jusa.
@tecnof1232
5 жыл бұрын
Ni ukweli mtupu, na huwezi kuukimbia ukweli, unaweza kuuchukia lakini ukweli wenyewe utabaki kuwa ni ukweli tu, Ahsante Mr Jussa! Mambo kwa ujanja ujanja hayaendi!
@yunussabdall7234
Жыл бұрын
ismail Jussa ladu next president of Zanzibar 2025 Inshaalaah
@alialamoudi9729
Жыл бұрын
Inshalla mungu amhufathi
@mukhtaromar-g5p
4 ай бұрын
Tunakupenda sana ndugu ismail jusa ❤❤❤❤
@fathiyaally8631
2 жыл бұрын
Jussa kweli mzalendo wa zanzibar nimekukubali uko sawa uchafu wote wa madhalim umeuweka hazarani duuuu
@gangmore9091
4 жыл бұрын
Wasio tetea wazanzibar wanafkii mungu atakulipa kwa kutetea haki z wazanzibar waliokua hawatetei wataulizwa n mungu
Ilifanywa kwa siri kwa kuwa hawakutaka wazanzibari waone kiini macho cha Nyerere.
@siefkalfan8549
9 жыл бұрын
pasua jusa pasua jusa
@abdisalamimasoud3872
10 жыл бұрын
Wakati umefike wazanzibar tusiwabinye tena wamekwisha shtuka
@alialamoudi9729
Жыл бұрын
Karume hataki muongano alidanganywa kuja kushtuka nchi imetekwa nchi tajiri duniani zanzibari ilikuwa dolah halali ilichaguliwa NA wazanzibari wenyewe
@hajijumaa362
6 жыл бұрын
wapeni wazanzibari nchi yao aaa kelele kila siku jamani wazanzibari wanaumia
@pettermasika9120
5 жыл бұрын
Maisha Zanzibar itabaki salama na Tanganyika itakuwasalama Kabisa" kwamwe watanganyika hawawezi kuiwacha Zanzibar"
@fahmyatrash7877
5 жыл бұрын
hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho bro kama hii nchi inajitnata kwa amani basi belive one day damu itamwagika kuliko alivo imwaga nyerere na kundilake hapa zanzibar mwaka 1964 docomentary zipo
@bilalikaoneka5080
2 жыл бұрын
@@pettermasika9120 .. Sasa kama wenyewe hawataki..???..kwan mnaumia muungano kuvunjika 😁😁
@abdulkhamis815
2 жыл бұрын
Hongera mh jussa
@feiz3180
10 жыл бұрын
Jussa jussa jussa
@nassorkhalfan-cl6pm
Жыл бұрын
Nakukubak jemb jusa upo sw tn cn
@daudhenry8909
4 жыл бұрын
Jussa
@FatnaAlly-go7yt
2 ай бұрын
Oooh allah jaalia amani
@imraniqbal00765
5 жыл бұрын
Mh jussa huna mpinzani baba Wasiokuelewa wana yao hao
@bukhariabdullah4949
7 жыл бұрын
tumechokaaaaaaaa na muuungano usiyo kuwa na mashiko
@Dawood96-mct
Жыл бұрын
CCM ni wahaini kwa zanzibar
@saidahmed9688
2 жыл бұрын
ismail jussa
@hamilsaleh-zo3hp
7 ай бұрын
misisiemu y zanzibar minafiki,mijinga kweli! hayana akili hat moja kazi yanatutia matatizini tu
@jumamohamed3168
4 ай бұрын
Miccm inakera hasa na ndio inayosababisha Zanzibar kuwa nyuma kimaendeleo.
@zenj1986
4 жыл бұрын
Kichwa hicho
@hamilsaleh-zo3hp
7 ай бұрын
HATUUTAKI MUUNGANOOO!!!!
@PhilipoMwita-wc1ku
5 ай бұрын
Pasua hizo mbwa za Dodoma Hadi mpate haki yenu
@zungubakathir1761
6 жыл бұрын
Kweli wanajitia muungano kitu chochote ukitoka nacho zanzibar ukienda bara unalipa tena ushuru hii ni kwann inamana ukitoka mtwara na gari kuja dar unalipia tena ushuru yani ilimrani tumechoka kweli tuamue tu lolote liwe munatunyanyasa tu muungano au mumetutawala tu kiujanja
@elastokaminyoge6512
7 жыл бұрын
muungano kwa wazanzibari na yanafanyika ni kitu cha msingi sana lakini kama kuna mapungufu ni vyema yalekebishwe lakini sio kuvunja ib
@erickrichard3077
3 жыл бұрын
Uyu sikuizi yuko wapi?? Jamani
@kapilimajuma6558
7 жыл бұрын
mmeona sultan kaja kutembelea sasa ngoja muungano uvunjike,,,,,,
@mohammednassor3081
3 жыл бұрын
Jussa naumia sana kukosa nafasi serikalini huyu mtu mpambanaji sio mchezo lakini one day yess 🏃♀️🏃♀️
@giztony2009
3 жыл бұрын
Aise Ismail Jusa ni hatari sana
@salehsuleiman8519
3 жыл бұрын
Jusa kama jusa na ubora wake
@ibrahimconte601
4 ай бұрын
Mbona makelele matupu
@RidhwanAmar
10 жыл бұрын
ZANZIBAR KWANZA SHENGESHA BAADAE
@King_Of_Everything
3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌
@hamadrashid5140
3 ай бұрын
Kichwa hiko makamu wa pili wa Rais wa zanzibar 2025 inshallah
@moodyman7588
5 жыл бұрын
Better says Zanzibar must be independient. Think before you done
@omarkanout8684
5 жыл бұрын
Wambie hao wapumbavu wa CCM manake wote ni kambare
@khamisali5978
10 ай бұрын
Hii ndo athari ya kuchukua watu mitaani kuja kutoa michango kwa jambo linalohitaji elimu,fujo zaidi ya sokoni😂
@gangmore9091
4 жыл бұрын
Kila jambo lina mwisho wake yataisha yote
@jumakapilima5674
2 жыл бұрын
Jussa hamna kitu!!
@siefkalfan8549
9 жыл бұрын
leo tunalipa ushuru magari na macontena na tulipishwa tena bara huu ni muungano na hizo pesa ifika jioni bara wanazichukua huu ni muungano sasa munaongea watu au vipofu
@gangmore9091
4 жыл бұрын
Kweli bro kwa macho yngu naziona pesa kwenda dar
@destiny4life439
6 жыл бұрын
hawa watu wazima lakin hawajielewi hata kidogo kam kuku
@benedictmrisho1800
5 ай бұрын
Wanasheria nchi hii kupitia TLS hebu mtujie Watanzania na majibu kamili ya haya mambo ya kisheria mnayobishania juu ya Muungano wetu. Taaluma itoe majibu sahihi ili Watanzania tuwe na utulivu.
@hamilsaleh-zo3hp
7 ай бұрын
wanatoa vichwa tu! waeleze wajinga
@HassanKomango-o2d
3 ай бұрын
Laaaaaa kumbe huumu ungano unasirinzito, wabunge wabara muogopeni mungu
@HassanKomango-o2d
3 ай бұрын
Laaaaaa kumbe huumu ungano unasirinzito, wabunge wabara muogopeni mungu
Пікірлер: 83