Jamani ushauri mnaoutoa sio mbaya lakini mfikirie mama yake atabaki na nani kuuguza sio kitu cha mchezo akiondoka nje ya nchi atajuta Lulu anahitaji kukaa na mama yake akipata vyumba 3 akae na mama yake
@user-xh1ff7zf6p
Mzuri lulu mashaallaah anandoto mungu atamsaaidia ishaallaah
@user-yo8np7ce8n
Lulu fikiria tena mamy hakuna anaeweza kumlea mama Yako zaidi ya ww tu kuwa na subra kwanza Tunakutakia mengi mazuri Allah atakuafungulia milango ya kheri Inshaallah
@bintmrisho3526
Wadada waoman muda mwingine tupunguze sifa wa kumshauri kuja oman ni munira na kina zabibu uyu lulu mnamshaur aje oman alafu mama yake je mtamuhusumia nyie
@dorcaskidoti249
Lulu ww ndo mtt wa pekee kaaaa mdgo wng umlee mama! Usiende Oman wala Dubai Mungu atakufungulia milango ya rodhikiiii tulia tuliaaa apo sawa mdogo wng ? Kwanza mama atakuwa mpeke sana kukosa
@salmasaidy87
Pole sana mdogo wangu Lulu kwa changamoto ya kumuuguza mama na hongera kwa kupambana Mungu akutangulie na akufungulie milango ya rizki
@cecyngitu4752
Aje Oman Mama ake atamuuguzia nani mnaposhauri angalieni cha kushauri
@oman1oman179
❤❤❤❤chenye na mpendea huu dada Hana Tama kama mnira
@user-ft2vq5on6l
Usijenge pakubwa jenga vyumba 2 halafu utamaliza kdg kdg ili msaada ikikata umeshapata pa kukaa na mama
@catherinefaney948
Lulu mwanangu,usimwache mama Yako,safari ya maisha Siri ya Mungu,Wala SI ndefu,au wewe au mama Yako.usimlaumu mtu ,SI Kila anauwezo wa kutunza mzazi,ni karama,wenzio waombee.Mungu hatakuacha.unabarikiwa sana katika hilo
@ZsbAlbarwani
Lulu asimuache mama maana huyu mama yako inatakiwa akae na mtu mwenye Imani sana bila wewe haiwezekani kabisa anataka kuangaliwa
@erinestangowi7785
Mama lulu hawezi kukaa namtu baki mwanae ndio kila kitu wew ukitaka kusaidia saidia utaki kaa kimy usiombe yasikukute matatizo
@zuweinaalhabsya8773
Huyu Dada Ana akili Sana Mashaallah yaan angatokea tajiri mmoja tu huko tz akampa kazi hapo hapo tz awe karibu na mama ake.
@salmanassor8732
Lulu mdogo wangu usimwache mama ukaja kufanya kazi nchi za njee mama anahitaji upendo wako
@MahmudOmar-gx2ok
ASSALAMU ALEIKUM. MA SHA ALLAH MUNGU AKUBARIKI, LULU KWA USHAURI WANGU USIMUACHE MAMA KWANI PEPO ZETU ZIKO CHINI YA NYAYO ZAO. NA MUNGU AKUWEKE MAMAKO
@FatimaAli-of4gh
Mashallah lulu mungu akutangulie mtt mzuri wewe una akili wa kukushika mkono tu huna kwenye family usije ukajichanganya na mapenzi bado kwanza
@user-yo8np7ce8n
Serekali yetu pendwa muoneni lulu jamani apate apate kazi japo mdogo apate kumlea mama ake
@aminamareta9297
Lulu pore sana kwa changamoto ipo siku yatapita tu swara rakuja omani mimi sikushairi kutokana na mama ariyake
@user-qn3cf2bg4u
munguakusaidiye jamani lulu anatakiwa kushikwamkono ila asimuwache mamayake yanirohoinauma ilanimtihani
@oman1oman179
❤❤❤❤❤manshy huu dada ni ujasiri mungu amzidishie kila la kheri na ampe afya njema mama inshallaah
Пікірлер: 115