Mnachonifurahisha ni kwamba mnatoa elimu kubwa sana ambayo hata Serikali haijatoa Kwa wananchi hususan ya kupima jotp Kwa vitendo na maelezo anayotoa Diamond!.Very creative guy ever...💪💪
@hamadharerimana8187
4 жыл бұрын
this guy is a STAR AND VERY CREATIVE NA ANAKILI KUBWA SANA SASA NDO NIMELEWA KWANINI ANAFANIKIWA ZAIDI
@evaingram7499
4 жыл бұрын
natamani mungu akupe maisha marefu simba na corona boys wotee kama unaomba ivyo kwa wasafi gongs like tuendelee
@Smartboy-wt1es
4 жыл бұрын
Diamond kwa biashara daaaa hii nayo kaigeuza kua fursa na kutengeneza hela kupitia youtube😀😀😀
@dominicmondia290
4 жыл бұрын
SO CREATIVE THATS ONE ASPECT DIAMOND PLATINUMZ HAS...social life programme love it man
@kabumbaaldjimmy4943
3 жыл бұрын
Kama uko shabike wake Diamond gonga like apa
@zachmaselle6635
4 жыл бұрын
Give credit when it is due! Diamond is a big brain, thinks fast and has the entrepreneurial spirit. Actually, he has single-handedly changed the Bongo Flava brand and taken it to new heights. He invests in himself and others. He has tremendously changed the music video business in Tanzania for good and created a lot of opportunities for young Tanzanians. Remember when he started he used South Africans to must the game. Now he uses his own people. Kudos to him and the Wasafi brand for being that dynamic.
@prosperjohaness2089
4 жыл бұрын
nani kasikia "yani mmoja wetu akionesha dalili za kuwa zombi mmh tunamchoresha"
@ains1122
4 жыл бұрын
It's a very educational movie, I like their idea, ina mafunzo mazuri kama kipindi,
@hellenodhiambo7175
Жыл бұрын
how loving ,caring and friendly is this man...we have nothing to say about this guy apart from supporting him...big up brother!!!!!!!!!!!!!!!!!
@geofreyelphjr3710
4 жыл бұрын
Damn it🔥🔥Diamond Issa Creativity's
@martinaloo5444
4 жыл бұрын
This guy is business minded. He uses every opportunity to improve his brand and fame. No wonder his new songs hit 2 million views in a single day.
@tumakhalifa3606
4 жыл бұрын
Corona geng 😂😂this hurts and at the same time funny
@mwajumabulugu4115
4 жыл бұрын
Km unamini maneno ya juma lokole diamond kila anachofanya ni pesa gonga like
@nassornaso7185
4 жыл бұрын
Bonge moja la idea.. Chibu unajua kutumia brand yko big up bro ✊
@collinschuwa8450
4 жыл бұрын
I am not decieving but i am prayin for him long lyf🙏🙏🙏🙏
@styvoll2004
4 жыл бұрын
This jamaa alianza tu right now the guy is a boss!! Man.. everything is possible.
@primesultan1150
4 жыл бұрын
Gonga like kama umeshajua Mond ni creativeness in mind he use every chance to prove his brand
@gazamerlvaxmukwano5844
3 жыл бұрын
Ndivyo unavyo sema akika mungu ammpe maisha marefu azidi kusaidia wengine, akika huyo Diamond nampenda sana anapo saidia wajiwezi ila tu maomba wanao saidiwa na Diamond wasijee kumzarahu... Akika mungu akupenye kila unapo fanya
Пікірлер: 865