Habari kaka. Kuna SoMo muhimu sana la PARTNERSHIP ningependa uligusie. Maana Kuna watu wanafika mbali Sanaa kwa mfumo huu. Na wengine wanalia pia. Tungependa utusaidie SoMo hili
@YusterLumba-nb4ez
16 сағат бұрын
Mungu azidi kukuinua Mr Joel
@shukranjulius9526
3 ай бұрын
Namtukuza Mungu kwa ajili yako kaka ❤❤
@BaloziKasema-tg2dw
3 ай бұрын
Joel Nanauka nakupongeza na kukushkuru umenijenga moyo na kunielimisha vilivyo. Umenifanya nategea mafunzo yako Hadi ningependa siku moja nikutane na ww. Maana tokea nkujue nmejifunza mengi Sana. Asante shukran mkuu.
@naomipanja5768
2 ай бұрын
Be blessed man of GOD
@japhethcharles5791
3 ай бұрын
Hazina ya taifa 🙏
@MagrethMhoja
9 күн бұрын
Vitabu vinapatikana vip
@DelightfulFencers-vu6zb
2 ай бұрын
Kaka hongera hi ho kitabu cha nidham ya pesa kinauzwaje
@alexlucas1571
3 ай бұрын
Shukrani sana Kaka joel kwa darasa YEHOVA MUNGU azidi kukupa afya njema 🙏
@godblesskaaya5398
3 ай бұрын
Asant sana brother JOEL Kwa SoMo zuri hakika umenitoa mahali.
@RebeccaMwakibibi
3 ай бұрын
Daaah Mungu amenileta hapa kwa makusudi
@user-op9lq3qw1k
3 ай бұрын
🙏💯 asante kwa maarifa mazuri
@paschalmasanilo2617
3 ай бұрын
Asante sana kwa HEKIMA hizi kushare nasi
@avitus-thobias
3 ай бұрын
Thanks more kaka Joeli Mungu akuinue zaidi
@clarasabutoke6907
3 ай бұрын
Najenga ushuhuda kupitia mafunzo yako, asante sana
@MSHINDICLEMENCE
3 ай бұрын
Ahsante kwa somo lako make Muda na emotions zinasumbua xn kuwana nidhamu kwazo
@giftcarlos4409
3 ай бұрын
kaka nahitaji hivyoo vitabu nawezaje kuvipataaa kakaa
@SamKanono-iw4bu
3 ай бұрын
unaweza sana Mungu akubariki
@user-en6dk7et2x
3 ай бұрын
Asante sana kaka Joel barikiwa sanaa
@KalabaKlb
3 ай бұрын
Kwa gharama yoyote niko tayari nasubiri jibu lako
@DottoGatuntu-sw8fj
3 ай бұрын
Ahsante saana kaka yetu from burundi
@goldiegranted5501
3 ай бұрын
Fantastic 🙌🌠🙌
@stellanghambi2122
3 ай бұрын
Ubarikiwe sana Joel
@elicemnunga3945
2 ай бұрын
Nimebarikiwa mnooo. Asante sana kaka
@glorytogod2806
3 ай бұрын
Nabarikiwa na masomo yako
@julianalaly2095
3 ай бұрын
Sawa kaka
@wailesmsongole1914
3 ай бұрын
God bless you
@silvangabriel9532
3 ай бұрын
So fantastic
@mwanaidihassan5868
3 ай бұрын
Am still working on emotional discipline
@stephanosospeter1709
3 ай бұрын
Ameen
@eliudbeyanga8575
3 ай бұрын
Nakukubali kaka
@tsongokauta5911
3 ай бұрын
Shukurani
@BeldinaAbuya-zr6qi
3 ай бұрын
Naomba kushiriki darasa hili
@KalabaKlb
3 ай бұрын
Niko tayri kaka Joël Nanauka niunge nami, mimi ni nina fanya biashara alafu ina takiwa nipate mafunzo please nipe nafasi
@lilianjoseph1144
3 ай бұрын
See me at the TOP!
@user-jb5tb7qq5f
3 ай бұрын
Hahah see me at the top
@naomipanja5768
2 ай бұрын
See me at the highest top
@janetmbwana553
3 ай бұрын
🙏🙏🙏
@saidzubeir2111
Ай бұрын
Mm nengependa ukielzea hzi vidio uwe nakasi kma vile ukitowa vidio maana inalta marali kabsaa na inainaingya katka hsia zaidi❤
@IbrahimDaudi-bo7ke
3 ай бұрын
Shukrani Kaka Kwa Masomo YakoYananitia Moyo Sana Lakini,Hivi Vitabu Unavyo Visema Nitapatajeeee?????
@pilichuli4449
3 ай бұрын
Na Mimi naitaji uniunge Kwa ghalama youote
@mathias225keya
3 ай бұрын
napata wap hivo vitabu
@mariamwikedzi1638
3 ай бұрын
Samahani coach soft copy ya kitabu Cha nidhamu ya pesa shilingi ngapi
@franciscalutauga-vs7kf
3 ай бұрын
habari joel. honger na asnt kwa ujuzi unaotupatia. ,samahani mm ni mama nahitaji namba yako binafsi pls pls pls
Пікірлер: 51