Ubarikiwe sana kwa maneno mazuri ya kujenga watu na kusema ya kulithisha sana.Wewe ni mchungaji mwema na maneno matamu.Ubarikiwe sana Wewe ni mchungaji mwema.
@JoyceKabula-in1sh
13 күн бұрын
Kila siku tunamwomba mungu atutenge na tutu namtakia safari njema msigwa kwenda akaungane na vibaraka wake ila akumbuke kuwa chadema ni taasisi kubwa lakini ajue kuwa ukitoka chadema utatoka peke yako na kama kaona katukomoa kajikomoa mwenyewe tunamuona kama unyasi wa nyumba uliochomoka akizani nyumba itavuja kamwe haitavuja wanachama tupo kibao hatuteteleki wala hatujatingishika
@thomasmallya670
13 күн бұрын
Mbona kimeshapasuka?
@YoelMagese
13 күн бұрын
Chadema mko vizuri, mnatoa wachezaji wa ukweli, MNA 'CHAMA' WENGI SANA. Mnajua Sana kuandaa watu, ndiyo maana kila anayetoka kwenu kwenda CCM anapata cheo kikubwa huko. Ila na wao CCM inakuwaje kmpa cheo mgeni badala ya watu wako mamilioni wanaokuunga mkono siku zote. Ama kweli CHADEMA wako vizuri katika kuandaa viongozi.
@ColonelBudilla
10 күн бұрын
😮😮😮
@filexkivuyo8383
12 күн бұрын
Ili asikoroge kama mlivyo koroga kumchukua lowasa mkampa agombee uraisi
@leahmgunda4154
11 күн бұрын
Alishinda aualishindwa?
@adammjomba5814
13 күн бұрын
Mzee wangu unasumbuka bure wa tz hawezi kudai haki zao upo sawa kini hakuna kitakacho fanyika mambo hayo ungewahamasisha wakenya
@filexkivuyo8383
12 күн бұрын
Iyo inatwa tamaa ya madaraka kwaiyo afai kupewa kazi na mama awe mwancha wakawaida
@celestinekimaro8996
13 күн бұрын
Harakati za kuikomboa nchi kunahitani watu wanaoyaweka maslahi ya nchi mbele na SIO wanaoyatanguliza maslahi binafsi Hivyo Msigwa hakuwa meanaharakati aliyeyaweka maslahi ya nchi m bele Bali mkate wake binafsi au kigeugeu
@thomasmallya670
13 күн бұрын
Nafikiri sasa chadema mmekwisha. Yani mmekosa agenda kabisa sasa mnapiga porojo tu. Kama mnafikiri watanzania watasikiliza utumbo wenu, mtashangaa sana. Hayo mnayoyataka siyo hoja ya watanzania. Watanzania wanataka kuona ugali juu ya meza siyo kufukua makaburi ambayo hayawezi kuwaletea nafuu ya maisha. Tafuteni wataalamu wa siasa wawape uwashauri wa jinsi ya kufanya siasa za upinzani.
@user-wu2du6jy5c
13 күн бұрын
Amegundua na chedema kinamapungufu makubwa
@thomasmallya670
13 күн бұрын
Wachungaji wanatia aibu, sasa kazi ya ukuhani wameshindwa, sasa chadema wameamua kuwaajiri watumishi wenye njaa ambao kanisani mwao hakuna waumini wa kutoa sadaka sasa wameamua kuganga njaa. Aibu kweli.
@user-us4tk2tk3c
9 күн бұрын
Kabisa hawa wanatia aibu.
@athanassimbila2603
12 күн бұрын
KAMA TANGANYIKA HAIPO ,NA ZANZIBA ISIWEPO ILI ZOTE ZIITWE TANZANIA SOTE TUITWE WATANZANIAQ...NA NDIYO ILIKUWA DHAMIRA HATA YA BABQ WQ TAIFA.
@khatibal-zinjibari6956
9 күн бұрын
MUUNGANO NI UKOLONI WA TANGANYIKA✝️ Kabla Tanganyika kupata Uhuru, Nyerere alisema lengo lake ni kuiburuza Zanzibar kutoka Bahari ya Hindi (Indian Ocean). Sasa Zanzibar iko Dodoma😂 Nyerere alivamia Zanzibar kwa jina la Mapinduzi. Na baada Siku 100 aliimeza Zanzibar kuwa Koloni lake kwa UTATU MTAKATIFU: Tanganyika (Baba) Zanzibar (Mwana=Yesu) Tanzania (Roho Mtakatifu) Karume alilalamika kuwa Muungano ni kama Koti linalowabana Wazanzibari. Alitaka kuvunja Muungano asiyejulikana alimuwahi. Karume na Nyerere wote hawakuzaliwa Zanzibar. Hussein Ali, Mzaliwa wa Mkuranga alichaguliwa na Pombe, Mzaliwa wa Chato. William Lukuvi alisema kweli Kanisani kwao ya kuwa watapeleka Jeshi Uislam ukirejea Zanzibar. KUMBE TULIDANGANYWA Kumbe Uarabu, Usultani na Utumwa sio sababu za Mapinduzi. Vita Baridi na Pan-Africanism sio sababu za Muungano😂😂
Пікірлер: 20