Laa Rais anafanya kazi mpaka mamwonea huruma laa!! Mungu ampe maisha marefu
@mkemiamagege8477
2 жыл бұрын
Kwa hii kazi uliyoifanya Magufuli Rais wangu. Ndio maana walikuuwa!! Walioumia kwa kutopig misheni town zao no wengi kinyama!!
@maryammeme2615
6 жыл бұрын
Huyu rais Ni jembe sijawai ona duniani long live magu
@eliaikawilhelm3541
2 жыл бұрын
Pumzika kwa aman baba magufuli😭😭😭😭😭😭
@williammaroa3928
6 жыл бұрын
Hongera Sana Mzee jpm. kiongozi wa Mali ya umma
@gaspermganga8900
2 жыл бұрын
Rest In Peace my president the son of Africa. Naamini uliletwa na Mungu Kufungua macho watanzania na Waafrika kwa ujumla, muda sio mrefu watu wengi wataanza kugundua kuwa kifo chako wengi tulijua kitatokea kwasababu hakuna rahisi yeyote kwenye Historia ya afrika Aliyejitolea maisha yake kwa wananchi, akapendwa na Mataifa ya ulaya. Angalia, Thomas Sankara, Patrice Lumumba, Ghadafi, kwame nkuruma, Na wengine wote. Afrika we must unite before it’s too late.
@jacksonpeter6099
2 жыл бұрын
Rest in peace Baba. Nilikukubali mno.
@sayibahati7316
6 жыл бұрын
Inatia huluma sana Mzee wetu,,,,,,mijitu haisikii,,ama kweli watu wakozoea wizi ni kazi sana kuacha
@nyangimarwa3448
3 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani Baba, Mzalendo wetu wa nchi yake Daima hatutakusahau Kipenzi cha Watanzania utaendelea kuishi mioyoni mwetu Daima
@elisha5693
6 жыл бұрын
tuombe kwaajili ya rais wetu
@mtotowaraila5397
6 жыл бұрын
Raisi mchapa kazi East African👊👊
@jummawetu
6 жыл бұрын
huu ndie raisi yaani afrika tukipata maraisi wa 5 kama mafufuli yaani tunatona ugaibuni tunalejea kwetu afrika UVWF tunamupongeza sana RAISI MAGUFULI
@mr.yahzadochuno7914
6 жыл бұрын
I love my president❤️💛💚 magufuli forever
@neozoran244
Жыл бұрын
Greatest Of All Time (G.O.A.T) ❤️💪
@sheilatezura5652
6 жыл бұрын
Nakukubali rais wangu jpm.
@kisayansimedia1626
2 жыл бұрын
Magufuri good job 👍
@albertkimaro8493
6 жыл бұрын
Mungu akutangulie katika kuingoza Tz, nimesikitika sana hapo mwishoni ulipo sema "Haya banna" imeonesha ni jinsi gani unavyo kerwa,
@erickkihuru4529
6 жыл бұрын
Hongera prezda kaz Nzur xana bandarn hakuna uongoz mzur angalia tena
@mtungilandegeya6312
6 жыл бұрын
Rais Magufuli kazi anayo ... maana mijitu inayomzunguka inajifanya mizuzu sana
@michaelkungi8304
5 жыл бұрын
Yetu macho bhana
@loatalothi8784
6 жыл бұрын
Communication hata kwenye familia ikikosekana Mambo hayataenda, vivyohivyo na nchi viongozi,mawaziri,wakuu wa idara za serikali no communication Tanzania mnaichelewesha kuendelea,Mungu ibariki Tanzania yetu
@richardsoka2400
6 жыл бұрын
Uzembe wa hali ya juu! They have purposely done this, it is just an open sabotage by TPA and TRA leaders. Kudos President Magufuli. God Bless Tanzania.
@annafrancis9699
2 жыл бұрын
That is wonder full and nice one for our better president
@mropeamadeus5445
6 жыл бұрын
huyo ndie Mkuu Safi Sana
@gerardpaul2322
6 жыл бұрын
Mkuu mungu akupe ulinzi unamaaduwi wengi unauma xana bandar mkabidhi Makonda.
@selemankishema5780
6 жыл бұрын
haya bana!!!! pole rais wetu funga majambazi hayo waishazoea wizi
@sentejr2821
2 жыл бұрын
Tunakukumbuka raisi wetu Raisi pekee aliependa wanyonge Dah RIP MWAMBA
@ibel4lf
2 жыл бұрын
Our Late beloved president Pole sana nchi ilikuchosha... pumzika kwa amanj John P Magufuli
@omarmwalimu92
6 жыл бұрын
Uwozo wote huu unahitaji katiba mpya ambayo itakuwa Smart kwa kumshughulikia mtu yoyote bila kujali cheo au hadhi yake.Kama Rais anapambana na rushwa ,je itakuwaje kama Mungu anamchukua kabla ya kumaliza kipindi chake? ,na je itakuwaje kama akimaliza kipindi chake ?.Je tunaimani gani kama Raisi atakayefuata atafuata sera zake?.Hapo ndipo tunaposema kuna umuhimu wa katiba mpya anayoendana na usasa na kizazi cha sasa ,katiba ambayo itaweza kumshughulikia mtu yoyote hata kama ni Raisi ama waziri. Msingi wa Utawala bora ni sheria ambazo zinaweza kufanya kazi hata kwa mtu hohehahe (fukara)
@abdullaabdullahmpakanjia2336
3 жыл бұрын
Duuh ww inamaono mazito Leo ameshafariki mboeyupojela anadaikatibampya samia ndo raisi kapandishakodikibao mabandoyamepandabei mraditafranit
@vailethkidady7322
2 жыл бұрын
Uliwaza mbali sana mtu wa Mungu
@agnesakazinzurbadamwemanel8909
2 жыл бұрын
daaa uliwaza mbali xana
@africatanzaniatours5980
2 жыл бұрын
Respect kwako mzee
@ayoubbusanya8290
6 жыл бұрын
Nimemuonea huruma sana raisi wangu baada ya kumaliza kuongea na Kusema "haya bana", inaonesha mawaziri wake wanamuangusha Sana maana kaonesha uchungu Sana
@emanuelmartin389
6 жыл бұрын
Makonda apewe awaoneshe kazi
@emanuelmartin389
6 жыл бұрын
Makonda apewe hiyo kaz awnyoshe
@mohamedfogo8820
6 жыл бұрын
Kwa kweli moyo ni safi Anaumia sana ila mijizi ktk nchi hii ni mingi sana.yaani bado wanamzunguka tu dah!!
@st99ngeni35
6 жыл бұрын
Ayubu Busanya Ina uma sana kwakweli. Tuzidi kuiombea hii nchi na raisi wetu ili tufike
@st99ngeni35
6 жыл бұрын
mohamed selungwi Ndiyo maana wanaompinga ni wengi....WATU WANATAMANI HATA AFE ILI MAMBO YARUDI KULEX2 KWA ZAMANI. NI LAZIMA WATZ TUKUBALI KUBADIRIKA NA TUMOE SUPPORT RAISI WETU
@mkemiamagege8477
2 жыл бұрын
Huyu Kikwete huyu Alichotufanyia katika nchi hii kwakweli. Mungu anjua kuna siku atamuaibisha kwa kila jambo alilotutendea wananchi kipindi cha uwongozi wake na kipindi ambacho alipotuondolea huyu Mzee kuiingilia Serikali ya awamu ya Tano.
@rizbfighter8574
5 жыл бұрын
Hongera mh.rais tuko nawew kila hatua na tunakuombea Mungu akulinde uzidi kufanya kaz kwa mkono wa Mungu usikate tamaa atakaye kukwamisha fukuza Mungu anataka haki Fanya kazi ya Mungu
@machinefannatic99
6 жыл бұрын
Tanzania pasua kichwa, magari yanakaa miaka yanachomwa na jua, yanapata rust na corrosion taasisi za uma zinakosa magari ya kutosha na kuagiza mengine kijinga jinga
@kitangacharles5818
6 жыл бұрын
Nimekuelewa jpm
@elvunielvuni6637
6 жыл бұрын
duuu nakuogopa kama motoooo mkuu magugufuri
@SuperKibwana
6 жыл бұрын
Mjomba Magu, safisha tu nchi. Huu uchafu lazima utoweke kabisa na kwa Njia yoyote ile.
@ptriczkmdachi79
6 жыл бұрын
Seiff . hv
@ptriczkmdachi79
6 жыл бұрын
Seiff K ibwana
@ptriczkmdachi79
6 жыл бұрын
zZ.
@jacklinekimario787
2 жыл бұрын
Natamani hata Mungu aturejeshee magufuli kidg tu hatamwezi mmoja tu afu amrudshe akapmzke aliko🥺🤲tunataka MAGUFULIFICATION🤒 Dah rip legend❤️bba wa mioyo ya wanyonge
@agnesakazinzurbadamwemanel8909
2 жыл бұрын
nimelia upya nilivyotazam hii video kwa mara nyingine raisi wetu leo haupo tena daa mungu mkali jamani pumzika kwa amani raisi wetu bado unaishi moyoni mwangu😭
@kulwawaziri3866
6 жыл бұрын
Sawa sawa rais wetu mpendwa John pombe magufuli tunakusapot
@malcomg1004
2 жыл бұрын
Sasa ni 2022,kma umeshammis sana jembe Magu gonga like tumuenzi Baba yetu
@mcjabbyevents4938
6 жыл бұрын
Endelea kutunyoosha mambo mazuriiii hakika wewe ni role model viva mheshimiwa tafadhali fika na mtibwa kuna majipu
@mirrykirungi3223
2 жыл бұрын
Rest easy my president daima tutakukumbuka tulikupenda ila MUNGU amekupenda Zaid umeondoka Bado twakuitaji
@rammyissa5928
2 жыл бұрын
Tutakukumbaka daima mzee wetu mungu hakupumuzishe kwahamani baba
@isayangwahi9251
6 жыл бұрын
Baba Magu piga kazi Baba Nakuombea wallah Mungu akulinde....Lazima wanyooke
@mihambokitambo421
6 жыл бұрын
jama Mungu amsadie rais
@yohanamagele3633
6 жыл бұрын
MIHAMBO KITAMBO
@gemkachar
6 жыл бұрын
Pole Mhe Rais. mwenyezi mungu yupo nawe.
@elisanteshelukindo2745
6 жыл бұрын
Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya JPM ,Bwana azidi kumpa hekima mara trilion
@hemedomary2281
6 жыл бұрын
Mh.Rais hakuna haja ya maneno mengi,piga chini hao kisha weka ndani kwa uzembe wao pia piga chini waziri.Haiwezekani hadi Rais aende bandarini ndiyo uozo ugundulike,hawa jamaa wanajua kinachoendelea juu ya hayo magari na mengine mengi tu hapo bandarini.
@pauljuma5713
6 жыл бұрын
Ndo maana huwa namkubali Paul makonda unadhani uchafu kama huo angeuvumilia raisi angemkabidhi hyo bandari awanyooshe
@hassanimalangu7025
5 жыл бұрын
Mm sina chakusema zaidi ya kusema. Ccm hooyeeeee
@mathiasnsegenelo7598
6 жыл бұрын
Mungu azidi kukulinda rais wangu mpendwa,nakupenda kweli rais wang
@skeetergodwins2576
4 жыл бұрын
Baba fanya kazi ya kuwatumikia watanzania uliowaahidi. Tunakupongeza sana. Wewe fanya sehemu yako wasioelewa achana nao baba.
@angelamarlow510
2 жыл бұрын
Hakika utabaki kua ww kwenye moyo wangu Rais Dr Magufuli Nina Iman ulijichagulia fungu sahihi wakati wa Uhai wako,,
@Crabtree1844
2 жыл бұрын
Jembe kutoka Chato. Ewe mwenyezi Mungu ulitupatia dume kweli. Sijaona Afrika mzima. Aaah, shuja wetu! Asante Mungu, hapa tumeona Rais wa wanyonge.
@hamisisonga4357
6 жыл бұрын
Kusema ukweli mawaziri baadhi bado wanaboa aisee kama hawajuw wajibu wao wapishe two wenye ham na kazi waje kupiga coz hawawajibiki ipasanyo piga kazi jembe tunakusapoti
@kitimethegreat52
6 жыл бұрын
Yaani nimejisikia sana uchungu uchungu, kwanini mzigo wote huo ubebeshwe peke yako, wao wanakodoa tu mimacho.
@clementhiddi1486
3 жыл бұрын
Viongozi Tanzania ni aibu tu no accountability nor patriotism, rais anaumia sana.
@mpumulagrandson7880
2 жыл бұрын
Tunakukumbuka Sana JPM Allah akupumzike na akupunguzie adhabu ya kaburi Ameen
@josephkinunda4211
6 жыл бұрын
Siyo mwepesi sn wa kucomment kuhusu mambo km haya lkn huu ni uzembe mkubwa ambao hata mm mwenyewe nikipewa nafasi km hii siwezi kuufanya. Hongera rais.
@upendorobert7298
6 жыл бұрын
duuh, nchi hii, huliwa na wenye meno. mawaziri wote ni mizigo tu. utafukuza wote tu
@elisha5693
6 жыл бұрын
huyu Rais tumwache atuongoze mpk atakapo itwa na Mungu,maana anatusaidia sana
@ndelemwalonde2145
6 жыл бұрын
Dunia ya Leo haiendiii hivyoooo.
@basharahamtzhalisi6871
6 жыл бұрын
Hayo mawazo yako. Wako wazuri wengi, sema tu hawakupata nafasi hiyo.
@basharahamtzhalisi6871
6 жыл бұрын
ndele mwalonde. Kweli ndg dunia ya leo haiendi hiyo.
Leo nimejisikia kukukumbuka tu mzee dah No one is like you, No one watakuja wengi ila Hatotokea mwengine
@emmanuelmichael3012
2 жыл бұрын
Daa speech zake sijui Kama zitasahaulika
@yonasangitho4485
6 жыл бұрын
kudadeki huhu anko huyu ni balaa hatari anakaba mpaka penalty
@godfreyhiza1075
2 жыл бұрын
Miss U my president!!!!You are legend is with us
@mcjabbyevents4938
6 жыл бұрын
Mungu akuzidishie mheshimiwa
@mditijaphet7347
6 жыл бұрын
Ndiyo makonda itapendeza zaidi
@sammweusimweusi780
6 жыл бұрын
Mh rais watendaji wako hasa kwenye chama chako wanakuhujumu.
@franklazaro7660
6 жыл бұрын
upo sawa mzee wangu
@ezekielkimaro1647
4 жыл бұрын
Live long my president!
@muzdalfaaladina6943
2 жыл бұрын
Dah nimekumis sanaa baba pumzika kwa amani😭😭😭😭🇹🇿
@frankrobert2856
2 жыл бұрын
Big up
@bekabakari7394
2 жыл бұрын
Tumempoteza shujaa Mungu ndiye anaye jua
@stahncalifornia214
6 жыл бұрын
Maguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
@josephmkemangwa4389
6 жыл бұрын
Safi sana mkulugezi izo gali zije na ilinga gali ni chache ilinga!
@barikichichimu3502
6 жыл бұрын
j..p..m mungu akubariki na akupe nguvu daima.saaaf sana .
@stevenlyando1801
6 жыл бұрын
magu anapiga sana kazi huyu mzee,kaniumiza sana roho mwishoni hapo eti HAYA BWANA duuuh
@joshuanyamkokoma1467
6 жыл бұрын
Mungu azid kukuongoza na kukulinda Raisi wetu
@andason5406
2 жыл бұрын
Tutakukumbuka sn bb saizi wale uliowabana kwahaki saizi wanatusumbuwa sisi maskin
@jimmyjay9594
2 жыл бұрын
Rest in peace king
@Tiffany340
6 жыл бұрын
natamani makonda awe waziri ausike na bandari watamkoma
@rafiikapanda2156
5 жыл бұрын
Fetry John chizi awezi kua wazili
@marysaimon2213
2 жыл бұрын
Nani atakaye fichua wizi kama huu, tunakumic sana Rais wetu
@nestorykayombo8681
6 жыл бұрын
Mmmm magufuri ninoma
@bahatimwakagugu979
6 жыл бұрын
Komaa nao Baba'! Hao watumishi mizigo watanyooka tuu. Kwani zama zimebadirika mambo ya kukaa maofisini tu zimeisha. Hapa kazi tu. Ufisadi hauna nafasi.
@shaurikiyanga6033
6 жыл бұрын
pole sana mkuu hii ndio tz
@sayibahati7316
6 жыл бұрын
MPE makonda bandari mkuu wetu,,,,,
@kyaro5945
6 жыл бұрын
i cried mr President. thanx for seeing this.
@benjagabril9994
3 жыл бұрын
Dah mzee anasema Aya bana vigogo munamuangusha 🚶🚶🚶
@ymusic803
2 жыл бұрын
Uliupiga mwingi sanaa kila cku ww ni kazi tu hakuna kuzurula nchi za nje hakuna kutulia ikulu .........Mungu natamani kumuona Magufuri mwingine ...
@barakamasanja8466
2 жыл бұрын
Magufuli raid bora mungu akupe ufalme mbiguni
@godwinsanga2412
2 жыл бұрын
Matokeo darasa la saba ramadhani njombe 2021
@mustaphaabdallah8671
6 жыл бұрын
Mheshimiwa hayo magari ya polisi itakuwa ni RAIA alipewa tenda ayalete sasa wewe baada ya kusitisha kupewa tenda watu binafsi ndio kimbembe kilipokuja ndio maana unaona yamekaa hapo sasa umeshatoa amri yatolewe bado utamfahidisha huyo aliyeyaleta kwanza atulipe kodi yetu ndio hayo magari yatolewe huo mchezo mzima wasimamizi wako watakuwa wanaujua
@strikerhussein9212
6 жыл бұрын
hahahahaa mister prisdent big up naona vidume kimyaaaa vijasho lainiiii hahahaha ukiwakuta kwenye office zao c mikwala hiyo watumbue tu mkongwe .na ktiba tuibadili uendelee 2040
@geofreymgeni2668
6 жыл бұрын
Piga chini hao
@romanshirima2972
6 жыл бұрын
Huyo jamaa mwenye magari yuko na wewe ulipo mkuu wangu ""humjui"?? nimtajeee????
@wilhadarobogastshirima9149
4 жыл бұрын
😀😁😁
@mussaikunda5641
2 жыл бұрын
namkubali xn Magufuli
@myoutubecom-gg7sb
4 жыл бұрын
Mzee magufuli chukua gari zako hiyo hawa waharamia wametumia jina la raisi
Пікірлер: 343