Mungu akujalie afya njema Rais wetu,kazi yako hakika ni njema. Nawaombea na wasaidizi wako waongozwe na hofu ya Mungu ili nchi yetu iwe na amani na mafanikio yakapatikane
@CYPRIANMACHIBULA
11 күн бұрын
MPINA arudishwe bungeni
@user-ze6lx9ng6s
24 күн бұрын
Huyu mama, angekuwa na uzarendo wa nchi hii,angemtumia mpina, mbunge mpina ndiyo mwana CCM wa ukweli,
@user-xh8kd9ze7o
6 күн бұрын
Mpina jamani Ni mbuge mzalendo mrudisheni bungeni
@eliakazilo6078
6 күн бұрын
Bi Mkubwa namshangaa,Kama anaweza kumtumia MAKONDA.sijuwi kwa Nini anashindwa kumtumia Mpina?
@GodfreyKiyeyeu
26 күн бұрын
Mama wew umpenda haki !! Mama mtazame mpina umpe uwaziri
@user-em3ye6el6z
21 күн бұрын
Mama Abdul huduma tulizo fanya Serikalini hatulipwi ni kwa niniii TULIPENI
@MariaCassian-e2i
4 күн бұрын
Rais tunaomba ututendee haki tunamuhitaji MPINA Rais tunaomba mumtendee haki MPINA😂😂😂😂😂😂
@eliakazilo6078
6 күн бұрын
Swala la Bashe naMpina ,Ni mtambuka..Ni kwamba Ni sawa watoto wa Mama na Baba mmoja .Ni kwamba mdogo kamuona mkubwa ,anaiba sukari.mdogo kamchongea kwa Bi Mkubwa..je?Bi Mkubwa ataamua vipi?? vipi?
@AdamKaponda
24 күн бұрын
Mpina ccm haitambui mchangowako wananchi tunatambua mchango wako ndani yabunge lililo kosa uhalali,wewe sawa na shedrac,meshac na abinego
@PeterkedimoniNgobela-ek6ty
9 күн бұрын
Chapa kazi mama
@FrankSalehe-us7zg
23 күн бұрын
Mama angalia watu wenyeakili ufanyenao kazi sio mabokas kama kinabashe mabendela fuata upepo
@adelinelyaruu3036
9 күн бұрын
The repeated changes taking place are unprecedented
@hamudshabani7801
21 күн бұрын
Hakuna raisi hapa tumepigwa
@mubarakmohammed7311
21 күн бұрын
Mbona hakugusia?
@Mussa-id9jb
15 күн бұрын
Mhhh
@AlexMgimwa-pm2pi
Күн бұрын
Hakuna jipya
@chichelazaro3629
24 күн бұрын
Muwe wakweli, hakuna issue ya Mpina hapa. Nafikili hii ni video yangu ya mwisho kuitazama kutoka Ngolo TV. Vichwa vyenu vya habari sio kilichomo ndani... Kweli sasa nimeamini Ayo TV haina mpinzani
@saidmabanga388
22 күн бұрын
Kuma awaaa
@omarkapula588
26 күн бұрын
Acheni kutudanganya wajinga kabisa msiyumbishe akili za watu kwa maslahi yenu
@ElishamaMulokozi-pi8nm
14 күн бұрын
Mbona unanuga katika atoa kauli ya hapa taarifa ya tume ya haki jinai
@SaleheMkomwa
23 күн бұрын
R ETI WANASEMA MWANAE NDO ANASHILIKIANA NA BASHE KWENYE KUPANDISHA SUKARI JE NI KWELI?
@ziadasadiki8196
22 күн бұрын
Kwa hiyo Bashe hajui wajibu wake hadi afundishwe??
@eliakazilo6078
4 күн бұрын
Hizo Ni nyepesinyepesi..Ila UKWELI Bashe Ana watu wakubwa nyuma yake..wanatunisha misuli...Lakini kwa sababu wabunge wa ndioo Ni wengi Ni tatizo..wa kumtetea Mpina simuoni..nakuona Mpina Kama the first blood..maana Rambo alikuwa anajipigania peke yakee..UHAI wake ulikuwa hauna mtetezi..rushwa bungeni imesambaa Sanaa kwa swala la sukari.. na Hawa mafisadi wapo tayari kuviua viwanda vyetu vya sukari..na kwa ujinga wa watanzania tunakubali.. kitu kingine Ni Mkubwa Ana huruma Sanaa,Ana aibu saana.kwenye Baraza lake la mawaziri,wapo Kama 5 ,wanatakiwa awatoee..anavyozidi kuwaachia ,ndio Hali inazidi kuwa mbayaa,tunaumiaa
@Maximillianchacha-fm9yi
25 күн бұрын
Mbwa ccm
@AdamKaponda
24 күн бұрын
Rushwa,rushwa,rushwa ni dhambi acha kuhonga pikipiki na majiko munajiondolea heshima
@evelynmwaimu-vd9jo
23 күн бұрын
Inachosha nafsi ns akili pale nchi ikitawaliwa na genge la watu wanaohubiri wasichokiamini
@user-tg7vq3ty8p
26 күн бұрын
Mimi ninampenda sana huyu Mama. Ninamuombea kwa Mwenyezi Mungu azidi kumbariki, azidi kumlinda na kila aina ya husuda,azidi kumpa busara,hekima, maono ya kuifanya nchi yetu izidi kuwa sehemu nzuri na bora ya kuishi. Ushauri wangu ni kwamba uundwe mfumo madhubuti wa kutekeleza na kuwapatia wananchi wa Tanzania wake kwa waume, vijana na wazee, watoto na wenye mahitaji maalum haki zao. Pia pawepo na mipango sahihi ya kurithishana na kuyaboresha kulingana na nyakati haya yaliyoletwa na haki jinai. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kazi iendelee.
@NeemaPaulo-wf3oz
27 күн бұрын
Kaz iendeleeee,mama mungu akubaliki
@AbdilahiMriri
26 күн бұрын
Asante sana Mungu akubariki akupe umri mrefu wa kunihangaikia tuwe mke na mume wako kihalali mwaka huu kuanzia mwezi huu wa sita jamani jamani Madamu Rais mpenzi wangu jamani samahani kama nakosea mwenyewe unavyosemaga nikuvute hadi katikati ya bahari uogelee jamani jamani Madamu Rais mpenzi wangu jamani.
@AdamKaponda
24 күн бұрын
Rais chama unachokiongoza kina lao lamoyoni ovu kuhakikisha sheria kandamizi zidumu,muendelee kubakia madarakani,, hukutaifa linasambaratika,kilio na machungukilamahali,ccm haioni zaidi ya kuagiza mbelekwambele na kutafuta pesa za rushwa kuwahonga watanzania(pikipiki,majikoyagasink)
@MakoleMakoye
9 күн бұрын
Ngollo tv sina haja ya kuwafatilia tena make hamjielewi
@zuenahamoud1532
20 күн бұрын
Mbwaaa wewe mama
@ezekielshija9251
11 күн бұрын
Wewe Zuena Acha hizo!
@AliSalim-yu4mo
Күн бұрын
Mama yako yy atakuwa nguruwe na wewe utakuwa mtoto wa nguruwe!
@user-oq6to7pf2u
7 күн бұрын
mungu atusaidie tu tumepigwa nyingi
@emmanuelgastine9826
5 күн бұрын
Mama Samia nakushukuru sana kwani tangu umekuwa Rais ndo naona napokea mshahara anagalau unakaa masaa hata 6
@user-kg5yu4kg9p
17 күн бұрын
Mpina kaumiza wengi kwenye uwaziri wake akae pembeni
Пікірлер: 43