Huyu jamaa ni kolo ndio maana haatupendi wana yanga tusikate tama wananchi wote pamoja dua zenu muhimu inshallah 🙏🙏🙏💚💛💚💛💚💛💚💛💚💚💚💚💛💛
@HamadiMgeja
3 сағат бұрын
Kwani we inakuusu Nini hata ispo toboa? Mchambuzi mbuzi kweli
@majaliwabwitonde6900
2 сағат бұрын
Uliwahi kucheza mpira kweli wewe! 😂😂😂
@AminoKhalif
Сағат бұрын
Wana yanga utafika safari yetu huyu jama ni kama adui wetu mdomo yako ni ya kichawi hiyo kombe ni yetu ndoto yetu kawaida binadamu roho zao mbaya inshallah kwauwezo ya mungu ameni ameni
@kiboshokiboshomungumkubwa7789
2 сағат бұрын
Wache kutubashiria na kutukatisha tamaa mwishwindwe na mulegee
@moussaaliabdallah1096
2 сағат бұрын
Huyu jamaa sijui anapambana vita ya wapi,anaongea utumbo,
@lonesomekabora5547
2 сағат бұрын
Al Hilal anacheza Libya ndio uwanja wao wa Nyumbani walioomba kutumia
@gabrielnybala2165
43 минут бұрын
Malofa daah ila mangungu 😂😂😂😂
@gabrielnybala2165
46 минут бұрын
Ukiwaambia malofa ukweli wanaumia wanapiga kele kama madramu empty kila anaye waambia ukweli wanamwona ni simba sc shida malofa wana ishi kwa mazoea sana 😂😂😂😂
Пікірлер: 13